Please post the number of this young man so Kenyans can support him and get medical attention for him. Please , no pint of telling us about injured people and not showing us how to help him.
Paybill please ifikie kila mkenya this is our heroes please please please if u get it mnatushow ama bloggers watangaze likes Kakasungura tangaza hiyo paybill tafadhali
Also my cousin alishootiwa kwa mdomo kibahati ikamkwaruza,kwa mbavu na kwa mkono akiwa hapo nje ya bunge but kwao wakona dooh ashatibiwa na akaenda.alikuwa ameanguka chini pia watu walidhani amekufa but he survived
huwo mswada utupiliwe mbali kama wakenya hawana kazi pia walipishwe taxi pesa ziko wapi hata kazi zenyewe hawapeani kwa wananchi ubaguzi wa makabila ubaguzi wa kidini ume jaa mno na ubaguzi warangi pia upo😮