Тёмный

FANYA MEDITATION HIZI UKIWA PEKE YAKO MUUJIZA HUU UTATOKEA MBELE YAKO 

FAFANUO MEDIA
Подписаться 635 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UNACHOTAKA KWA KUTUMIA MEDITATION HIZI #fafanuomedia #knowledgeforyourfuture #tujengemahusiano
‪@FAFANUOMEDIA‬

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@TunsumeMwaijumba
@TunsumeMwaijumba 2 часа назад
Hadi laha najifunza vitu vingi sana kimaisha asante
@EliasElias-z2b
@EliasElias-z2b 18 дней назад
Ahsante brow🙏
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 5 месяцев назад
Ubalikiwe sana kaka yetu 🙏 siku nitaweza ili zoezi nitafulahi sana maana naanza kujalibu rakini bado
@Liliankerubo-j3f
@Liliankerubo-j3f 5 месяцев назад
Asante Fafanuo media nilifanya ile ya pesa gafhla nikapata kazi extra Asante kwa kutuelimisha
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 5 месяцев назад
Ameeeeeen 🙌🙌 kwa kweri mungu azidi kudufunguliya milango yetu
@LowasaNgai
@LowasaNgai Месяц назад
Ubarikiwe sana my brother unanibadilisha God bless you nakupenda sana
@DEBORAITEGANA-wg7vo
@DEBORAITEGANA-wg7vo 3 месяца назад
Mimi ninafuraha ninapesa nyingi ninasaidia wasiojiweza na kukidhi mahitaji yangu
@AllianceZawadi-x1r
@AllianceZawadi-x1r 2 месяца назад
Asante sana kwamafundisho
@DanielAgostinhoIdi
@DanielAgostinhoIdi 2 месяца назад
Asante sana 🎉❤
@BakariMussa-to2me
@BakariMussa-to2me 3 месяца назад
Asante
@Reema12-v5j
@Reema12-v5j 5 месяцев назад
Asante sana fafanua media
@monicamonica1511
@monicamonica1511 5 месяцев назад
Nimeshimdwa huo mkao kwakweli.
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 4 месяца назад
Asante sana
@AshaMohamed-w6v
@AshaMohamed-w6v 2 месяца назад
Najaribu kufanya meditat lakini bado ila upaji wa USO wangu nikikaa peke yangu ama na watu ..akili inahama na kwenye paji panavuta
@InnossMaurice-nh3zl
@InnossMaurice-nh3zl 3 месяца назад
Niliomba iandaliwe basi ile video ya MEDITATION YA RANGI ZOTE na matibabu yake
@StevenBenjamin-hy1bn
@StevenBenjamin-hy1bn 5 месяцев назад
Meditation ya kusogea kutoka sehem moja unakuaje au unapotea?
@fatmaathumani7569
@fatmaathumani7569 26 дней назад
Naomba no yako kk yangu plz
@monicamonica1511
@monicamonica1511 5 месяцев назад
Kma aliyeninenea mabaya keshaenda mbele ya haki je !
@ZuhuraThabitkamtande-ki5gl
@ZuhuraThabitkamtande-ki5gl 5 месяцев назад
Mimi mwenyew kukaa hivyo siwez na mwili mkubwa kidogo sa tutakaaje
@ibrahimabdallah7639
@ibrahimabdallah7639 3 месяца назад
Unaweza kaa kwenye kiti kitakacho kufanya ukae wima
@HanifaRashid-kt8ww
@HanifaRashid-kt8ww 3 месяца назад
Mimi nataka nifanye kwaajiri yamwanaume wangu arieniacha je nifanyaje
@HaniyaKisingo
@HaniyaKisingo 2 месяца назад
Duh Embu fanya kwa faida yako una mfanyia mtu wkt mwili ji wako alie kuacha kakuacha
@ChipkiziRashid
@ChipkiziRashid 2 месяца назад
Njoo nikufundishe Mimi
@KalabaKlb
@KalabaKlb 5 месяцев назад
Uwaga miye ninashindwa kukaa mukao kama ule kk
@monicamonica1511
@monicamonica1511 5 месяцев назад
Hata Mimi nimeshindwa.Miguu inauma.Chaajabu eti ndio mkao unaotakikana.
@edwardgistave7808
@edwardgistave7808 4 месяца назад
Sio lazma mkoa huo kaaa mkoa ambao una uwekza haitakiwi uuomie hata mimi siwezi huo mkao
@AshaMohamed-w6v
@AshaMohamed-w6v 2 месяца назад
Najaribu kufanya meditat lakini bado ila upaji wa USO wangu nikikaa peke yangu ama na watu ..akili inahama na kwenye paji panavuta
@AshaMohamed-w6v
@AshaMohamed-w6v 2 месяца назад
Najaribu kufanya meditat lakini bado ila upaji wa USO wangu nikikaa peke yangu ama na watu ..akili inahama na kwenye paji panavuta
@AshaMohamed-w6v
@AshaMohamed-w6v 2 месяца назад
Najaribu kufanya meditat lakini bado ila upaji wa USO wangu nikikaa peke yangu ama na watu ..akili inahama na kwenye paji panavuta
Далее
skibidi toilet 77 (part 3)
04:51
Просмотров 14 млн
Свожу все свои тату (abricoss_a_tyt)
00:35
MEDITATION NA KUFIKIA MAFANIKIO YAKO ( TAFAKUR ).
6:45