Tatizo viwanja kavihodhi ccm wakati vilijengwa kwa nguvu na fedha za wananchi! Hawaviendelezi wamekalia kuvihodhi tu kama konokono hata wameshindwa kuingia ubia na wenye fedha. Akili ndogo na unafiki ndani yake
Gamondi msimu uliopita alilalamika kuhusu uwanja wa Sokoine, uwanja wa Jkt kujaa maji, uwanja wa Ihefu . Na ni viwanja hivyohivyo vitalalamikiwa na vingine vingi
Kisha anza kuuona mlima mrefu mbele yake kama ni ratiba kila timu iko hivyo hata jkt asingepata ajali ilikuwa acheze na simba jana wala asingelalamika gamond acha visingizio na bado umecheza mechi chache kuliko timu zote
Kama ni uchovu na hata injuries KMC nao wamelalamika. Unacheza AFCON trh 10 halafu trh 14 unacheza champions league au NBC PL; utakosaje kuchoka? Jadili kwa takwimu siyo kupiga domo tu
Kiswahili uelewi nini,? Timu ina asilimia 💯 % ya ushindi maana yake ni kwamba ameshinda mechi zote alizocheza hata km ukicheza mechi 3 tu na ukashinda zote ina maana ni asilimia 100 sababu aujapoteza wala ku droo sio kwamba ana 100% za kushinda kila mechi, noo sikiliza kiswahili uelewe kilichozungumzwa sio utakavyo wewe,, ajasema yanga ina asilimia 100 za kushinda kila mechi,, hilo umesema wewe,, mshabiki nazi ni wewe hapo
Ukitoa excuse baada ya kufungwa kwamba "umefungwa kwa sababu uwanja ni mbaya, tutasema lakini mbona timu pinzania pia imecheza hapo hapo", Argument ni kwamba usiseme nimefungwa kwa sababu ya uwanja lakini kwa timu ambayo kwa kawaida inacheza vizuri kuliko timu pinzani nyingi ktk mazingira ya uwanja bora kama YANGA...mawazo yangu ni kwamba inakubalika kusema uwanja mbaya umepunguza performance yao kwa siku husika📌📌 And that goes for SIMBA pia........BY THE WAY MIMI NI SIMBA TOKA MIAKA YA SABINI MWISHONI(wakati wakina RAHIM RUMEREZI MASHAKA kama kuna mtu hapa anawakumbuka...if saying this will help to drive my point home)
Huu ni ubishi maandazi, kauli inayozungumzwa Kila msimu ni kwamba kucheza viwanja vya mikoani ni changamoto na ndomana timu nyingi hupotezea point mikoani, sasa huyu boya anabisha nn?
Anachosema gamond abt viwanja ni sahihi......ukiangalia kwa jicho la mpira na maslai yake....ni viwanja viwe na pitch nzur....unaona ball ...ninkm massage kwa wahusika ila wachambuz vichwa panzi😂...sorry...ila wa2 husika wapambn...
Hawa nawaita CLOWNS! kansimkilizeni Pep aliongeaje! Makocha kulalamikia fixtures ni kitu cha kawaida! What is strange Gamondi akitoa maoni yake? He is talking about YANGA! NIT OTHER CLUBS! ACHENI UJINGA! VIWANJA VYA MIKOANI NI SUB STANDARD!
Kwenye issue ya uwanja hans u were 1 against all!!! No wonder mpira wetu hauendelei....laiti wachambuzi wote hapo mungeelewa kuwa hawa makocha wa kigeni wamezoea good peaches na wanajua faida yake na wanacomplain ili kama nchi tuboreshe, msinge kaa hapo kubishana na hans instead mnapaswa kupaza sauti kwa pamoja ili viwanja viboreshwe kwa maslahi ya mpira wetu in general. Rubbish.👎