Huu wimbo special dedication to all team strong tufanyao kazi warabuni..tulikotoka na tuendako ni mbali na hatuna time yakujivinjari....God bless y'all ❤❤
Yani Leo sijachelewa kabisa kwaiyo nyinyi wote pitiyeni hapa kwangu. Kwawale mashabiki SUGU WA FOUNDER TZ basi gongeni like hap twende mbele nyuma mwiko kabisa. Leo tunaruka na NIEPUSHIE ❤❤❤❤
Foundertz ❤❤❤❤❤❤❤ unakipaji kikubwa sana sana tena sanaaa akitokoea mtu akakwambia kwamba wewe niwakawaida cheka kisha guna wewe nifubdi wamziki babutale hajapoteza kuku chaguwa kuna mapunguwani wana kufananisha na punguwani mwenzao divoic wala wewe akiliyako isifikirie hatakidogo kujilinganisha na msahamba mmoja uyo wanamblandi tu nakumtafutia kiki kukulinganisha na wewe mwenyeakili yeyote yule hawezi kukulinga nisha na mtu ambae kutunga hajui anatungiwa kuimba hajui watoke uko na hajandogo zao pelekeni uko hajandogo zenu wote mnao mfananisha mwalim wamziki foundertz na wanafunzi wake mmekosa kuwa shauli wajekukunja goti kwa foundertz ili awafundishe wadogozenu kuimba mkaaa mnawadsnganyatu nyooooooooooo
Waaaaaah... Nakuombea ufanikuwe katika safari yako ya muziki kaka.... Upende nao utakpenda. Unayo sauti ya kusisimua hisia❤❤❤... One day, u gona make it fan... More love from KENYA 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Najua hii itamfikia mondi na machungu.hongera kwa Director tolo pamoja na Speed beat.huyu dogo mumemshikilia kama mdogo wenu bila tamaa.yarabi mola azidishe uvumilivu wenu