Тёмный

FUMANIZI; BOSS ALIVYO KAMATWA NA DADA WA KAZI GEST, MKE AMWAGA MACHOZI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 70 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 384   
@GodwinNgosso
@GodwinNgosso 2 месяца назад
Mimi ni mwanaume lakini Mama kamufedhehesha mmeake hii siyo kabisa Makosa kaumbiwa Mwanadamu, naombeni mtunzeni siri zenu Maana Baada ya hapa ni aibu ya Family na migogolo kila sku.Mambo yenu malizieni chumbani huku ni kuwafaidisha watu wasiohusika.
@AggyMusoma-wb2kn
@AggyMusoma-wb2kn 2 месяца назад
Akiyamunguuu hiiiiii nimovie
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 2 месяца назад
Yani ht Kam mume wangu ananichiti siwezi kumdharirisha mbele ya kadamnasi😢😢😢😢Tena na watoto yarrabi nipe utulivu ktk ndoa yangu
@kamarhelo
@kamarhelo 2 месяца назад
Amiina kipenzi
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 2 месяца назад
hongela sanaaaaa sanaaaaa kwakua nawazo tu kama hiro
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 месяца назад
Nimeumia sana kiukweli nawifi hongela sana kwa kumjali mwanamke mwezio .niwachache mawifi kama hawa .😊
@mkondomkondo4721
@mkondomkondo4721 2 месяца назад
Wifi big up,safi sana
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 2 месяца назад
Part two
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 2 месяца назад
Maigizo! Nyooooh
@eagleeyes4449
@eagleeyes4449 2 месяца назад
Episode 2 inatoka lini?
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 2 месяца назад
Wanawake Jeshi kubwa: hata huyu mama naye amejidhallilisha na kudharilisha watoto wao; Bint naye Bado kamwegemea kifuani bos wake;Hawa hawataachana kamwe kwa kuwa huyu bosi Ni mwislamu amwoe tu awe mke halali wasiendelee kuzini ameonja asali hawezi kimwacha kamwe watabadili tu sehemu ya kukutania hata nje ya mij watakwenda najua kwa huyu Bint kazi ndio basi hapo watapata uhuru wa ktosha kufanya ufuska wao dawa moja tu waoane japo najua bi Mkubwa hataisha kinyongo naye
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 2 месяца назад
Mungu azidi kunipa moyo wa uvumilivu siwezi kumuaabisha mume wangu mbele ya kadamnasi
@jeannenibizi353
@jeannenibizi353 2 месяца назад
Aaaààaaaq
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 месяца назад
Hujapigwa matukio wewe?
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 2 месяца назад
@@julianamaganga4803 napigwa matukio na bado mwanaume naishi nae Sema Nina hofu ya mungu ndomana nipo tu
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 месяца назад
@@ZainaHalifa una kiti chako mbinguni
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 2 месяца назад
@@julianamaganga4803 siyo hivyo ndugu ujue kuachika ni aibu na isitoshe wanaume wameruhusiwa kuoa wanawake mwisho wa mnne
@TulloNgelela-oy1xh
@TulloNgelela-oy1xh 2 месяца назад
Huyo house girl nimzur hata boss aichape2😂😂😂😂😂
@sharifuliki2056
@sharifuliki2056 2 месяца назад
Halafu changamoto iliyopo hapo dada ni mzuri kuliko mama mwenye nyumba
@mathiasnyalulu3828
@mathiasnyalulu3828 2 месяца назад
ndo hapooo, halafu huenda anaheshima na nidhamu zaidi ya mama mwenye nyumba.wanawake kuweni siliaz na ndoa zenu
@gracemushi3668
@gracemushi3668 2 месяца назад
Jamani wanaume hua wanaboa sana,, lakini siwezi kumuaibisha Mume wangu kiasi hiki, kwanza baba wa watu kama ana Bp si unamuua jaman😢 kiukweli mmekosea kwa kumzalilisha
@SaidMgeni
@SaidMgeni 2 месяца назад
Jamani
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 месяца назад
Kweli kabisa
@josephombaka
@josephombaka 2 месяца назад
AIXE HUYO MZEE AMEKOSA POZI GAFLA ILA IKIWA NI MM NASEPA NA LIWALO NA LIWE
@mwakasagule
@mwakasagule 2 месяца назад
Jamani eleweni hiyo ni movie, watu wanashuti. Hizo ni drama wasituchezee hawa. Na kama ingekuwa ni kweli, basi hapo wote ni makahaba, hakuna mwenye uhalali wa mume. Maana angekuwa ni mke wake kweli, asingeweza kutengeneza tukio la hivyo.
@HelmanSolomon
@HelmanSolomon 2 месяца назад
wanawake mujichunguze kwanza, musijitie kufumania tuu, angalieni tabia zenu kwanza,
@TheresiaMtengule-z9l
@TheresiaMtengule-z9l 2 месяца назад
Hiyo movie keli
@thhtthht1485
@thhtthht1485 2 месяца назад
😢😢mzee katoa macho daaah hii isikie kwa mwezako😢
@SifaMasamba-rq6ee
@SifaMasamba-rq6ee 2 месяца назад
Wapihe wamaliziye akunakitu kizuri Kama uroda🔥🔥🔥🔥🔥💯💯😁😁😁😁💋💋💋
@C7Simulizi
@C7Simulizi 2 месяца назад
Eti inamaana mmepanga😅😅😅 ningekua mimi ningekataa na msimamo juu kuwa sijafanya kabisa na siwezi kutembea na dada wakazi.
@DinaMahambo
@DinaMahambo 2 месяца назад
Hata wakiomba msamaha kesho anaenda kurudia kilekile. 8:18
@JOSEPHMwakibinga
@JOSEPHMwakibinga 2 месяца назад
Zaina nakupongeza sana kwa ujumbe ulioandika kama moyo wako ni mdogo yanini uliita watu? Kitu dani cha ajabu hapo? Ndio maana lilikuepo fumanizi. makosa tumeumbiwa wanadam
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj 2 месяца назад
Mm ctaki Dada wa Kaz
@C7Simulizi
@C7Simulizi 2 месяца назад
Lazima nikuletee
@hanifaa1487
@hanifaa1487 2 месяца назад
😢😢😢😢jamani jamani
@sharifuliki2056
@sharifuliki2056 2 месяца назад
Huyo mama ni mshenzi sana huwezi kumfanyia hivyo mume wako
@lovenesszedekia7814
@lovenesszedekia7814 2 месяца назад
Sema story nying za mbengo tv siaminig maana hawanaga story za ukweli mnakumbuka ile ya Yule mama alie kuwa ameolewa na kijana mdogo
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 2 месяца назад
Hii movie inaitwa nini
@gaudencechuwa1791
@gaudencechuwa1791 2 месяца назад
Mmmmh hili igizo dada wa Kazi awe hivi kweli?
@Grace-cq7zj
@Grace-cq7zj 2 месяца назад
Akina sarah ndivyo walivyo niwahuni balaa uku tabora kuna madam mmja ni mwalim ameolewa ila anachanganya maafisa elim waalim na waratibu ni mchafu balaa
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 2 месяца назад
Mhh nikujizalilisha mwenyewe angefanya siri tu amfukuze bint wakazi basi maisha yaendeleee sasa mzee akigoma sikutaki tena au akaendelea na bint ovyooo
@EvelyneMbwambo-b1w
@EvelyneMbwambo-b1w 2 месяца назад
Hyu dada mtu nae ni mjinga sana
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
Hii kali ya mwaka wallah duuh dada han hata khaya anaenda kumuanika kaka ake mungu wangu
@aminasoud2874
@aminasoud2874 2 месяца назад
Les kweli
@kamarhelo
@kamarhelo 2 месяца назад
Kamuaibisha kaka ake kweri Tena kaenda na waandish kabisa
@blaisepato2683
@blaisepato2683 2 месяца назад
Uyo Mke wake ni kama amajidhalilisha mwenyewe sasa iyo fumanizi ya nini si angekaa wakayajenga kwakuwa alishitukia mapema ila kashindwa kajiona bisho mpaka aweke kwenye Media ale chuma hicho 😂😂✅️✅️
@AggyMusoma-wb2kn
@AggyMusoma-wb2kn 2 месяца назад
Akinaaaaa mama kimbo jamaniii niwengi
@AminaShosho
@AminaShosho Месяц назад
Nyie wasenge hiyo Siyo kweli
@HusnaSaidi-ge9ei
@HusnaSaidi-ge9ei 2 месяца назад
Hivi ni kweli au igizo
@MaynashoniMvuyekule
@MaynashoniMvuyekule Месяц назад
Daaah inaniuma kwerii lakini akuna jinsi
@Afisakigua9578
@Afisakigua9578 2 месяца назад
Yaani mzee mzima anajizalilisha kwenye maigizo
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 месяца назад
Noma upuuzi huu
@EvelyneMbwambo-b1w
@EvelyneMbwambo-b1w 2 месяца назад
Hyu mwanamke ni shnkupe hafai kuwa mke yaan uende na marafiki zako guest kumdhalilisha mumeo loh!
@azariamarembo3653
@azariamarembo3653 2 месяца назад
Hiyo imetengenezwa sio kweli
@nikorauskapisi7721
@nikorauskapisi7721 2 месяца назад
Mama kajizakilisha
@reymadavid9102
@reymadavid9102 2 месяца назад
Igizo hilo😂
@bilid4128
@bilid4128 2 месяца назад
😂😂😂
@harry5395
@harry5395 2 месяца назад
Sure
@ReginaJumanne
@ReginaJumanne 2 месяца назад
Me nawez nikamnyonga kabix
@jadetoto
@jadetoto 2 месяца назад
Nilikuwepo ni true story
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 месяца назад
😂😂😂
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 2 месяца назад
Asa c kujiabisha we mama kwann usiende pekeako mm hata nimkute tutamaluzana home tena chumbani
@KhayratMhina
@KhayratMhina 2 месяца назад
Hamjui takuigiza serious
@HafsafakiKhamis
@HafsafakiKhamis 2 месяца назад
Mbona hyo mke na mume ni tofaut sana, alafu ni maigzo hyo
@eleneokaguo6867
@eleneokaguo6867 2 месяца назад
Hii chanel Ni ya uongo sana
@maureenmgeni
@maureenmgeni 2 месяца назад
Wamejtahidi kuigiza vizuri
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 месяца назад
Aaa wapi upngo wenu sio poa kabisa
@MariamMwikongi-go2dj
@MariamMwikongi-go2dj 2 месяца назад
Huo ni uzalilishaji, mwanamke ungetumia hekima, maana huyo ni mmeo, kufanya hivyo sio kumfundisha.
@editaruta4845
@editaruta4845 2 месяца назад
Siamini kama ni kweli hizo ni drama kwani dada wa kazi mrembo anaonekana ndo mama mwenye mji
@JosephinaLyimo
@JosephinaLyimo 2 месяца назад
Siwezi kukizalilisha kipenzi changu atasikumoja ataanifanyie baya gani tutayamalizia chumbani mume wangu chaupole wangu nimzalilishe MUNGU nipe moyo wauvumilivu nahekima
@JumaChapalama-pi1nj
@JumaChapalama-pi1nj 2 месяца назад
jaman muacheni amalizie jamani
@BobgIsmail
@BobgIsmail 2 месяца назад
Kwa mke mwenye upendo na mumewake hafanyi hv
@Elizabeth-ds7yk
@Elizabeth-ds7yk Месяц назад
Hi si poa ni nani mkamilifu
@SALOMESEKIJA
@SALOMESEKIJA 2 месяца назад
mbona kama igizo
@katondostudio652
@katondostudio652 2 месяца назад
Yani naqez kuwalamb ngwala zaajabu. Kwani kumla anaisha? Amekula kadada kazur mbona😂
@ReginaJumanne
@ReginaJumanne 2 месяца назад
Dada wa kazi tamvua huyo alikuq anajibuludiash2 na anakupotezea mda muwe mnatafut rizik zenu hamjui wenzen wametoka wapi jaman ona mwanaum anavoshangaa hiii dunia hii bc2 hat me nimeumia jamn
@JoharJohar-p4v
@JoharJohar-p4v 2 месяца назад
WiFi unakiti chako mbinguni ❤
@Mamshika
@Mamshika 2 месяца назад
Ni ulize tu hii tv inaonyesha maigizo ya kufumaniwa?
@geofreysilaa2878
@geofreysilaa2878 2 месяца назад
Dada Mzuri kuliko mwenye😂😂 9:57 mume..
@PeninaMlay
@PeninaMlay 2 месяца назад
Bint wa kaz mbona Huyo Dada mkubwa hvo au kaz za bar au duka mana nyumban mh huyo n mke mwenzio
@nadiatanzania
@nadiatanzania 2 месяца назад
Uswahilin Kuna vituko 😅
@allyiddakizimana7103
@allyiddakizimana7103 2 месяца назад
ni igizo.mwanaume wa kifrika hawezi kufumaniwa na mke wake kisha akawa mpole.ingekuwa kweli hao kinadada wangekula kichapo na hapohapo angesema sio yeye wanamsingizia
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 2 месяца назад
Analia nini wakati alitaka mwenyewe
@AggyMusoma-wb2kn
@AggyMusoma-wb2kn 2 месяца назад
Hiiii nimovieee ganiiii
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 месяца назад
Wanawake wenye ndevu tunateseka sana na mahusiano
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 2 месяца назад
Visichana wa tz tamaha ndio zinawaponza
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 месяца назад
Dada wa kazi ni kama nyinyi kwan yeye alimpendea nini.
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 2 месяца назад
Umekosea sana kumvua nguo mumeo ungemsubilia nyumbani
@AggyMusoma-wb2kn
@AggyMusoma-wb2kn 2 месяца назад
Jamaniii mam ndo ukafumanieeee na watuuuuu woteeeee ao
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 Месяц назад
Mzee mpe huyo mke talaka mchukue huyo muishi usivumilie upuhuzi huu kwa huyo mke ulimkuta bikra naye si tiyari alikuwa mjane tu
@ReginaJumanne
@ReginaJumanne 2 месяца назад
Yaan mke kam kashikwa na degedege nyie wanaum ni chanz cha wanawake weng kuwa na magonjwa wengn ndo iv kam ana presh xi anadedi hapo2 😊😊
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Uwongotu.
@Afisakigua9578
@Afisakigua9578 2 месяца назад
Kwani boss anafumaniwaje
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 2 месяца назад
Hii ni maigizo
@mkusirashiddullah-ms3op
@mkusirashiddullah-ms3op 2 месяца назад
Nitafanya picha za mitindo sasa kwa sababu mbona kanifatilia
@bennyngoye8707
@bennyngoye8707 2 месяца назад
Alafu baada ya hapo nirudi nyumbani 😅😅😅😅😅😅,ndo naenda kuishi na dada wa kazi kabisa.
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 2 месяца назад
Yaani huyo mdada ningekuwa mimi angekalia kisu leo
@AggyMusoma-wb2kn
@AggyMusoma-wb2kn 2 месяца назад
Eeeeh jamaniii uyuuu baba anaupendooo San badoooo anambembeleza dada anyanyukeee yupooooo vuzuliiii anaupendo
@mathiasnyalulu3828
@mathiasnyalulu3828 2 месяца назад
kama mm nambeba dada wa kazi tunaenda kuishi hukoooooo
@umfahad2609
@umfahad2609 2 месяца назад
Ht wtt wao hawatapenda, wakiona baba yao kadhalilishwa hivi mitandaoni. Huy baba ana makosa. Lkn mama una makosa zaidi. Sbb aibu ya mumeo ni ya kwako. Mngeyamaliza wenyewe. Hii ni aibu kubwa.
@DinaMahambo
@DinaMahambo 2 месяца назад
Mmmh hivi vitu vinasikitisha sana ,na vinauwa familia sana.wababa hawa Tamara sana ,na hawapendeki,hata uwafanyie nini ni bure.
@salmauae2261
@salmauae2261 2 месяца назад
Wango mfanyakazi mtu mzima ansonekans anafamilia yake kabisa😊😊kiki Wanaka umalufu
@SalhaSuleiman-y8m
@SalhaSuleiman-y8m 2 месяца назад
Yaani huyo baba angemuoa huyo dada maana huwezi kumdhalilisha hivyo
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 2 месяца назад
Mola aninusuru ila mm ningemsamehe mumewangu wala isingefikia uko bora kama nimechoka kubwa ningemwambia niache basi
@FortunataNguma
@FortunataNguma 2 месяца назад
Binti mzuri hivyo Uwajui wanaume
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 месяца назад
Jamani hata makofi mawili TU Kwa Huyo dada wa kazi hamna!!! Mmenikera
@fatuma5208
@fatuma5208 2 месяца назад
Jamani mzemzima.jamani
@VailetLameck
@VailetLameck 2 месяца назад
Ungekuwa ww ungekubali
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 2 месяца назад
Movie tu hii
@OlifaKiza
@OlifaKiza 2 месяца назад
Ila SHETANI kwenye FUMANIZI uwa anaonewa San Sijuwi Kwanini😢😢😂😂😂
@loner_wolf
@loner_wolf 2 месяца назад
Hii Movie kweli , chezea fumanizi wewe 😂😂😂😂😂
@BakariBamvua
@BakariBamvua 2 месяца назад
Mtto mwenyewe mzuri kiasi hiko...mzee uvumilivu umemshinda😂😂
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 2 месяца назад
Yani www mhudum ingekuwa Mimi ndo bosi siku iyo nakufukuza kazi
@editakinoge2704
@editakinoge2704 Месяц назад
Uongo polisi wako wapi
@mwanatumu7012
@mwanatumu7012 2 месяца назад
😂😂😂😂😂heri ni cheke mie
@EbambeWakilongo
@EbambeWakilongo 2 месяца назад
Mumuhache bana 😂😂😂😂😂 😊
@LillianS-qt6gi
@LillianS-qt6gi 2 месяца назад
Mmmh🤨🤨 hii ni story ya uongo iliyotungwa ili watizamaji azani kama ni ukweli. Wengine wanatakaga kiki kwenye vyombo vya habari. Wameshindwa kuigiza films, ila wanaona wafanye hivi 😏😏😏.
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 2 месяца назад
Wanavyo jigalagaza kwenye mashuka ya guest
Далее
VITUKO VYA KWENYE DALADALA STEVE KIMEMLAMBA NDARO
8:00
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
РОК-СТРИМ без ФАНЕРЫ🤘
3:05:16
Просмотров 1,3 млн
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
Просмотров 1,6 млн
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
I LOVE MY TEACHER | 2 |
24:47
Просмотров 315 тыс.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
Просмотров 81 тыс.
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57