Тёмный
Data Sports Tv
Data Sports Tv
Data Sports Tv
Подписаться
One stop center for quality sports information.
CALL: 0718 122 222 / 0786 240 000
Комментарии
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 9 часов назад
Acha inyeshe tutaonapanapovuja
@user-zt6fv8yz7q
@user-zt6fv8yz7q 12 часов назад
wakaee saw mana hz machine sio za kitt
@user-zt2lu7oq1d
@user-zt2lu7oq1d 12 часов назад
NDUMBA ZIMETAWALA SANA..... 😢
@georgealphonce100
@georgealphonce100 12 часов назад
Yanga wasilewe sifa,usajili wa Baleke ni kufanya mzaha .
@geraldmagembe4428
@geraldmagembe4428 14 часов назад
Kipigo Cha njee ndani safari kiawahusu Pili na shoga yake Tatu.
@MussaDaudi-ye8ve
@MussaDaudi-ye8ve 17 часов назад
Utayaona uwanjani hayo makapi
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 17 часов назад
Huo ni ushamba Messi lazima atamzidi magiri kwasababu bado ana muda wa kucheza zaidi
@LufunzamachibyaNhumbi
@LufunzamachibyaNhumbi 17 часов назад
kramo abaki
@AllyMuhando
@AllyMuhando 17 часов назад
Mnamsjili makapi ya Simba haha ni maajabu ya mussa
@stevensosipita
@stevensosipita 17 часов назад
Ngojeni msimu ujao ndo mtajua makapi au ngano😅😅
@gracemtonga3263
@gracemtonga3263 16 часов назад
Tena kama Yale yaliyokula 7-2😂😂😂😂😂
@alfredymakuru8333
@alfredymakuru8333 15 часов назад
​@@stevensosipitakama tulimchukuwa mkunde wakala 7 je wakija hao wawili......
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 15 часов назад
Hayo makapi yanakuja kuwafanya vibaya sana.
@thejoeclassicsoldier
@thejoeclassicsoldier 15 часов назад
7-2
@LabaniNdama
@LabaniNdama 18 часов назад
Hatutakimatangazoyenu kwenyemabandoyetu
@OmarAhmed-t2m
@OmarAhmed-t2m 18 часов назад
kwa yanga hii watu watakula 10
@AlexMbagata
@AlexMbagata 19 часов назад
Kwa elimu uliyo nayo mbwaduke tafuta elimu sahihi ya kiroho tu hakika wewe ni data master.
@GharibJoseph
@GharibJoseph 19 часов назад
Sowa VP kasajiliwa au Bado???
@STOR111
@STOR111 18 часов назад
Bado
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 18 часов назад
Sowah dili limekufa
@mwanangusana
@mwanangusana 19 часов назад
1. Jean othos Baleke 2. Chama 3. Prince Mpumalelo Dube 4.Shadrach Boka
@rajabually8894
@rajabually8894 19 часов назад
Kwani hio yanga yenu kocha ndio alisajiri hao akina chama acha ukuma ww kwanza humu ni simba ww mdada wavyura watakani humu...
@barakacharles6027
@barakacharles6027 20 часов назад
Ngoja msimu uanze tuone nani kasajili na nani kaleta maonyesho ya sabasaba
@innocentmataba1107
@innocentmataba1107 20 часов назад
Kunawatu watakula nje ndani tena😂
@matronamushi7021
@matronamushi7021 15 часов назад
Kama kawaida
@ARFHONSIMGIMBA
@ARFHONSIMGIMBA 20 часов назад
Nakubali nahuo uchambuzi
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 21 час назад
Kuna watu wanasema ooh et tunaiokomoa simba,hawa n wachezaj wamekuja tanzania kutafuta maisha n lazima watafute marisho sem nyingne sasa kwnn mtu usene ooh, tuawakomoa simba kwaio mchezaj akichezea simba hatakiw kuchezea team nyingne ujinga huu
@NasoroRafii-pt1ts
@NasoroRafii-pt1ts 21 час назад
Dah uyu jamaa anajua sana yaan
@sophyodago5062
@sophyodago5062 21 час назад
Usifante kitu ili kumkomoa mwingine,, najua yanga wanajaribu kuikomoa simba kwa kuwasajili wachezaji wa simba😂😂😂 ngoja tusubirie matokeo CAF CL
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 День назад
baleke hapana guede ni bora
@WizkidMwkalundwa
@WizkidMwkalundwa День назад
Simba were the best all time
@erasmusleonidas6729
@erasmusleonidas6729 День назад
Babacar, Jobe, Onana hawa waondoke chap
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 День назад
@@erasmusleonidas6729 onana ana kitu,, hawezi kukuangusha ndani ya mechi 3 bila goli
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e День назад
Hii ni league ya Tanzania,musisahau ilo, ko musije mukasema yanga wachawi,tunawajuwa hawo, hawataki wachezaji wetu, muwe na akiba ya mneno, ngoja league ianza.
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e День назад
Muwe na akiba
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw День назад
baleke aje takwimu zinaruhusu tunamjua kuliko wa kutesti isje ikawa kama jobe
@user-zq4xx1bx4h
@user-zq4xx1bx4h День назад
Labda
@onesphorymgedzi995
@onesphorymgedzi995 День назад
Acheni viongozi wafanye kazi unakazana sijui nani aondoke, viongozi wanajua wanacho fanya
@FabianMichael-gu1is
@FabianMichael-gu1is День назад
Boss wetu tunaomba atuletee fei na mayele
@user-xj5vu6vl5j
@user-xj5vu6vl5j День назад
Jobe xx
@ProsperSantos
@ProsperSantos День назад
Jobe. Babacar sar. fredy tumfikilie kwanz 🤣
@SaidMana-dp4et
@SaidMana-dp4et День назад
Ahmed ali tutajie majina ya wachezaji wa simba tuliowaacha mpaka sasa umetuacha njiapanda hatuelewi kitu hatujui nani kaachwa na nani kaingia tafadhari sana tupe majina kaka
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford День назад
Kama Kuna mashine Kali zimekuja wapewe thank you
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford День назад
Aondoke jobe na babakasar. Kanuti Onana,Fred wabaki
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 День назад
Wote hao waondoke
@CikeTanzania
@CikeTanzania День назад
Jobe,babakar sar
@babaabro8847
@babaabro8847 День назад
Kuna Augustine kutoka River United katangazwa mchana huu Muna lala sana
@kokolosaid7265
@kokolosaid7265 День назад
Pa omari Jobe,Kramo,Babakari ,fredy Maiko na Onana ni lazima watoke na lasivyo Simba SC haitafanya lolote mssimu huu unaoanza hivi karibuni
@EmmaPallanjo
@EmmaPallanjo День назад
Upo sawa ila Kwa Kramo abaki ana kitu apewe muda
@user-oe2ty7ds4g
@user-oe2ty7ds4g День назад
Pacome hajawa mvp
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw День назад
Jobe na Michael Kublan wanaweza kufanya maajabu msimu ujao.
@suitbertmaro5792
@suitbertmaro5792 День назад
Sina shaka na MICHAEL
@user-pp7im3us3v
@user-pp7im3us3v День назад
HYU JAMAA ANATUKANA SANA😂😂😂😂😂
@hassanmatumba5272
@hassanmatumba5272 День назад
Balele ni mbaya mnooooooo
@kubuleabdul6032
@kubuleabdul6032 День назад
Aondoke Jobe kanoute babaccar Sarr
@flova7022
@flova7022 День назад
Keep kanoute hajapata watu Sahihi tu
@mwanangusana
@mwanangusana День назад
​@@flova7022😂😂😂😂 sajilini vzr ndo la muhimu
@flova7022
@flova7022 День назад
@@mwanangusana Simba hujawahi sajili vibaya..sema tunashindwa kulinda wachezaji. Jifunze Kwa kramo .
@mwanangusana
@mwanangusana День назад
@@flova7022 Ina maana sawadogo, Jefferson, outarra Dejan, okwa na akina jobe ni wazuriii ila hawakulindwa ?? Then ayoub Lakred, Chama , tshabalala, Inonga na che Malone ni wazuri pia ila wao wamepewa ulinzi ?? Basi ongezen kampuni za ulinzi kk security na suma jkt kwaajili ya kuongeza ulinzii 🤣🤣🤣
@mwanangusana
@mwanangusana День назад
@@flova7022 kramo kafanyaje ?? Ina maaana Doumbia , konkoni kule yanga walikosa ulinzi??
@vitalisantony239
@vitalisantony239 День назад
Waliokwishaondoka ni Mickson, Saido, Chama na Inonga
@ludobudege1662
@ludobudege1662 День назад
Natamani jobe aondoke
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 День назад
Mungu wa ajab unaweza kukuta jobe akaja kukiwasha msim ujao
@mwanangusana
@mwanangusana День назад
Bora abakiii
@CikeTanzania
@CikeTanzania День назад
Ashasepa mda mbina
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 День назад
Friji bovu mbona kwa feilasufi friji limegandisha?
@thelesiagabriel7379
@thelesiagabriel7379 День назад
Mlete fei na mayele
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 День назад
😅😂
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 День назад
Kuna watu wanachheza usiku watu wanacheza usiku..😃😃😃
@vaxminja9053
@vaxminja9053 День назад
Baleke ni mzuri sanaaaa