Тёмный

FULL MUNAQASHA | USTADH SAID SHIRAZY NA BACHU - MJADALA BACHU ALIOSHINDWA KUJIBU SWALI 

Al Ihsaan TV
Подписаться 73 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 152   
@swalehfarid5466
@swalehfarid5466 Месяц назад
Raha Sannaaa ALLAH Awalipe Kwa Kumtetea Bwanamtume Swalla Llahu Aleihi Wasallam
@zuenajuma-si7wp
@zuenajuma-si7wp 9 месяцев назад
Hongera sadi mungu akuzidishie elim tupate kufaham zaidii❤❤❤❤❤❤❤
@سليمه-ح2ن
@سليمه-ح2ن 10 месяцев назад
Hongera ustaadh said machozi ya ushindi hayo ❤
@saidmansoor8528
@saidmansoor8528 10 месяцев назад
Angesema hajui tungesikia mengi mash ALLAH sheikh said dawaa zako na unavyomtetea mtume twaona
@abdulgadafi1922
@abdulgadafi1922 3 месяца назад
Ogopa Mungu saidmansoor Kwanza swali lilikua linafaa liletwe hivi je kulingana na kauli ya ulama wa kusahilisha hadithi je kauli ya Barzanji ni ya uongo?kama ni uongo toa thibitisho na kauli ya maulama...sio venye said Ameuliza aty je Barzanji ni Muongo kulingana na hadithi munkar alio tumia? Na kama ni Muongo Toa thibitisho kutokana na Maulama.....Hatuendi hivo baba Mkweli saa zingine hadanganya...na Muongo saa zingine hasema ukweli...
@kauga6934
@kauga6934 5 дней назад
Sh banchu Allah akuzidishie
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Hawaogopi hata mungu subhanallah yaani kazi kupoteza watu balaa hawa Allah anawaona
@salmaali7080
@salmaali7080 11 месяцев назад
Subhanallaj wajua waongea nini wewe
@issakikwazi-jm5rq
@issakikwazi-jm5rq 10 дней назад
akina nani hao? maana hapo kuna pande mbili
@سليمه-ح2ن
@سليمه-ح2ن 10 месяцев назад
Mashaa Allah ustaadh saidi Allah akuzidishie ufahamu wa kielimu mashaa Allah uko ngangari ❤
@mamuking257
@mamuking257 11 месяцев назад
Sheikh banchu mungu akuzidishie elimu
@KhamisAwesiAbdalla-of4no
@KhamisAwesiAbdalla-of4no 7 месяцев назад
Hakuna elimu ya aina hio hana hekima hata ndogo muislam hatakiwi kumzarau muislam mwenzak
@user-lw1nb1ot4e
@user-lw1nb1ot4e 6 месяцев назад
Dah ila niliangalia hii clip na mwanangu akasema neno nilishtuka kidogo kuusu bachu km anajua nini kinazungumziwa alisema hv huyu mwenye madev anazungumza Sanaa Hana point za maneno yanayotakiwa kuzungumza
@saidimurisa4600
@saidimurisa4600 5 месяцев назад
Azidiahiwe hicho kiburi ama
@shukah7
@shukah7 11 месяцев назад
Ustaad Saidi ""nope"" mashaallah ume weza❤❤❤❤
@abdulgadafi1922
@abdulgadafi1922 3 месяца назад
Wallahi mimi nimefuatilia nimeona kweli watu wa maulidi kuna ufiche flani wamo ndani ya Uongo
@issakikwazi-jm5rq
@issakikwazi-jm5rq 10 дней назад
lete ushahidi wa hayo
@AishahMuigu
@AishahMuigu 10 месяцев назад
Ukweli kwa mtu asieegemea upande wowote, ni kuwa maulidi hayawezi kutetewa kihakika. Na alieangalia debate ajua shaykh saeed alikwama kwa nukta moja ili asisonge ukafichuka ukweli kuwa upo urongo ndani ya barzanji. Allah amhifadhi shaykh Bacho.
@issakikwazi-jm5rq
@issakikwazi-jm5rq 10 дней назад
shekh kama akili yako ni mgando uliza ufahamishwe mbona swali liko wazi Bachu kashindwa kujibu ?
@caliaweys4006
@caliaweys4006 11 месяцев назад
سبحان الله
@habiybothman3286
@habiybothman3286 2 месяца назад
Huu mnakasha ili uuelewe vzr unatakiwa uwe hujasoma ila ukiwa unesoma maana yake utakua lzm ktk hizi pande mbili umeegemea upande wako na hapa huwez kuupata ukwel ila hamdulillah nimejifunza vzr sana mashallah
@UstadhkishkiAlikishki
@UstadhkishkiAlikishki 5 месяцев назад
Masha allah bachu
@eshasaid3258
@eshasaid3258 11 месяцев назад
Allah akubarik ustath said akuifathi popote ulipo
@eshasaid3258
@eshasaid3258 11 месяцев назад
Maulidi ya sowe niyamtume awabariki Al lhssan tv
@foos81
@foos81 11 месяцев назад
My Allah give peace oll sheiq faith 👈🤲
@TijosHaba-xi8vy
@TijosHaba-xi8vy 11 месяцев назад
Mwenye alifatilia huu munaqasha amefahamu Sana ukweli uko wapi kwa mana bacu alienda vizuri Sana Ila saidi alikuwa ameshatayarishwa kwa kubaki naswali lilelile .wakati limeeshajibiwa bacu alijibu swali.Allah akuhifadhi sheikh bacu
@salmaali7080
@salmaali7080 11 месяцев назад
We wajua unachokiongea mbona cc hatukuona wala kusikia swali kujibiwa
@salimasalim405
@salimasalim405 11 месяцев назад
Wacha unafiki ww kajibu swali gani wkt kakimbia kwenye kiti na sheria waliokubalina wasiende mbele mpk swali aliloulizwa ajibu 😅😅😅 Allah akuzididhie hekima na elima sheikh Sayd❤❤❤❤❤❤❤❤
@saidimurisa4600
@saidimurisa4600 5 месяцев назад
Wengi wenu hua ni ushabiki tu lakini bachu alishindwa live
@SHWAIBUATHUMANI
@SHWAIBUATHUMANI 20 дней назад
Nmempenda shekh saidi
@abuushehe3030
@abuushehe3030 Месяц назад
Maashaa wangee ukweli wapotouma wawisimu watuwamaulidi allaawongoze
@saidawadh-sx9fy
@saidawadh-sx9fy 7 месяцев назад
Kwa kweli hakuna jawabu zuri tena sahihi kama kujibu sijui Bachu jifunze kitu hapo
@caliaweys4006
@caliaweys4006 11 месяцев назад
Watu wa mawlidi muogopeni allah
@akbarosman3892
@akbarosman3892 11 месяцев назад
Hao makhurafi wamemsingizia mtume hao hawana elimu wala hawamuogopi Allah
@salmaali7080
@salmaali7080 11 месяцев назад
Una uhakika gani watu wa maulidd hawamuogipi Allah we mwenyewe labda hata swalla huswali
@shukah7
@shukah7 11 месяцев назад
@caliaways heshima huna Allah ni Capital letter no small plz
@issakikwazi-jm5rq
@issakikwazi-jm5rq 10 дней назад
maulidi yatasomwa mpaka kiyama kisimame
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed 11 месяцев назад
Wallah kwa huu mnaqasha nmepata mafunzo. Ambaye alianza kwa majigambo ,ww ni third eleven, mm ni first eleven,nakupa doze ndogo2, akili yangu ni Mara kumi,Kisha was kimbia mbiyooooo.ukiacha mnaqasha
@aminaabdullahi-tp5kn
@aminaabdullahi-tp5kn 11 месяцев назад
Hakukimbia aliona Saeed aongea Atakavo yeye si kuelimisha watu....kitu ushaambiwa Ni MUNKAR..si uwachane nacho ndio bachu akaamuwa kukiwacha...hakukimbia MUUOGOPENI ALLAH
@mozain9892
@mozain9892 11 месяцев назад
​@@aminaabdullahi-tp5knhapo kwenye munkar bachu ndo katoa hukmu ya uongo na jee kweli wanazuon ndivyo wasemavyo kua kutumia hadithi munkar unakua muongo?au kile kitu ulicho andika niuongo?hapo ndo kume mkimbiza bachu sabab alitakiwa athibitishe kwa maneno ya wanazuon kwann amuite barzanji ni muongo
@akbarosman3892
@akbarosman3892 11 месяцев назад
Nenda katafute elimu wee wacha maneno mengi, makhurafi ni wajuzi wa kuimba tu
@m.n.a2306
@m.n.a2306 11 месяцев назад
@aminaabdullahi.tp5kn...Tafuteni maana ya .MUNKAAR (it's NOT haram
@aminaabdullahi-tp5kn
@aminaabdullahi-tp5kn 11 месяцев назад
Sawa si harram....Saeed angetuambia ilifikaje...ama Kwa Nini ikaitwa hadith MUNKAR bachu aliona Ni MUNKAR Na pia ki elmu umebiwa Wacha na nayo....mbona mumekuwa vinganganizi Kuna hadith sahih Na Suna teleeee hebu tuxifanyieni kazi hizo
@caliaweys4006
@caliaweys4006 11 месяцев назад
Wewe kijana mbiriyani muogope allah
@youtubeosman8932
@youtubeosman8932 11 месяцев назад
🎉
@abdallahmohamed2928
@abdallahmohamed2928 6 месяцев назад
Na'am swadaqta Al akhy Bachu, anamsomesha kwa hoja zenye tija vizur sanaaa kijanaaaa ila kijana kaishalishwa matango poli ajifanya haelewi sub'hanallah 😂📌
@AthumanSultan-kd3dj
@AthumanSultan-kd3dj 2 месяца назад
Nabii Mussa pamoja na elimu yake yote Mungu alimuonyesha zaidi yake huna hekma
@KhamisAwesiAbdalla-of4no
@KhamisAwesiAbdalla-of4no 7 месяцев назад
Sh. Said shekh polite anajua kuongea ki elimu
@MrishoKhamisi
@MrishoKhamisi 5 дней назад
Jamani uisilaam dini ya aki bachu analopoka sana kasema mambomachafu amelekebishwa sana akisoma anasaihishwa sana muniambe nani mwalimu au lugha kwakwe bado
@KarimuKapundijr
@KarimuKapundijr 3 месяца назад
Bachu unajua sana ❤
@abdulgadafi1922
@abdulgadafi1922 3 месяца назад
Huyu kijana hana kauli yoyote said anakatalia kauli moja mbna aleti elimu mbna hatufundishi hata kitu
@ibnuidrisa3996
@ibnuidrisa3996 11 месяцев назад
Huyu bachu inaonkana anajua nahaw tu tena kidog san hata swarf haijui
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 8 месяцев назад
Hahaha mustwalahul hadeeth imemtoa jasho
@twahahamisi9924
@twahahamisi9924 Месяц назад
Hata ukiwambali mtu akipima maharage katika mzani utaona mzani umeelemea wapi nimeona na alhamdu lillah
@Said-q1p7g
@Said-q1p7g 7 месяцев назад
Shekh said wajna kasome ujuwe dini yako mauldi c dini hili liko wazi hata wendaazimu kucheza hawaiti dini
@user-ti6tn7bs9q
@user-ti6tn7bs9q 3 месяца назад
Halafu dj Said anajidai Muhammad bachu anatia sakna baada kumkosoa ilo kosa moja la kiubinaadamu tu ila baadae hakuna sakna zozote Kila kitu kimewekwa mahala pake ni choyo tu na husda ila dj Said kiukweli humwezi bachu muhuddi
@AmiriKassim-l5d
@AmiriKassim-l5d 14 дней назад
Bachu akasome
@abdallahvindili2269
@abdallahvindili2269 11 месяцев назад
Bachu wala hutaki mambo mengi hoja yako wataka waseme je wale wanyama kuongea Ni kweli?
@salimasalim405
@salimasalim405 11 месяцев назад
Leo limekua swali hilo sio tena uongo na ushirikina ? Mbn wanafki nyinyi mawahabi 😂😂😂
@WetendeMaher
@WetendeMaher 5 месяцев назад
Huyu jama Hana jawabu wasidanganye watu na maulid
@allyrashidi9875
@allyrashidi9875 3 месяца назад
Bachu ,,Hawa maghurafi ni wazushi na hawataacha uzushi mpaka kiama,,achana nao
@eshasaid3258
@eshasaid3258 11 месяцев назад
Aseme kama hajui azikiwe amekaa sana
@blazeking2331
@blazeking2331 11 месяцев назад
Sasa hawa majuha wa maulidi washerehekea ushindi gani ?
@hamzamohamedKeslivol
@hamzamohamedKeslivol 3 месяца назад
Na umefeli wapi kusema hujui
@allyrashidi9875
@allyrashidi9875 3 месяца назад
Saidi hajasoma,mbona hatufundishi Elimu yoyote hatoi Aya Wala hadithi ya kutetea urongo wa Maulidi
@KhatibKhamis-x9t
@KhatibKhamis-x9t 9 месяцев назад
Mpiga minanda tu huyu hana elimu
@KarimuKapundijr
@KarimuKapundijr 3 месяца назад
Ww saidi basi fafanua tujue mbona swali lako alieleweke
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 4 месяца назад
Kwa anae taka kuelewa kiurahisi Suali alilouliza Ustadh Said Omar Hadithi aloitowa Bachu ni munkar ni ktk vigawanyo vya Dhwaifu sasa yeye ilikuwa athibitishe mtu akitumia Hadithi Munkar ktk kitabu chake au yale maneno kupitiya kwa wanazuoni wa Mustwalahi Hadithi kuwa ni uongo. Kwa mfano Imam Ahmad Ibnu Hambal au Sheikh ibnu Taimiyah wao pia ktk vitabu vyao wamezitumia Hadithi Dhwaifu munkar kwa hivo pia hayo maneno ktk vitabu vyao itaitwa ni uongo? Bachu aliogopa kujibu kusema sijui alijuwa huko mbele kuna kichapo. Elimu hana ndio mpaka leo amepotea haonekani tena na kelele na hamasa zake kimnyaaa
@abdulgadafi1922
@abdulgadafi1922 3 месяца назад
Assalam Aleikum.Bismillah wwe Nina swali Moja Wwe ni Wa Maulidi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 3 месяца назад
abdulgadafi1922 Alhamdulillah tena mimi ni yule wa damu kabisa mpaka siku ya kiyama Maulid yamo ndani ya roho yangu madamu ni kusifiwa Mtume S.A.W
@AmiriKassim-l5d
@AmiriKassim-l5d 14 дней назад
Swadakit Hilo ndo swali aliloshindwa bachu ndo maana sai hataki kwenda mbele
@khitamcaptainveca5045
@khitamcaptainveca5045 5 месяцев назад
Kusema kitu chiko kwa kitabu changu ni uongo na uwezo kuthibitisha kwani niko kwa unongo. Iyo ni mtihani
@MussaMc-g6j
@MussaMc-g6j 3 месяца назад
Bachu ww unajua mpka unakera
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 9 месяцев назад
KWAKWELI NIMEMENDA MJADALAA LAKINI NIMESIKITISHWA SANA NAMAKELELE YA MASHEKHEE SASA MWAZOZANAA SASA HIZO NIKELELEE TUU TABIAGANI HIYOO ??? KUWENI WASTARABU SIKUNYINGINE SISI TANZANIA TUNA MIJADALA LKN SIYOO HIYOO ISIYOO NA STAHAAA
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 11 месяцев назад
Mbwembwe nyingi bachu kuja chali😂😂😂😂
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Afadhali mdahala wa tanga kuliko huko mombasa hamna elimu kabisa
@blazeking2331
@blazeking2331 11 месяцев назад
Maskini nawaonea huruma Allah awaongoze njia ya haki
@abuushehe3030
@abuushehe3030 Месяц назад
Shekhebachu tunakutemea mm mwenyewe nilikuwa kweyeuwongohua
@AthumanSultan-kd3dj
@AthumanSultan-kd3dj 2 месяца назад
Kazi Yako kutukana tu mtu anaweza kupewa utajiri akautumia vibaya na elimu vivohivyo elimu ya sifa elimu ya majivuno majivuno mkubwa ww umepatikana huna hekma kabisa
@AhmadiMadua
@AhmadiMadua 2 месяца назад
Bacho umeyakanyaga hunachochote
@JumaMohamed-y4w
@JumaMohamed-y4w 3 месяца назад
Buchu umekwama takhriji ya rawaya si tayari ushetaja mnkari sasa tena takhriji gani wakati ushasema munkari ndiyo takhriji.
@سليمه-ح2ن
@سليمه-ح2ن 10 месяцев назад
Jamani raha Hadi basi❤😂
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Wewe si ndio ulimuita uje umfundishe kuhusu maulidi mbona wakazana na mtu wa barazanji
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b 2 месяца назад
bachu yupo sahihi kabisi,huyu saidi ababaika hatumuoni na swali la kimsingi mwenye akili ashaelewa haki iko wapi,mana maneno ya bachu yapo wazi kabisa,sijui huyu saidi hajaelewa nini zaidi yaubishi tu.
@AhmadiMadua
@AhmadiMadua 2 месяца назад
We bacho ni mjingakweli
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 11 месяцев назад
DAKIKA YA 12 BACHU ALITABIRI KILICHOTOKEA MASAA KADHAA BAADAE.
@AthumanSultan-kd3dj
@AthumanSultan-kd3dj 2 месяца назад
Bachu muoga anaongea sana jjibu Moja tu muongo kumbe muongo yeye
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 9 месяцев назад
Huyu dogo bachu anajua sanaa
@abuushehe3030
@abuushehe3030 Месяц назад
Kwann watumaudi siwalewa
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b 2 месяца назад
nani haja muelewa bachu nani hajamuelewa tukiacha ushabiki ,tunaona bachu yupo sahihi kabisa
@user-lo5gg8jk8g
@user-lo5gg8jk8g 5 месяцев назад
Huyu mohd bachu angelikua ni mimi hapo asingenigusa coz ufahamu haujui kabisaaaa
@MussaMc-g6j
@MussaMc-g6j 3 месяца назад
Dj. Anafungua akifunga tu hasemi kitu ..au kakaririshwa 😂😂😂😂😂
@AmiriKassim-l5d
@AmiriKassim-l5d 14 дней назад
Hajajibiwa bado
@hassanyassin159
@hassanyassin159 2 месяца назад
Dah,ushabiki tu hapo. Watu tumeelewa ukweli
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr 2 месяца назад
Jamaa alibanwa kisawasawa kabisa siku hii🤣🤣 naamini hii siku ilikuwa mbaya sana kwake, Nabaada yakubanwa akaona kuwa hapa kuna kina kirefu chabahari akaanza kupungu speed anaposoma kiarabu nasio kawaidayake 🤣🤣
@MusafirBaba-wy8kh
@MusafirBaba-wy8kh Месяц назад
Jitu la maulidi lajiita ahlusunna hii ni maajab
@otaibonny8835
@otaibonny8835 2 месяца назад
Mojawenu basi aje kutetea islam katika mjadala na wakristo. Unaweza toa vedio kualika Ndacha au mwingine kwenye mjadala… Mtume wenu alirogwa, ninyi nyote mnapoteza muda
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Kwani Sisi tumekuja kushindana au kuelimishana mbona mnamashindano angalieni wanavyocheka kiunafki
@user-lo5gg8jk8g
@user-lo5gg8jk8g 5 месяцев назад
Nandomaana huyu bachu baada ya munakasha huu baadhi ya wanafunzi wake wamemkimbia
@JumaMohamed-y4w
@JumaMohamed-y4w 3 месяца назад
Bachu kasome mustwlahil hadith acha janjajanja
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 6 месяцев назад
Hapa nimesibitisha kua elimu imeanza Zanzibar ndio ikafata huko mombasa maana Bachu yupo ktk mstari hao masheikh wa kenya wanamtoa ktk njia
@user-lo5gg8jk8g
@user-lo5gg8jk8g 5 месяцев назад
Hujui kitu nyamaza
@AmiriKassim-l5d
@AmiriKassim-l5d 14 дней назад
We Bado hujasoma
@mamuking257
@mamuking257 11 месяцев назад
Tuko saudia tumeona live banchu ni msomi na said Ame shindwa kutetea maolidi
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 6 месяцев назад
Said ameshindwa kutetea maulid
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 11 месяцев назад
walokua hawakuuona ndio watamhukumu bachu but km utaangalia kwa makini bachu yuko sw sana
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 месяцев назад
Kwa usani M.bachu yuko juu zaidi ya diamond ila Kwa elimu dini aifahamu
@akbarosman3892
@akbarosman3892 11 месяцев назад
Bachu ni shkh na saidi ni msanii wa taarabu 😂😂😂
@vuaisharif2718
@vuaisharif2718 11 месяцев назад
Yupo sahh kw lip?
@salmaali7080
@salmaali7080 11 месяцев назад
Allllaaa😂😂😂😂
@user-on1vh9nf9k
@user-on1vh9nf9k 11 месяцев назад
Huyu bachu hajui na ukiwa pamoja nae pia nawe ujui. Aleta mada nyingine hiyo sio
@HamdaniMmbaga
@HamdaniMmbaga 3 месяца назад
BACHO elimu unayotoa ni ya chuo kikuu unabishana na mtoto wa darasa la nne
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 6 месяцев назад
Ninachowasifia mawahabi wao hawajui neno kushindwa hata wakishindwa kweli.. Nyuso zao ni kavu mbele ya hadhara hata wakionyeshwa ukweli wa mambo ulivyo
@AmiriKassim-l5d
@AmiriKassim-l5d 14 дней назад
Hao si watu wa misimamo bila elim
@user-ou2qr1sb9x
@user-ou2qr1sb9x 8 месяцев назад
Bachu kwahili atakufa anajilaumu kukutana nahuyu kijana mdogo zaidi yake
@user-lo5gg8jk8g
@user-lo5gg8jk8g 5 месяцев назад
Bachu hajui wewe umeshidwa swali👎👎👎👎👎
@user-dp1dj8ti6h
@user-dp1dj8ti6h 7 месяцев назад
Anayeongoza watu ni allah,afu ishu si ubishi bacho ishu ni kupata radhi K
@mubariekabrahams2650
@mubariekabrahams2650 10 месяцев назад
Madisco ni haramu tu
@kisuwamwabaka333
@kisuwamwabaka333 11 месяцев назад
Huyu kijana alikaririshwa ujinga. Towa ushahidi wa ukweli ya hayo maneno.acha kuuliza swali swali
@salmaali7080
@salmaali7080 11 месяцев назад
Unaushahidi gani kuanalikaririwa
@NasiboIsack
@NasiboIsack 11 месяцев назад
أهل الطريقة،: مثلهم كمثل الحمار يحمل أسفارا.. كيف تستغرقوا وتضيعوا تلك الوقت الطويلة الثمينة على كلمة واحدة منكرة؟!!،
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Elimisheni watu uzuri wa maulidi mbona mwapotezea Muda inafaa na dalili haifai na dalili Hamna dalili kazi kufurahia Biriani la maulidi maskiin
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Wanacheka kinafki wamepanga wavuruge bachu ondokeni haina haja ya kubishana na majuha kalulu
@salimasalim405
@salimasalim405 11 месяцев назад
Wacheke 2 maana first eleven kayakanyaga
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Maskiin saidi huna lolote ya rabbi
@salmaali7080
@salmaali7080 11 месяцев назад
We unanini tajiri
@salimasalim405
@salimasalim405 11 месяцев назад
Mwenye lolote tunamuona kajibu swali aliloulizwa😂😂😂
@eshasaid3258
@eshasaid3258 11 месяцев назад
Azikiwe amechukuwA masa migi
@albahryhassan2371
@albahryhassan2371 6 месяцев назад
Sina ufahamu mno wa masuala lakini katika huu mjadala ni wazi Bhachu ameshinda kwa ufahamu na kufafanua mambo
@bakarimwafrika3956
@bakarimwafrika3956 11 месяцев назад
You've wasted our Time! You simply had to act mature en you couldn't unfortunately.
@caliaweys4006
@caliaweys4006 11 месяцев назад
Kijana hukusoma unesomesha ubiriyani tuu
@salmaali7080
@salmaali7080 11 месяцев назад
Kama wewe unavyosomeshwa pilau
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 6 месяцев назад
Bachu kajibu kielimu maana hilo swali halipo
@ghostlion1999
@ghostlion1999 11 месяцев назад
Bachu alijibiwa suali lake
@HamdaniMmbaga
@HamdaniMmbaga 3 месяца назад
Wameathirika na pilau hao watu wamaulidi
@bobdeobobdeo8026
@bobdeobobdeo8026 11 месяцев назад
Masalafi ni maneno tuu kaeni msome acheni elimu ya karirishwaa.
@akbarosman3892
@akbarosman3892 11 месяцев назад
Masalafi wanasoma qurasn na hadith nyie mnasoma barzanji 😂😂
@alwysaggaf
@alwysaggaf 11 месяцев назад
@@akbarosman3892Kama kusoma Hadithi ndio hivi na hamujui zitumikavyo basi kuna mtihani mkubwa. Kuna dharura mukasome tena hizi Hadithi na Qur’an sio kwa vibaya 🙏
@HAMZACHARO-xj4ze
@HAMZACHARO-xj4ze 10 месяцев назад
Huyo saeed anatakiwa ajibu swali wala sikujifanya kurudisha maswali yasiyo luwa namsingi wala muelekeo
@HamdaniMmbaga
@HamdaniMmbaga 3 месяца назад
Wasomeshe hao watu wa ubwabwa
Далее
SHEIKH MUHAMMAD IS'HAKA AWARIPUA WATU WA TWARIQA
1:24:46
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,3 млн
Mini bag sealer
00:58
Просмотров 5 млн
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,3 млн