Тёмный

GB 64 KWA HASIRA KALI AMJIBU JEMEDARI SAID | ACHA KUPOTOSHA kuhusu MAKIPA WA NJE 

SANGA TV
Подписаться 131 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@josephrobertjohn4336
@josephrobertjohn4336 7 дней назад
Hilo neno kabisa ata mm nashaur ivo mungunda awe head kocha wa taifa ster
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 8 дней назад
Jemedali anafanya haya sababu ya manula.
@afanikiwechaula1347
@afanikiwechaula1347 9 дней назад
Makocha hawa wa taifa stars wamezidi maneno kuriko uwezo timu wameita hovyo sana na hawa ndio wanaongoza majungu kwa makocha wageni hovyo sana
@NasibuSalim
@NasibuSalim 8 дней назад
Fact Sana upo sahh
@bedomgwalupogo2652
@bedomgwalupogo2652 9 дней назад
Tatizo ni selection of players... Tzani ina aina zote ya wachezaji... ILA TU NI SIASA NA DINI YA UCHWA
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 6 дней назад
Benchi la Ufundi la Taifa Stars likisikiliza huu uchambuzi match ijayo tutashinda 😂😂
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 6 дней назад
Hapo Umeongea kwa akili kubwa kuhusu makipa 😂😂😂 siyo lazima wachukue wachezaji Yanga na Simba.
@TumpeZakaria
@TumpeZakaria 6 дней назад
Yani hapa nimekuelewa zaidi umezungumza football na ukweli wake umeacha usimba na uyanga pembeni
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi 7 дней назад
GB 4 Tatizo unausimba sanaaa eti kwenye vilabu vyetu tunapata raha ipi wewe😂😂😂 miaka mitatu unateseka leo unasema unapata raha wapi umesahau kitabu chako cha machozi ya wanasimba😢😢
@mnyamanimaarifa5470
@mnyamanimaarifa5470 6 дней назад
Huyu jamaa nilikua simuelewi leo nimemkubali
@christophernsemwa8185
@christophernsemwa8185 8 дней назад
Nakubaliana na GB Kuwa National Team apewe Juma Mgunda:
@RajabuNdauka-h6u
@RajabuNdauka-h6u 9 дней назад
Waache siasa vilabu viko vingi wakachukue jkt namungo simb yanga waziache kwaza nakuusu wachezaji wakigeni waongezeke2
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 9 дней назад
KOCHA ABAKI J MGUNDA NA MOROROCCO TU HAO WENGINE WAPIGA DEBE TU .. TFF vipi mmekula mchele mpaka mnaanza zengua , mnatulidisha enzi za kuchagua timu kwa vimemo..
@JumaHUssi
@JumaHUssi 7 дней назад
Huyu jamaa anazungumza usimba, aliowataja wote ni simba. shabiki huyu amesomea ukocha wapi?
@daudikorongo2599
@daudikorongo2599 7 дней назад
Mudathir ni mchezaji wa Simba? acha akili mgando
@jonathansirkintungi3440
@jonathansirkintungi3440 8 дней назад
Yaambieni haya yaliyofeli darasani eti ya anataka kuongoza wenye ajili. Unaweza ulifaulu lakini kwa usaidizi wewe ni kihiyo tu na ndio manaosumbua hamtumii takwimu mnatumia hisia.
@bakarimpita8515
@bakarimpita8515 7 дней назад
Sasa kwani gilikipa alikua Na kosa Gani katika Ile mechi
@JoelOkenja
@JoelOkenja 9 дней назад
Atamimi naungana naGB64 timu yataifa apewe mgunda
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 9 дней назад
Ubaguzi Sasa ni yanga TU ujinga mtupu WAPO waliochaguliwa WENGI wamepitwa na wengine.MANULA,KAKOLANYA WOTE WAUZA MECHI WAKUBWA
@IssaMatandi
@IssaMatandi 7 дней назад
Jemedari ni zuzu hakuna kitu.
@gerasiusmwalongo6044
@gerasiusmwalongo6044 6 дней назад
Usimba na yanga umekujaa huna lolote 🤷🤷
@mohsenaljahwary5730
@mohsenaljahwary5730 9 дней назад
Aklli ndogo sana
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 9 дней назад
HAMNA MAKOCHA PALEE. WALE WOTE WASENGE TU
@ip_header
@ip_header 9 дней назад
WaBongo timu ikushinda story zinabadilika
Далее
Russian soldiers get chased by Ukraine drone
00:28
Просмотров 55 тыс.
# funny#daily#vlog#family#prank
00:12
Просмотров 7 млн