Тёмный

GODFREY STEVEN - SONGI ( Official Audio ) 

Godfrey Steven
Подписаться 61 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Writer : Godfrey Steven
Singer : Godfrey Steven
Producer : Mixing Doctor

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 164   
@godfreysteven2285
@godfreysteven2285 Год назад
SHALOOM FAMILY KIPEE NANYENYEKEA NA NAMSHUKURU MUNGU SANA KWA BARAKA HII TENA.. LAKINI PIA NAWASHUKURU WOTE MNAOBARIKIWA NA KAZI HII.. NASHUKURU PIA COMMENT ZENU ZINAZONIPA NGUVU ZAIDI SEHEMU MBALIMBALI ZA DUNIA AHSANTENI SANA TUKO PAMJA FAMILY KWA MENGI YAJAYO..
@frankfrancis6965
@frankfrancis6965 Год назад
Amen Barikiwasana
@thedyjackson9020
@thedyjackson9020 Год назад
Kaka MUNGU azidi kukutumia kwa viwango vya juu natamani na mimi ck moja nifike level uliyofika barikiwa mnoo
@witnesjohn4688
@witnesjohn4688 Год назад
mungu azidi kukuinua una kipaji Sanaa
@nicken3250
@nicken3250 Год назад
Pamoja milelee 💯💯💯👏👏👏❤️❤️
@nice_jumanne
@nice_jumanne Год назад
My favorite Artist
@lifemotivation971
@lifemotivation971 Год назад
Daah Kristo akubariki sana
@yonachitema
@yonachitema Год назад
Amina kaka hakika unanibariki sana, kazi zako ni za uhakika sana, We need to sing a song of blessing to our Deliverer and savior 🙏
@yonachitema
@yonachitema Год назад
Song lina_bless
@lovenesslukas5360
@lovenesslukas5360 Год назад
Tunasubiri kwa hamu maana najua kuna kitu kutoka kwa bwana, Mungu akituma neno halirudi bure.
@joelmaige407
@joelmaige407 Год назад
hujawahii kufalii kaka always
@lifemotivation971
@lifemotivation971 Год назад
Hatimaee woooh
@ellymaeda2562
@ellymaeda2562 11 месяцев назад
kuna wakati unafika nakata kukata tamaa ila nyimbo zako zinarudisha tumaini tena lenye nguvu zaidi ndani yangu 🙏🙏Mungu akutumze milele mtumishi wa Mungu.
@merceyallen24
@merceyallen24 Год назад
MUNGU yuko nawe kaka kwa ajili ya utukufu wa jina lake,Hakika Umebarikiwa, Nakupenda na NAKUFURAHIA..🙏❤️
@janethsolomon5923
@janethsolomon5923 Год назад
Nataman cku moja tuimbe Pamoja,Ninaamn itahappen, Mwenyezi Mungu Azidi Kukuinua
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 Год назад
Godfreystev. U mtunzi mzuri sana pia mwimbaji Bora💪💪💪 Mungu akutunze mnoo, huwa Ninabarikiwa sana na nyimbo zako🙏🙏🙏
@evaristemakongo-fe4qt
@evaristemakongo-fe4qt Год назад
Yesu Kristo asifiwe...... Song hii inanibariki san
@felistamwashibanda7764
@felistamwashibanda7764 Год назад
Hakika Mungu akinisaidia kupata mtoto wa kiume nitampa jina la Godfley maana linanibariki hasa kupitia wewe mtumishi wa Mungu
@violetyumelo
@violetyumelo Год назад
Mungu akutangulie kaka Si tuna subiri kitu kizuri
@hellenjoseph8674
@hellenjoseph8674 Год назад
Shalom mtumish Kwa kweli umejumlisha nyimbo zako Kwa hyu Moja umekua baraka Zaid kwangu Asante mtumish
@syokaufay5988
@syokaufay5988 Год назад
Baraka tele
@happymeshack5937
@happymeshack5937 Год назад
Songi🔥🔥🔥🔥 Mungu azidi kukuinua mtumishi barikiwa sana
@damianmwombeki2595
@damianmwombeki2595 Год назад
Wimbo Kama huu wa kumwinua MUNGU hufanyika baraka kwetu tunaosikiliza na kutazama , Ubarikiwe saaaana kaka
@mimakanini3660
@mimakanini3660 Год назад
Songi Linagusa,Kaka Godfrey ubarikiwe zaidi,nabarikiwa Sana nikiskiza wimbo zako.Mungu wetu mwema akutunze
@mrmbutaofficial1541
@mrmbutaofficial1541 Год назад
songi nzri sanaah. Mungu Azidi kukufungulia milango. kaka🙏🙏
@marthasinyangwe3727
@marthasinyangwe3727 Год назад
Barikiwa sana mtumishi wa bwana Yesu kristo awe mbele yako
@davidwambura5915
@davidwambura5915 Год назад
Achilia hilo dude mzee Baba
@pregaremasitatv4259
@pregaremasitatv4259 Год назад
Kaka nakupendaa one love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 weka TikTok fast tupate kufurahia wote
@emilianamarandu5478
@emilianamarandu5478 Год назад
Huu wimbo umenipa kufurahi sana,, wakati nasikiliza maneno yake nasikia legendary nasikia kunikamilisha nasikia teamo... this is real real awesome... wimbo yan uwe ni wewe tu... Be blessed Man of God
@joycekamendu6400
@joycekamendu6400 4 месяца назад
l love your songs very much tunasubiri video ya songi good luck
@danielranda8609
@danielranda8609 Год назад
Mungu azidi kukuinua zaidi mtumishi wa Mungu aliye juu man of God
@wemambonge6256
@wemambonge6256 6 месяцев назад
Barikiwa saaana, nyimbo zako nazipenda saana
@marysamuel391
@marysamuel391 Год назад
Mungu azid kubariki kaz yako na kukuinua zaidi na zaidi.....
@jacklineassenga8423
@jacklineassenga8423 Год назад
Brother Always your doing a good song aiseee wewe ni mwimbaji mwenye kipaji cha pekeee na huwa nabarikiwa ssna na nyimbo zako keep it up and God can still your side 🙏🙏🙏🙏
@ObbyAlpha
@ObbyAlpha Год назад
Kakaangu mpendwaa.ubarikiwe sana kaka
@sanzesanze2674
@sanzesanze2674 Год назад
Naamin tunaenda kubarikiwa tena..
@humphreykagwi5096
@humphreykagwi5096 Год назад
Songi Kali, hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeipenda hii
@leahestony2723
@leahestony2723 Год назад
Wimbo unagusa, unaponya na unabariki🎤🎵🎶 amina kaka mungu akutunze
@princesscuter3887
@princesscuter3887 Год назад
Ubarikiwe sana mtumishi endelea kumtumikia Mungu utaona faida yake
@lifemotivation971
@lifemotivation971 Год назад
NIMEKAA KWA KUTULIA NASUBIRI BARAKA MPYA KABISA
@lifemotivation971
@lifemotivation971 Год назад
Muda tayar bro
@givensanga7799
@givensanga7799 Год назад
Mungu aendelee kutunza alichoweka ndani yako
@lidamilahula
@lidamilahula Год назад
Aloo kaka unaniponya sana hujui tu
@hellenjoseph8674
@hellenjoseph8674 Год назад
Daah yaan huu wimbo jaman mim unanipa nguvu yaan sina Cha kusema ila Godfrey uzidi kubarikiwa kaka
@thehubofcelebrities9511
@thehubofcelebrities9511 Год назад
Leo cjachelewa sana. All loves from Kenya
@ezluckvoice1110
@ezluckvoice1110 Год назад
Amen Mtumishi wa MUNGU
@beatrixmalakasuka1214
@beatrixmalakasuka1214 Год назад
Barikiwa kak
@user-xj6sl9bc3x
@user-xj6sl9bc3x 10 месяцев назад
This guy's fully blessed, always touches my soul with his amazing vocals and melodies..
@tabiangao1315
@tabiangao1315 Год назад
Huwa nafuatilia sana nyimbo zako umenivusha sana 2021 Mungu akubariki sana na akuongezee neema ya kufundisha ushindi
@bd_nls
@bd_nls Год назад
Ameen, hakika ni Song! Ubarikiwe Sana kazi ni nzuri sana.
@cullenmugoro
@cullenmugoro 10 месяцев назад
Just WOW. 🙏🙏
@estapaul5318
@estapaul5318 Год назад
Wimbo mzuri kaka songa mbele
@oswgamingzone
@oswgamingzone Год назад
tunasubir songi hilo
@jasminibrahim6992
@jasminibrahim6992 Год назад
Hakika umebarikiwa san na Mungu
@samsonmahelo3336
@samsonmahelo3336 Год назад
Kaz nzr sana kaka 🎤🎤🎤🎤
@michaelyona9573
@michaelyona9573 Год назад
Amen ubarikiwe brother
@festusndile2946
@festusndile2946 Год назад
Barikiwa sana wimbo mzuri sana
@marymichael7611
@marymichael7611 Год назад
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka ❤
@adiveramajura9509
@adiveramajura9509 7 месяцев назад
Good voice na mpangilio mzuri
@irenetemba7930
@irenetemba7930 Год назад
Wimbo mzuri ubarikiwe sanaa
@angelvictory6169
@angelvictory6169 Год назад
I feel annointed when I listen to your tracks .mtumishi wa Mungu Mungu na abariki kazi zako kwaajili ya utukufu wa bwana
@Mr.nickotz
@Mr.nickotz Год назад
Mwandiko wa rohoni kabisa huu❤
@eliabuchatanda8762
@eliabuchatanda8762 Год назад
Nakubari sna bro kazi Yako njema
@georgedavid8358
@georgedavid8358 Год назад
My brother ubarikiwe sana
@joselineansbert7814
@joselineansbert7814 Год назад
Mungu azidi kukutunza my bro be blessed a lot
@HareneKipande
@HareneKipande Год назад
Bwana akuinue sana kupitia hiii kazi unaweza kutangaza injiri kakangu
@user-qp6wq9wi4y
@user-qp6wq9wi4y Месяц назад
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@JordanMichael1
@JordanMichael1 Год назад
JESUS IS KING ❤️
@JordanMichael1
@JordanMichael1 Год назад
AMEN AND AMEN 🙏🙏🙏
@siarimoy8127
@siarimoy8127 Год назад
Ubarikiwe kaka mzur ,mungu akutunze kwa ajil ya wengne ,ujui tu jinsi gan nyimbo zako zinachange maisha yangu
@Jimmymanasseh_Official
@Jimmymanasseh_Official Год назад
🙏🙏🙏Amen San kaka
@MarshWonder
@MarshWonder 7 месяцев назад
Feeling the blessings ❤💡
@EvaMarata-yj1cx
@EvaMarata-yj1cx 5 месяцев назад
Kujulikana cio lengo langu ukishuka unagusa moyo waMungu nimekuelewa
@frankdear2748
@frankdear2748 Год назад
Hongera sana kaka
@Reyier382
@Reyier382 Год назад
this is 🔥
@reyhizza8312
@reyhizza8312 Год назад
Song Lina bless🥰
@Eacko87
@Eacko87 Год назад
Hii nyimbo tamu sana.... Imenibariki hakika
@haikaagustino1715
@haikaagustino1715 Год назад
Ooh hallelujah.. songi lina touch songi lina bless💃
@malimabm8553
@malimabm8553 Год назад
My favourite artist unanibariki Kwa kila nyimbo yako, utunzi maridadi wenye kumtukuza MUNGU.
@mwaigospel1097
@mwaigospel1097 Год назад
I'm blessed
@simonmapesa5639
@simonmapesa5639 Год назад
Wimbo mzuri sana
@jordanbahatiofficial
@jordanbahatiofficial Год назад
Hallelujah Naipenda
@Bea_ray9556
@Bea_ray9556 Год назад
mwamba huyu apa❣
@maryjosphati1829
@maryjosphati1829 Год назад
Blessed Godfrey
@joanessjoel2394
@joanessjoel2394 Год назад
MUNGU akuinue sanaaa kaka mkubwa ila na usubir uo wimbo wa bwanaa
@edinabenedictorlukonjebene9335
umejaliwa sauti unaimba vzr
@sedekiakiza
@sedekiakiza Год назад
Ubarikiwe Sana mtumishi
@beatrixmalakasuka1214
@beatrixmalakasuka1214 Год назад
Good one
@RUTHHASSAN-pu4lh
@RUTHHASSAN-pu4lh 10 месяцев назад
Duuuuh umebarikiwa
@bucyensengegedeon6110
@bucyensengegedeon6110 Год назад
Yeah mn of God nice songi 👍
@philipokipande
@philipokipande Год назад
It's my brother again with such a blessing song God bless you bro
@victorbosco1447
@victorbosco1447 Год назад
Be blessed brother your my mirror because I like your voice and style of sing
@rehemajoram3298
@rehemajoram3298 Год назад
The voice is a blessing 🙏🙏
@jacksonkachonta4308
@jacksonkachonta4308 Год назад
Ubarikiwe
@frankfrancis6965
@frankfrancis6965 Год назад
Nabarikiwa na namna anavyotukuwa Mungu zaidi ndani ya hudumayako,,,,,Barikiwasana mtumishi
@ministerfilbertsangule2799
@ministerfilbertsangule2799 Год назад
My brother, you are such a blessing 🙌🙌🙌
@hakizimanaaline196
@hakizimanaaline196 Год назад
Amen
@barakajp-mh6cr
@barakajp-mh6cr Месяц назад
so good song.
@bujabestonlinetv
@bujabestonlinetv Год назад
Mungu aendelee kujaza hekima yake na Nguvu kutoka kwa Roho Mtakatifu 🙏🏾
@Jimmymanasseh_Official
@Jimmymanasseh_Official Год назад
Songi💯💯💥💥💥💥💥💥💥
@muhugokandiga5757
@muhugokandiga5757 Год назад
Ubarikiwe sana kaka
@winniemaganga5868
@winniemaganga5868 Год назад
Ubarikiwe sana Godfrey nyimbo zako zimekua faraja kwangu🙏
@aksapauline7903
@aksapauline7903 10 месяцев назад
Barikiwa 🙏🏻🙏🏻
@Janemsae
@Janemsae Год назад
Kifupi broo ilike you songs so much,nko nazo karibu zote to my 4n from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kalistadawas3910
@kalistadawas3910 Год назад
God bless you 🙏
@chiko_55
@chiko_55 Год назад
Ubarikiwe sana bro
@petromwakilasa2212
@petromwakilasa2212 Год назад
Thank you for sharing your talent. It's nice to see a person doing what he loves and real creativity. Awesome!! Please accept my congratulations 🙏🙏.
@gilbertherman5652
@gilbertherman5652 Год назад
May God keep using you Dr bro ....... You are a blessing indeed 🙏🙏✨🔥🔥
@johnkibona
@johnkibona Год назад
Be blessed dear broo
@brendangina8366
@brendangina8366 Год назад
Nice song be blessed man of God
Далее
GODFREY STEVEN - MALENGO ( Official Audio )
4:51
Просмотров 144 тыс.
GODFREY STEVEN - MWANA ( Official Video )
4:06
Просмотров 232 тыс.
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 294 тыс.
GODFREY STEVEN - HALLELUJAH ( Official Audio )
5:22
Просмотров 44 тыс.
Goodluck Gozbert - Shukurani (Official Music Video)
4:41