Mboso anakipaji kikubwa sana cha kuimba LIVE! Siyo kama wale wapiga mayowe na makelele kwa stage! Huyu anamfunika mpk boss wk kwa KUIMBA LIVE💃❤❤❤❤❤ BIG UP MBOSO💯♨️♨️
The king 👑 Mbosso Khan 👑👑is back,, fire fire 🔥🔥 this is what we need in our industry, congratulations 🎉🎉🎉 brooo we are so proud of you 👏👏👏🌲🌲🌲🌲🌲🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nidhamu,Kujituma na kujua nn unahitaji kunakufikisha mbali kimafanikio.... Wenzie kwa kusikiliza maneno ya watu na uongo ,leo, unaweza kupita mwaka usisikie lolote zaidi ya skendo
Tena huyu hataki hata mambo ya wcb utazani hayuko huko unaona yuko kimya yeye na lavalava inaonesha hawa hawana pesa zakutoka mambo ya mondi na harmonize huyu kakaa kimya na lavalava na harmonize wala hajawahusisha yule bwege wake rayvanny kujipendekeza sana kwa mondi ndo ana mdomo
Ukinambia pafomans kubwa ya live mwaka huu hii no 1 umefanya vizuri sana nlkuwepo lakini bado leo nmeshina naangalia hii shoo kama mala tatu toka ahsasubuhi🌍🔥🔥
Show nzur sana But mlitakiwa kuwa contro watu namna ya kutunza fedha kwa Mboso zimerushwa sana chini na sheria amekataza nwdays sijui what will happen lkn but you have to be careful na hiz sheria
HUYU NDIO MSANII KONKI ANAYETAKIWA HASAA👌 SAFI SANA ANAIWEZEA SANA LIVE BAND KWASABABU TANGU MDOGO NDIO ALIANZA NA STYLE HIYO PALE YAMOTO BAND SO VITU KAMA HIZO HAZIMTOI JASHO KAAABISA YEYE KWAKE NI MTELEMKO TYUUU SAFI MNOOOOOO
Natokea Kigoma Hapa Kwetu Kitaa Wanabishana kuwa hii songs unachezaje kuwa ni MOVIE WENGINE WANASEMA VIDEO YA UNACHEZAJE NI ZAIDI YA NYIMBO NI ZAIDI YA MOVIE HOGELA SANA BIG SIMBA
Mama dangote mbona kavaa black haina mvuto utadhani kavaa kaniki.alivyo panda jukwaani nimeshtuka he nani huyo kumbe mama dangote.ungevaa blak yenye mg'ao kama airen uwoya ungevutia kuliko hilo koton halina mvuto.pia airen uwoya kapendeza lakini uchi jamani mhh.mbosso hongera yako.
Sijui Kwa nini maagizo yanayotolewa na serikali watu hawataki kuyafata, serikali ilishakataza stairi ya kutunzwa jukwaani Kwa kutupa hela chini lakini Bado watu hawataki kuelewa
Hayaa mashindano wangekuwa wanatoa makamisaa nchi zingine ambazo hazina washiriki ili pawepo na equality...lasivyo kama ndy hivi watu watakuwa wanapendelea nchi zao..ww kamisaa mkuu anatoka rwanda hata ingekuwa mm natoka tanzania ningempitisha mshindi mtanzania..hili waliangalie.