Julius Wambua aliachiliwa akitumikia kifungo cha maisha gerezani Kamiti
Ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma itaamua iwapo kesi itaendelea
Binti ya Wambua alikiri kuwa alimsingizia babake kuwa alimnajisi
Wambua asema amewasamehe mkewe na mwanawe, ataka waishi kwa amani
Mkewe Wambua asema hajui Wambua amemsamehe kwa kosa gani
21 дек 2020