Ee Mola wa muumba wa mbingu na ardhi munyanyue darja mja huyu aendelee kuwatumikia waislam mjaalie kusikilizwa na mkinge na maadui pande zote nne na jicho la husda inshaallah
Mimi sio muhislam lkn anacho fundisha shekhe ni sahihi kabisa uwaminifu ni kitu muhimu uwaminifu kwa MUNGU na kwa wanadamu. Me nitakufatilia sana shekhe ili nipate maarifa
Usipo Shiba kwa jasho lako pia asema yasiyo yako ..😂😂kweli kabisaa na Watu w karni hii hawapendi kuondolea w2 shida wataka kuwacheka wenye shida Allah atuongoze yarabb.
Mtu mwema ni yule anayetafuta kasoro zake akazifanyia kazi,ukitafuta kasoro za watu hiwezi kizifanyia kazi...utaishia kugombanisha watu na kuongea usiyoyajua!Tuwe kusikiliza na kucjukua yaliyomazuri inshaAllah...
Assalamu alaikum mm nimefanya San ile ya kumswali mtume kwa siku 1570 n swala za usku lakini nimepta mtihani ,nimefutwa kazi😭 sah niko n miez 5 bila kibarua chocte nipo saud.😭😭😭😭 Inaniuma sanà
Ongeza jitihada kwenye ibada pia dunia ya sasa inahitaji saan kujitoa akili illaaa katika kila ulifanyalo omba msaada kwa allah pia usiache allah anatabia yakukujarib je utashkuru au utakufuru anapima nia yako lakn jua allah ndie kila kitu na anafanya anapoamua ila sio unapotarajia ww , hio hata mm ilinitokea lakin amka usiku lia kwake muelezee shida kidhat utapata zaid ya hio uskute ilikua na mtihani usioujua
Swalatu awabin ni صلاة الأوابين هي صلاة الضحى إذا تأخرت حين ترمض الفصال، كما جاء في ذلك الحديث عن النبي صلى الله عليه وسلم في صحيح مسلم، وهي أيضاً صلاة الضحى إذا تأخرت إلى آخر الوقت، وليست تختلف عن غيرها فيما يقرأ فيها ويدع فيها، وليس لها حد؛ قد يصلي الإنسان ركعتين، وقد يصلي أربعة ركعات بسلامين، وقد يصلي ست ركعات بثلاثة ...
shekhe watu hao walikua mafukara sana enzi hizo sema walikua wanajitahidi kueneza wanacho kiamini ili wewe leo ule matunda ya biashara yao wao hawakuwaza pesa hata kidogo kulikua nabiashara za kubadilishana biashara kwa biashara
Hivi nyie mashekhe munajua lkn kama hizi pesa za karatasi ni shirki na kinyume na quraan? Sawa hamuna power ya kubadilisha chochote kuhusiana na pesa lakini jee hata kulisemea hili jambo basi pia hamuwezi unless iwe hamuelewi.