Walizubaishwa na passes za nyuma kumbe ndo kunatengenezwa shambulizi la kushtukiza, nimependa assist ya ashinda kama mbele tu. D1 wameonesha kiwango cha juu sana , walionesha hali ya ushindi mapema tu,. , kwa huu mchezo wa D1 sina wasi wasi na kuchukua huu ubingwa.