Тёмный
No video :(

Faida Za Sura Ya Tembo / Tajriba ni Zaidi Ya Elimu / Sheikh Walid Al had 

DARSA TV
Подписаться 102 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Faida Za Sura Ya Tembo / Tajriba ni Zaidi Ya Elimu / Sheikh Walid Al had
Sheikh Walid Akifundisha Darasa la Tafsiri pale msikiti wa kichangani kila siku ya jumaanne baada ya sala ya Alasiri Usisahau kufuatilia vipindi vyetu vyote tafadhali subscribe ili uwe wa kwanza kuona vipindi vyetu Asante
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
www.paypal.com...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 22 дня назад
MAAN SHAALH. Shekhe. Wetu❤❤❤❤
@meandme3437
@meandme3437 Год назад
Allah akuhifadhi yarabi. Najifunza mengi kupitia kwako.
@suleimanamlima3398
@suleimanamlima3398 3 года назад
Sheikh upo sahii.....tulikamata Sana dondola kupitia sura ya Tembo ....sehemu ambayo imejengwa kituo Cha kuuzia mafuta (Petrol station) karibu na marhum sheikh Yahya
@akhtarbegum1219
@akhtarbegum1219 Год назад
Hii video ni zawadi kubwa....Jazakallah khayr Imam Walid.
@yahyasaloummvyongo3536
@yahyasaloummvyongo3536 2 года назад
Allah kariiimaa shehe WETU kwaa kipindii kifupi tuu nimenufaika Bali niwe mkweli ELIMU ambayoo unaitoa inawatu wake HAYO ni mambo makubwaa KUNAKOO ilimu aliziwajaalia viumbee wake Allah, yaarrabbi tujalie salamaa sote ummatii Muhammad na afanyee WEPESII KWETUU SOTEE shukrani Jazeera
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 Год назад
Shekh leo umeona utupeleke Kwenye mantwiqi kabisa. Jazaaka llahu khayra
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 года назад
MASHALLAH SHUKLAN SHEIKHE WETU ALLAH AKULIPE KILA. LA KHERI INSHALLAH
@Chaudere
@Chaudere 3 года назад
MAASHAALLAH SHEIKH WETU
@dulaabdallah6127
@dulaabdallah6127 Год назад
Tuulizeni sisi wanajeshi tunavyoona faida zake kakita kumlenga adui bila kukosa. Shabaha haiendi patupu
@athumaniamiri3764
@athumaniamiri3764 3 года назад
Mashallh proffesor walid bin Alhad ummar
@mudiali4506
@mudiali4506 Год назад
Maasha Allah Sheikh Allaah akuzdishie kheir
@gilliansimon8517
@gilliansimon8517 Год назад
Mashaalah mnyamwezi mtani wangu.karibu Norway
@firstlady9848
@firstlady9848 Год назад
Alhadhulillah Masha Allah
@jiranilalikila4243
@jiranilalikila4243 3 года назад
Asante sana Shekhe kwa darsa nzuri. Allah akulipe kheir.
@sharifaboubakarmuhammadism9463
@sharifaboubakarmuhammadism9463 2 года назад
Masha Allah
@bintsheikh6715
@bintsheikh6715 3 года назад
JazzakAllah Kheir
@chamchuuconsult4682
@chamchuuconsult4682 2 года назад
Watu wanajua wali tu sheikh wangu kwà mpunga hao huwaambii kitu hizo fani Zina wenyewe we wape vitu wavijue
@Bosskubwah4501
@Bosskubwah4501 Год назад
Mimi nilishuhudia ikisomwa hio sura wakati nko mdogo tangu siku hio QUR'AN NIMEAMINI NI MIUJIZA
@Bosskubwah4501
@Bosskubwah4501 Год назад
Yule jamaa hakung atwa na alimshika DONDOLA kile kitendo sikisahau mpka leo na jamaa mpka leo namkumbuka
@sherbanieabdoul9552
@sherbanieabdoul9552 3 года назад
Mashallah
@ismailally3170
@ismailally3170 3 года назад
Mashaallah
@user-ju1pl7rr8n
@user-ju1pl7rr8n Год назад
Aslm alkm ww.... Masha Allah!! Jazakallah kheir 🙏
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 Год назад
Mimi nimefanya sana hii naikitokea akanichoma mkononi wala hakuna maumivu wala uvimbe,sura ya Tembo
@hamidaala2832
@hamidaala2832 Год назад
MashaALLAH
@MuhdharMuhammad-qv3zl
@MuhdharMuhammad-qv3zl Год назад
Shukran sana Sheikh Walid ALLAH Akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 6 месяцев назад
Shukran shekhe
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 2 года назад
Shukraan 🙏🤝
@sharifaboubakarmuhammadism9463
@sharifaboubakarmuhammadism9463 2 года назад
مشاءالله
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan Месяц назад
Asalamu alykm warahmatulah wabarakatu,jamani shehe walidi naomba misaada wa dua namiaka zaidi ya ishirini naumwa mpaka wakati mwingine Nakaaya tamaa
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Год назад
5
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 года назад
Mulqiya😃
@shloonaqzaq2032
@shloonaqzaq2032 2 года назад
Mulkhiya...
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 22 дня назад
Mboga gani Mulhiyya. mboga ya ugali
@sulesulebaraka2376
@sulesulebaraka2376 3 года назад
Sas Kama siyo muislam na unamdai anakuzungusha mpak bac ya faa kumsomea????
@fatumakassim7449
@fatumakassim7449 Год назад
sura ya tembo ndo ipi tujuzen jamani
@hassanally5678
@hassanally5678 Год назад
Alamtara kayfafaala rabbuka.....
@hassanally5678
@hassanally5678 Год назад
Alamtara kayfafaala rabbuka.....
@fatumakassim7449
@fatumakassim7449 Год назад
@@hassanally5678 shukran sana
@sharifuhusseinally542
@sharifuhusseinally542 Год назад
Hiyo nikweli shekhe hata sisi handeni tanga mwanafunzi akiwalizi sula hiyi nilazima amlete dondola kwenye kiota chake kabisa?
@meandme3437
@meandme3437 Год назад
MULKHIYA 😂😂😂 nikiwa Emaraty na Saudia. Na kenya ndio mwanzoooo mboga hiyo watu wanaidharau hata hawajuwi faida zake. Wanaiita mboga ya mtelezo😂😂😂
@badaral6167
@badaral6167 Год назад
Mashallah
Далее
ФОТОГРАФИЯ ЦЕНОЙ ЖИЗНИ
32:38
Просмотров 1,6 млн
ПОЁМ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
2:04:11
Просмотров 1,1 млн
СЕРЕГА ПИРАТ - TEAM SPIRIT
02:37
Просмотров 291 тыс.
FADHILA ZA KUMSWALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
9:40
Просмотров 72 тыс.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
ФОТОГРАФИЯ ЦЕНОЙ ЖИЗНИ
32:38
Просмотров 1,6 млн