Hello !! Amjambo Naitwa Founder Tz naweletea official video ya NITATOKAJE naitaji sapoti yenu ya kuniwesha hili nifike usisahau #SUBSCRIBE #LIKE #COMMENT #SHARE Artist : Founder Tz Song : Nitatokaje Producer : Spadebeatz
Dogo inakuwaje trending haupo una 103k for 1day na ommy dimpoz ana 73k for 1 day yupo trending how? Jitahidi uijaze account yako ya youtube yaani founder tz ni nani zaidi kama jina lako la kiserikal kama Diamond platinumz alivyo jaza na mitandao mingine uliyonayo kama Spotify etc.
Wa kenya kumbe ninyi ni wapenda maedeleo,, toka Congo DRC 🇨🇩 nime wa kubali, sapoti yenu kwa mdogo wetu ni nyingi sana ,gonga Link apa wa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@aminata3702 mimi comenti yangu, bahada ya ku ona wa kenya wana ji tokeza kwa uwingi ku msapoti dogo, ndo happy nikawa nime sema kuwa wa kenya ni wapenda maeneleo, ku sema kweli dogo, ni mkimbizi toka congo, ambae ana ishi Tanzania, na anaye sapotiwa na WA kenya, bonjour my dada
From TikTok to RU-vid juu yako little boy congrats 👏 and never give up God is always there for you siku moja itakuwa story tu na utaenda far sana wakenya tumependa nyimbo zako all the best 🎉🎉❤
Thanks,God 🙏 kwakumpa kipaji mdogo wetu naeaikomboe family yake naiman Mdogo wangu Founder Tupo nyuma yako nenda nenda Mdogo wangu Nyimbo kali sanaaaa unaweza namwnyzi Mungu akupe Maisha marefu sanaa nadhan waTanzania tumekuona tupo kutimiza ndotozako nausimwache Mungu ktk Maisha naiman atakutendea wakati sahihi my blood❤✍️🎶🎵🙏🇹🇿
What happens when a song is a vibe?? Si you like, comment, share and download ama😊.. this one got me late but am in love with it❤❤❤ subscription gained🎉
400k plus viewa in 4 days,,, thats really amazing and nyota ya dogo inangaa ni vigumu sana kupata views hivyo kwa siku chache maze.... Wish you all the best kwenye kioaji chako,, nitafurahi sana nikiona unapiga 1 million plus in two weeks... Kama unatambua dogo piga like tukisonga❤❤
sauti yake nzuri let's support him please..hawa ndoo watatuwakilisha kesho ..na kesho kutwa..am chris from Kenya uyo dogo ametrend adi radio za uku kwetu nimesikia ngoma yake ..no matter the hard life we go through there is always God's time and blessings
Mombasa Kenya ndio daraja la kwanza la musiki wako mdogo wetu uko vizuri imepenya na bado chupa lina pasua anga Keep it up GOD bless your efforts kijana wetu EAST AFRICA to the world
This little Boe Jamaniiii He Makes Me feel free the Moment Nackiliza Ngoma zake, Any way Well done ✅, Kazania Pia Na Masomo Mungu Hatokuacha Kaka Mdogo" ❤❤ We Much Appreciate You Moreeee
Sio Kwa huruma labda kwasababu ya maisha anayopitia huyu kijana, LAKINI nampa sofa kwasababu anakipaji kikubwa sana, melody nzuri. Hii sio huruma lakini KIJANA ANAJUA ANATAKIWA KUANGALIWA KWA JICHO KALI SANA.