Тёмный

Gharama ya kuchimba kisima [BAJETI] 

Layers Pro
Подписаться 4,5 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Katika video hii naelezea kwa kina kuhusu bajeti ya kuchimba kisima, lengo ni uweze kuelewa kuhusu gharama zinavyopatikana
Hatua nne nilizofuata kuchimba kisma cha maji
Hatua 1 ; Kufanya water survey
Hatua 2 ; Kuandaa Bajeti
Hatua 3 ; Kuchimba na ku flush kisima
Hatua 4 ; Installation ya pump + test
Kama unahitaji kufanyiwa water survey, kuchimbiwa kisima, pump test na matengenezo ya kisima wasiliana nasi kwenye namba hii 0659632332

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt Год назад
Brother na kwenye visima upo, Hongera sana, (Ndugu Yako hapa wa ukonga DSM)
@LayersPro
@LayersPro Год назад
Nashukuru sana Hassan
@josephkinyonyi6273
@josephkinyonyi6273 Год назад
Very informative post thank you
@LayersPro
@LayersPro Год назад
Glad it was helpful!
@UmmyUkasha
@UmmyUkasha 8 месяцев назад
You are not serious😂😂😂 16 millions? Hell noooo
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 2 месяца назад
Hâta mimi sijamuelewa Maana Selekali inasema elfu stini kibali yéyé anasema laki na hamsini sijuwi stiniii😅
@MimaKaspar
@MimaKaspar 8 месяцев назад
Nilikuwa nataka kuchimba kisima kumbe oesa nyingi basi tena
@LayersPro
@LayersPro 8 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Ndz0W5uXEJk.html
@ellymzalendo4517
@ellymzalendo4517 Год назад
Naomba contact yako mkuu
@LayersPro
@LayersPro Год назад
0659632332
@nujakaluhende9428
@nujakaluhende9428 Год назад
Bore ya kisima ni mm ngapi
@LayersPro
@LayersPro Год назад
165
Далее
Wachimbaji wa visima Tz 0712407205
9:48
Просмотров 5 тыс.
Jinsi ya kupata na kuhifadhi maji
39:43
Просмотров 30 тыс.