Тёмный

FRANCIS NDACHA VS EX PASTOR ISSAC | NI YUPI MUNGU WA KWELI | MAKADARA 24,01,2022 DAY 1 

AKASHA PRODUCTION TV
Подписаться 227 тыс.
Просмотров 140 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 533   
@johnatika5657
@johnatika5657 2 года назад
Pastor Ndacha Mungu akupe neema uendelee kuelimisha watu wa Mungu
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 2 года назад
Ni ngumu waislamu kuelewa bibilia kwa sababu hawana Roho Mtakatifu awafundishe
@wilfredkerima9351
@wilfredkerima9351 Год назад
Thank you pastor ndancha you are my teacher.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Год назад
hapo hujapata mwalimu. nakushauri uendelee kujifunza zaidi na ufanye utafiti sio ushabiki
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 года назад
Ndacha ni mwalimu kabisa hana maigizo ni point mwanzo mwisho
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 Год назад
Ndacha kweli ukweli unanena injili ya kweli kabisa
@California9451
@California9451 Год назад
Umeona eeh
@elambuhaga7750
@elambuhaga7750 Год назад
Ndacha huyu ni mwalim wa kweli mnapaswa kumsikia vzr ili mjifunze kt
@user-yr9jo9ow6j
@user-yr9jo9ow6j 8 месяцев назад
Hkuna ualimu wowote haitoshi mboga ndacha am proud to be Muslim allahu akbar
@rosekerubo5397
@rosekerubo5397 2 года назад
Pst ndacha mungu akupee Nehema Ya kufundisha wensetu waisilamu wa mujue mungu, God bless you brother
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 2 года назад
Hahaha pole dada angu njoo nikufundishe uislamu
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 года назад
Ndacha wewe umetisha,Hakika umejaa Roho Mtakatifu,ktk kufundisha na linens,
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 года назад
Mashallah Shekhe Ibrahim uko vizuri umempa elimu Ndacha japo Ndacha anajuwa ukweli wote kuwa Allah Subhuana wa taala ndio Mwenyezi Mungu mmoja tu alie umba Dunia na vyote vilivyopo Duniani. Allah amuongoze Ndacha aslim kabla ya mauti asije kufa kafiri Ameen.
@upendomaduhu1310
@upendomaduhu1310 7 месяцев назад
Yani nyie nimabishi
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 7 месяцев назад
@@upendomaduhu1310 sio wabishi sisi tunafwata maandiko . Nyie ni kondoo msio jielewa. Kondoo mnao fwata na kuamini hata ujinga. Ndio mana wachungaji wenu wana wauwa. Mfano Kabwetere alivyo watia moto waumini wote wa kanisa na kenya mlivyo uwawa Kwa kushindishwa na njaa. Hamjioni Kwa hamna akili?
@rbagha5280
@rbagha5280 Год назад
Asante sana Ex Pastor Isaac. Nimefurahishwa sana na ujuzi wako. Una maana sana, lakini bila shaka, kwa akili yenye akili ambayo ni ya kimantiki na yenye kufikiri kwa kina. Mungu akubariki. Haijalishi mtu ni Mkristo au Muislamu, mjadala lazima uwe na mwelekeo wa kimantiki. Kuna watu wengi wanapindisha maneno kutoka katika nafasi zao na kuhalalisha upendeleo ambao tayari umejificha kwenye fikra zao.. Mungu akubariki. Ukweli unasimama peke yake. Uongo ni mwingi. Pia nataka kuwapongeza Wakristo. Uislamu unasema Wakristo wengi ni wanyenyekevu. Na kwa sababu ya unyenyekevu huu, wako wazi kwa uongofu. Mungu atuongoze. Tuombe mwongozo. Ray from Canada
@hatibumakondemakondemakond1479
@hatibumakondemakondemakond1479 2 года назад
Ubarikiwe sana Ndacha, niko Maputo-Moz
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 Год назад
Mwalimu kweli kabisa ndacha
@mahatyussuf1074
@mahatyussuf1074 2 года назад
Happy to see Issac MashaAllah long time since 2015 eastleigh. Mungu akubariki.
@joshuamonchere2132
@joshuamonchere2132 2 года назад
Ww mwenyewe umekubali Mungu ni mmoja basi mada imeisha
@mgnmedia4231
@mgnmedia4231 2 года назад
God bless you Mwalimu Ndacha.waooh great,simple and straight to the point teacher..
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 года назад
Hahahaa', Sasa point gani, Leo analitafuta jina la MUNGU , wakati MUNGU wenu Yesu, si angesema tu' MUNGU wenu jina lake Yesu...hahaa wakristo matatizo sana
@yahyayussuf5718
@yahyayussuf5718 2 года назад
Sana wataona siku ya Qiama
@rbagha5280
@rbagha5280 Год назад
Thank you so much Ex Pastor Isaac. I am very impressed with your knowledge. You make so much sense, but of course, for an intelligent mind which is logical and has deep thinking. May God bless you. It does not matter whether one is a Christian or Muslim, the debate has to have logical direction. There are many people who twist words out of their place and justify the bias that is already there hidden in their psyche.. May God bless you. The Truth stands alone. Falsehoods are many. I also want to congratulate the Christians. Islam says many of the Christians are humble. And because of this humility, they are open to guidance. May God guide us. Let us pray for guidance.
@byesigwafabian9255
@byesigwafabian9255 8 месяцев назад
Ndacha he is a deep and profound thinker and academician as well!
@user-is6hj2pb9l
@user-is6hj2pb9l 11 месяцев назад
😏😏😏😏😏 naipenda sana neno la "MUNGU" et.
@user-rq2zz1qk1j
@user-rq2zz1qk1j Год назад
Kadhihirisha jina YESU mwokozi - Yohana 17:11 Mimi naondoka ulimwenguni ninakuja kwako. Lakini wao wako ulimwenguni. Baba Mtakatifu, walinde kwa jina lako ambalo umenipa ili wawe na umoja kama sisi tulivyo mmoja.
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 2 года назад
Mungu akubariki sana mwalimu Ndacha. Mungu ni mmoja na wa kweli ni Jehovah ...
@Dominicombati.
@Dominicombati. 2 года назад
bwana Yesu asifiwe. ndacha naona huyu ex pastor akiokoka hivi karibuni. bwana akubariki mwalimu ndacha. kisii mna kuja lini.
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 2 года назад
Duuuuuuuuh hapa ndio huwa cjutii kuwa muislam, Ahsant Mungu kwa kunitoa ktk ukristo
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 8 месяцев назад
Pole basi utakufa katika dhambi zako kama muhamadi
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 8 месяцев назад
@@LovelyComputerChip-cj4wz Kafir ni kafir tu😂😂😂😂😂😂shida hujui chochote kuhusu din yko,mwenzio nilikuwa Mkristo nikaisoma bible vzr na kuufuatilia Uisilam vzr nikaujua ukwel,sasa ww hujui kitu unapelekwa tu km mbulula😂😂😂😂😂
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 8 месяцев назад
@@LovelyComputerChip-cj4wz ww utakufa ktk dhambi za nan...?yaan nyie makafir akil hamna kbs😂😂😂😂😂
@juliethasimbili8749
@juliethasimbili8749 7 месяцев назад
Ndacha mungu akupe maisha marefu ,umechambua neno bila vikaratasi
@jamesombaso9493
@jamesombaso9493 Год назад
Ndacha you're a great teacher
@leonardmwayeya13
@leonardmwayeya13 Год назад
Kumbe mungu nimmoja tu sasa mbona wakristo mnasema yesu nimungu mnajichanganya
@ezechielmanishimwe
@ezechielmanishimwe 9 месяцев назад
Ndacha kwanini unawambia ukweli,waendelee kukusubuwa Sana ? kwanza Mungu ukubaliki Sana !!
@paulduke6712
@paulduke6712 2 года назад
MUNGU ya aburhamu jina LAKE YEHOVHA asanti ndacha MUNGU akubariki
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 года назад
Mashaallah tabarakarahman mungu akueke sheikh issac,wajua paka uwe na elmi kweli kama alivyosema sheikh issac hapo ndacha mimi nafuata sn debate zake na zote nizaunafik hana hoja nzuri anageuza sn maneno waeza on nikweli kumbe ni urongo,anasema biblia inasema mungu ni moja namajina yote akatoa very good nampongeza amesema ukweli,sheikh issac akamtaja yesu mungu wao,ndacha alikasirika kwanini anamtaja yesu kwa mada hii? Inalillah waina ilairajiun,hawa watu wamepotea hawana elmu kabisa yani mungu wao mkubwa Jesus my load wamemsahau leo ndio tukawaita sumun bukmun umiun,alhamdulillah alaneematulislam
@charlesmelekajunior9238
@charlesmelekajunior9238 2 года назад
Wew ndo hujui yesu ni njia kwa wakiristo kama ilivyo kwa waislaam Muhammad ndo njia yenu maana ndo alie wafundisha
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 года назад
@@charlesmelekajunior9238 Pole sana kwanza Huna unalojua kusikia tu nakufwata ndio wakristo mulivyo,mimi nimesema ndacha amekasirika kusik8a jina la yesu kwa hio mada na yesu ndio mungu wenu kwa wakati huu sasa ni yesu tu in the name of load Jesus 😀 sasa vipi leo kwa mada amekasirika kutajwa yesu?kwa hakika mumepotea mumepotwezwa nawazungu mwafrika hatumi akili kabisa anpelekwa tu
@catherinemwololo8579
@catherinemwololo8579 Год назад
Pastor ndacha, may the Lord see you thr'
@joshuamonchere2132
@joshuamonchere2132 2 года назад
Waislamu ni machini tupu mpende msipende
@VictorShajema
@VictorShajema 8 месяцев назад
Ndacha was among the top 3 students in my class🤝🫡
@hassangalgallo8496
@hassangalgallo8496 2 года назад
Injili iendelee Ndacha na Paul Hassan mbarikiwe
@shabandamas1759
@shabandamas1759 2 года назад
NITOE CHALLENGE KWA NDUGU WAKRISTO NAWAISLAM, KUIJUA DINI YA HAKI NA KWELI NILAHISI MMNO MM BINAFI NAONA TULIPOTELEZA KTK KUHITILAFIANA NIPADOGO SANA COZ VITABU VYETU YAAN QUR'AN NA BIBLE HAKUNA KINACHOAMLISHA WATU WAFANYE UOVU, BALI VYOTE VINA AMRISHA NAKUFUNDISHA MEMA. NIKWAMBA IFIKE KIPINDI TUWEKE TOFAUTI ZETU PEMBENI,, ILE MTU KUJENGA ITIKADI NA MSIMAMO KTK JAMBO LAKE LA KIIMANI PASINA KUTUMIA AKILI LISIWEPO IKIWA KWELI TUNANIA DHAHILI YA YAKUUONA UKWELI, NAWALIMU MTUMIE HEKIMA KTK KUFUNDISHA NENO LA MUNGU PASINA KUTANGULIZA SELF INTEREST KWANI KTK HALI KAMA HIYO MNAPOTEZA WENGI. TUIBAINISHE HAKI KTK VITABU VYA MUNGU QUR'AN NA BIBLE KWA UADILIFU NA UNYENYEKEVU MKUBWA PASINA KUFANYA KEJELI WALA DHALAU. MUNGU HAWEZI KUTUONYESHA NJIA YA KWELI KAMA TUTASOMA VITABU VYAKE KWA KEJELI NA DHALAU. YANI JILAZIMISHE KWA NIA NZURI ULIE MKIRISTO KUISOMA QUR'AN KWA ADABU NA MUISLAM PIA BIBLE KWA ADABU. TUKUSANYIKE KWA HEKIMA NA BUSARA YA HALI YA JUU, KISHA TUMUOMBE MWENYEZ MUNGU KWAUADILIFU NA UNYENYEKEVU WA HALI YA JUU ATUONESHE NIIPI DINI YA HAKI TUIFUATE. HALAFU MADA IWE NIIPI DINI YA HAKI MBELE YAMWENYEZIMUNGU, INAYOFUNGAMANA NA ASIRI YA MWANADAM NA ULIMWENGU ILIO KAMILIFU SAMBAMBA NA HALI NA MAZINGILA ILI TUIFUATE. IWE NI DEBATE HATA YA MWEZI MMOJA TUVISOME VITABU A-Z KWA MSINGI WA MADA HUSIKA SAMBAMBA TUKISALI KILA MMOJA KWAIMANI YAKE KUMUOMBA MUNGU ATUONYESHE DINI YA HAKI. TUKIFANYA HIVI LAZIMA MUNGU ATUNYESHE UKWELI, VINGINEVYO TUKIKALIA USHABIKI TUTAPOTEA.
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
@@shabandamas1759 Haiwezekani Mungu mmoja awe na Vitabu viwili. Hapo kuna Mungu wa kweli na wa Uongo. Kwa hoja za Ndasha na hoja za Waislamu. Ni wazi kuwa mungu wa Waislamu ni mungu wa uongo, siyo wa kweli. Uislamu na Qur'an vilianzishwa na watu ilikumpinga YEHOVA Mungu wa kweli. Bahira, Waraka na baadhi ya Makuhani wa kiyahudi ndiyo walionzisha Uislamu na Qur'an na kudai imetoka kwa Mungu kumbe ni uongo
@shabandamas1759
@shabandamas1759 2 года назад
@@frankmpembu2505 BADO ELIM YAKO NIFINYU SANA, NA HOJA NILIZOTOA NIZAIDI YA MAELEZO UNAYONIPA, MAY BE NIKUULIZE NN KINACHOFUATA KTK MASUALA YA UJUZI BAADA YA THE BEST ONE KNOWLEDGEABLE.? IKIWA HUNA NYONGEZA YENYE ZIADA KTK UJUZI WAKO USITHUBUTU KUTHIBITISHA NAKUHITIMISHA KWA KUHUKUMU MAMBO AMBAYO YANAZIADA NYINGINE YA UJUZI BAADA YA KIKOMO CHA UJUZI WAKO.
@zeinabmaneno81
@zeinabmaneno81 9 месяцев назад
@@frankmpembu2505 wewe bibilia imeandikwa na nani dini y kwely n mungu wa kwely n Allah n dini uislam
@selishavasoga7266
@selishavasoga7266 2 года назад
Mashaallah mungu akuzidishie hikma ya kuwafundisha wakristo
@nancybitutu7861
@nancybitutu7861 2 года назад
Allah si Mungu kweli. Mwlimu ndacha ubarikiwe kabisa kwa kazi unayofanya.
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
mungu wa Waislamu hajulikani hana jina. Allah ni neno la kiarabu, kiswahili chake neno hili Allah ni Mungu,, sasa huyo Mungu yaani huyo Allah jina lake anaitwa nani?. Waislamu wamekwama. Waislamu hawana mungu, Uislamu na Qur'an vimetengenezwa na akina WARAKA, BAHIRA na baadhi ya makuhani wa kiyahudi ili kumpinga Mungu wa kweli YEHOVA. Wametengeza kitabu na kudai kimetoka kwa Mungu kumbe ni uongo, hili Waislamu wengi hawalijui, wanaofahamu hili Uislamu huwa wanauacha.
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
Katia mguu katika Moto wa jahanamu
@zeinabmaneno81
@zeinabmaneno81 9 месяцев назад
​@@frankmpembu2505wewe n mjing kwely soma Quran wacha kuongea upuuzi hujui
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 2 года назад
Ma sha Allah ,umetulia ,umemakinika,unaeleweka,haufoki
@milikaekal8623
@milikaekal8623 Год назад
Mm nashukuru mungu tangu nimkrie yesu kwa maisha yangu niko na amani
@OmanOman-yk8kl
@OmanOman-yk8kl Год назад
Mm niisha kemea kwa jina na Yesu na kuteteza katika moto wa jehenamu mtoto wa boss wangu alimaliza siku mbili bila kwenda shule. Alafu mama yake akaniambia hata nikiona kitu nisikikemee .
@OmanOman-yk8kl
@OmanOman-yk8kl Год назад
Jina la Yesu ni jina lenye nguvu .
@esthermoraa9701
@esthermoraa9701 Год назад
Mwalimu dancha unasema ukweli
@powersetmentors8833
@powersetmentors8833 2 года назад
Naam. Mungu wa Bibilia ni Mmoja tu
@joanaomarali2968
@joanaomarali2968 2 года назад
Masha Allah masheem ote wa Dunia mzima, kwa kunfanya Ndacha ajuwe kwamba mwenyezi mungu ni mmoja. Ilo tu Alhamndulillah.
@harrisonkazungu7793
@harrisonkazungu7793 6 месяцев назад
Toa jina lake
@meekman1805
@meekman1805 2 года назад
Maashallah! Ex- pastor Issac Allah akuzidishie elimu na akujaalie ufe ukiwa Muislam. Aamin
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Год назад
huyu Ndacha haeleweki, hapo anasema baba ndie Mungu kwengine atakwambia mwana yaani Yesu ndie Mungu mwenyewe, halafu anakataa kuwa ukristo haufundishi Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu. halafu wakristo wanamshangiria kwa sababu wenyewe hawasomi masndiko.
@ShafiunaWaziri-vz7bi
@ShafiunaWaziri-vz7bi 10 дней назад
Ndacha bhana unasema mungu ni mmoja alafu unataka yesu pia wamuabudu iyo kweli kazi ndacha unatapatapa2
@mohamedomar9580
@mohamedomar9580 2 года назад
Mungu amuongoze huyo ndasha
@mwanamtotomwamwero7511
@mwanamtotomwamwero7511 2 года назад
Ameen 🤲
@charokazungu1655
@charokazungu1655 2 года назад
Kuwa mkristo ni raha
@user-rw2hx5eb7p
@user-rw2hx5eb7p 2 месяца назад
Xpasta Ibrahim mungu akubariki ndacha ana kukimbia sana
@Bennymwangaza
@Bennymwangaza Год назад
Ndacha so talented
@bernardchesoli4322
@bernardchesoli4322 Год назад
Ndacha Mungu akubari na akulinde
@user-rw2hx5eb7p
@user-rw2hx5eb7p 14 дней назад
Pasta Ibrahim nakukubali sana mung akubariki
@aminaabu1599
@aminaabu1599 2 года назад
Mwalimu Ibrahim Mungu Akupe Umri Mashallah Mashallah Mashallah napenda mafunzo Yako
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
Mohammed Kwa Hakika alikuwa nabii lakini wa uongo na wala si wa ukweli...
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Nacheeeka kama mazuri vile 😂😂🤣kuwaona Waislamu wanavyopokea sindano kutoka kwa Mwalimu Ndasha,,
@mussakilo4916
@mussakilo4916 2 года назад
Ndacha bado kidogo atashahadia.sheh ibrahimu uko vizuri sana
@obaidalbulushi6143
@obaidalbulushi6143 2 года назад
Nami nauliza je ndacha na wakristo wote anasujudu? kama jinsi alivyosoma
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 8 месяцев назад
Shetani ametoka huko ama bado kasilimu?
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 2 года назад
Duh, siamini kumbe Kuna warithi wa mazinge bwana mashaallah
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Unajua kwanini mazinge kachelewa kuja🤣🤣🤣😂, anamkimbia Ndasha,,sindano alizopata apa Tanzania kutoka kwa Ndasha😂😂 zilikuwa safi kabisa 🤣🤣😂,
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Angalia vizuri huo mdahalo,,angalia hoja za Ndasha,,zimewafanya walimu watetemeke mpaka wanasahau aya, na wanakopi kwenye karatasi😂😂. Ndasha akiwa hana karatasi 😂😂anavunja hoja anaweka hoja.
@California9451
@California9451 Год назад
Nimemuonea huruma uyo Mwalimu wa kiislamu, elimu yake ndogo sana kulinganisha na elimu ya Mwalimu Ndacha
@roberthyela5239
@roberthyela5239 7 месяцев назад
Haswaaaa!
@byesigwafabian9255
@byesigwafabian9255 8 месяцев назад
Ndacha is very powerful lecturer no objection! ❤❤
@AggyBoke
@AggyBoke 9 месяцев назад
Congratulations the follow of Jesus
@johnmathara6796
@johnmathara6796 Год назад
mwalimu niko bali lakini naweza pata mafunzo nikiwa bali bila kuja kwa darasha
@harbisulub
@harbisulub 2 года назад
Ooh mashallah tabaraka Allah. Shaikh Ibrahim is back, Allahu Akbar
@brianemmanuel9353
@brianemmanuel9353 5 месяцев назад
I love this energy. Christian all the way
@zwuenakhalfan2098
@zwuenakhalfan2098 2 года назад
Ahsante sana ×Paster Issack Mungu akuzidishia fahamu na elimu ya kuwafahamisha maneno ya kweli katika uislam uendelee mbele
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
Moha alikuwa muuaji hatari wa kupindukia, hata aliamrisha kuwa mtu akitoka uislamu lazima auawe!!!
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 Год назад
Humekiri kumbe hwana hekima hawa mashehe
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 2 года назад
Ndacha jiongo kweli 😂😂janjaaaa…
@yousupjabri7304
@yousupjabri7304 2 года назад
Mmh ukrito kazi yani hujui usimamie wapi...leo ana nadi mungu mmoja...cjui hua anasahau au makusudi...nakumbuka debate moja huyuyu ndacha alithibitisha kua yesu ndio mungu mwenyewe..ckia leo anacho kiongea...wallah kazi sana
@adnanmzimbiry6917
@adnanmzimbiry6917 2 года назад
Kabisa leo anakataaa
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 2 года назад
Hiyo ndio sababu ilio nitoa ktk ukristo,ukifuatilia vzr huwez kubaki huko
@biblicalknowledge2734
@biblicalknowledge2734 2 года назад
.. Je, inawezekana Mwenyezi Mungu amuamrishe Mtume wake atembee uchi kati ya watu kwa miaka na kwa nini? Jibu: Haiwezekani kamwe kwa Mwenyezi Mungu kuamrisha hivyo, kwa sababu Mwenyezi Mungu anakataza kukaa uchi mbele ya watu! Hii ni mambo ya kiwendawazimu lakini Biblia katika kitabu cha Nabii Isaya, sura ya 20 aya ya pili hadi mwisho wa aya ya nne inasema hivi: Wakati huo Bwana alinena kwa kinywa cha Isaya, mwana wa Amozi, akisema, Haya, uvue nguo ya magunia viunoni mwako, na viatu vyako miguuni mwako. Naye akafanya hivyo akaenda uchi, miguu yake haina viatu. Bwana akasema, kama vile mtumishi wangu Isaya anavyokwenda uchi, hana viatu, awe ishara na ajabu kwa muda wa miaka mitatu juu ya Misri na juu ya Kushi, vivyo hivyo Mfalme wa Ashuru atawachukua uchi, wafungwa wa Misri, na watu wa kushi waliohamishwa, watoto kwa wazee,hawana viatu, matako yao wazi Misri iaibishwe. haa haa haa haa .. eti wazee kwa watoto wote MATAKO WAZI!!! na ndio mana tunasema kuwa biblia sio kitabu cha Mwenyez Mungu!!!
@firstvisual5404
@firstvisual5404 Год назад
ni upuzi mingi, dini ya mwaarabu na hawa waafrika wana isifia mbaka Jina wana geuza mbaka wana vaa nguo ya wanawake
@hassanally4960
@hassanally4960 2 года назад
Mwenyeenzi mungu ni mmoja t ambae hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chochote
@HEROTV20
@HEROTV20 2 года назад
Inavoonekana uwislamu ndio dini sahihi hebu wenyewe tujiulize
@Masanjapmpalangombe
@Masanjapmpalangombe 3 месяца назад
Ukiona ww uko hivyo juwa tayali umepotea jehanam ipo inawaeubili waabudu mungu mingine
@mariamkhaikachitechi6552
@mariamkhaikachitechi6552 2 года назад
Maashallah kazi nzur shekh
@hamzangunga1578
@hamzangunga1578 2 года назад
Sheikh Ibrahim uko vzr, napenda sana kusikiliza ujumbe wako
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 года назад
Ndacha hapa haupati kitu😅
@user-db4tv6qn2p
@user-db4tv6qn2p 28 дней назад
Ndacha Mungu akupe umri mrefu uzidi kuwafunua waislam
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 2 года назад
Nlipoingia kwenye uislamu nafsi yangu ilipata amani.. hakuna sarakasi nyingi
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 2 года назад
Allah atuongoze pamoja Inshaallah
@newlightmoviesproduction3598
@newlightmoviesproduction3598 2 года назад
Nenda ushirikiane na majini ndugu yangu.
@victorbeno
@victorbeno 2 года назад
Ukristo ndiyo dini
@stevekariuki2734
@stevekariuki2734 Год назад
Nawe ukapoteza njia pekee ya kweli pindi tu ulipoingia uislamu
@hassanadam3007
@hassanadam3007 Год назад
Masha Allah Allah awalipie
@evanssauti8965
@evanssauti8965 2 года назад
Walahi ndacha nimwalimu hakuna aya asioijua hongera sn
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Barikiwa sana,,,hoja za Ndasha hakuna ata moja iliyovunjwa,,YEHOVA ndiye MUNGU wa KWELI
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 2 года назад
Allah awape umri mrefu masheikh wetu..Maa Shaa Allah
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
Moha alikuwa muuaji hatari sana hadi aliamrisha kuwa mtu akitoka kwenye uislamu lazima auawe! Si huo no mtihani??
@celestineashiundu7426
@celestineashiundu7426 2 года назад
@@noahwamalwa4385 huyu isaac ni jirani uko nyumbani kwetu kwa mara ya kwanza alijiunga kwa uisilamu akatoka walimfuata wakamteka nyara kwa sababu ameacha uisilamu ikabidi arudi kwa uisilamu ilikuwa auwawe anajua ukweli lakini hawezi sema
@biblicalknowledge2734
@biblicalknowledge2734 2 года назад
@@noahwamalwa4385 Isaya 23:17-18 Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, BWANA ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia. Na biashara yake na ujira wake utakuwa wakfu kwa BWANA, hautawekwa hazinani wala hautawekwa akiba; bali mapato ya biashara yake yatakuwa mali zao wakaao mbele za BWANA, wapate kula na kushiba, na kuvaa mavazi ya fahari. ha ha ha !!! ukahaba iwe ame fanya Tiro au wamefanya watu wengine!! but sisi tunataka kujua kwanini mungu wako amehusishwa na mambo machafu ya ukahaba!!??? yaani watu wafanye ukahaba kisha ujira wa biashara chafu ya ukahaba iwe wakfu kwa Mungu!!? na iyo biashara chafu ya ukahaba itawanufaisha wakaao mbele za BWANA, wapate kula na kushiba, na kuvaa mavazi ya fahari. !!!?? sasa hatutaki porojo uje utuelezee kwa uzuri kabisa ili tujue kuwa kwenu ukahaba umeruhusiwa!!! ha ha ha !! ndio mana tunasema kuwa biblia sio kitabu cha Mungu!!!
@biblicalknowledge2734
@biblicalknowledge2734 2 года назад
@@noahwamalwa4385 Nyinyi wakristo elimu ya mambo ya viumbe hamuijui na Paulo hakuya elezea ktk kitabu chake bibilia. na ndio mana mnapagawa mkisikia neno JINNI. na JINNI ameumbwa kwa ulimi wa moto. na MALAIKA wameumbwa kwa nuru. na MWANADAM ameumbwa kwa udongo. na shetani ni sifa ya kiumbe kilicho laaniwa na mungu shetani anaweza kuwa Jinni au Mwanadam. Majini na wanadam wamepewa utashi(kuamua kufuata njia sahihi au njia iliyopotevu) mfano kama mimi na wewe. wewe umechagua njia ya upotevu (ukristo) na mimi nimechagua njia sahihi na salama (uislamu) sasa na majini wao wako hivyo hivyo kama tulivyokuwa wanadam sitaki nikupe maneno matupu soma iyo usikie Majinni wanavyojishuhudia wenyewe (AL - JINN - 14) "Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu" na Bibilia inalijua ilo .. japo biblia inaeleza juu ya majinni wa baya (pepo wachafu) na hapa wewe na wakristo wenzako mnatakiwa kujua kuwa kama kuna pepo wachafu basi na pepo wazuri na wasafi wapo.!! ila pepo wachafu ni Makafir wezenu kwa sababu wao na nyinyi wakristo wote mnamsingizia Mungu kuwa ana mwana. Marko 3:11 Na pepo wachafu, kila walipomwona, walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu. umeona sasa hao kweli ni Majjini wachafu makafir wenzenu.!!! Na Shetani (Ibilisi) ni mmoja tu na huyo alikuwa ni mchaji Mungu mkubwa kabla haja laaniwa. ila yeye alikuwa ni jamii ya Majinni na wala sio malaika. Al Kahf -50 "Basi wakamsujudia isipokuwa Iblisi; yeye alikuwa miongoni mwa majini." "MALAIKA Hawamuasi Allaah kwa amri zake na wanatenda wanavyoamrishwa (yote)."َ (ATTAH'RIIM - 6) Enyi mlio amini! Jilindeni nafsi zenu na wake zenu na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Wanausimamia Malaika wakali, wenye nguvu, hawamuasi Mwenyezi Mungu kwa anayo waamrisha, na wanatenda wanayo amrishwa. Kutokana na aya hii, tunapata ushahidi mwingine kuwa; Malaika hawamuasi Allaah. Kwa hivyo Ibilisi angelikuwa Malaika, asingemuasi Mola wake bali angetenda kama alivyoamrishwa. Lakini yeye alitenda kinyume na hivo. Alimuasi Allaah pale alipokataa kumsujudia baba yetu Aadam ('Alayhis Salaam), َ (AL - A'RAAF - 11) Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia Malaika: Msujudieni Adam. Basi wakasujudu isipo kuwa Iblisi, hakuwa miongoni mwa walio sujudu. ٍ (AL - A'RAAF - 12) Mwenyezi Mungu akasema: Nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo. Naangelikuwa yeye ibilis (shetani) ni miongoni mwa Malaika angelisema; “Mimi ni bora kuliko yeye umeniumba kwa Nuru". Kwa sababu Malaika wameumbwa kwa Nuru sasa nyinyi wagalatia mfahamu kuwa sio kila jinni ni shetani!! ushetani ni sifa ambayo hata mwanadamu anaweza kuwa shetani kama atafanya madhambi ya kuchupa mipaka.mfano kumtukana Mungu au kuwalingania watu ili wamuasi Mungu. Ila shetani mkubwa ni Ibilisi.. jua kuwa Majinni wapo Makafir kama wewe na wapo waliosalimika kama mimi(waislamu) na wapo Majinni mashetani yaani kama vile wanadamu tulivyo. ila sasa kuna baadhi yao hao (majinni wabaya) Pepo wachafu wamesalimika kutoka kwenye ukafir na kuwa waislam... soma iyo (AL - JINN - 1) Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! (AL - JINN - 2) Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu. (AL - JINN - 3) Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana. umeona iyo hata wewe ukiamini kuwa Mungu hakujifanyia Mke wala Mwana. hapo utakuwa umetoka kwenye ukafir na umeshakuwa Muislam "Kwa hivyo sisi majini tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu, kwa sababu Yeye ni Muweza wa kila kitu. Na mwenye uweza wa kila kitu basi hahitajii washirika, na kama atataka msaada maana yake ni kuwa anashindwa, na mwenye kushindwa hawezi kuwa Mungu. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka; hakujifanyia mke wala mwana. Ametakata Mola wetu na kujifanyia watoto na ametakata kuwagusa wanawake. Vipi awe hivyo na hali Yeye ni mwenye kujitosha mwenye kusifika. Na kwa hakika mpumbavu miongoni mwetu alikuwa akisema juu ya Mwenyezi Mungu ya kupituka mipaka." Makusudio ya mpumbavu hapa ni mjinga asiyejua. Hapa kuna ishara kwamba katika majini kuna kikundi kikiamini utatu: Mungu, mwana na mkewe. Hakuna mwenye shaka kwamba hii ni kupituka mipaka na ni upumbavu. "Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawatasema uwongo juu ya Mwenyezi Mungu." Viongozi katika majini walikuwa wakiwaambia wafuasi wao ubatilifu na upotevu; miongoni mwayo ni kuwa Mwenyezi Mungu ana mke na watoto. Basi wafuasi wao wenye akili za juu wakawa wanawaamini kwa kuona kuwa hakuna yeyote mwenye ujasiri wa kumzulia Mwenyezi Mungu uwongo na kumsifia kwa sifa zisizokuwa zake. Lakini waliposikia Qur’an inasomwa na wakasikia kutoka kwa Qur'an kuwaَ [ AL - AN-A'AM - 100 ] Bado wamemfanyia Mwenyezi Mungu majini kuwa washirika wake, na hali Yeye ndiye aliye waumba. Na wakamzulia, bila ya ujuzi wowote, kuwa ana wana wa kiume na wa kike. Subhanahu, Ametakasika na ametukuka juu ya hayo wanayo mbandikiza nayo! [ AN NAH'L - 111 ] "Na sema: Alhamdulillah, sifa zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa" na toka hapo ilo kundi la majini wakaamini sasa kwamba viongozi wao wanamzulia Mwenyezi Mungu na kumsifu kwa sifa zisizoafikiana naye. wakarudi kwa kaumu yao(majini wenzao) kwenda kuwalinganiaَ (AL - AH'QAAF - 30) Wakasema: Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka. ٍ (AL - AH'QAAF - 31) Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu. ٍ (AL - AH'QAAF - 32) Na wasio mwitikia Mwitaji wa Mwenyezi Mungu basi hao hawatashinda katika ardhi, wala hawatakuwa na walinzi mbele yake. Hao wamo katika upotovu ulio dhaahiri. Na siku hiyo ya hukumu Mwenyez Mungu atasema:- َ [ AL - AN-A'AM - 130 ] Enyi makundi ya majini na watu! Je, hawakukujieni Mitume kutokana na nyinyi wenyewe wakikubainishieni Aya zangu, na wakikuonyeni mkutano wa Siku yenu hii. Nao watasema: Tumeshuhudia juu ya nafsi zetu. Na yaliwadanganya maisha ya dunia. Nao watajishuhudia wenyewe ya kwamba walikuwa makafiri.َ [ AL - A'RAAF - 38 ] Mwenyezi Mungu atasema: Ingieni Motoni pamoja na umma zilizo pita kabla yenu za majini na watu. Kila utakapo ingia umma utawalaani wenzake. Mpaka watakapo kusanyika wote humo, wa mwisho wao watawasema wa mwanzo wao: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio walio tupoteza; basi wape adhabu ya Motoni marudufu. Atasema: Itakuwa kwenu nyote marudufu, lakini nyinyi hamjui tu. sasa umeona kuwa moto wameandaliwa majinni na wanadamu kwasababu hii wote wanatakiwa kulinganiwa kati ya majinni na wanadamu. Na ajabu wakristo wote mnaamini majini wataingia motoni!!! hivi ni kweli unaamini Mungu anaweza kuleta kiumbe hapa duniani akakipa utashi na kukiadhibu kesho na moto bila ya kutuma mjumbe kwenda kuwaelekeza njia sahihi ili waepukane na adhabu zake Mwenyezi Mungu!??
@biblicalknowledge2734
@biblicalknowledge2734 2 года назад
Nyinyi wakristo elimu ya mambo ya viumbe hamuijui na Paulo hakuya elezea ktk kitabu chake bibilia. na ndio mana mnapagawa mkisikia neno JINNI. na JINNI ameumbwa kwa ulimi wa moto. na MALAIKA wameumbwa kwa nuru. na MWANADAM ameumbwa kwa udongo. na shetani ni sifa ya kiumbe kilicho laaniwa na mungu shetani anaweza kuwa Jinni au Mwanadam. Majini na wanadam wamepewa utashi(kuamua kufuata njia sahihi au njia iliyopotevu) mfano kama mimi na wewe. wewe umechagua njia ya upotevu (ukristo) na mimi nimechagua njia sahihi na salama (uislamu) sasa na majini wao wako hivyo hivyo kama tulivyokuwa wanadam sitaki nikupe maneno matupu soma iyo usikie Majinni wanavyojishuhudia wenyewe (AL - JINN - 14) "Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu" na Bibilia inalijua ilo .. japo biblia inaeleza juu ya majinni wa baya (pepo wachafu) na hapa wewe na wakristo wenzako mnatakiwa kujua kuwa kama kuna pepo wachafu basi na pepo wazuri na wasafi wapo.!! ila pepo wachafu ni Makafir wezenu kwa sababu wao na nyinyi wakristo wote mnamsingizia Mungu kuwa ana mwana. Marko 3:11 Na pepo wachafu, kila walipomwona, walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu. umeona sasa hao kweli ni Majjini wachafu makafir wenzenu.!!! Na Shetani (Ibilisi) ni mmoja tu na huyo alikuwa ni mchaji Mungu mkubwa kabla haja laaniwa. ila yeye alikuwa ni jamii ya Majinni na wala sio malaika. Al Kahf -50 "Basi wakamsujudia isipokuwa Iblisi; yeye alikuwa miongoni mwa majini." "MALAIKA Hawamuasi Allaah kwa amri zake na wanatenda wanavyoamrishwa (yote)."َ (ATTAH'RIIM - 6) Enyi mlio amini! Jilindeni nafsi zenu na wake zenu na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Wanausimamia Malaika wakali, wenye nguvu, hawamuasi Mwenyezi Mungu kwa anayo waamrisha, na wanatenda wanayo amrishwa. Kutokana na aya hii, tunapata ushahidi mwingine kuwa; Malaika hawamuasi Allaah. Kwa hivyo Ibilisi angelikuwa Malaika, asingemuasi Mola wake bali angetenda kama alivyoamrishwa. Lakini yeye alitenda kinyume na hivo. Alimuasi Allaah pale alipokataa kumsujudia baba yetu Aadam ('Alayhis Salaam), َ (AL - A'RAAF - 11) Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia Malaika: Msujudieni Adam. Basi wakasujudu isipo kuwa Iblisi, hakuwa miongoni mwa walio sujudu. ٍ (AL - A'RAAF - 12) Mwenyezi Mungu akasema: Nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo. Naangelikuwa yeye ibilis (shetani) ni miongoni mwa Malaika angelisema; “Mimi ni bora kuliko yeye umeniumba kwa Nuru". Kwa sababu Malaika wameumbwa kwa Nuru sasa nyinyi wagalatia mfahamu kuwa sio kila jinni ni shetani!! ushetani ni sifa ambayo hata mwanadamu anaweza kuwa shetani kama atafanya madhambi ya kuchupa mipaka.mfano kumtukana Mungu au kuwalingania watu ili wamuasi Mungu. Ila shetani mkubwa ni Ibilisi.. jua kuwa Majinni wapo Makafir kama wewe na wapo waliosalimika kama mimi(waislamu) na wapo Majinni mashetani yaani kama vile wanadamu tulivyo. ila sasa kuna baadhi yao hao (majinni wabaya) Pepo wachafu wamesalimika kutoka kwenye ukafir na kuwa waislam... soma iyo (AL - JINN - 1) Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! (AL - JINN - 2) Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu. (AL - JINN - 3) Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana. umeona iyo hata wewe ukiamini kuwa Mungu hakujifanyia Mke wala Mwana. hapo utakuwa umetoka kwenye ukafir na umeshakuwa Muislam "Kwa hivyo sisi majini tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu, kwa sababu Yeye ni Muweza wa kila kitu. Na mwenye uweza wa kila kitu basi hahitajii washirika, na kama atataka msaada maana yake ni kuwa anashindwa, na mwenye kushindwa hawezi kuwa Mungu. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka; hakujifanyia mke wala mwana. Ametakata Mola wetu na kujifanyia watoto na ametakata kuwagusa wanawake. Vipi awe hivyo na hali Yeye ni mwenye kujitosha mwenye kusifika. Na kwa hakika mpumbavu miongoni mwetu alikuwa akisema juu ya Mwenyezi Mungu ya kupituka mipaka." Makusudio ya mpumbavu hapa ni mjinga asiyejua. Hapa kuna ishara kwamba katika majini kuna kikundi kikiamini utatu: Mungu, mwana na mkewe. Hakuna mwenye shaka kwamba hii ni kupituka mipaka na ni upumbavu. "Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawatasema uwongo juu ya Mwenyezi Mungu." Viongozi katika majini walikuwa wakiwaambia wafuasi wao ubatilifu na upotevu; miongoni mwayo ni kuwa Mwenyezi Mungu ana mke na watoto. Basi wafuasi wao wenye akili za juu wakawa wanawaamini kwa kuona kuwa hakuna yeyote mwenye ujasiri wa kumzulia Mwenyezi Mungu uwongo na kumsifia kwa sifa zisizokuwa zake. Lakini waliposikia Qur’an inasomwa na wakasikia kutoka kwa Qur'an kuwaَ [ AL - AN-A'AM - 100 ] Bado wamemfanyia Mwenyezi Mungu majini kuwa washirika wake, na hali Yeye ndiye aliye waumba. Na wakamzulia, bila ya ujuzi wowote, kuwa ana wana wa kiume na wa kike. Subhanahu, Ametakasika na ametukuka juu ya hayo wanayo mbandikiza nayo! [ AN NAH'L - 111 ] "Na sema: Alhamdulillah, sifa zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa" na toka hapo ilo kundi la majini wakaamini sasa kwamba viongozi wao wanamzulia Mwenyezi Mungu na kumsifu kwa sifa zisizoafikiana naye. wakarudi kwa kaumu yao(majini wenzao) kwenda kuwalinganiaَ (AL - AH'QAAF - 30) Wakasema: Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka. ٍ (AL - AH'QAAF - 31) Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu. ٍ (AL - AH'QAAF - 32) Na wasio mwitikia Mwitaji wa Mwenyezi Mungu basi hao hawatashinda katika ardhi, wala hawatakuwa na walinzi mbele yake. Hao wamo katika upotovu ulio dhaahiri. Na siku hiyo ya hukumu Mwenyez Mungu atasema:- َ [ AL - AN-A'AM - 130 ] Enyi makundi ya majini na watu! Je, hawakukujieni Mitume kutokana na nyinyi wenyewe wakikubainishieni Aya zangu, na wakikuonyeni mkutano wa Siku yenu hii. Nao watasema: Tumeshuhudia juu ya nafsi zetu. Na yaliwadanganya maisha ya dunia. Nao watajishuhudia wenyewe ya kwamba walikuwa makafiri.َ [ AL - A'RAAF - 38 ] Mwenyezi Mungu atasema: Ingieni Motoni pamoja na umma zilizo pita kabla yenu za majini na watu. Kila utakapo ingia umma utawalaani wenzake. Mpaka watakapo kusanyika wote humo, wa mwisho wao watawasema wa mwanzo wao: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio walio tupoteza; basi wape adhabu ya Motoni marudufu. Atasema: Itakuwa kwenu nyote marudufu, lakini nyinyi hamjui tu. sasa umeona kuwa moto wameandaliwa majinni na wanadamu kwasababu hii wote wanatakiwa kulinganiwa kati ya majinni na wanadamu. Na ajabu wakristo wote mnaamini majini wataingia motoni!!! hivi ni kweli unaamini Mungu anaweza kuleta kiumbe hapa duniani akakipa utashi na kukiadhibu kesho na moto bila ya kutuma mjumbe kwenda kuwaelekeza njia sahihi ili waepukane na adhabu zake Mwenyezi Mungu!??
@carlosmenza680
@carlosmenza680 7 месяцев назад
Kindly m check video quality pia jamani....
@user-pt6bh1jj1k
@user-pt6bh1jj1k 6 месяцев назад
Mashallah kumbe mungu wa wakrsto anaitwa baba na ndacha akienda nyumbni aitwi mama na watato wake anaitwa baba hahaha usatadh mabruok
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 2 года назад
Mashaa Allah
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 4 месяца назад
Wakati wa mwisho watatokea majasiri watakaosimama na kutetea neno la Mungu waziwazi bila uoga Ndacha ni mmoja wao
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 2 года назад
Mwalimu Ndacha 👋👋👋👋👋👍 wape wape ukweli
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Ndasha kiboko yao, anawapa sindano,,ndiyo maana wameitana kutoka Zambia, Tanzania na sehemu zingine,,wamejikusanya zaidi ya 100, Ndasha akiwa peke yake MMOJA, na bado anawaburuza
@Hijab_house
@Hijab_house 2 года назад
Anawapoteza huyo
@abdiali6280
@abdiali6280 2 года назад
😂 Ndacha analipwa kukupea uongo na wewe nani ndohiyo sasa kakupoteza
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 2 года назад
Mashaallah Mashaallah
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
Moha alikuwa muuaji na hatari wa kupindukia.... Narrated Anas bin Malik: A group of eight men from the tribe of 'Ukil came to the Prophet (ﷺ) and then they found the climate of Medina unsuitable for them. So, they said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Provide us with some milk." Allah's Apostle said, "I recommend that you should join the herd of camels." So they went and drank the urine and the milk of the camels (as a medicine) till they became healthy and fat. Then they killed the shepherd and drove away the camels, and they became unbelievers after whey were Muslims. When the Prophet (ﷺ) was informed by a shouter for help, he sent some men in their pursuit, and before the sun rose high, they were brought, and he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and whey were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died (Abu Qilaba, a sub-narrator said, "They committed murder and theft and fought against Allah and His Apostle, and spread evil in the land.") حَدَّثَنَا مُعَلَّى بْنُ أَسَدٍ، حَدَّثَنَا وُهَيْبٌ، عَنْ أَيُّوبَ، عَنْ أَبِي قِلاَبَةَ، عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ ـ رضى الله عنه ـ أَنَّ رَهْطًا، مِنْ عُكْلٍ ثَمَانِيَةً قَدِمُوا عَلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَاجْتَوَوُا الْمَدِينَةَ فَقَالُوا يَا رَسُولَ اللَّهِ، ابْغِنَا رِسْلاً‏.‏ قَالَ ‏ "‏ مَا أَجِدُ لَكُمْ إِلاَّ أَنْ تَلْحَقُوا بِالذَّوْدِ ‏"‏‏.‏ فَانْطَلَقُوا فَشَرِبُوا مِنْ أَبْوَالِهَا وَأَلْبَانِهَا حَتَّى صَحُّوا وَسَمِنُوا، وَقَتَلُوا الرَّاعِيَ، وَاسْتَاقُوا الذَّوْدَ، وَكَفَرُوا بَعْدَ إِسْلاَمِهِمْ، فَأَتَى الصَّرِيخُ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم، فَبَعَثَ الطَّلَبَ، فَمَا تَرَجَّلَ النَّهَارُ حَتَّى أُتِيَ بِهِمْ، فَقَطَّعَ أَيْدِيَهُمْ وَأَرْجُلَهُمْ، ثُمَّ أَمَرَ بِمَسَامِيرَ فَأُحْمِيَتْ فَكَحَلَهُمْ بِهَا، وَطَرَحَهُمْ بِالْحَرَّةِ، يَسْتَسْقُونَ فَمَا يُسْقَوْنَ حَتَّى مَاتُوا‏.‏ قَالَ أَبُو قِلاَبَةَ قَتَلُوا وَسَرَقُوا وَحَارَبُوا اللَّهَ وَرَسُولَهُ صلى الله عليه وسلم وَسَعَوْا فِي الأَرْضِ فَسَادًا‏.‏ Reference : Sahih al-Bukhari 3018In-book reference : Book 56, Hadith 227USC-MSA web (English) reference : Vol. 4, Book 52, Hadith 261 (deprecated numbering schem
@ezekielniyomwungere5003
@ezekielniyomwungere5003 2 года назад
Ameen Pastor Ndacha
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 2 года назад
Elohim. My creator. Jehovah. My lord God El Shaddai. My Supplier. Adonai My Master. Jehovah Jireh. My provider Jehovah Rophe. My Healer Jehovah Nissi. My Banner. Jehovah Makadesh. My sanctifier. Nina Swali waislamu nduguzangu wakenya mahali popote mlipo... MUNGU wenu anasikia ARABIC pekee????? mnapotoshwa tu mkiona naomba Mungu awafungue macho. hivi waarabu washaanza kuokoka nanyi mtafanya nini? Yesu ndiye njia ya kweli ba uzima. Bila kukiri Yesu ni Bwana jehanamu inakugonja
@lileoh3893
@lileoh3893 2 года назад
Ongera we baki hapo waslam wanaakili
@lileoh3893
@lileoh3893 2 года назад
Yesu akiwa bwana wewe nani yake
@tumajunior6080
@tumajunior6080 2 года назад
Hahaha leo umekiri ndacha mungu ni mmoja takbir Allahu akbar. yani raha tupu mashekh wetu Allah awalinde kwa kz ngumu ya ndacha mwamfundisha bt haelewi na 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ataelewa tu
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Ndiyo Mungu wa kweli ni MMOJA aliye BABA WA MBINGUNI naye ni YEHOVA
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 2 года назад
@@frankmpembu2505 nyinyi mbona hamueleweki mara utatu mara mmoja na dini yenu ya mchongo mchongo iyo
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
Wakristo Mungu ni Mmoja
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
Soma Deuteronomy 6:4
@biblicalknowledge2734
@biblicalknowledge2734 2 года назад
.. Je, inawezekana Mwenyezi Mungu amuamrishe Mtume wake atembee uchi kati ya watu kwa miaka na kwa nini? Jibu: Haiwezekani kamwe kwa Mwenyezi Mungu kuamrisha hivyo, kwa sababu Mwenyezi Mungu anakataza kukaa uchi mbele ya watu! Hii ni mambo ya kiwendawazimu lakini Biblia katika kitabu cha Nabii Isaya, sura ya 20 aya ya pili hadi mwisho wa aya ya nne inasema hivi: Wakati huo Bwana alinena kwa kinywa cha Isaya, mwana wa Amozi, akisema, Haya, uvue nguo ya magunia viunoni mwako, na viatu vyako miguuni mwako. Naye akafanya hivyo akaenda uchi, miguu yake haina viatu. Bwana akasema, kama vile mtumishi wangu Isaya anavyokwenda uchi, hana viatu, awe ishara na ajabu kwa muda wa miaka mitatu juu ya Misri na juu ya Kushi, vivyo hivyo Mfalme wa Ashuru atawachukua uchi, wafungwa wa Misri, na watu wa kushi waliohamishwa, watoto kwa wazee,hawana viatu, matako yao wazi Misri iaibishwe. haa haa haa haa .. eti wazee kwa watoto wote MATAKO WAZI!!! na ndio mana tunasema kuwa biblia sio kitabu cha Mwenyez Mungu!!!
@zedimohamed8033
@zedimohamed8033 2 года назад
Mashaallah Wakristo sometimes mumjue MUNGU wakweli
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 Год назад
Ni mmoja tu
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 Год назад
Ndacha hajui kufundisha jina la Mungu ni baba hivi mnajua maana ya Yehova waulize hawajui Mwenyezi Mungu ana majina mengi
@majaliwarajabu8869
@majaliwarajabu8869 2 года назад
Watakubari tuu shekhe, apasae kuabudiwa ni mmoja tuu, wakubari wakatae frm TANZANIA.
@officialsaddmfalme5381
@officialsaddmfalme5381 2 года назад
Mashallah shekh
@bukhetesalama8011
@bukhetesalama8011 2 года назад
Ama kweli ndacha hajielewi tafadhali mwanafunz
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 года назад
Mungu mwenyezi ni mmoja naye ni Yehova Bwana
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Huyo ndiye Mungu wa kweli,, hilo halipingiki.. Roho wa Bwana yupo ndani ya Ndasha na team yake. Wabarikiwe sana walimu wetu
@aminaissa3721
@aminaissa3721 2 года назад
Sasa ni Mungu yesu ama Mungu mgani? Mna waingu wangapi ?
@hijatumbo8709
@hijatumbo8709 2 года назад
Mungu wa wakristo ni yawe au yesu. Muogopeni ndacha kama korona kwanza anakata maandiko
@KnightNyabok
@KnightNyabok 8 месяцев назад
Good teacher keep it up
@ArmandMananira
@ArmandMananira 2 месяца назад
Amen, mungu ni mmja tu
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 года назад
Hata kama kaandika kwenye karatasi ;Kwani kusoma ni dhambi Bwana Ndacha?Mbona Wakristo kila Ifikapo siku ya ibada zenu Kila Mkristo anabeba Biblia?Mara ngapi umewaona Waislamu wamebeba Quruani wakienda Kusali Miskitini?
@nashonetale6194
@nashonetale6194 2 года назад
Ndio maana wengi wenu amjui maandiko mengi yaliomo ndani ya Qur'an
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 года назад
@@nashonetale6194 Ww na wenzako ndiyo hamjui maandiko!
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 года назад
@@nashonetale6194 Nyie mnachekesha sana,Kila jumapili na jumamosi munabebelea Biblia alafu maandiko hamna vichwani na hata kama mnayo vichwani hamuyaelewi;hiyo ni hasara kubwa sana;Waislamu vichwa vyetu ni Bright maandiko yako vichwani mwao na ndiyo maana Walimu wetu wanawafunzeni vitabu vyenu nyie msioelewa kama ww hapo na wenzako wakina Ndacha!Wewe kama ungekuwa mwelevu ungelikwisha achana na Ukristo mapema kwanza kwenu kuna maandiko mengi na Biblia nyingi na zinapingana zenyewe kwa zenyewe,zipo Biblia zaidi ya tano dunia nzima,Sasa niambie ipi inastaili kufuatwa yaani ni ipi ya Mwenyezi Mungu?na kama utaitaja ambayo ni ya Mungu itakubidi na hizo nyingine utwambie ni za nani?
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 года назад
Utakua ni mganga au mchawi, au unataka ukaoe wanawake wengi hizo ndio sababu ya kuacha Ukristo na kuwa Muislam. Huwezi acha ukweli na uponyaji wenye ushahidi wa mojakwamoja papo hapo alafu u akwenda kwenye Dini inayosali na Majini, na kuyasifia majini eti Mazuri na waganga wakienyeji wanatibu kwa kutumia Quran na Majini hata hilo linahitaji ushahidi? Fungua upeo wako soma maandiko mwenyewe sio usubiri mashehe wakusomee kwenye ukweli lazima atapakwepe usijue ukweli uliopo ambao Ndacha amekuwekeeni wazi kilichopo nyuma ya Pazia.
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 года назад
@@charlesmapunda5905 Uganga wa Magonjwa ya Kibiolojia au upi?Huwa ninasikia Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa au ipi?Mimi sina Elimu hizo ulizonituhumu nazo.Mimi nakupa elimu ww ili uondokane na Ujinga ulio nao kichwani mwako wala sina muda na matusi yako; Waislamu kuoa mke zaidi ya mmoja sio kwa maamuzi yetu sisi bali ni Maneno matukufu ya Allah na ni Sheria Yake soma Quruani 4:3 na Katika Biblia soma Yeremiha 29:6 ,Wakiristo acheni maneno ya kujitungia hati tunawasifia majini,kama Mwenyezi Mungu kasema basi sisi hatuwezi kupinga kama ipo ayah hio itoe hapa!
@gharibislam1586
@gharibislam1586 2 года назад
Mashallah sheikh
@paulduke6712
@paulduke6712 2 года назад
MUNGU ya wakirsto anajeita mimi. ya wasilamu anjieta yeye ya wasilamu bandiya
@josephkiswili1955
@josephkiswili1955 2 года назад
Aaah Xpasta hata kuelewa BIBLIA ni tatizo hili andiko liko wazi anaye sema maneno haya sii MUNGU elewa hilo yeremia ndie anazungumza mungu ha yupo hapo kwa kuongea kama mungu angeongea angesema mimi mungu ni mewandanganya.lakini akili za waislamu zinakuwanga mteja katika upande wa roho mtakatifu hawawezi wakaelewa hata wafudishwe kwa ishara Yeremia 4:10 Nami nikasema, Aa, Bwana MUNGU! Hakika umewadanganya sana watu hawa na Yerusalemu, ukisema, Mtakuwa na amani lakini upanga umeingia katika nafsi za watu.
@biblicalknowledge2734
@biblicalknowledge2734 2 года назад
!!! eti Mungu wa biblia anachochewa na shetani ili kufanya maovu juu ya mjawake mwema!!! Ayubu 2:3 BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ujapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu. ..Duuuh!! huu ni msiba kama atapatikana Mungu mwenye sifa kama hizi za kudanganywa na Shetani!! ..sasa kuweni makini nyinyi mnaojiita wakristo!! tena inabidi ktk sala zenu mumuombe na shetani ili asiende kwa Mungu wenu kumchochea juu yenu ili yasije kuwakuta kama yalivyo mkuta Ayubu!!
@EasterEmanuel-wh9dz
@EasterEmanuel-wh9dz Год назад
Kwel I kabisaa wanasoma maandiko hawayaelewi kwa sababu hawana roho myakatifu Mwenyezi MUNGU awasaidie kuelrwa waislamu katika jina la YESU kristo
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 Год назад
eeeeh kumbe Yeremia ndo kasema sio Mungu
@HEROTV20
@HEROTV20 2 года назад
Ndacha anaunga unga vipande tu.Kiufupi yupo kimaslahi zaidi na anatilisha aibu
@josephmburusddg
@josephmburusddg Год назад
Yesu si Mungu, Mungu nishetani ndio maana muislamu na mukristo hamuwezi elewana 2 wak 4:4 ww mkristo unaye mwabudu Mungu jua unamwabudu ibilisi, Yesu ni muumba hawezi share jina na ibilisi,jina ambalo lilidhihirishwa na Yesu ni "yesu " Na ndilo jina ambalo mitume walirihubiri wakakamatwa na kuwekwa gerezani matendo 4:3-4 mitume walitishiwa wasiwafundishe wengine kwa jina hili,ambalo liliwaponya viwete na kufukuza mapepo Biblia inasema,,,hakuna wokovu kwa jina lingine, jina Mwenyezi mungu haliwezi kukuokoa, jina alah haliwezi kukuokoa,jehova haliwezi kukuokoa matendo 4:12 jina tu la yesu ndilo litatuokoa
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 4 месяца назад
Mungu akubaliki ndacha
@geofreyezekielzeki5683
@geofreyezekielzeki5683 7 месяцев назад
bado haujafika kiwango cha mwalimu pst ndacha Mungu akubariki
@milikaekal8623
@milikaekal8623 Год назад
Yesu ndiye bwana wa bwana ok
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 года назад
Mashallah Allah
@MathewMaliva
@MathewMaliva 3 месяца назад
Ww we kaislam hamna kaziiii
@JobNyangena
@JobNyangena 8 месяцев назад
Great teacher indeed
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 3 месяца назад
Kanyanga ya mto Mungu kushaa mbuavua
@jamesmusyoki2857
@jamesmusyoki2857 2 года назад
We!!!! don't debate based on religion , but on facts ,wachristo/waislamu tujipange tupate elimu
@ShafiunaWaziri-vz7bi
@ShafiunaWaziri-vz7bi 10 дней назад
Wafundishe shee wangu hao wakristo awafikili
@MajutoMwilu
@MajutoMwilu 7 месяцев назад
Subuhana nllah huyu mchungaji anatafasilimambo kinyume yupo katika watu walio pata khasala inalilahi
Далее
ALLAH SI MUNGU WA KWELI (NDACHA Vs SASAKA)
1:31:19
Просмотров 81 тыс.
Ванесса 🆚 Крискас  | WICSUR #shorts
00:42
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 6 млн
wajibiwa maswali yao
32:11
Просмотров 53 тыс.
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 1,4 тыс.
Pastor Ndacha vs Ex-Pastor Ibrahim WOKOVU (Part 2)
1:39:36
NDACHA ASHIDWA KUDHIBITISHA IBADA YA WAKRISTO
1:32:13
Просмотров 43 тыс.
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE
29:23
Просмотров 335 тыс.
Ванесса 🆚 Крискас  | WICSUR #shorts
00:42