Тёмный

GETO LA MWANA EP 1 

Txdullah
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 95 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 160   
@eddy_wannaman
@eddy_wannaman Год назад
nimewaiii na mm mnipe like zanguu naomben lakin ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@youngzabron181
@youngzabron181 8 месяцев назад
😀😀😀😀sasa wew chawa
@kephatz2814
@kephatz2814 Год назад
😂😂😂dah kuazima Getto so poa afu ukute dem mwana harakati utatubu 😂😂😂
@mohamedkissima4893
@mohamedkissima4893 9 месяцев назад
Mi ndio nimepiga hizo pichaaa😂😂😂
@yohanamuumbe4628
@yohanamuumbe4628 Год назад
jamaa bahati mbaya sana duh! tufight kuwa na magetu pic Kali ameikosa hivihivi
@mckobatz5861
@mckobatz5861 8 месяцев назад
Jamaa ni mwongo sana aisee😂😂😂
@dibrownTz-hf2ds
@dibrownTz-hf2ds Год назад
😂😂😂😂daaah noma sana tx dullah unajua sana ila hii getto la mwana ni kiboko 🙌🙌🙌
@turnfidennikazo9437
@turnfidennikazo9437 8 месяцев назад
😂😂😂 yalah weeh nimeielewa kweny kuelezea pichaa
@MariamAhmadaMwikalo
@MariamAhmadaMwikalo 26 дней назад
Kwenye pic 😂😂😂😂 mbavu sina
@herongwikwi1021
@herongwikwi1021 Год назад
Mlango haufungi Picha kubwa ni BABA😆😆😆😆 Ila hiyo KAZI ni 🔥🔥🔥
@McMwanika
@McMwanika Год назад
It is teaching Kwa kweliiiiiii😅😅😂😂😂😂😂
@ImaniMnyettage-ib4zw
@ImaniMnyettage-ib4zw Год назад
daah kaka hii nimeikibali imenikimbusha mbali
@mirajimalick
@mirajimalick Год назад
"Account yangu Ina zaidi ya 7000" mamaeeeee😅
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Год назад
Kilichoniuma dula hajakula mzg😅
@raphaelchuche6281
@raphaelchuche6281 Год назад
dem nae kaja geto anaanza kuulizaa maswal mengiii
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Год назад
Ndo mademu walvyo
@Ngutseboy
@Ngutseboy Год назад
Tusha jipataga muda 🤣🤣🤣🤣🤣💯
@AbdulrahmanYussuf-xb4jj
@AbdulrahmanYussuf-xb4jj Год назад
Oya tx fany utuletee muendelezo uctuzinguwe😂✌️
@JoshuaMtambo
@JoshuaMtambo Год назад
Tx dullahhhhhhh😮😮😮 pamoja kaka
@Markhomestz
@Markhomestz Год назад
😂😂😂imetutouch wazee wa kuazima getto enzi hizo
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Год назад
Kabsaa mzee wang
@deejaykenchD
@deejaykenchD Год назад
From 254 Kenya, locked inn
@KiwandaiPallangyo-lo3yy
@KiwandaiPallangyo-lo3yy Год назад
Maswali mengi ya nn bn we tufanye kilichotuleta geto 😄😄😄😄😄😄
@AlexJumanne-ls5gm
@AlexJumanne-ls5gm Год назад
😂😂😂😂 getto la kuazima noma sana
@Silent_cries6
@Silent_cries6 Год назад
Mbona mnamkazia kicheche 😂😂😂🥱
@ayubuzayumba
@ayubuzayumba 9 месяцев назад
Yani sehemu yavyombo ndio mswaki ulipotolewa
@saidindunguru1162
@saidindunguru1162 Год назад
Dawa ya mswaki kwenye kiatu😂😂😂
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 8 месяцев назад
Mswali kwenye kichanja cha vyombo😂😂😂
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Год назад
😂😂sema nini We mwamba una idea kali sana
@EliaKomoni
@EliaKomoni 11 месяцев назад
Umetisha jamaa yangu nimeipenda sana
@amedeusmmbando2778
@amedeusmmbando2778 Год назад
🤣🤣🤣🙌 daah ila maghetton
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
😂😂sasa wee chawa😂😂
@IsmailMogitu-ns2jz
@IsmailMogitu-ns2jz Год назад
NAkubal tx dullah
@shebytz
@shebytz Год назад
Yani huyu nimim kabisaaa 😂😂
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Год назад
Umeua broo kaa umo
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx Год назад
Txdulla mnyamaaaa😢
@gerysongratian
@gerysongratian Год назад
Hii naifuatilia mpka Kihama ...Ee Mungu baba anisaidie😂
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Год назад
Hahaha ilitakiwa uangalie kwanza
@nicksonmbelwa1164
@nicksonmbelwa1164 Год назад
Wanangu hii picha kali sana, mbona imeisha haraka 😅😅😅😅😅
@onandoff1909
@onandoff1909 Год назад
Noma dullah😂😂😂😂
@silvanusmtomole7044
@silvanusmtomole7044 Год назад
Umetisha
@allyumbara7840
@allyumbara7840 Год назад
Hili kweli ni geto la mwana 😂😂😂
@noninmaduhu3476
@noninmaduhu3476 Год назад
Sasa we chawa😂😂😂
@AdamSabugo-sr4ds
@AdamSabugo-sr4ds Год назад
We dullah ckuwez jmn
@JeremiahLugaganya-mo2sg
@JeremiahLugaganya-mo2sg Год назад
😂😂😂😂, dulla umetisha sana bro
@deejaykenchD
@deejaykenchD Год назад
From 254 kenye,😊
@EvelyneEdward-s2e
@EvelyneEdward-s2e 2 месяца назад
Yaaan wakaka wa hivyo nawajua sana hahahaha ni waongo alaf wanamaisha magumu
@sadiqrifay5448
@sadiqrifay5448 Год назад
Am happy to see u enjoy the moment😀😀😀😀
@mkadinali_ent.
@mkadinali_ent. 9 месяцев назад
Basi we chawa real got me laughing
@latwibujuma
@latwibujuma Год назад
😂😂😂 ila we dulla daah unashida sana
@DivinCIZA
@DivinCIZA Год назад
Kamuispaya😂😂😂😂😂
@magangacharles1025
@magangacharles1025 Год назад
Duuuh. Nouma saana
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Год назад
BEHIND THE 📷 CAMERA 😄 🤣
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd Год назад
Ooh this is taching😅😅😅
@clichytraveller6897
@clichytraveller6897 Год назад
Eti babaangu mzazi
@Elishamwaipasi
@Elishamwaipasi Год назад
Hii imeenda
@izackykasebele-d3d
@izackykasebele-d3d Год назад
Watu wengine tumejipataga mdaaaa🔥😆😅😅
@lugikoenterpriseslugiko3050
Kumamake nimecheka kifala😂😂😂😂
@djswaxiaatz
@djswaxiaatz Год назад
nakujua umeshaanza na nyingine mi sitaku kucheka kaka naumwa mbavu
@wakijivu8562
@wakijivu8562 Год назад
Hualisia wa maisha ya kgetto ety kaongelee nje unatupigia kelele mwenye getto kasema 😂😂😂😂😂😂
@zotto_boy
@zotto_boy Год назад
😂😂unyama Ila huo mlango mara ya mwisho ulishindkana kufungika😅
@kinthermedia
@kinthermedia Год назад
Dulaa dula
@nelly.msigara
@nelly.msigara Год назад
😂😂😂😂😂 kazi nzur 💪💪💪💪
@SommyTraitor-sh9ud
@SommyTraitor-sh9ud Год назад
Anaitwaga bella bellz
@ismailngwale3702
@ismailngwale3702 Год назад
Kaliii😅😅
@kilinditv9943
@kilinditv9943 Год назад
Unatisha kinoma sana broh!!
@miradimayunga
@miradimayunga Год назад
Umetisha bro tx
@loth5
@loth5 Год назад
Uo mswak alikoutoa😂
@jrsingham
@jrsingham Год назад
Baba yangu mzazi😂😂😂😂
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa Год назад
TX mwanangu umeuwa 😂😂😂😂🇿🇦🇿🇦🤙🤙🤙
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy Год назад
Daah wewe jamaa kavuu sana yanii😅😅😅😅😅😅
@Kijokatv
@Kijokatv Год назад
😂😂😂😂😂 Geto linawana walalavi kibao
@YaziduChikomele-pi3nz
@YaziduChikomele-pi3nz Год назад
Dah nmecheka kinyama hahaaahaaa
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Год назад
Huyu jamaa anajua sana
@asddsa5076
@asddsa5076 Год назад
Ayo maisha bora sikuyapitia 😂
@Petromfilinge
@Petromfilinge Год назад
Duu haahahaha😂😂😂😂
@danielkembo2177
@danielkembo2177 Год назад
😂😂😂😂😂 zaidi ya 7000 fala sana 😂😂😂
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Год назад
Mlivyo lala sasa
@GODLOVEKILASI-pv1yr
@GODLOVEKILASI-pv1yr Год назад
Dullah😂😂
@chandrakuziga9214
@chandrakuziga9214 Год назад
Si ugeuke nd😂 ujibu
@kilinditv9943
@kilinditv9943 Год назад
Kaka dullah!!!!!😂😂😂
@izacksinkala4823
@izacksinkala4823 Год назад
Mchungaj kalal geto lamasela
@GiftEmanuel-if3vo
@GiftEmanuel-if3vo Год назад
Noma sanaaaaaaaa
@nigerian_4736
@nigerian_4736 Год назад
😂 zaidi ya content
@prijoseph4665
@prijoseph4665 11 месяцев назад
Hatariiii🔥🔥🔥
@georgemzuli3422
@georgemzuli3422 Год назад
Behind the camera
@abdulljudo7369
@abdulljudo7369 Год назад
Hpy 2 c u 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Damos_Mkandala
@Damos_Mkandala Год назад
😂😂😂huna bahati kabis tx
@AbasiNgande-w8p
@AbasiNgande-w8p Год назад
Ahahaaa ila tx noma
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 Год назад
WALOKUONYA PUNGUZA UJUAJI
@jacksonelisha2554
@jacksonelisha2554 Год назад
Daah kmmke dullah una idea kisenge 😀😀
@homebujastudio4136
@homebujastudio4136 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂 www dulah
@ramshetmlawa6995
@ramshetmlawa6995 Год назад
😂😂😂 nani nani?
@dianerditto
@dianerditto Год назад
Naombeni part 2 tafadhar😂😂
@andrew0502
@andrew0502 Год назад
Hii tabia wanawake acheni huwa inaboa upo na mwanaume unaanza kuhoji mambo mengii unafuatilia simu aah inakataza mzuka hata wa hisia. Bora mmalize mambo yote muda wa kutaka kuondoka ndo uulize maswali yako hamjui tuu
@gwamakakatiti9264
@gwamakakatiti9264 Год назад
Naomba nikushauli
@qidmchafuzi
@qidmchafuzi Год назад
Ila getto 😂😂😂
@OmaryShabani-nw1ib
@OmaryShabani-nw1ib 10 месяцев назад
Iyo ni redio😅
@jacklinejohn222
@jacklinejohn222 Год назад
Dulah ❤
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 Год назад
😂😂😂😂 daah aisee
@OCEANLOVEofficial.
@OCEANLOVEofficial. Год назад
Hatari
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Год назад
Account yang ina zaid ya Elfu saba ,,hahahahahah
@lidoxmnyama5455
@lidoxmnyama5455 Год назад
Enjoy the moment
@DaudiJonas-py7oi
@DaudiJonas-py7oi 8 месяцев назад
Unyama
Далее
KISA KASOMA NAE
10:57
Просмотров 237 тыс.
Brawl Stars expliquez ça
00:11
Просмотров 6 млн
LIKWESTII Ep 07
8:50
Просмотров 1,3 тыс.
KWETU PEPONI Ep 02
20:29
Просмотров 20 тыс.
KAUZU EP 1. TX DULLAH, CHARDTALENT, OBAMA 😂
7:45
Просмотров 36 тыс.
MWALIMU MGENI ❤️ /1/
16:16
Просмотров 2,3 млн
MCHEPUKO
17:35
Просмотров 57 тыс.
KWETU PEPONI  EP 01
11:26
Просмотров 29 тыс.
TXDULLAH  PRECIOUS WA  FACEBOOK
11:06
Просмотров 130 тыс.
Brawl Stars expliquez ça
00:11
Просмотров 6 млн