Тёмный

FRIJI BOVU : PURE FINISHER SIMBA KUSHUSHA MCHANA NYAVU KUTOKA MAMELODI | REKODI ZAKE CAF BALAAH!! 

Data Sports Tv
Подписаться 101 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

#mzeemagoma #tundaman #nbcsports #shorts
#tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #manchesterunited #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@DavdiMalegi
@DavdiMalegi Месяц назад
Cici wanasimba tunamtanka mabururu❤
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn Месяц назад
MabuLuLu angekuja runyasi ingekua mpango mzima sio kuleta masteca hata nguvu kiguuni hawana kama Fred akisukumwa kidogo tu chaly 😂😂😂🤸
@shabanmtula9242
@shabanmtula9242 Месяц назад
Mabululu ❤
@merycianshinda546
@merycianshinda546 Месяц назад
Fred aende tuu,,mabululu ❤
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j Месяц назад
Tunamtaka mabululu
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 Месяц назад
Uyo mchezaji wa kawaida mno potezeeni
@VicentTarra
@VicentTarra Месяц назад
Friji mbovu mwongo tu aliongeà sana kuhusu mpanzu
@eliangowi1864
@eliangowi1864 Месяц назад
Bwaba minja kama hutaki usikilize hiyo ni habari current.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Месяц назад
Friji bovu hii issue inawezekana huu ni uongo tuu.
@Chuma09
@Chuma09 Месяц назад
hahahahahah JAMANI 😇😇😇😇😇😇😇😇
@lusungupaul297
@lusungupaul297 Месяц назад
Pia mlituaminisha kuwa mpanzu alisajiliwa Kiko wapi? Mimi mpaka atangazwe
@GumboAthumani
@GumboAthumani Месяц назад
Firij bovo Miminashauli simba waachane nangoma ayubu lakled nakobla fungafunga, wamchukuwe Abubakar naasar au mabululu, halafu watafute mchezeji kalba yampanzu achukuwe nafas ya ayubu lakled, nasimba wasipokuwa makini hawatachukuwa ubingwa.
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el Месяц назад
Mmh
@jimmydizonga1335
@jimmydizonga1335 Месяц назад
Kama nikweli viongoz wa simba wanamtaka uyu mwamba bs wafanye araka ni bonge la mchezaji anavitu vingi sn Yan kifupi ni mchezaji mzuri sn
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 29 дней назад
Unaele yakuchukua mchezaji wa mamelod ww shoga tu mtekwaji wamekufanya nn aoo
@gibonykiyao9698
@gibonykiyao9698 Месяц назад
Fridge hili bovu na linakutu sio madini
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz Месяц назад
Naomba vyongozi simba aondoe Fred na kibu
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 Месяц назад
Kwani Kibu kakosea wapi ?
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo Месяц назад
Aondoke mama Yako sio kibu Denis kenge ww
@deusmanyenye5190
@deusmanyenye5190 Месяц назад
Huyo ni Skudo Makudubela mwingine. Clip inayoonyeshwa akifunga goal zuri ni hiyo tu na ni ya 2022. Inaonekana siku hiyo alikuwa na siku nzuri tu lakini hakuna cha zaidi baada ya goal hilo. Wala hakuna clips za 2023/24. Simba ikimsajiri huyu itajuta.
@abedymtore2707
@abedymtore2707 Месяц назад
Yaani simba bana kwa sajili zaa ivo mtasgua sana chukueni vyaghalama viwape mnachotaka mijibwaa nyie
@KhatibRocky
@KhatibRocky Месяц назад
Jibwa mwenyeo
@lugeworkshop6174
@lugeworkshop6174 Месяц назад
Kipi chenu cha gharama
@lugeworkshop6174
@lugeworkshop6174 Месяц назад
Mchezaji wako yupi wa galama anazidi wachezaji wa simba
@HusseinNkuna
@HusseinNkuna Месяц назад
yani ukishacheza na yanga tu ndio unajua kua timu yako inaubovu sehem gani😂😂
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 Месяц назад
Ww kwl friji bovu,ivi Freddy kwny ligi yetu bd hajafunga kwl?
@user-lw2ox8fu7t
@user-lw2ox8fu7t Месяц назад
Kaa kwa kutulia ww nyuma mwiko
@kiwakhalid4981
@kiwakhalid4981 Месяц назад
Friji bovu kweli wewe,juzi umemsifia halafu leo unaponda
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 Месяц назад
Aondoke ayubu rakred koblani ni bonge la MCHEZAJI APEWE MUDA
@samwelphilipo-rz9iu
@samwelphilipo-rz9iu Месяц назад
Mpe muda ww
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 Месяц назад
Lete mabururu
@MishlaySulley
@MishlaySulley Месяц назад
Sasa mchambuzi ndiyo anaye mleta ?.
@bakarimwachanga8803
@bakarimwachanga8803 Месяц назад
simba waache ujinga,miaka yote mnataka strikers wa bei raising sasa huyo Nasser wa kazi gani, towni hela mumchukue Mabululu jitu la nguvu
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 Месяц назад
Wewe umechangia kiasi gani au umejaa matusi tu mikononi mwako?
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Месяц назад
Mabululu nami narikubali
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo Месяц назад
Yes mabululu au sowah wako vizuri sana hasa sowah amekamilika Kila aina ya uchezaji
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 Месяц назад
​@@yugemasanza1008 Kajinga tu haka kaongea utadhani kamebanwa na wale waliotumwa na Afande😂
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 Месяц назад
Katakiwa na kocha
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Kila siku mnasema hivyo hamna lolote, huyo jamaa muongo sanaaaaa
@MawazoKitumbo
@MawazoKitumbo Месяц назад
Frij bovu nimhun tuu uongo mwing
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 Месяц назад
Hamna mchambuzi humo
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Месяц назад
Maburu
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 Месяц назад
Kwa yanga hata aje nani difes ni balaa kama hamuamini mkawaulize mamelodi. sembuse nyinyi simba.
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 Месяц назад
Na dirisha la usajili kwa simba na tff yao mtaongeza sana itafika hata mwezi wa tisa ili simba ikae sawa.
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 Месяц назад
Kama mwaka jana tu azam na simba walicheza mechi zao zote mzunguuko wa pili hiyo ndio tff.
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Kila siku mnasema hivyo hamna lolote
@BeatriceFirika
@BeatriceFirika 28 дней назад
Tunamtaka mabululu
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz Месяц назад
Naomba vyongozi simba aondoe Fred na kibu
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo Месяц назад
Ww chizi kweli uondoe kibu Denis ubaki na nani?
@michaelkaphipa4354
@michaelkaphipa4354 Месяц назад
Chizi wewe
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo Месяц назад
Kibu Denis hakuwa na support wachezaji, wachezaji walikuwa kama mabosi wa timu wanacheza wanavyotaka wao lakini pia uongozi hakuwa imara subiria huu msimu utamuona kibu Denis wa kweli kabisa ata ngao ya jamii angeanza ule upande wa barua yanga angekufa uhakika beki za yanga barua hakuweza kuzisumbua zinatumia nguvu sana kibu Denis angeanzia kule ahou au mtale wasingezibitika kwa urahisi na wangefunga magori balua hakusumbua beki za yanga kabisa
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 Месяц назад
​@@BADILIJUSTUS-fs3oo Wewe umeona kibu ni mchezaji yule? Chezaji gani msimu mzima ana goli moja
Далее
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
Просмотров 1,7 млн
Презентация iPhone 16 за 4 минуты
04:00
MAGOLI YOTE GUINEA VS TAIFA STARS
7:58
Просмотров 77 тыс.