Тёмный
No video :(

Fid Q x Lord Eyez Feat. Brooklyn Beauty - Shujaa (Official Video) 

Fid Q
Подписаться 160 тыс.
Просмотров 176 тыс.
50% 1

#FidQ #Shujaa #LordEyez #BrooklynBeauty #SlideDigital
FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Fid Q
Follow Fid Q on:
/ therealfidq
/ fidq
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 514   
@fadhilirashidi7350
@fadhilirashidi7350 3 года назад
Hii Chemistry yenu Mzee Mbuzi na Mweusi Lord Eyez 🙌🙌🙌
@mayalazacharia7081
@mayalazacharia7081 3 года назад
Gonga Like Kama uliweka bando kusubili. Dude la therealfidq Kama mimi
@neckaphotostudio728
@neckaphotostudio728 3 года назад
kwenye moja kati ya vitu ambavyo huwa nakuwa proud juu ya Fiq q ni kwamba kila nikimsikiliza lazima nijifunze kitu kila wakati... Stay there king of hip hop.... Nina almost nyimbo zako zote kwa playlist yangu
@kyataonline5262
@kyataonline5262 3 года назад
umeelewa nini "ujinga ni nguvu"
@DAINOSSA
@DAINOSSA 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I5TxMuWfIsg.html
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 3 года назад
Ulinunua au umenyonya kwa vishoka....?
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 года назад
@@kyataonline5262 alafu we muhuni kwel.hahahahaha.....
@abdallahnamahala9216
@abdallahnamahala9216 2 года назад
Awere some
@brooklynbeauty_tz
@brooklynbeauty_tz 3 года назад
Great to share a mic with Fid Q na Lord Ez. Ahsante sana! Let's go Tanzania!
@jumahamisi5383
@jumahamisi5383 3 года назад
You did it dear congra... Your last 2 bars was heavy With gorgeous flow
@Shirimatunda
@Shirimatunda 3 года назад
U play ur part i love your part
@allanopondo1310
@allanopondo1310 3 года назад
Where do we get more music by you?
@sevenrepublic1550
@sevenrepublic1550 2 года назад
Mr Brooklyn is me... imma get there to take you queen 👸
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Год назад
You've illest flows Miss❤❤❤❤
@alfredlaurent1728
@alfredlaurent1728 5 дней назад
Hii ngoma mpaka uipe sikio vizuri ndo utamwelewa king Eaz
@eduardobabou3022
@eduardobabou3022 Год назад
Fid q huyu niggah na lord eyez na Brooklyn queen 👑 hapa kazi safi ♥️♥️♥️♥️
@bonifacehassan1309
@bonifacehassan1309 3 года назад
Mizik Kama hii niadim,, FidQ 💪💪
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 3 года назад
Lord kaumiza 🔥🔥🔥🔥🦇
@kaJEMBEvip
@kaJEMBEvip 3 года назад
Fid n namba 1 tz hip-hop in bongo
@LilBOY-1DC
@LilBOY-1DC 3 года назад
Badoo we ni mbuzii Badoo tuh
@danielhaule155
@danielhaule155 3 года назад
Where have u been Brooklyn Beauty!!!!!???💥💥💥💥💥
@josephbanzi7357
@josephbanzi7357 3 года назад
Lord Eyes kawa mwepesi sana humu
@eliudytafawa4648
@eliudytafawa4648 2 года назад
Dope yupo hili eneo
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 3 года назад
Fid + Lord = Chemistry 🔥🔥🔥
@mcnyota
@mcnyota 3 года назад
G.O.A.T living legend..
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 3 года назад
Lord easy 🤽🏻‍♂️🏆
@kungumanjalekungu9418
@kungumanjalekungu9418 3 года назад
Pamoja Sana mzee baba
@kapipoh6614
@kapipoh6614 3 года назад
Goat✌
@centralboytz4240
@centralboytz4240 3 года назад
Broo hili dude limeenda shule usituache mwaka bila kutupa darasa huru kila jiwe uktoa hua tunajfunza kitu aise embu twenden wahun mpk tufike #1
@v12muscular38
@v12muscular38 3 года назад
asante sana farid kaka, nusu mtu nusu mashine, mtu mmoja na nusu, mwananchi wako niko standby kwa vitu adimu, madini pure. happy birthday in advance. MUNGU akutunze sana, sincerely speaking. Akutunze vyema!
@carlmarx8814
@carlmarx8814 3 года назад
Lord eyez 🙌🙌🙌
@lothelifaraja6089
@lothelifaraja6089 3 года назад
Ngoma kali sanaaaaa
@jaqtonkungu3053
@jaqtonkungu3053 Год назад
wewe ni shujaa.........babaa yao....tembea nairobi ....
@luciajohn2395
@luciajohn2395 3 года назад
Fidq kwani yeye anawezaje kuandika hivi? Yupo tofaut kabisa na wasanii wengine huyu mtoto wa farid sijui mungu kampendelea sana maana sio kwa upeo huo wa kuona utofaut na wengine
@jecoog6086
@jecoog6086 3 года назад
fid q u kill it ma man we ni shujaa
@abdallahmohamedmahamba7937
@abdallahmohamedmahamba7937 2 года назад
Demokrasia ina mkia wa shetani na kichwa cha Mungu...🔥🔥🔥🔥
@jimmyx8412
@jimmyx8412 3 года назад
Yeah ni bonge moja ya ngoma.. Naona Jeep yetu imekula gazeti ka ipo body
@centralboytz4240
@centralboytz4240 3 года назад
Tumfikishe mwana #1 🔥🔥🔥
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
Ngoma Kali sanaaa 👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jonathanmaengo4281
@jonathanmaengo4281 3 года назад
PROUD of ma homies... Fid & Leyez....mnatisha kama tsunami....
@hansbetwel5256
@hansbetwel5256 3 года назад
Fid q the goat
@jerejadordma2c387
@jerejadordma2c387 3 года назад
Nawakubali kishenzi👊 mnaunga mkono gusa like hapa
@ramsomhunga9067
@ramsomhunga9067 3 года назад
Fid q eeeeez wawaz..the have colabo..🔥🔥🔥
@halizonihongoli4686
@halizonihongoli4686 3 года назад
Mimi sio jeshi la mtu mmoja ni mtu mmoja na nusu✊
@diamonndplaitnumz263
@diamonndplaitnumz263 3 года назад
Hiii kitu ni fire #mie siojeshi LA mtu mi ni mtu mmoja na nusu
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 10 месяцев назад
Lord Eyez kaifanya track imekuwa street, ngumu na kaweka swag, 🔥
@crispuskighombe6220
@crispuskighombe6220 3 года назад
Mashujaa .. walioifanya nikailewa mitaa, nikalielewa neno..hadi sasa najitambua kama Shujaa pia. Nawakubali sana. Peace and Love from KE
@Yegon254
@Yegon254 3 года назад
Agosti 13 ni siku kubwa kwa the legend
@joeljoseph785
@joeljoseph785 3 года назад
#bila tabu na usumbufu haupatikani utukufu. #darasa huru, Respect kwako ToRe
@hamiafasta
@hamiafasta 3 года назад
Fid and eyez no comment, demu kaflow good sana
@edwinoduk9808
@edwinoduk9808 3 года назад
Fiq q you are the King of hip hop, nakusikilizia kutoka 254.
@alisihamidu4077
@alisihamidu4077 3 года назад
Faridi bro unafanya vtu ambavyo vinagusa hisia zetu for life sometime unajua ALLAH akuongezee maarifa na ufanisi 🤲
@luganobugali5692
@luganobugali5692 3 года назад
Eeeh bwana eeeh!!!😍mnarudisha Tabasamu lililopotea... Mziki mzuri sana @fid q ...
@obuyajr1802
@obuyajr1802 3 года назад
Nataka collabo ya FidQ na Breeder LW Kenya itukua fire
@floranusgwau2670
@floranusgwau2670 3 года назад
Hawa jamaa 👏👏👏 wamebadilika Sana,kutoka kwenye neno mpaka shujaa no tofauti sana
@colmanndetembea8514
@colmanndetembea8514 3 года назад
Respeeeeect
@vfieldmarshal_tz
@vfieldmarshal_tz 3 года назад
Ebwana hii ngumu nimeikubali wakongwe Kazi imefanyika sana, tzhiphop to world hiphop market
@johnatmylner615
@johnatmylner615 3 года назад
Kutoka enzi za propaganda Hadi kiataalojia. Legendary Fid Q has never let us down.
@loveuprising7768
@loveuprising7768 3 года назад
Great look! Black American and black African artist collab wow
@shagarbycash9549
@shagarbycash9549 3 года назад
kuwa wewe binafsi ndo inakufanya udumu zaidi...hip hop forever
@mosesnjuguna1380
@mosesnjuguna1380 3 года назад
Mzazi na muuwaji yote majina yako ngosha..😁😁😁
@simonalex9757
@simonalex9757 3 года назад
Nakubali brother shujaa ukitoa ngoma mpya lazima nijifunze kitu
@makarokingi3144
@makarokingi3144 3 года назад
The true meaning of G.O.A.T Always make good hip-hop songs
@hosearioner3637
@hosearioner3637 3 года назад
Nuff respekt hip-hop legends,love from 254.
@Chrisant_Jaboma
@Chrisant_Jaboma 3 года назад
Eeeh, 🔥🔥🔥🔥🔥mistari imeenda shule huku, I like this, chorus lit pia, salute from 🇰🇪
@akiletv
@akiletv 3 года назад
Hakika ni vigumu kuufikia uwezo wa Fid Q. Wanaoifanya na kuiishi hip hop wananielewa.
@kazawazarecords1456
@kazawazarecords1456 2 года назад
i see you somewhere my queen
@alienguy2839
@alienguy2839 3 года назад
Wananiitaga Isaac Newton, Nabuni vipya vipya tu new tune, (Punchline)
@Maulidfundi
@Maulidfundi 3 года назад
Iii ni zaid ya neno.
@evencemgallah6277
@evencemgallah6277 3 года назад
Nimekubali unajishindanixha mwenyewe maana hakuna wa kushindana na wewe!! Hip hop for life ###@
@ramsomhunga9067
@ramsomhunga9067 3 года назад
Ha ha ha izy wawaz ...🔥🔥
@mayalazacharia7081
@mayalazacharia7081 3 года назад
Madini the realfidq
@cretrinomz
@cretrinomz 3 года назад
noma sana ngoma ni Hit kabisa like apa jamani
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 3 года назад
Chemistry za hawa jamaa ni level sana
@abbysertz3862
@abbysertz3862 3 года назад
Shujaa mi ni shujaa ✌🏼{ Fid na Isack }
@naftalyragwar
@naftalyragwar 3 года назад
FID Q ngoma zako line zako zinakwanga on top kwanza ngoma yako na rich mavoko inanifanya Najiskia nikam Niko U k
@arabgandaempire
@arabgandaempire 3 года назад
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@untouchboymsafi1788
@untouchboymsafi1788 3 года назад
Ngosha ze don💥💥🇹🇿
@dullayogimbi5118
@dullayogimbi5118 3 года назад
Hii ngoma hatari ✔
@damarygaratulu9135
@damarygaratulu9135 3 года назад
Ngoshaaaaaaaaa wa mbasa umetisha wakokaya
@cmgblackofficial9261
@cmgblackofficial9261 3 года назад
Fid kweli we best kila wakati najifunza toka kwako
@bensonmwinuka8459
@bensonmwinuka8459 3 года назад
Imenibidi nitabasamu kwanza😁😁🙌🙌🙌🙌🙌
@tradingafrica
@tradingafrica 2 года назад
Heavenly Punch ..... Certified. #Shujaa #HeeeerOoooo....Asante !
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 2 года назад
Brooklyn Beauty apewe Ulinzi.
@gaspardmugisho6364
@gaspardmugisho6364 3 года назад
The King rap
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 3 года назад
Fid Q na Lord Eyez ingekua ni duo ingetisha sana ! Kuanzia Neno , Imeisha hiyo na hii shujaa
@marktarimo5881
@marktarimo5881 3 года назад
Bonge Moja la Ngoma Wanyama Wawili Mmeua sana humo Mapunch ya maana.
@ngajaalmas
@ngajaalmas 3 года назад
Farid. Ngosha the Don salute
@Pandumasoftware
@Pandumasoftware 3 года назад
Faridi na Izaack Always mkiwa Pamoja mnakuwa na Chemistry sana, Big up kwenu kwa mziki mzuri wa Darasa kwetu.
@fredijohn7467
@fredijohn7467 3 года назад
Lod eyes ana bahati mbaya sana sijawahi ona colabo ata moja akamfikia ata nusu fid q kwenye kuimba yan zote anafunikwa kaka fid fanya nyimbo ata moja umpe nafasi sana
@lotinyumba1573
@lotinyumba1573 3 года назад
Ngoma Kali na imesimama kam ile neno
@piusemanuel5986
@piusemanuel5986 3 года назад
Nomaaaa sanaaaaa na nusuuuuuuu
@officialibra4528
@officialibra4528 3 года назад
Me sio jeshi la mtu mmoja me n mtu mmoja na nusu
@centralboytz4240
@centralboytz4240 3 года назад
Chemistry moja ya kibabe🙌🙌🙌
@youngdula5409
@youngdula5409 6 месяцев назад
Hii noma na nusu 2024
@allymuhamadahmadahmad793
@allymuhamadahmadahmad793 3 года назад
Ngosha the donn your fans toka 258
@hazjay4671
@hazjay4671 3 года назад
#Eyez!!
@petermagero95
@petermagero95 3 года назад
Fid na lord hawajawai tuangushaaaaa erooooh
@ayubuadamu8587
@ayubuadamu8587 3 года назад
G O A T
@bizomenyimanaelias5455
@bizomenyimanaelias5455 3 года назад
Love from Burundi buja napenda Sana fidq Tangia nikiwa mdogo
@gaudencemariki769
@gaudencemariki769 3 года назад
Utukufu ni Democracia inamkia wa shetani na kichwa cha Mungu
@sprybbm
@sprybbm 3 года назад
Sijapoteya 🏄 atakaye pinga ni mujinga na nusu🏅🏆🚵
@erickendrick3330
@erickendrick3330 3 года назад
Wananiitaga isaaac neuton.🙌🙌🙌 Lord eyes katsha sana
@azzleelee8083
@azzleelee8083 3 года назад
Umeni surprise sana august 13 eyz ujawa kosea flow mpya really hip hop neno
@mamaeutrice81
@mamaeutrice81 3 года назад
Duuuu!!! Niite tapshara!!!! Hii combination ya Fid na Lord Izy itupatie ep au album!!!? Naamini itakua ep bora ya hiphop
@omaryahmed7100
@omaryahmed7100 3 года назад
daaahh huyo eyez kauwa kinomaaaa......hawa jamaa wakicolaborate hawaaaribu
@kaizamandike8771
@kaizamandike8771 3 года назад
Good hip hop,, Farid na Isaac mnaetendea haki hii game. Appreciate.
@obarainnocent3835
@obarainnocent3835 3 года назад
The truck is so laid back. Love from Uganda
@RamadhanJuma-k7h
@RamadhanJuma-k7h Месяц назад
Nakubali fid q
@hassanabazar9411
@hassanabazar9411 3 года назад
Asante mfalme wa hii fun umenifanya niwe shujaa big up fid q
Далее
Fid - Q X Lordeyez IMEISHA (Outro)
3:46
Просмотров 530 тыс.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Просмотров 4,2 млн
🫢 #tiktok #elsarca
00:11
Просмотров 4,1 млн
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
Fid Q Feat Rosa Ree - BIGMAN (Official Music Video)
3:12
Fid Q x Saida Karoli - Kiberiti (Official Music Video)
7:34
Kikosi Kazi - Kazini Official Video (WEUSI DISS)
5:56
Просмотров 446 тыс.
Ngwair Feat  Fid Q - CNN (Official Video)
4:43
Просмотров 157 тыс.
Nikki Mbishi X Wakazi - PRICELESS Official Video
6:04
Просмотров 285 тыс.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Просмотров 4,2 млн