Тёмный
SANGA TV
SANGA TV
SANGA TV
Подписаться
Sanga Tv ni Chombo Cha Habari kwa njia ya kidigitali ambapo
tumejkita katika kuripoti matukio mbalimbali ya Michezo na Burudani
Dawati la Uhariri Sanga Tv e linazingatia haya.
1. kuripoti habari za kweli zilizo haririwa kwa umakini,
2. Kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwahabarisha watazamaji wetu.
3. Kuzingatia maadili ya habari kwa kuhakikisha uwiano na kutoa habari zisizo pendelea upande mmoja.
4.Kujiepusha na utoaji habari zenye udini, ukabila na yoyote yanayoweza kusababisha taharuki.
5. kufanya kazi kwa nidhamu na weredi
Muongozo kwa watazamaji wetu
1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni.
2. Sanga Tv inaweza kufuta maoni ambayo yanaweza kuchochea
uvuniifu wa amani au kusababisha taharuki.
3. Sanga Tv inaweza kuzuia mtu asiweze kuona au kuweka maoni
kwenye taarifa tunazohabarisha endapo atakiuka taratibu za muongozo huu.
4. Lugha chafu na zisizo na maadili hazirwhusiwi,
Комментарии
@JosephKinasa
@JosephKinasa 4 часа назад
Kumbe hili nalo huwa ni lijinga zamani lilikuwa lipo Vzr lakn sasahv ni msenge kwel
@FurahaAngetile-m4w
@FurahaAngetile-m4w 5 часов назад
Haka kajamaa ganja kweli ila central kubaya
@user-vy9zx2vx3u
@user-vy9zx2vx3u 5 часов назад
chizi karogwa tena😂😂 central sio kuzuri kampimeni anapotolea haja kubwa
@BakariHamisi-ke6zv
@BakariHamisi-ke6zv 6 часов назад
kweli mana mtupolo Wana weweseka sana
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c 6 часов назад
Nakuwanga kote Bado Simba inawasha watu now JKT alamba2 huo ndo urafiki Sasa ambaye si rafiki atakula ngapi
@KabungaKalla-fw4pp
@KabungaKalla-fw4pp 6 часов назад
Kichwa Cha marijuana Kama huohopi mbona hunyamanzi unaogoopa Tena unaogoopa sana tu.
@bmbabaima1506
@bmbabaima1506 7 часов назад
Bado hamjaongea
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c 6 часов назад
😂Wao yanga hawaongei wanatumia ishara
@sostenkyando2969
@sostenkyando2969 7 часов назад
Mpimeni akili huyu
@LovelyBassetHound-qg5tr
@LovelyBassetHound-qg5tr 7 часов назад
Uko sahhi GB 64
@user-sf4yu6hl5o
@user-sf4yu6hl5o 8 часов назад
Illa nakuelewa sana mean Simba mwenzangu
@SembucheMahiya
@SembucheMahiya 8 часов назад
Ndo maana ulitumbuliwa
@JamesErnest-ji2rb
@JamesErnest-ji2rb 8 часов назад
Mr GB mm kama KOMBA SLAA mtu wa UBAYA UBWERA simtak manara hata Mimi naaam nakubali brother
@TheresiaFransic
@TheresiaFransic 9 часов назад
Kak uko vzr now yang maden yanawaxumbua wamelukwa na akil hao
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 7 часов назад
Acha uongo we kolo, Yaaga ni kubwa kuliko Makolobwanji
@ArafaMkomwele-vi2hp
@ArafaMkomwele-vi2hp 7 часов назад
Ally kamwe amechanganyikiwa na madeni ndo anaparamia tu mara mchezaji mara uwanja atakufs siku si . Zake. Kijana . Wenu. Huyo
@EmmanuelkephaMjimbu
@EmmanuelkephaMjimbu 9 часов назад
Kwer wambie utoporoo
@TryphonRabson
@TryphonRabson 9 часов назад
Cyo kweli manara wakati yupo simba ilikua moto xn tangu atoke hakuna cha maana Yanga anatubomoa Sana usimsingizie manara ni simba kuliko ww
@HansBoe-rr8qg
@HansBoe-rr8qg 11 часов назад
Wape,takwimu,gb
@user-fn2gh5ri3r
@user-fn2gh5ri3r 11 часов назад
Ww njaaa hakuna kingine
@HebethMohamed
@HebethMohamed 13 часов назад
GB64 naona unafanya tangazo lawaispan RIu tuelekeze RiU Jambo hotl aupalac hotel anu supermarket
@christophernsemwa8185
@christophernsemwa8185 14 часов назад
Nakubaliana na GB Kuwa National Team apewe Juma Mgunda:
@halidiabdul
@halidiabdul 15 часов назад
Apo umengea pwet
@jonathansirkintungi3440
@jonathansirkintungi3440 15 часов назад
Yaambieni haya yaliyofeli darasani eti ya anataka kuongoza wenye ajili. Unaweza ulifaulu lakini kwa usaidizi wewe ni kihiyo tu na ndio manaosumbua hamtumii takwimu mnatumia hisia.
@RajabuNdauka-h6u
@RajabuNdauka-h6u 18 часов назад
Waache siasa vilabu viko vingi wakachukue jkt namungo simb yanga waziache kwaza nakuusu wachezaji wakigeni waongezeke2
@EMANUELSILINU
@EMANUELSILINU 19 часов назад
Ww ni mtu
@CathelinLeonard-ks5tz
@CathelinLeonard-ks5tz 19 часов назад
Huyo manara ni mamruki Sasa anarudi kutupeleleza simba
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 19 часов назад
Ubaguzi Sasa ni yanga TU ujinga mtupu WAPO waliochaguliwa WENGI wamepitwa na wengine.MANULA,KAKOLANYA WOTE WAUZA MECHI WAKUBWA
@ShafiiMwangi
@ShafiiMwangi 20 часов назад
Gb ukosawa kabisa Manara kilusi mkubwa huyo ndiye alitoa siri ya ushindi wa simba kwenye miaka minne
@user-tb2ft8mi6i
@user-tb2ft8mi6i 21 час назад
Hatumtaki manara kigeu geu mshabiki wa kweli hahami timu
@MwalamiMngombe
@MwalamiMngombe День назад
Akacheze anakochezaga manara atakiwi simba
@ip_header
@ip_header День назад
WaBongo timu ikushinda story zinabadilika
@mohsenaljahwary5730
@mohsenaljahwary5730 День назад
Aklli ndogo sana
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 День назад
KOCHA ABAKI J MGUNDA NA MOROROCCO TU HAO WENGINE WAPIGA DEBE TU .. TFF vipi mmekula mchele mpaka mnaanza zengua , mnatulidisha enzi za kuchagua timu kwa vimemo..
@user-fz5qz7pk6r
@user-fz5qz7pk6r День назад
Atamimi naungana naGB64 timu yataifa apewe mgunda
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 День назад
HAMNA MAKOCHA PALEE. WALE WOTE WASENGE TU
@afanikiwechaula1347
@afanikiwechaula1347 День назад
Makocha hawa wa taifa stars wamezidi maneno kuriko uwezo timu wameita hovyo sana na hawa ndio wanaongoza majungu kwa makocha wageni hovyo sana
@bedomgwalupogo2652
@bedomgwalupogo2652 День назад
Tatizo ni selection of players... Tzani ina aina zote ya wachezaji... ILA TU NI SIASA NA DINI YA UCHWA
@charlespeter138
@charlespeter138 День назад
Kwani manara akija simba anai saidia nini simba zaid ya umbeya wake nakutukana watu
@ELIAMWASENGA-h9l
@ELIAMWASENGA-h9l День назад
😂😂😂
@ELIAMWASENGA-h9l
@ELIAMWASENGA-h9l День назад
Gb 64 kiukwel huyo jamaa ni msarti sanaaaa nikikumbuka maneno aliyoiongelea Simba wanasimba tukumbuke chawa huyo
@charlesmahuna
@charlesmahuna День назад
Ukikataa pirau basi jiandae kujilia kaugali la muhogo au mtama, lawi kwaher
@GonzaNambol
@GonzaNambol День назад
Kwan lazima simba sende namungo
@GonzaNambol
@GonzaNambol День назад
Aludi alikotoka
@GonzaNambol
@GonzaNambol День назад
Manala atumtaki kipele katumwa huyo
@AbdulkaharoCelestinoISSAadrema
Gb64 wewe unajua sana Mimi laiya WA mozambiki
@MathiasJanson-sn9kq
@MathiasJanson-sn9kq День назад
Uko vizuri sana unaelewaka
@jumamhando4290
@jumamhando4290 День назад
🚶
@AshugudeMadude
@AshugudeMadude День назад
Ameivumilia shimba Kwa shida na rahaa😂😂
@DenisMusa-g5z
@DenisMusa-g5z День назад
Manara hatumtaki hata kidog hapa ubaya ubwela
@manmanonline6394
@manmanonline6394 День назад
Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤UBAYA UBWELA.....
@yuzoooyuso583
@yuzoooyuso583 День назад
GB 64 unaakili Sana kuliko viongozi wa gongowazi aka utopolo
@greysondavid6445
@greysondavid6445 День назад
Hatimae mbwa koko ahaha lkuhamia jalala jipya.mbwa koko mlafi,domo lake chafu limejaa maneno yenye tindikali na upupu, lenye kubomoa maadili ya timu na jamii kwa ujumla.Hatumtaki mbwa koko huyu, huchafua mazingira.tuwe makini sana na mbwa koko huyu.Swali langu kuu, amewezaje kutoka jangwani ambapo kuna jalala kuu lenye mabaki mengi ya chskula na kutaka kurudi tena msimbazi ambapo usafi wa mazingira umefanyika hakuna tena mabaki ya vyakula? Tuwe makini sana na tamaa mbaya za mbwa koko huyu.ata haribu maxingira yetu tusipo chukua tahadhari.