Kabisa mdogo wangu mungu azidi kukupa maarifa ....usonge mbele mwanangu ...na katika msiki USIJE ukamsahau mungu mungu mbele kwanza ..NAMUNGU atakusaidia Ahsante mdogo wangu Nakuaminia sana ❤️❤️💪
Am a Kenyan lakin kwangu binafsi namuunga mko huyu mdogo kutoka bongo ,maana ana ndoto nzuri ya kuimba ,mimi namutakia mazuri maana asije akakwama na mungu amubariki🙏
Kwahakika kigoma ni mkoa unao lea vipaji wote waimbe waende BSS Bado mkali ni founder TZ mungu akuongoze vema kwenye maisha yako yakimziki mimi Ngoi m'me'wa from Congo kalemi now Tanzania kigoma ujiji home boy. Mungu amekupendezesha uka epndeza 🎤🎤🎤🎤🎧🎧🎼🎼🎼🎶🎶🔊🔊🎙🎙🎸🎸🎛
God is there for you ,dreams comes true because you are young you will goo far,continue pray God will open the ways for you,FIRST JOHN5 VERSES 14 TO 15 SAY AMEN.. I IN USA 🇺🇸 I WISH YOU THE BEST,YOU ARE WITH AGOOD VOICE,