Hakika ni Kwa nehema tu hapa nilipo Asante sana yesu barikiwa Sana dada yangu kwa ujumbe huu ambao umepewa na mungu endeleeni sana kutangaza injili kupitia kwa nyimbo za mungu
Ni kwa neema tu na wacha neema izidi kutosha juu ya maisha ya kila mmoja! Thanks Fenny for the wonderful song and please when you get a chance do another song about prophecy or a video!! #watchingfrmUSA 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸
Wimbo nzuri sna mungu akuinue zaidi ya hpo,me nimependa vile unavyo imba na kudance naomba tuu uniluhusu nifanye korabo na wewe ukweli niko sirious nilikua nimekutafuta sana napenda niimbee kaa wewe na ni dance kaa wewe na omba unisaidie maisha nikusaidiana plz plz.