June 26, 2017 katika Ukumbi wa King Solomon Hall Masaki DSM kulikuwa na onyesho kubwa la Standing Comedy ambapo mastaa wa vichekesho kutoka Afrika Mashariki walikutana kuwavunja mbavu mashabiki wao miongoni mwa walioacha headlines zao midomoni mwa watu ni Eric Omondi wa Kenya na MC Pilipili wa Tanzania.
26 июн 2017