Тёмный

GB 64 USHINDI WA YANGA JANJA JANJA NYINGI, GOLIKIPA ANADAKA NJE YA 18? 

Ngwale Sports HD
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 3 дня назад
yanga ilifungwa mbeya na timu ndogo lakini hiyo tim ilizulumiwa gol yanga ujanja mwingi hakuna tim pale tanzania ligi yetu imeingiliwa na mambo ya siasa
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 3 дня назад
Tengenezeni timu, mtalia kila siku! Simba IMEJIFIA na hamuwezi kuikuta Yanga miaka 10
@melissa_garden
@melissa_garden 3 дня назад
Wakati utasema Wacha wabebwe
@HamadiMgeja
@HamadiMgeja 3 дня назад
Yaan hili jamaa bange imeliharb kabsa
@RichardNgumbulu
@RichardNgumbulu 3 дня назад
Siyo bangi sidi4 zimeshuka
@kazyn9554
@kazyn9554 3 дня назад
Huyu nae ckuiz Haongei Facts anaongea ushabiki tu 👎👎
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 2 дня назад
Hii ligi nitakuwa naangalia mechi za Simba tucause kuna matokeo 3.Walau unaona real football😂😂
@SmilingLoungingPanda-gp5cn
@SmilingLoungingPanda-gp5cn 3 дня назад
Janja nyingi yanga wanauharibu Mpira wa Tanzania
@ommyjuniorjumbe3328
@ommyjuniorjumbe3328 3 дня назад
Mwenge😂😂😂😂😂...bangi nibangue...huyu jamaa ana watoto kweli nyumbani
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 дня назад
Huyo zerooooo plus zeroooooo = 0000000
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 2 дня назад
Unajishushia heshima kwa kuropoka ropoka,lakini pia sio tatizo ni mentality ya simba hatawazeee wenu wanaamini uzuzu
@mussakilo4916
@mussakilo4916 2 дня назад
Golikipa yule na musa nani alikosea gb viwango vyako vinashukaaa
@MikidadyAbdu
@MikidadyAbdu 2 дня назад
Mngemuuliza simba kashinda ngap
@KishokaEnos
@KishokaEnos 3 дня назад
Hata kipa wa prison kwani kafanyaje
@LONGIDOoikos
@LONGIDOoikos 3 дня назад
👊👊👊👊👊👊💯💯💯
@GiresseMukwemulereGirelo
@GiresseMukwemulereGirelo 2 дня назад
Kila League kuna mkubwa na huyo mkubwa ana bebua kikubwa tu, fasi yote ni hivo baba, yanga kwa sasa ni kubwa tanzania
@AhmedSaid-z4y8x
@AhmedSaid-z4y8x 3 дня назад
Wacheni matusi,wacha awape vidonge nyenu.kweli ukweli unauma.
@yusuphmruma1771
@yusuphmruma1771 2 дня назад
Sawa mwehu
@PiusKimaro
@PiusKimaro 3 дня назад
Gb usikwazike na matusi.ata mashabik wa yanga ni watu wa mteremko kama timu yao.
@RamadhaniMuhomba
@RamadhaniMuhomba 3 дня назад
Ligi kweli haina ladha kila timu gsm na hii haikubaliki basi waache kucheza wapewe makombe mpaka wachoke hakuna ligi hapa
@JoerntonAnthony
@JoerntonAnthony 3 дня назад
League ya Tanzania imeingiliwa na siasa
@JohnMakao-is9fm
@JohnMakao-is9fm 3 дня назад
Jamani aisee huo wivu sasa na golikipa wa prisons vipi
@MussaIddi-l3z
@MussaIddi-l3z 2 дня назад
Simba anakutana na timu saizi yake ,kila timu ikiwepo Simba zikikutana na yanga zinajitahidi zisifungwe magoli mengi ila zikikutana zenyewe kwa zenyewe ndio kinatokea hicho anacholalamikia ,kwani camara anacheza ligi gani?
@Adolphine-if
@Adolphine-if 3 дня назад
Mumeanza kuhoji wapumbavu na wavuta BANGI na MIRUNGI
@HarunaKonyy
@HarunaKonyy 3 дня назад
Huyu jaa siangekaa ndani tu maana anaongea utumbo utumbo
@kabutah8313
@kabutah8313 3 дня назад
We msenge mnapewa asst na makipa kila kykicha
@ALLYBULULA
@ALLYBULULA 3 дня назад
Huyu waliomtoa uwalim walikua wapo sahihi maana hajielewi kabisa kwani hiyo simba iliopanda kiwango mliishinda ngap haujitambui kabisa huo utaratibu utumien ili upate hayo.matokeo
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 3 дня назад
Safi sana waeleweshe hao vilaza
@anordallen8587
@anordallen8587 3 дня назад
Vilaza walikufunga ngapi kwani
@SockySocky-i7g
@SockySocky-i7g 2 дня назад
Tangia uwekwendani umeshika adabu
@janethcharles1146
@janethcharles1146 3 дня назад
Safi sana gb 64 wafungue maskio na macho watanzania wengi hasa mashabiki wa yanga wasiojua footbal.
@hassanrashid-l3u
@hassanrashid-l3u 3 дня назад
We mwenyew kuandika football umeshindwa,tutawatomba sana miaka hii
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 2 дня назад
​@@hassanrashid-l3u😂😂😂😂😂
@BABASAMIROG
@BABASAMIROG День назад
Yan watu wa simba wanalalamika sana.
@benardpeter3562
@benardpeter3562 3 дня назад
Hili jinga halinaga akili
@ErickJeremiah-ry4pw
@ErickJeremiah-ry4pw 3 дня назад
Awa ndo wanatuarbia mpira bhna, kumbe simba tunaponzwa na mashabiki wetu 😢. We mpira tuliocheza Mbeya isingekuwa huruma ya golikipa tungelaumiana tenaa, sahii unawaponda Yanga ambao wameupiga mwingi tena sio mwingi tu ni mwingi kutumia kikosi cha pili kilee
@ommyjuniorjumbe3328
@ommyjuniorjumbe3328 3 дня назад
Aiseee Huyu jamaa anavuta bangi achunguzwe
@anordallen8587
@anordallen8587 3 дня назад
Unajamba unajinusa Yani unaiponda yanga lakn kimoyomoyo unaijia moto wake dadek
@Yangabingwaofficial
@Yangabingwaofficial 3 дня назад
Huyu jamaa anaongea ushoga 2
@ommyjuniorjumbe3328
@ommyjuniorjumbe3328 3 дня назад
Wewe gb64 msenge sana....ndo Makolo wote ndo walivo na wazee wao...malofa nyie Makolo shenzi kabisa ..hivi mnaujua mpira kweli??? Na nyie waandishi muwe mnajiongeza kuwahoji watu wenye maana
@Shinarambod
@Shinarambod 3 дня назад
Aaaaaise amakweli nyani haoni kundure mbona nyiie mulipigwa Tano lakini Sasa mnajifanya hamukuki saivi tumepunguza dozi 1kwa mbili kama ligi ni marathon nendeni ulaya mkashiliki marathon
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 3 дня назад
Uzuri Wasimba Uwezo Wao Umeongezeka.
@amourhaji1333
@amourhaji1333 3 дня назад
Wer acha ushamba. Simba kaunua kwa kipa wa prisons Leo kadaka au pasi ile? Goli la Simba Leo ni la bahasha au ni familia yule Gorge Mbissa
@SevarDrain-om8kt
@SevarDrain-om8kt 3 дня назад
Mwambo Ngoma uvutia kwake
@tawsi-yc3nk
@tawsi-yc3nk 3 дня назад
Wew huwa ueleweki kabisa
@JOSEP490
@JOSEP490 3 дня назад
Wandishi wa habari mtakuwa munaongea nawehu hana hakili huyo
@PiusKimaro
@PiusKimaro 3 дня назад
Yanga ni ccm siyo timu
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 3 дня назад
Hawa YANGA ni NOMA, Yaani Kile kikosi kilichoanza MAKOLO wanapigwa..!
@GiresseMukwemulereGirelo
@GiresseMukwemulereGirelo 2 дня назад
Mbone hajuwe mpira huyu
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 3 дня назад
Huyu jamaa nakua namfuatilia sana ila sasa naaza kumchukia,kwani wale maproo wa ulaya wanaodaka mguu baada ya mpira na wana uhakika red inawahusu na wanafanya wanakula penalty na red. Au hata hao Azam walivyocheza na simba ndio wanavyocheza na Yanga wakikutana???
@ommyjuniorjumbe3328
@ommyjuniorjumbe3328 3 дня назад
Huyu jamaa na kazumari baba moja mama moja
@Shinarambod
@Shinarambod 3 дня назад
Mwambie na mo azamini timu zingine zilizo Baki Ili nanyie mue munashinda kirahisi2
@EmilianaYohana-t6o
@EmilianaYohana-t6o 3 дня назад
Simba kwani leo kafunga gori gani
@zachariazabron3192
@zachariazabron3192 3 дня назад
Ligi umechukua mara ngapi?
@KishokaEnos
@KishokaEnos 3 дня назад
Pumbavu ww
@Meshakiupendo
@Meshakiupendo 3 дня назад
Mwelekezeni huyo CBE + RED ARROWS+ KAIZER Na mengineyo wapo ligi ya Tanzania wanao ibeba yanga 😂😂😂😂😂
@Meshakiupendo
@Meshakiupendo 3 дня назад
Hiloooooooooo
@KishokaEnos
@KishokaEnos 3 дня назад
Nendeni tutawapa nauli
@KishokaEnos
@KishokaEnos 3 дня назад
Hata Camara hakujua mpira unatoka
@Shinarambod
@Shinarambod 3 дня назад
Inaonekana hata muswaki hupigagi?
@abdulomari4932
@abdulomari4932 3 дня назад
Gb hunaakii hata yakwendea chooo
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 3 дня назад
Na yule wa prisons aliyempa che mpira ili afunge?
@IssackMvumbi-r7m
@IssackMvumbi-r7m 3 дня назад
Wapi hili lijinga tu halikubali matokeo 😒😒😒
@LinusKyando
@LinusKyando 2 дня назад
NA KIPA WA PRISON ULE MGOLI?
@EdsonJackson-nl2bn
@EdsonJackson-nl2bn 3 дня назад
Aya Gb Leo goli 0-0
@WiliamuObadia
@WiliamuObadia 3 дня назад
Nyie machoko nn km nyie mnajitambu mnandika nn mtandaoni
@onlyonetztv610
@onlyonetztv610 3 дня назад
Huyu sio GB 64 ni 0bytes
@mussakilo4916
@mussakilo4916 2 дня назад
Yani wewe nilikuwa naku kubali ila kadri unavyo kwenda dah unashuka viwango hausemi ukweli una ushabiki yule golikipa angefanyeje
@duskodalla7117
@duskodalla7117 3 дня назад
Wamekutana na kikosi bora na nyie simba mumefanya maskusudi
@KishokaEnos
@KishokaEnos 3 дня назад
Madrid hajafungwa k ww
@TulizoTindwa
@TulizoTindwa 3 дня назад
Ma utopolo mnao mkosoa GB64 ni wasenge sana amjui mpira upoje,,,wazee wapo sahihi sana,
@HamadiMgeja
@HamadiMgeja 3 дня назад
Sasa ww mbona ww mwenyewe ulkula chuma Tano??
@fedrickkalinga5714
@fedrickkalinga5714 3 дня назад
Hiyu jamaa kama uko makini hii jez n kauka nikuvae
@geraldmagembe4428
@geraldmagembe4428 3 дня назад
Wewe punguza maneno yasiyo kuwa na uzito, tangu lini ulikubali Yanga ina timu nzuri? Unajiondoa hufahamu ambao baadhi ya watu walikuamini, mpuuzi wewe.
@b.warron4631
@b.warron4631 3 дня назад
Yaani anasema alikuwa mwalimu...Nina uhakika darasani watoto walikuwa awaelewi kabisaaaa ndioaa maana walimfukuzaa...ninjinga fulani hivi kichwani
@alexndihokubwayo8010
@alexndihokubwayo8010 3 дня назад
GB wewe hujuwi mubi la wewe mwehu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 дня назад
Huyu jamaa Kuna kipindi Huwa namkubali sana ila Kuna kipindi sinichi mana juzi tu alitoka kuwakataa WAZEE wa Simba Leo ana wakubali walicho kiongea
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 3 дня назад
hata usipomkubali wew hakuusu kaambali na wanasimba
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 дня назад
@@sakinasakina1286 unakandwa wewe takoni
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 дня назад
@@sakinasakina1286 unakandwa wewe takoni
@melissa_garden
@melissa_garden 3 дня назад
Lazima uwachanganye maadui zako
@andrewkitema9838
@andrewkitema9838 3 дня назад
Sasa we Mwehu kama Yanga wameshuka kiwango sasa wewe na timu yako ya viwete sio ndio utumie nafasi hii kuchukua ubingwa? Eti unashangaa Yanga kushinda goli 2 tu dhidi ya JKT wakati mwaka jana round ya kwanza JKT alifungwa goli 5 kama ulizofungwa wewe. Lakini hujishangai wewe na hiyo timu yako ya viwete msimu jana japo timu yako ilikuwa mbovu mbaya na Mababu kina Saidoo bado aliweza kuwafunga Prison goli tatu pale pale Sokoine kabla haijaliwa na Samson Mbangula pale Jamuhuri. Kwa kihelehele chako eti unashangaa Yanga kushinda goli mbili tu. Tuliza kalio chini.
@annajohn2488
@annajohn2488 3 дня назад
Hawana kiwango zaidi ya bahasha sasa gori kipa katoka na wamefunga gori 2
@mussakilo4916
@mussakilo4916 2 дня назад
Unashuka viwangio broo
@HamadyWarioba
@HamadyWarioba 3 дня назад
iyo ni janja janja hao cio watu wampra wajinga
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 дня назад
Leo golikipa wa prison kadaka mpira na kuachia ili simba washinde.
@M-barakaRajabu
@M-barakaRajabu 3 дня назад
We unaiponza timu yenu na awa mashabiki wenzio viradha wanao kusapoti ujinga ongerea mechi yenu au we unaipenda Yanga mamae zako
@ommyjuniorjumbe3328
@ommyjuniorjumbe3328 3 дня назад
Mwenge😂😂😂😂😂...bangi nibangue...huyu jamaa ana watoto kweli nyumbani
Далее
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,9 млн
ITZY 예지한테 AI 메이크업하기💖 #shorts
00:23
I LOVE MY TEACHER | 2 |
24:47
Просмотров 319 тыс.
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,9 млн