Huyu yedede itabidi ajengewe Dunia yake ya pekee akakae na kaka yake ngwea ,sio MTU WA kawaida huyu jamaa anaflow Kwa confidence kam vile anaongea na MTU , HII ndo free style sio wale wengine wanakuja wakiwa wamekariri mistari Yao alafu tunadanganywa Ni free style,mbavuuu, YEDEDE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
bonge la vibe na lingenoga zaidi ya hapa kama Cado ungetulia najua unaweza sana ila leo Yededee kakukalisha kwa flows na utulivu ....yote kwa yote ni noma sana watakao fata wajipange sana kuifikia hii freestyle
Dah!!!hataree sanaa aisee bongo ina wana wakali sana wa kuchana, #Yededeee namuona kwa mbalii km #Mangwear guys you two 🙌🙌🙌 #cadoKitengo una vibe mpaka rahaaa aisee
Big up sana Cado na yedede ila cabo usiwe unakunywa smart na cuca alafu ukavuta na local weed ukiwa unakuja studio!! Mzuka wako umepitiliza mpaka unataka kupaa mamaae!!
Naisikia ladha flani yenye ungwea ngwea ndani yake Dah Rest in peace Albert Mangwea Vijana wametisha Mimi ni Producer stevblessings A.K.A BAD&KILLER nawapa salut
#YEDEDEE amenikumbusha kalweezy, cowbama aka ngwea yani ameflow kama ngwea, simple na ako kwa mada vizuri hajashtuka, sema tu leo cado kidoogo hajafikia yedede but congrats... mimi ukinikata damu yangu ni hip-hop tu yani napenda sana hizi freestyles
😂😂😂😂😂sema cado hiyo mibangi uliyovuta 😂😂😂😂😂😂 usirudie tena maaana sio kwa huo mzukaaaaaa😂😂😂😂😂😂 noma sana wana mmewakilisha sana nimekubali nanimecheka sana