Wanawake msiwe na Tabia ya kuwaambia watoto wenu maneno mabaya juu ya wazazi wenzenu jamani mlipendana inakuwaje muwe waadui jamn mm nawapenda wanaume wanajitambua hata kama uondoke lakini hawasemi baya mungu awabariki wanaume wote
Mama Loveness ndio wakulaumiwa, damu nzito kuliko maji, Abel alijua wazi Loveness ni mwanawe alikua anajaribu kumtafuta Loveness amwambie ukweli lakini mamake ndio alikua hataki iwe ivo, ona walichofanya watoto sasa, funzo kwa wengi tambulisheni watoto wazazi wao ata kama mliachana kuna leo na kesho😢
ila nyie bana hio kingereza mnaonafika hamuezi bt you're continue to force issues, ati what else dadie, yani mnatumia kauli za kingereza kwenye haideserve hamuoni kama mnajidhalilisha. anyway mnafanya vizuri sana may God will rise your talent guys