Тёмный

Gavana wa Samburu Lati Lelelit alaumu KPLC kwa mikasa ya moto 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 838
50% 1

Gavana wa Kaunti ya Samburu Lati Lelelit amelaumu usimamizi wa kampuni ya usambazaji umeme nchini ya KPLC kwa Mikasa ya moto iliyozuka mjini Maralal wiki iliyopita. Gavana Lelelit anataka usimamizi wa kampuni hiyo kuwajibikia Mikasa hiyo ya moto iliyoteketeza bweni la shule ya upili ya vijana ya Krisia pamoja na biashara mjini Maralal na kuwaacha wafanyibiashara kukadiria hasara ya maelfu ya pesa.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Школьник угомонил бандита!
01:00
How French Drains Work
16:41
Просмотров 2,1 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 543 тыс.
Mabaki ya kijana wa kiTurkana yasababisha mabishano
3:46