Тёмный

Fix You: Mambo usiyoyajua kuhusu wanawake, haya ndio tunayotaka toka kwa mwanaume - Na Aunt Sadaka 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 101   
@adamj9723
@adamj9723 2 года назад
Fix u ni🔥🔥❤️ na doctor mwaka mualike.
@ياسمينياسمين-غ2ص
@ياسمينياسمين-غ2ص 8 месяцев назад
MashaAllah ❤uko vizuri Anti Sadaka
@khalidmawele2687
@khalidmawele2687 Год назад
Dunia itajadili sana usawa wa mapenzi,upendo na huruma juu ya wanandoa na maisha yao kama watu hawatarudi kwenye usawa aliouweka Mungu na kusoma maandiko kwamba Mungu ametufumia mfumo gani kwenye kuishi kwenye maisha ya ndoa basi hilo jambo halitopata suluhu Abadan.. tena msahau hasa kupata suluhu.. kwa sababu alietuumba anatujuwa zaidi kuliko tunavyojijuwa..
@daineswoods7783
@daineswoods7783 2 года назад
Am so proud of you Irene. Aunt Sadaka you are the best ❤❤❤
@DalilaDalila-wv4pg
@DalilaDalila-wv4pg 6 месяцев назад
Barikiwa Sana kwasomo anti sadaka
@jossyanemunyaga7468
@jossyanemunyaga7468 2 года назад
Finally sh came Asante kamureen sasa tuletee dr. elly a conclude hii mada for both women an men
@romes-tz7323
@romes-tz7323 2 года назад
shukran Sana untie sadaka umetupa madini mengi proud of you sasa tunamtaka doctor elly
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 2 года назад
Yaan najifunza mengi hapa napenda like waaaho 👏👏❤💞💖❤♥️❣
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 года назад
Wawooooo one of my list niliyetamani umualike👂👌
@winfridanguge7698
@winfridanguge7698 2 года назад
Asante sana aunt sadaka nimekuelewa sana mama. Ila naomba urudi tena na tena♥️
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
💯
@khadijaabdala6876
@khadijaabdala6876 2 года назад
Ahsante karibu tena aunt sadaka
@NelsonKilima
@NelsonKilima Год назад
am so happy to get chnace to listen to this beutiful woman
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 2 года назад
Nampenda sana Aunt sadaka jamani ana madini mengi mno
@sophiabwire977
@sophiabwire977 2 года назад
Nakupenda auntie sadaka
@hellenrichard6528
@hellenrichard6528 2 года назад
Kwa kweli mama umeongea mambo ya maana sana, Mungu akubariki sana.
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 2 года назад
Umefanya vizuri sana kumleta huyu antie Sadaka. Big up sana Irene
@evalinenyarufunjo2294
@evalinenyarufunjo2294 Год назад
Madam Irene,asante kwa kumleta huyu mama kumzungumzia mwanamke,hakika amemaliza yote.
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 года назад
Finally she's here I love her!
@monjemghalu1734
@monjemghalu1734 2 года назад
Shukrani aunty sadaka lwill respects you so much ❤
@sarahkimaro75
@sarahkimaro75 2 года назад
Asante sana aunt Sadaka 🥰
@HabshuuTV_lifestyle
@HabshuuTV_lifestyle 2 года назад
Safi sana maneno yamaana umeongea mama Sadaka
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 2 года назад
MashaAllah nimependa sana sana na tumejifunza pia❤️
@evalinenyarufunjo2294
@evalinenyarufunjo2294 Год назад
Words on marble. Aunt Sadaka,you are supeeeeer.God bless you.
@noellavicky9901
@noellavicky9901 2 года назад
This is one of my favorite kipidi and I hope tungepata playlist yetu cuz sometimes huwa tuna miss last episode Afu inakuwa hand to find
@irenekamugisha
@irenekamugisha 2 года назад
Hello Noella, playlist ipo.
@queenmunuo5269
@queenmunuo5269 2 года назад
Inapatikana wapi hiyo play list jmn dear
@northerntanzaniatv4033
@northerntanzaniatv4033 2 года назад
Tunapenda sana vipindi vyako
@HamadiRsima
@HamadiRsima Год назад
Uko vizuri lakini mkali
@jofreyjovinary375
@jofreyjovinary375 Год назад
hongereni sanah kwa kipindi hiki na ombi kwa aunt ...wanawake wengi wanapenda wanaume wenye pesa wakati unakuta amesoma na ana kazi hii ni sawa
@rennyleo4874
@rennyleo4874 Год назад
Auntie Sadaka saluuuuuuuuut!!!! Thank you so much my dear
@babybossfr
@babybossfr Год назад
Asante sana mama, ubarikiwe sana 🙏❤
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 года назад
Safi sana anti sadaka love u
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 2 года назад
Nimependa aunt sadaka bure,anaongea ukweli mtupu,wanawake Kama aunt sadaka wachache Sana Duniani.
@jacklinezahabu5967
@jacklinezahabu5967 2 года назад
Asante kwa kumleta aunt sadaka,ila topic ya uwazi naomba umlete tena ndoa nyingi zinateteleka sababu ya siri ambazo zikiripuka ni kama bomu eg kuficha watoto.
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 года назад
@@hamidudongo1879 itakua yamekugusa sana maneno ya anti sadaka
@KagomaLewis
@KagomaLewis 6 месяцев назад
Mama upewe sifa zako maneno yako nimeyaelewa.
@susans4490
@susans4490 2 года назад
Nakukubali aunt Sadaka sana ila pakunificha kama mbakaji hapana
@omarsalum4052
@omarsalum4052 2 года назад
Asante anti sadaka ila umetetea zaidi upnd wakik mnayo yataka hujasem baadh y makos pia amby mnafanya baadh y mda thats why wanaum tunabdlka
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 года назад
Aunt sadaka 🔥🔥
@emiliemazambi3066
@emiliemazambi3066 2 года назад
Asante sana auntie sadaka. Ila nina maswali mengi ajili ya kuusu kushika mimba ya mume wa mtu. Please naomba nafasi hiyo
@yustakipenya6231
@yustakipenya6231 11 месяцев назад
Uyo mtu atakuwa hajipendi hawazi future yake ya Mbele ukijikubali huwezi beba mimba mume wa mtu. Kufanya ivo maana yake umeshakata tamaa kwenye mahusiano
@salhaatwaha7452
@salhaatwaha7452 2 года назад
Mama ur the best❤❤❤❤
@marygodwin9022
@marygodwin9022 Год назад
Madam Irene thanks, please continue to help us as you did
@nipamdingi9440
@nipamdingi9440 2 года назад
Dada Sadaka waambie!!!
@medicalphysicsbiomedicalen1707
@medicalphysicsbiomedicalen1707 2 года назад
Thank you, may God bless you auntie
@laymashabani832
@laymashabani832 2 года назад
Pwent kama zote❤️
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 2 года назад
I love it
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 2 года назад
Oh my mom tulikumiss sana wana sms
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Год назад
“Mvumilivu hula mbivu “ hata mimi Niko against kabisa mvumilivu huka zilizooza full stop.
@neynasanga8637
@neynasanga8637 Год назад
Mwanaume anayejua thamani ya moyo wake ndani ya mke wake
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p 2 года назад
Nimekubali sanaaa jmn imebid nitume kwa mume wng pia ajifunze kitu
@Mcsceo
@Mcsceo 2 года назад
Time to eat time to eat😋 Hata ikipita a week sijaingia humu ni lazima nichungulia this nitakosa kiview new video za music kwanza niaangalie humu haya madini siko tayari kumiss,Gender balance thank U kamureen 🤝🏽
@ahmadsaidi5292
@ahmadsaidi5292 Год назад
Wanawake ni viumbe wa hisia kuliko akili wawo wenyewe hawajielewagi,huwezi mbadilisha mwanamke kamwe bali hubadilika wewe
@veronicaselestina584
@veronicaselestina584 Год назад
Kabisa Mama Ameongea Ukweli
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 года назад
Wekeni no zenu,nimezimia,
@mussafoum6562
@mussafoum6562 2 года назад
Nice one
@samiratahir9815
@samiratahir9815 2 года назад
Thank you Aunt sadaka I was there. But I’m off. Niliondoka kwa style hiyo,
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 2 года назад
kipigo wanawake tukikimbie kabisa ila ukewenza ni hiyari😂 unaweza kuondoka ama ukaamua
@evalinenyarufunjo2294
@evalinenyarufunjo2294 Год назад
Umeongea yote mama.Hakika unamfahamu mwanamke.
@marygodwin9022
@marygodwin9022 Год назад
Auntie you are a supper woman. I like your session I want to be like you or more
@chapter2719
@chapter2719 2 года назад
Ata verbal abuse ni mbaya maana unapata kilema cha akili na huwezi kupona kwa haraka PTSD
@ayshaally8804
@ayshaally8804 2 года назад
Jamani naomba no ya aunt sadaka
@chapter2719
@chapter2719 2 года назад
Mama mkwe anamuogopa mtoto wake ndo maana anamwambia mke wa mwanae avumilie samaki mkunje angali mbichi sasa ukubwani anabadilikaje
@christinenibampa2675
@christinenibampa2675 2 года назад
Nahisi kama Auntie sadaka kanitibu psychological kwakweli, yani maneno kasema yote yakweli na tunapitia mitaani
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 года назад
❤ sana Auntie Sadaka 😘
@fredshavinyfelix424
@fredshavinyfelix424 Год назад
Hivi mbona ni kumjali mwanamke na mabaya yake sijackia irene.
@chapter2719
@chapter2719 2 года назад
Please muite aongelee jinsi ya kuishi na abusive parents
@felisterjoshuamollel3930
@felisterjoshuamollel3930 9 месяцев назад
Vip km ulikua na mwanaume mweny mke lkn bado mahusiano yenu yalikua wazi kwa familia zote mbili kwa bahatai mbaya Mume akafariki ghafla then after one week ile familia yake ikuchafue na kukuona huna nafas kwao, Je mtoto niliezaa na kijana wao watakuja kua na mamlaka nae angalia walikaa mbali nami bila hata kumjulia hali??
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 года назад
Umesema kweli aunt Sadaka
@susans4490
@susans4490 2 года назад
Mwana kulifind mwana kuliget 🤣🤣🤣
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p 2 года назад
Nilitamn iendelee tu nimepend san
@felisterjoshuamollel3930
@felisterjoshuamollel3930 9 месяцев назад
Hiyo imemtokea rafki angu
@agnessjohn1222
@agnessjohn1222 Год назад
Tena nishetan kabisa hawa wanaume
@sophiabwire977
@sophiabwire977 2 года назад
😭😭😭ukweli
@lucyemichael7814
@lucyemichael7814 2 года назад
🤝😊
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 2 года назад
Ila mama kuna wanawake wengine hata ushauri kwa amani hataki kusikia hana panda juu hataki kusikia shauri
@frankezakayo4447
@frankezakayo4447 2 года назад
Wanapanda juu nikweli ila sadaka kasema ivi mwanaueme hapaswi Ku dial na tabia ambayo sadaka katoka nayo kwao akimaanisha wazazi walishindwa kuiondoa..haina haja we mwanaume kuivmilia pia tusiogope kutafta asie jib kwa saut ya juu
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Год назад
Mnatubowa na kizungu chenu
@antusajoseph9360
@antusajoseph9360 2 года назад
mama umeupiga mwingi nitakutafuta unisaidiye mambo
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 2 года назад
👂👌❤
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 2 года назад
Nyie wamama kila kukicha mnahangaika kutaka kujua wanaume tupoje, mtaweza?, hiyo ni siri yetu na Mungu wetu, timizeni majukumu yenu kama mama wa familia, that’s all!.
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 2 года назад
Na wewe si ni mwanamke kwani hujui unataka nini
@mamananga2849
@mamananga2849 2 года назад
🤣🤣🤣
@yohanamlewa3544
@yohanamlewa3544 2 года назад
Nimekupenda bure ww mama
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 2 года назад
Unajuwa kwa huko tanzania hakuna demokrasi ya wanawake ndio maana wanaumeume wakayafanya hayo. Njoo huku ulaya uone kama wayafanye hayo hawatakiona cha mchapa kuni. Huku mwanamke ni kipao mbele sheria inatumika sio tanzania eti mtu akupige weee. Kasema nani.
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 2 года назад
Wee Husna Mohamed Shenzi saaana mnuka chupi weweee!!!
@rogath_silayo
@rogath_silayo Год назад
Ndio Mana jamii ya ulaya inadondoka inategemea immigrants!!!!
@wambuinderitu2461
@wambuinderitu2461 2 года назад
Video isn't clear🥺ama ni simu yangu iko na shida?
@beatricemsambya3060
@beatricemsambya3060 2 года назад
Nisimu yako
@marymaimu216
@marymaimu216 2 года назад
Uza simu yako
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 года назад
Iuze tu maana 😂😂😂😂😂😂
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
Akili zenu zipo katika manyege Tu na ndio maana huwa munazslilishwa fanyeni kazi nyie wenzenu nchi za wenzenu wao kazi kazi Tu nyie watanzania au waafrika wengi ngono Tu kisasi nchi ziwe maskini na maisha yenu
@akilimalimali253
@akilimalimali253 2 года назад
Nani amekulazimisha kuangalia? Wengine yanatujenga tunapenda
@maryamtan682
@maryamtan682 2 года назад
Acha makasiliko kijana, chukua mafundisho hayo yakusaidie.
@siyamanda7073
@siyamanda7073 2 года назад
BUT AUNT SADAKA I THINK YOU KNOW SOME WOMEN ARE NOT EASY TO BE PUNISHED IN CERTAIN WAYS RATHER THAN PHYSICAL WAY,,. DONT GET ME WRONG IM NOT ABUSIVE MAN AND NEVER BEAT MY WIFE. BUT WHAT I KNOW SOME WOMEN ARE CRAZY
@dynessjames8563
@dynessjames8563 2 года назад
Ur abusive that’s u think like that rather than hitting a woman better leave her… maybe she’s not meant for you
@dynessjames8563
@dynessjames8563 2 года назад
*thats why
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 года назад
This kind of statement could only,I repeat ONLY come from an abusive man. What kind of thinking is that?,so do you think being physical on someone could takeaway her craziness, are you for real? That's why some men throw all their precious lives and achievements in jail.
@maryamkhamfar4029
@maryamkhamfar4029 2 года назад
Auwwww🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Далее
AUNT SADAKA: HII NDIO SIRI YA KUTOTESWA NA MAPENZI
32:33
SELF-LOVE: KUJIPENDA NA KUJITHAMINI
5:40
Просмотров 3,3 тыс.