HUU WIMBO UTADUMU MILELE MAANA DUNIANI TUNAYO DHIKI LKN KWA WIMBO HUU TUTAJIPA MOYO DAIMA, MAANA NIKIPITIA GUMU TU MOYO UTASEMA "LENGO LAKE NI KUNIKAMILISHA" WIMBO WA MILELE HUU, VIZAZI NA VIZAZI.
My girlfriend showed me this song and that's when I knew she's saved and serving the THE LIVING GOD. Brother you're nothing but a blessing.. Keep living
Leo nimejua kitu kumbe nilikua nakamilishwa na kwasababu iliandikwa kutimia itatimia,,leo baada ya kusikiliza mara nikajua nakamilishwa,,ubarikiwe Kaka umefanya nijue Leo kukamilishwa umetumia kipawa na kusud lake Mungu kwako
Huu wimbo ulikuja kwngu wakati amboa nilikua naamani kwamba nilikua nakamilishwa that was 2022 leo nasikiliza tena nikiwa level ingine kabisaa when am back to Tanzania i would like to see you 😊 glory to God ❤
Mungu azidi kukutumia kaka nakuombea tu simama katika kwel ya mungu naomba naninataman sana mungu atukuzwe sio miungu maana mungu wetu ni mungu mwenye wivu hataki tupotee hata mmoja wetu
There’s a day I was so depressed about everything going on in my life. I played this song all night, I woke up hopeful and got the courage to keep fighting! May God bless you! God is using you in ways you will never understand 🙌🏾
Huyu kijana kweli anaimba. Maana kuna watu wanaimbaimba tu. Lkn huyu anaimba maneno yana kilo sio mepesi. MUNGU akubariki sana uwe na miaka mingi yakutosha sanaaaa
Only God knows how I search this song jaman, nilisikia the 2 verse somewhere kila nilipo trace RU-vid didn't find out, but finally I got it 🙌 to God be the glory.Be blessed the man of God