Watu wasichojuwa pia nikwamba #Rommyjons amekuwa star kabla ya mdogo wake #Diamond na amemsaidia Dai kumkutanisha na mastar wengi na connection za media tour.
AlbertNgweir is an alpha rapper gotta dominate yah like 90's kappa freeflowin style combination of tupac and busta FiqQ my man you the master the only heavyweight rapper tokea enzi za mkapa those days never had locks or rasta but i gotta feel you vile umetukamata am a song writer napenda kurapp ila sitaki kurapia hapa am kenyan but respect to TZ hardcore masters. FIDQ RESPECT
Nakumbuka vile marafiki zangu wakidai vile nikonawe mm nimeupata adi kutengwa ndio sababu ya kuhama tz nikatengwa namarafiki but nashukuru mungu niko hai paka sasa na niko na afya poa nakuombea mema penye uko tz watu upenda kuweka jambo liwe la ukweli na sio japo tulikua na maugomvi mingi apa na pale na atukuwai kuerewana but im still to love you and i remember you baby
Usiniite half man niite man in half ,if you think small you remain small for life ,hatuwezi piga simu instrumental but we can be on the same key ,son Experience express some better or biter ,naweza flow slow lakin brain ina ni speedup ,na smize thing kama pain inavyoumiza ,complain nazimaliza na gain tu kila muda
Ulikua mtu maaharufu na mm wa chuo wakukutana. Na watu wengi ilo ndio neno ukisema now i understand why usema ivyo ata katika maisha ya sasa ya kuwa na mtu maharufu 4:42