Тёмный

Freestyle Rap Battle | Cado Kitengo Vs Man Side | Season 3 Ep.10 | City Rap Battles (CRB) 

ExtramileTv
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Hii ilikuwa ni Main Game ya CRB Season 3 Episode ya 10 ambapo Cado Kitengo alikuwa akichuana na Man Side katika mpambano wa Round 5.
Show hii hufanyika kila Jumanne pale Mi Casa Lounge Tabata kuanzia saa 1 usiku mpaka saa 6 usiku. Fuatilia pages zetu za Instagram @cityrapbattles kufahamu zaidi.
#CadoKitengo #ManSide #FreestyleRapBattle

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@junbertgymfitness.6976
@junbertgymfitness.6976 5 лет назад
aiyeeee!!uliona wapi nondo inasagwa kwenye Brenda...!!??? Kado acha uonezii
@daimonmalekano6086
@daimonmalekano6086 5 лет назад
cado sasa aende meza ya majaji
@donprince9752
@donprince9752 5 лет назад
Uyo cadoo mpeni battle nzito km toxic au km VP slogan ingia2
@jamesgeorge8853
@jamesgeorge8853 5 лет назад
Ayeee
@junbertgymfitness.6976
@junbertgymfitness.6976 5 лет назад
Hahaa nakuchana masela wachek kupitia bundle..mother fuckin cado ndo tunachek hapa aiyeeeeeeeeeeee
@dramakidbmorestar5192
@dramakidbmorestar5192 5 лет назад
kado tangu adisiwe anapiga madawa ya kulevya sikuuz anauwa tuuu mamakee
@rahmoodmwamba4281
@rahmoodmwamba4281 5 лет назад
ayeeeeh kado_ kitengo
@shebymwakasege9253
@shebymwakasege9253 5 лет назад
Cadooo kitengo
@abasmwika3432
@abasmwika3432 5 лет назад
kwangu Man side kapata sare moja tu zingine kachezea
@shabanimdila3854
@shabanimdila3854 5 лет назад
Kado khatari sanaaa
@jeffeivra8204
@jeffeivra8204 5 лет назад
Ayeeeeeeeeeeeeeee🏁🏁 the marathon continue
@gilbertjackson55
@gilbertjackson55 5 лет назад
Hotel ya nyota tano unaagiza mlenda
@primitivetv7008
@primitivetv7008 5 лет назад
Pole man side ilo jitu ni pirimitivu mzee iron man alipigiki
@godfreymakweta6890
@godfreymakweta6890 5 лет назад
Man side round ya tatu (3) kauwa
@almandolyrical7372
@almandolyrical7372 5 лет назад
Wote motoooo
@rodgersgingila9367
@rodgersgingila9367 5 лет назад
man side hajafkia level hz... kado ni matatzo
@mrcoco9915
@mrcoco9915 5 лет назад
Now days side pia unajaribu ila kwa nondo bado toto sana wewe
@StoperstoperSsr
@StoperstoperSsr 6 месяцев назад
Sana kado tunakuamin
@Paplick9
@Paplick9 5 лет назад
Cado
@prosperhenry3520
@prosperhenry3520 5 лет назад
cado genius
@chagujunior896
@chagujunior896 4 года назад
Kado kitengo namkubal...
@king-size8114
@king-size8114 3 года назад
😍😍😍
@godfreylushiku3081
@godfreylushiku3081 4 года назад
Piga kelele Cado Kitengo....nyoosha mikono Jaco Jeezy! Hivi vichwa ni balaa
@collinsmakanta6898
@collinsmakanta6898 4 года назад
Cado We Ninoma Aisee
@yascoguidezanzibar
@yascoguidezanzibar 5 лет назад
Uyu kado mpeni stan ryhemes
@complexjackal2782
@complexjackal2782 4 года назад
Man side round ya kwanza umeua
@sailomsuya6962
@sailomsuya6962 5 лет назад
Uliona wapi kunguru akanyea manati😁😁😁
@2killerboy309
@2killerboy309 5 лет назад
Niliona tanga kunguru kanyea manati
@ezeckielobed4429
@ezeckielobed4429 5 лет назад
kado mpeni toxic fuvu
@godfreybryson6039
@godfreybryson6039 5 лет назад
Mkali wangu wa siku zote ni stan rhymes,huyu jamaa yuko wapiiii?
@pj2jay158
@pj2jay158 4 года назад
Hizi ndo picha za mtusi nazopendaga 😂😂😂😂
@kaJEMBEvip
@kaJEMBEvip 5 лет назад
man side amekua
@Bigli999
@Bigli999 3 года назад
Ayeeeeeeeeeee
Далее
КОГДА НАКРОШИЛ НА ПОЛ #shorts
00:19
SIKU 10 ZA MAANGAMIZI : CADO KITENGO NA YEDEDEE
12:27
Просмотров 108 тыс.
Mteganda perfoming at HipHop Asili Festival 2021
5:46
Просмотров 2,9 тыс.