Wimbo huu unaelezea safari ya wana wa israeli walivyosafiri kwa tabu hadi kufika katika nchi ambayo Mungu aliwaahidi.katika maisha yetu ya ukristo wimbo huu huonyesha ni namna gani safari ya ukombozi ulivyo Mgumu lakini hatupaswi kukata tamaa tusonge mbele.
#mtunzi# Gerald wagumba
tafadhali share,like,subscribe. kusapoti kazi ya Mungu
mawasiliano 0759109864/0688074255
19 сен 2024