I saw a clip where Tanzanian journalist asked their president samia about new constitution for TZ,the response made me realise that we are very different neighbours.
Umeongea sana kaka dudu ..tz ..bado tumelala usingiz mzito ndomana viongoz wanatuamulia ..kila kitu ....sukali tununue ekfu 10 kwa kilo sawa tu Petroli tununue 5000 lita sawa ....sisituko busy na yanga .na simba ...😂😂😂😂ila tz 😂😂
Dudu baya much love from Kenya , Kenny's they have respond to your speech you are so grateful man guys like back tujuane kwa kugonga like Apo chini 👇❤😂
Huo ni ukweri kabisa! Mimi sio mkenya lakini nillishi huko miaka takriban 20! Nilisomea huko pia! Kenya ni Nchi ngumu kuliko hata Nigeria! Kila mtu ni mjuaji!
That's true bro,huku kwetu haki za binadamu zinafundishwa mitaani,tena unafundishwa haki yako na unapewa sitting allowance,huku kila mtu anajua haki zake
Tanzania is a real Nation State. Keep up your Unity and Non TRIBAL nature. Your country is in a good place under a clear leadership philosophy. Hio elimu ya Wakenya inayo zungumzwa hapa - INA FAIDA GANI ikiwa UKABILA TELE na Daamu kumwagika kila siku?
I'm a kenyan and I do agree to this guy.Us here in kenya,we are fully sensitized about our rights as citizens.Even when our stupid president is lying tutamwambia openly,pole unatudanganya.Tanzania tunawaomba mtafute wakati and fight for true democracy.
Kenya n inchi ya wajaja viogozi n wakora,kubuka hustlers vs dynasty na yenye Yana fanyika sahi,katiba yetu Ina ruhusu serikali kuwajibika,Kama sahi Kuna Vita Kenya wabuge Wana pitisha bill ambazo zina tugandamiza,ndo tunasema #ruto must go
Tanzania hakuna education ya kuwafungua akili ndio maana viongozi wenu wanapeleka watoto wao kusoma nje...afu nyie mnasoma shule za government zenye zinawafundisha mambo yasiyo ya faida
Ww unaakiri nyinyi kenya amna akiri wote bangi zinawaribu kenya kunawasomi sio mwenye akiri msomi na mwenye akir watu tufaut kirakitu unatakiwa utumie akiri sio usomi
Kumbe Dudu ni mtu very understanding. Aliyoyasema ndiyo ukweli halisi na viongozi wanautumia umbumbumbu wa wananchi wengi kutojua lolote na kuamini kwao kuwa siasa haiwahusu. Itatuchukua muda mrefu sana.
VERY SMART DUDU BAYA. POLITICS HAS EVERYTHING TO DO WITH US ORDINARY CITIZENS. WE CAN'T BE IN A STATE OF I DON'T CARE. GOVERNMENT OFFICIALS AND PARLIAMENT IS MAKING DECISIONS AFFECTING OUR EVERY LIFE. EVERY TANZANIAN AS TO STAND UP AND ASK QUESTIONS ON GOVERNMENT MATTERS AND WHAT ELECTED MEMBERS OF GOVERNMENT ARE DOING 🇹🇿. OUR IGNORANCE IS SENDING US TO THE BOTTOM PIT OF LIFE AND DEVELOPMENT. WAKE ⏰ PEOPLE AND AFRICA 🌍. LOOK AT IBRAHIM TRAORE.
Apo tz ambiez rais alete free education ndo kila mtu asome. Najua watanzania wengi hawakasoma si eti wanaogopa masomo ni kwa sababu karo iko juu. Mimi cjatoka kwa familia yenye pesa lakini free education kwa shule ya upili ilinisaidia sana na ikaniwezesha kuingia chuo kikuu. Kwa ivo its high time wanainchi kuweka matakwa yao kwa viongozi wanaowachagua.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA....... Wou what a caption!!!! Yaani Dudu baya anawakilisha Watanzania???? Jamaa hajuwi anacho ongea. Si kweli kwamba Wakenya wote wanaijuwa KATIBA. Shindeni vita yenu!!!!
Ameongea ukweli tupu Watanzania tunapenda vitu visivyoumiza kichwa kutokana na asilimia kubwa kukosa elimu na hata wenye elimu wengi wao hawajaelimika na huo ndio mtaji mkubwa sana wa wanasiasa. Wanasiasa hawapendi watu werevu, wanaofatilia masuala ya msingi na wenye kuhoji kila kitu. Jamii yetu waambie tu mpira, udaku na muziki hapo umemaliza kila kitu.
Umenena ingawaje nahofia jinsi wakenya tumesoma sana but twafanya kazi ya vibarua kweli hakuna kazi but anything to do with law kika mkenya ni msomi. Hatudanganyiki virahisi . Shinda kubwa iko hapa sasa wen every one is educated then the leaders cant do anything the way they want sababu walio chini wanaelewa wanafinyiliwa. Heli wanjinga kwingine at least .but we thank God 🙏 alitupea hekima tu. Hope hivi vita vitakoma siku moja . Wakenya hooooeeeee👊💪💪
...I'm a Kenya.That true boss you're right every of us know his right under Chapter 4 of bill of right... Then under article 37 of our constitution each one of use have right to demonstrate peacefully.... The article 24 ....
Kwani hamjui Africa 🌍 iko ndani ya Kenya 🇰🇪?kwa ujumbe wenu kiongozi wa Africa 🌍 yote..kama tz ni githurai tu na burudi ni korogocho tu..Kenya 🇰🇪 sisi ndio simba 🦁 wa Africa 🌍
@@DominicOjwang Anawasaidia ulimbukeni wa kisomo kisicho na faida,kama mnaweza rudisheni grabbed land iliyoporwa na wanasiasa toka uhuru nitawaona wa maana..ardhi imekaa barely while majority mmebanana kwenye slams,bei ya mkate ikipanda mnachoma Kila kitu, kwetu mkate ikipanda naenda kulima viazi,shamba ninalo.Change your policies acha ubishi.
Wa Tz bado hampo tayari. Huwezi kupigania haki msizojua mnazo. Cha kwanza, mjielimishe. Huku Kenya, wanasheria walichambua ile katiba wakairahisisha na ikasambazwa kwa WhatsApp. Tulipokuwa tunaingia mitaani tulijua tulichokuwa tunakipigania ndipo uwoga ukaisha. Mjinga akifinyika vya kutosha anafunguka macho anawacha kuwa mjinga
Elimu ya shule nchini Kenya ni bora kuliko Tanzania. Machafuko nchini Kenya yamezuka kwa sababu ya masa ya elimu ya kuwataka viongozi wafisadi katika serikali yao. Tanzania ina umati mtulivu kwani hawaruhusiwi kujieleza kwa uhuru, au kuandamana bila kupitia mashine nzito ya urasimu. Kupunguza umati wa watu wenye elimu na kuzuia uhuru wao wa kujieleza hufanya iwe rahisi kwa utawala kutawala bila kusumbuliwa.
Dudu Baya nakupenda juu ya kuongea ukweli. Pili, wachache wa ndugu zetu wa TZ watadhamini huu ukweli kwa maana hauwelewi na hawaelewi unasema nini. Namaanisha uko mbele karne moja zaidi ya watu wengi. Njoo tuishi 🇰🇪 . Mahali unaeleweka
Umeongea vizuri sana salamu zikufikie kutoka Kenya,,umeongea vizuri mtu wa kuelewa ataelewa ila naona. Comment za wengine apa bure kabisa amkeni nyinyi
Ni kweli naona upuuzi mtupu...km wangekuwa na akili na elimu ya kutosha si wangetumie maarifa ya kuongea kisomi...wanachoma magari..wanaharibu maduka ya watu wema nk.
Mimi ni mkenya shida inatoke mahali ambapo tunakuanga tumefunzwa haki yetu kutoka shule hadi Nationality inaanzia primary school we know our rights kutoka baby class sa mtu huwa ana grow akijua right uake toka akiwa mdogo