Тёмный

GIGY MONEY AFUNGUKA MAZITO/ AMKUMBUKA MAREHEMU RUGE -"A - Z CHANZO cha UGOMVI WAKE na DIVA. 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 59 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 144   
@tbwayjunior8947
@tbwayjunior8947 Год назад
Gigymomey kwakweli yuko real sanaa 4sure!
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 Год назад
Kama Unakubali tuna mjua Akili yake Gigy money gonga like hapa ili twende Sawa.
@marymolel800
@marymolel800 Год назад
Chawa nimemwelewa sana bg up sana gigy always uko real
@bekatv1009
@bekatv1009 Год назад
Giggy kama ambae anataka kupigana na sauti...i do stand with giggy coz diva ni mnafiki sana
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Hili kweli chizi, Sasa unagombana na Sauti kwenye simu..?...boya hili demu..!
@auntmakochela4202
@auntmakochela4202 Год назад
🤣🤣🤣🤣 anataka apigane na saut
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Hasira
@esthermande8976
@esthermande8976 Год назад
Masha nar
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Год назад
Kwa upuuzi uhuu mtakua mnafungwa Kila mwaka.mnatakiwa kua na mahadili ya habari
@zaynabmwanjovu8277
@zaynabmwanjovu8277 Год назад
Hawajielew hawa
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Mambo kama haya huwezi kuyakuta TBC wala AZAM wala ITV sasa hapo mtu akitoa matusi mtayafutaje?
@salimabakari8617
@salimabakari8617 Год назад
Kabisa na izi stesheni nyingine ni shida tupu,na ndio mana hata viongozi wa serikalini wanatoka,AZAM,T.B.C na I.T.V, izi ni stesheni za vijiwe vya umbea TU.
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Год назад
Hii tv ni ya uchonganishi
@JUSTWANGUI
@JUSTWANGUI Год назад
Gigy is a big child ,always shouting and picking fights ,no control of emotions at all ,it paints a very bad image of her,( let her learn not every action requires a reaction) Bure we could or be enemies juu lazima mtu akwanzike in one way or another but how u handle that shows ur character
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
Msenge ww unajikuta mjuaji enh?
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
Manina zako
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
Ww unajua anayopitia uyo dada? Unamjua diva ww?
@JUSTWANGUI
@JUSTWANGUI Год назад
Am no responsible for ur frustration u are like gigy very vulgar and uncouth I won't engage with u ,grow u
@lifeofyuri4020
@lifeofyuri4020 Год назад
Have you ever heard of term "white lotus"? Bora Giggy anakuchana hadharani kuliko yule anaekuua huku akitabasamu na maneno mazuri
@chibandamwende3676
@chibandamwende3676 Год назад
Sisi Wakenya hatujui kesi ni nini lakini we stand na Gigi,Bibi ya Mganga hapana tambua 🇰🇪🇩🇪🎤
@sabihasalim942
@sabihasalim942 Год назад
Jiongele Mwenyewe sio wakenya wote.
@chibandamwende3676
@chibandamwende3676 Год назад
@@sabihasalim942 sasa wewe!us we joking toa Makasiriko hapa!
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
@@chibandamwende3676 hahahahaha
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 Год назад
Huyo diva kweli n mchonganishiiiiiiii
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 Год назад
diva ni mkorofi sana
@esthermande8976
@esthermande8976 Год назад
Mh gigy kwa kweli
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Год назад
Gigy ukipaka make up unakomaa, sura linakuwa bayaaa usipake make up bwana
@sistersade9039
@sistersade9039 Год назад
Wasafi, yaani haifai kuruhusu interview kama hii iendelee hewani. This is so unprofessional.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Mbona kawaida
@officialmarco182
@officialmarco182 Год назад
Kelele ya kwanza kwa chawa Masha 😃😃😃,chawa anafanya kazi yake kwa ufasaha!!
@auntmakochela4202
@auntmakochela4202 Год назад
😀😀😀😀😀
@merrymgesi235
@merrymgesi235 Год назад
Hhhhhh
@abdulab6202
@abdulab6202 Год назад
Huyu gigy si mtu wa maelewano anapenda kuongea hovyo hajielewi kuna siku alimpoga mtuzima ni mkuu wa kijiji walimpiga walimtukana sana hayo mama kweli mwanamke mzuri hawezi kujituliza akatunza maisha yake ali mtukana mama yake kwa sababu ya mtoto wake jamani huyo anahitaji kueleshwa maisha ya ustaarabu sio kubwata bwata
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
We kuma kibuyu
@veronicapeterluvingo458
@veronicapeterluvingo458 Год назад
Hapa ndipo tanzania tuone na kusikia hii kauli ya gigy money aliosema yeye amuingizie mshara lakini yeye anae muingizia mshahara baadae anapelekwa police diamond na uwongozi wa WCB HUYU DIVA AONDOLEWE WASAFI KWANZA HANA AKIFANYACHO ZAIDI YA KUZIVUNJA NDO ZA WATU NA KUTENGEZA UHASAMA KWENYE MAHUSIANO MENGI
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Год назад
Mtafungiwa kwa uzembe wenu wa kutaka kushindana na radio nyengine kwa kufanya upuuzi
@mammam4701
@mammam4701 Год назад
Ila did a mbaya sana,
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Год назад
Kama walishakula tango moja si rahisi tofauti zao kuisha kirahisi😀😀
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 Год назад
haahaahaahaa
@dickperfect9647
@dickperfect9647 Год назад
Mhhh noma
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Год назад
Gigy kashakua Star mkubwa alafu anapoelekea atapotea kwenye game watu watamkimbia Gigy or Mama Mayra acha tabia za manzese ushakua Star kila siku kutukana watu mtandaoni c vizur you have to change Gigy
@siamollel6051
@siamollel6051 Год назад
Acha matisho Wewe Kuna Sheria
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Год назад
Huyo chawa anapepea nn hyo ni bangi haipepew🤣🤣🤣
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay Год назад
Gigy utoto mwingi bado hajakua maana kucontrol emotion zake tu mtihani😂
@juniorsmart2546
@juniorsmart2546 Год назад
Mtoto anaenda leba?Ujinga2 ndo unaomsumbua na kuto kujitambua kuwa ye ni nani?.Ila usiniqmbie at utoto.
@hidayashabani5897
@hidayashabani5897 Год назад
Atoke wasafi aende ICU jamn😀😀😀😀
@janethsamwel1494
@janethsamwel1494 Год назад
Mke wa mganga kuanzia leo acha na watoto unaona unavo zalilishwa na hao watoto
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 Год назад
Kweli davi davi kipindi cha umbea. Siku hizi 😂
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Год назад
Mnamuharibia diamond Simba chibu dangote media yake jamani,kumbukeni mshawahi kumuharibia
@doubleu951
@doubleu951 Год назад
I love me some gigy she z too real nyie🥂🥂🥂🥂🥂
@lulually5209
@lulually5209 Год назад
Kipindi hichi Cha dida na kile Cha diva vifungiwe havina maadili ni vya kishenzi
@andiqueantonio3377
@andiqueantonio3377 Год назад
Yes
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Год назад
Kama wewe ni mtu mzima hakuna Cha kusikiliza hapa.. 🇰🇪
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Год назад
Asa we umefata nini hapa au unaleta ushoga wa Kenya apa
@paschalmushilu1485
@paschalmushilu1485 Год назад
Where are you mo-J 😂😂 gigy bhana ,she is fighting with voice 😂😂
@isaachayes9783
@isaachayes9783 Год назад
Its time wassfi muache kuingiza takataka humo ndani mnajishusha hadhi
@clementiddi5708
@clementiddi5708 Год назад
Na wawe na watangazaji wenye credibility siyo kutumia Mic kijinga
@michaelmymy1307
@michaelmymy1307 Год назад
Gigy anapenda ukweri I like u girl
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Год назад
Gigy bangi zishamuathiri aibuu hii jaman vipind Kama hivi vyann hii redio isipojifunza itafungiwa maaadili ziro
@jumamganda2819
@jumamganda2819 Год назад
Kiukweli huaga namuona Gigy kama mtovu adabu, kisunzi mno, ila kwa attitude ya diva wallahi ww Diva ni mbaya sana na ww sio mwanadamu kabisa!! Sencerely ww kujua kizungu unawadarau mno watanzania wenzako! Kuna siku Diamond alikutukana mno clouds mbona hukumtafutia mwanasheria wako, leo amekuwa boss wako!!
@pamelaouma6400
@pamelaouma6400 Год назад
Gigy stress za mzazi mwenzie kuoa zimemchanaganya Sana hayupo sawa anahitaji msaikolojia
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 Год назад
Mashaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 Год назад
Nyie diva ni mnafki jaman mfatilien mtagundua hilo......huyu nae uropokaji umezid hatakama anahaki inaweza isionekane😌
@mmary70
@mmary70 Год назад
Akili ya Gigy tunaijua, but with Diva I stand for Gigy. Huwezi peleka mtu police, interview zako at one point or the other na watu anajua wana tu issue, they are young it’s there right kukwaruzana kidogo. Diva kigangula needs to keep off these young girls. Let them handle themselves. In “Gigy’s voice”kipindi chake cha mapenzi mbona story za waja .
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Год назад
Uyu gigy bangi tu
@agriparose3942
@agriparose3942 Год назад
Diva mgombanishi mnoooooooooo
@azarajsalum2117
@azarajsalum2117 Год назад
😂😂😂 nataka chawa km masha
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Год назад
Mmmmh!!
@Glatis0523
@Glatis0523 Год назад
Dida kata io simu stop io Mada maan ukiitaji kua msuluhishi wa jambo kuna levo ikifikia watu hawaelewani u better kuipotezea for that time
@christinashaban7262
@christinashaban7262 Год назад
Mm nashangaa Sana Kwa nn asikate sim?unajua Hawa ndiyo wagombanishi
@jumamkongowe2272
@jumamkongowe2272 Год назад
Wanawake ni wanawaketu
@rukkynassor2279
@rukkynassor2279 Год назад
Kuaibishana tu watoto wa kike.wajuwa km washiba ndio hivo lakini km wangekuwa na njaa sidhani km wangekuwa hapo
@njiokafaith6305
@njiokafaith6305 Год назад
Huyu mwanamke haezi fanya inta kama mtu mzima kila siku anatolea watu mauchungu zake coz alihalibu life yake....ningekuwa na yangu station.. huyu angekuwa anaionea viu sasa... Nkt chenzi yy...
@azarajsalum2117
@azarajsalum2117 Год назад
Ila tusiaseme tu gigy anashindwa kuji control ila diva hua anakosea kwenye kipind chake haongelei tena mapenz ila anakua anashindanisha watu nakuongelea watu sana
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 Год назад
Gigi anamatatizo ni kichaa mlopokagi mtoeni inje
@farajaphilipo8844
@farajaphilipo8844 Год назад
Jaman mashalove mbona kama maziwa yanatka kudondoka cyo kwa nyonyo hiyo
@zaituniabdallah1948
@zaituniabdallah1948 Год назад
Sema kama wanachochea bifu jomon
@irenekweka7905
@irenekweka7905 Год назад
Nyie Masha🤣🤣
@mspwjjjso6261
@mspwjjjso6261 Год назад
Gigi wasikufitie na maisha Yako ,mwwnyewe yake yanamshind
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Год назад
Chawa anapepea hapo, ila gigy ni bangi uyu dada ajiangalie sana
@bintimwakumanya6127
@bintimwakumanya6127 Год назад
Gigy hana subra
@mariamtambwe8665
@mariamtambwe8665 Год назад
Giggy is like black American. 😅😂😂😂😂
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Diva achakupeleka wenzio police sijambo zuri kabisa.
@agriparose3942
@agriparose3942 Год назад
Hivi kile kipindi cha lavi davi ni cha mapenzi au umbea na ugombanishaji tu
@agnesshonga7570
@agnesshonga7570 Год назад
Ila niffer kichwa sana aiseee jana aliongea vizuri na Diva kwenye kipindi nilimuelewa
@user-nr4iq2sq7f
@user-nr4iq2sq7f 2 месяца назад
Kingerezaaaa 😂😂😂😂😂😂
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Mnyonge mnyongeni ht km ana hasira anaongea cn ila km kakosewa na yy ni mtu wa hasira ndo maana huwa hivyo ila watu km giy huwa ni watu wenye roho nzuri cn na huyo nimuongea ukweli ndomaana na hiyo hasira ndo alivyo mtu km huyo ukimjua hakupi shida utaenda nae sawa na yy kakosewa giy ndomaana akawa hvyo na hasira
@sportsextra4795
@sportsextra4795 Год назад
hahahahaha chawa kama masha ni poa sanaaaa b levo fanya hvyo kwa mondiiii
@julianamushi3392
@julianamushi3392 Год назад
Ila vpindi vingi vya wasafi ni vya uchonganishi na umbea
@oyay2821
@oyay2821 Год назад
Ngumi ziruke
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Diva huo mchezo anao Huwa anahoji watoto wadogo sawa na wtoto wake abawachimbuwa unatembea na nani Yaani maswali yake kwa watoto wadogo huwa yanabowa
@boke9196
@boke9196 Год назад
Gigy anavuta bangi aiseee
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 Год назад
Ww diva unajielewa utaki kumuongelea alafu unawaita Malaya na unatupia maneno ww mtu mzima ovyo
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 Год назад
Masha ni bodigard wa gigy ao?
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Watu wanapenda kujichokonoa mapua
@latifahyusuph1071
@latifahyusuph1071 Год назад
Interview ina saut kali yaan huyo dida anatangaza anapiga kelele masha na yeye anapayuka yaan mpk kichwa kinakuuma. 🙌🏾 hawa sjui wamesomea wapi Journalism hawajui kabisa ku monitor saut zao kwenye mike
@KasminaCreation
@KasminaCreation Год назад
Kile ni kipindi cha Diva ni cha Mapenzi kweli?
@naimamkude4997
@naimamkude4997 Год назад
Gigy yuko real ila hawa wanafiki unaweza ukawauwa
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 Год назад
Am 🇹🇿 interveiw nzur Idrisa kitaa et umeyatafuta mnayatafuta tena😅😅😅😅😅gigi anachangamsha lakin wapatanisheni yaishe wateme nyong'o ibilis apite enough madada
@zurrychannel235
@zurrychannel235 Год назад
Uyu huwa anashida mno
@aukarhassan2197
@aukarhassan2197 Год назад
Program nzima niiya kudhalilishana mbona media za nchi zengine hawana Program l hizi za kitoto
@zaitunimhina2715
@zaitunimhina2715 Год назад
Khaaa
@shakila3982
@shakila3982 Год назад
Kwanini vituo vya radio na tv vya Tanzania kazi ni kuongelelea watu masengenyo? Inamaana watangazaji wa Tanzania wanafanya kazi wasiyoijua, kazi ya journalist ni kutangaza, kipindi cha kuburudisha, na mpaka awe amesomea hile kazi ya utangazaji, lakini Tanzania ni masengenyo kwa studio kwasababu wanachukua vitu kwa street, imagine wasafi mzima hakuna journalist mwenye ana chet cha ujournalist na ndio mana hawajui kazi yao ni nini, si mkuje Kenya mujionee kazi ya tvs stations na radio station nini,
@juniorshekaoneka9662
@juniorshekaoneka9662 Год назад
Hamna professionalism wanapeana kazi Kwa kujuana na nani anajua kuongea au amemsadia vip. Pia kukosa contents
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 Год назад
Diva binti na gigi nae atakuwa nae
@fhgggffhg7721
@fhgggffhg7721 Год назад
Dg
@shkjumaa8339
@shkjumaa8339 Год назад
matako kwa matako wanajua
@fathiyaomar9009
@fathiyaomar9009 Год назад
Mbona kina masha wanaonekana kama wanaogopa hahahaaa
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Год назад
Diva she's a winner 🏆 gigy tulia ww mtoto wa mitaan una maelezo sana
@solangebagal3496
@solangebagal3496 Год назад
😂😂😂😂😂yani naishiwa,poleni wapatanishaji
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Год назад
Kingereza cha gigy 😭😂😂 embu nicheke
@khadijakhadijambaruok8222
@khadijakhadijambaruok8222 Год назад
Mimi napita
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 Год назад
Nashindwa kuelewa kwanin wanaendelea kumtumia Gig,tabia mbaya,kiropo ropo
@calvinchaula5941
@calvinchaula5941 Год назад
Ttzo gigy qnadakia Yan hawaelewan m spendi kiukweli
@kiri5807
@kiri5807 Год назад
Mbona GIGY uso manjano km FIONA wa shrek ?
@agnesspetro6695
@agnesspetro6695 Год назад
Gigi hana akili, bado anamihemko ya kitoto
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Год назад
Na msiwakutanishe hao watu wawili plz hakuna salama hapo
@andiqueantonio3377
@andiqueantonio3377 Год назад
Huyu Malaya Yan jitu haribadiliki tu, diva yuko perfect sana hata uongeaji wake tu
@barikiwa22
@barikiwa22 Год назад
Sasa umalaya wake ni upi?? Au unafikiri kila mtu yuko kama ukoo wenu?
@salmashaibu6074
@salmashaibu6074 Год назад
Diva kwel anazingua saiv kpnd chake kimekua cha umbea umbea anakeraa
@shylee9181
@shylee9181 Год назад
Mtu uko kwenye interview unaingiza kidole puani..Mh huyo masha ni mchafuw
@sushyhawa1460
@sushyhawa1460 Год назад
Wap 😂
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 Год назад
Gigi upo kama mimi huogopi dudu wala mende
@lulually5209
@lulually5209 Год назад
Wapuuzi wakubwa fyuuuuu 😏😏😏
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 Год назад
Muwe mnatafuta watu wakuhoji kweny vipindi mxieeeeeeeew
@oyay2821
@oyay2821 Год назад
Mke wa mganga atakurushia missiles shauri yako
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 Год назад
Gig ni uchafu
Далее
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 112 тыс.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 336 тыс.
Staili Ya Kumridhisha Mwanamke Haraka Sana
6:00
Просмотров 24 тыс.
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 112 тыс.