I like ur movies, keep it up bro nd don't lose hope u'll reach ur destiny.nd I want you to continues with the movie cal penzi la dada was kazi na kijana tajiri part 10 plz.good job bro👌
Mwamba namkubali sana, lkn kibongo bongo bado hakuna wa kumfananisha na the great alijarb gabo lkn mbk leo sielewi aliishia wapi xo Kanumba Kanumba Kanumba acha apumzike kwa amani 😢
Tafadhali Usiwai dharau mtu kwa Sababu uwezi kujua kesho yake jua itamchomozea upande ngani, hayasiowezekana hakika itawezekana mbele ya mwenyezi mungu 🙏🙏🕊🕊🕊
Hakika ni Movie nzur sana ,Vijana tubadilike,ulimbukeni na kukosa maadili kutatufelisha sana , Maisha ni Watu na watu ni maisha,tuwe waungwana kuliko kupenda ubabe
Strong guys ,,, keep going... I really love what you are doing,,, natamani Sana nigekua muongoni ya waigizaji wa donta ,, kiukweli napenda sana kuigiza Ila sijapa iyo nafasi ,,, strong strong wasee ❤
Ww jamaa unajua nimetizama mov zako nikiwa Zambia kiukweli unajua ila hakikisha mwisho wa mov zako uwe mzuri yaani stori ionekane kweli imeisha wabongo wengi hawajui hilo