Walae nyakati za mwisho natokwa na amariga amange with no control all your song venny seseniwa mono but I have one ambao sasa miaka minane unasema nigonde nobororo ase omoyo one obororo obonge intanyare gokwana is the one of me gogonkonya in my life veliane from saudia Arabia barikiwa sana sana.
BaA CHRISTU Mu si OGOPE TU SI MAME NA YESU! ATA MBELE YA MUPANGA WOMBE NGU YA BUANA TUKUFE JU YAYESU MOKONZI WETU !ATA TU FUFULA TU TA PEWA UZIMA WA MILELE AMEN ❤
Fenny it is God who is sounding in you keep it up and mungu akujaze huyo roho zaidi uwashinde walimwegu wa giza.nawaombea waimbaji wote wakenya iwafunike maadui waangamie wenyewe.fenny dumu uokoe watu.
Good one ...nimeona wimbo yako kwa status ya mtu watxapp na ikaniguza nikakufuata mpaka huku .....mungu akuzidie kibali na akubariki kwa kazi zuri unayoendelea kufanya 🙏
UJEMBE MZURI..TENA WA WAKATI...FNNY KERUBO MUMGU NDIO AMEKUTUMIA KUTOA UJUMBE HUU ENDELEA KUOMBA NA KUNYENYEKEA MIGUUNI KWA BWANA KWANI VITA NI KUBWA SANA.ILA UTASHINDA MAANA UNAYE MTUMUKIA NI MUNGU MUUMBAJI. SONGA MBELE FANYA HARAKA WAKATI UMEKWISHA
Hakika tuko karibu kurudi nyumbani moyo wangu unafurahi tunataka kwenda kumwona yule tuliye mwamini, barikiwe sana dada Fanny Kerubo wetu ujumbe wako umefika kwenye udongo wenye rutuba love you so much 🙏
Hii ndiyo injili yenye tunaitaji kwa nyakati hizi sababu watu hawaelewi ukweli ,watu wako tu mbioni tu juu ya maisha ya duniani ee mungu tuzaidie kuhesabu siku zetu.
Fenny, this is an inspiration song ; one among your best songs for it carries heavy last-time message for God's chosen remnants; Those who have been blessed for understanding the Prophecy. May the Almighty God continue blessing you with this wonderful gift of the Prophecy.
You really bless me my sister fenny, ningependa tu siku moja unipe collable hata kama mm huimba secullar najua Mungu atanijalia hio siku tucharaze gospell moja moto saana
The best of the best, Dear Fenny Kerubo. Indeed, you've stood to be among those proclaiming the 3rd Angel's message. I pray that together we'll gather and be among the chosen in the Coming of the Son of Man(Jesus)
Ameeeen n Ameeen I am crying coz of our country and everyone let's seek God....time to repent sweet fenny may God uplift ur ministry ur really blessing my soul....cna chakukupa kama mwanadamu lakini bidiii yako yatoka kwa Mungu.... FENNY IS THE SONG ON MDUNDO...?PLIZZZ NEED TO LOAD IT......