Тёмный
No video :(

#GOODLUCK 

GeorDavie TV
Подписаться 245 тыс.
Просмотров 897 тыс.
50% 1

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 851   
@binurusm8886
@binurusm8886 2 года назад
Kwa kweli Mimi Ni Mwislamu, Lakini nyimbo za huyu kijana huwa zinanifariji na kujiona nipo katika ulimwengu mwingine kabisa, Mwenyezi Mungu atakuinua zaidi, ikiwa ni pamoja na huyu Kuhani aliyekupa zawadi ya gari, Mwenyezi Mungu atamuinua zaidi, Aamina.
@everlynelabarakwe5944
@everlynelabarakwe5944 10 месяцев назад
Kabixa huwa kabla minniamke huwa nauskiza Kwanza nyimbo zake.
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 6 месяцев назад
Wewe ni Munaafiq , na usipokua makini waweza kuritad , kwa ujinnga wako
@mwitamarwa2277
@mwitamarwa2277 2 года назад
Hakuna machozi yasiyo jibiwa. Ubarikiwe mtu wa Mungu
@godfreykatala.4773
@godfreykatala.4773 Год назад
I appreciate Good luck Gozbert
@qutemishy6876
@qutemishy6876 Год назад
Am muslim but i love the way he sing his songs im always listening and this video make me cry to much 😭 hakuna machozi yasiyo na majibu 🙏 blessingo
@dainessmnaku800
@dainessmnaku800 2 года назад
Wale waliokuwa wanasema goodluck gozbert hajuw kuimba wanaona hayaa mm binafs nazipinda Sana nyimbo zake zote
@DjFinestWorldWide
@DjFinestWorldWide 2 года назад
Goodluck Gozberts deserves all the love he's getting, Kenyans in the house show some love.
@cutemamy9602
@cutemamy9602 2 года назад
Jamani Hadi machozi yamenitokaaa Bwana Yesu Ni mwema haki...Napokea katika jina ya Yesu kupitia Goodluck
@brother_majesty
@brother_majesty 2 года назад
I will drive Mercedes Benz before 2023
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 2 года назад
Huyu mchungaji kwa kweli,ni amazing sana kwa kweli ni wa ajabu sana,wachungaji wengi hawawezi kufanya hiki alichokifanya Nabii Geordavie
@issakwisamwakisambwe4080
@issakwisamwakisambwe4080 2 года назад
Asante sana kwa sadaka hiyo ila asiwe mtumwa wa zawadi hiyo mpe mwache aendelee na maisha yake
@neemamjema1067
@neemamjema1067 2 года назад
Ni wachache ambao wamebarikiwa yani wenye utajiri halafu wakumbuke kuwabariki/ kuwainua wengine Nabii mkuu Dr GeorDavie heshima yako🙌🙌
@genevivermambo4000
@genevivermambo4000 2 года назад
Kabsa Mungu azidi kumbarik mtu wa Mungu
@massbass6090
@massbass6090 2 года назад
Goodluck nakupenda bure kutoka Kenya Mungu azidi kukuinuwa siku zote am happy for you have along life my brother
@cibakakataraka464
@cibakakataraka464 2 года назад
uendeleye kuishi nabiwamungu ulichokifaya kina ningusa sana mimi nimu congo
@michaelndungu4159
@michaelndungu4159 2 года назад
Nabii mungu akupe maisha mingi duniani uishi kupea watu neno njema
@kenyan9739
@kenyan9739 2 года назад
Nampenda
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 года назад
kweli nimeelewa leo umaridadi huficha umaskini.huyu kijana ni mardadi hata ukiambiwa amemaliza mkopo wa haria huwez amini.Mardadi wa Yesu.Yesu azidi kukuinua nyimbo zako zinabariki wengi kijana
@violetndandako3964
@violetndandako3964 2 года назад
Amen👏
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 года назад
Yesu namimi unikumbuke, hakuna machozi yasiyo na majibu, Asante nabii wa Mungu🙏
@tumainisangaonline6536
@tumainisangaonline6536 2 года назад
Mungu akubariki Gozbert nyimbo unazoimba ni baraka kubwa kwa kizazi hiki kwa vijana wenzako na jamii nzima ya Kristo
@jasmnegodfrey5283
@jasmnegodfrey5283 2 года назад
Ipo siku nitaimba uwo mwimbo kwa mapito ninayo pitia Asante Yesu ata sasa umenitunza
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 года назад
Come on.....one day yes
@rachelnduku5733
@rachelnduku5733 2 года назад
🙏🙏
@kesiakesia2225
@kesiakesia2225 2 года назад
Mungu na Mimi nikumbuke naambatana na baraka hizi batesekeke Mungu nifute machozi
@xjxjxnxn2673
@xjxjxnxn2673 2 года назад
Ee mungu asante kwa kumkumbuka kaka yetu,baba naomba pia nami unipanguze machozi nami nimelia kwa muda mrefu muno baba nikumbuke naomba
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 8 месяцев назад
Baba NABII MKUU GeorDavie Utumishi wako ni wa kweri. Lazima Roho yako nilazima iendelee
@yusternyson9794
@yusternyson9794 2 года назад
Ni baba mwenye upendo tena ana Mungu wa kweli ni nabii alieteuliwa na Mungu kwaajiri ya dunia yote,baba Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi.....🙏
@lusianguno6434
@lusianguno6434 2 года назад
Najiungamanisha na baraka hizi kwa Jina la Yesu.
@restkalemile5274
@restkalemile5274 2 года назад
Kwa mema yote nitamtukuza Mungu, ila all in all tutembee na NENO wapendwa ni upanga ulao kuwili Hakika Neno LA Mungu ni silaha kwa mkristo WA kweli.
@oloonyikakmolelloloonyik-vd3zg
Mungu awabariki akubariki sana akuongezee maona
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 года назад
Waoooh Mungu humwinua mnyonge mavumbini na kumketisha na wakuu😭
@dannymkogoti961
@dannymkogoti961 2 года назад
Nimetokwa na machozi 😭ya furaha kuona kumbe bado kuna watumishi wa Mungu wanaweza kusimama na waimbaji vijana ambao wengi wanatuchukulia kama tunatafuta pesa, kama wahuni, hatufai Mungu akubariki nabii mkuu Kwa moyo wa kipekee....ulichomfanyia goodluck itabaki ikiishi ndani yetu waimbaji tunaopambana kufika mahali na kututia nguvu ya kumtumikia Mungu...goodluck ubarikiwe kaka zaidi na zaidi.
@frankmnale1900
@frankmnale1900 2 года назад
Pole sana Ulipopita sio penyewe.... Angalia ulipoanguka ukatubu dhambi zao ili ulejeshwe kwenye uwepo wa BABA YETU ALIYE JUU MBINGUNI.
@aaaaaah290
@aaaaaah290 2 года назад
UNAMANISHA NN..?🤔
@ivynekorir
@ivynekorir 6 месяцев назад
The song shukrani always keep me settled and calm my soul 💞, I always find hard to end my day without singing the song Goodluck my the lord uplift you brother
@samwelnjuguna2156
@samwelnjuguna2156 2 года назад
I can't hold my tears, I love Goodluck and the song Shukurani has always been the best song on my gallery. May God bless you and the Pastor. Service to mankind is service to God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@kipyegomaureen5397
@kipyegomaureen5397 2 года назад
Congratulations 🎈 goodluck loyal fan from Kenya mungu akubariki na akuinue na kukubariki zaidi na zaidi
@jantex029
@jantex029 Год назад
Machozi ya furaha kwangu since I love his songs inanifunza mengi 😭❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 live longer @Goodluck
@kasokihortense7313
@kasokihortense7313 2 года назад
Good Luck nakupenda sana tena sana napia nazipendelea sana nyimbo sako maana zinanibeba uweponi mwa mungu sana Ila hajayangu Siku moja nikuone uso kwa uso maana namimi ni mwimbaji kutoka Congo DRC
@edwardkimaro2103
@edwardkimaro2103 2 года назад
Inapendeza Sana Nabii Mkuu Kwa Utoaji huo hata Mimi Nashawishika Nike kuutembelea Mji wa Nabii Mkuu hivi karibuni.
@blackvirus8740
@blackvirus8740 День назад
Mnamsifia kampoteza Kijana Wakristo tunafeli wapi???
@shishiafricanaofficial325
@shishiafricanaofficial325 Год назад
Amen and Amen Napokea uwo unabii kwa jina la yesu Yale ninayo pitia naamini leo ndio mwisho sitalia tena Amen
@kakadanny4393
@kakadanny4393 2 года назад
Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi nabii wa Mungu
@luckkelvin6908
@luckkelvin6908 2 года назад
Amina nabii mkuu nami napokea kwa imani Viatu vyangu lazima niuze nimalize
@eufresiabahati8845
@eufresiabahati8845 2 года назад
Aki nimemsaidia kulia kwa furaha Mungu akuhinue paster
@MichaelMunuve-jy6lk
@MichaelMunuve-jy6lk 7 месяцев назад
Nyimbo sa kaka huyu sina nifuta kweli kweli son God bless you & bless you talent man
@reginaojiw1653
@reginaojiw1653 2 года назад
This has moved me to tears...nani kama Mungu, God bless you Goodluck, azidi kukuinua.kukubariki. Thank you for blessing us with great music.
@kasokihortense7313
@kasokihortense7313 2 года назад
Ingene haja ninayo nikwamba mungu aniwezeshe Siku moja nifike mbele ya huyu nabii Dr deodavie nimuone aniombeye
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 года назад
Hongera Nabii kwa zawadi ulompa Good luck
@swaumunoti3734
@swaumunoti3734 2 года назад
Ghhhhh
@swaumunoti3734
@swaumunoti3734 2 года назад
JM
@refined.nuggets
@refined.nuggets 2 года назад
I am Kenyan, love playing his mix on my earphones..... The law of attraction is demonstrated in his song... Hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa..... Pale kwenye wimbo kunaye anampa gari..... Its God's doing......
@ngatiaann1406
@ngatiaann1406 2 года назад
Good luck umebarikiwa kwa ukweli nakupenda sana sana naninapenda nyimbo zako sana.wish one day nitatembea tu tanzania kwa ajili yako nikutane tu na ww
@joycemwingira894
@joycemwingira894 2 года назад
Good luck. Gozbert. MUNGU. Akubariki. Na. Aendelee. Kukutendea. Makubwa. Zaidi. ya. hayo
@shanecebrichards5551
@shanecebrichards5551 2 года назад
We love Goodluck Gozbert. Glory be to God Almighty🙏. Representing Kenya 🇰🇪 🇰🇪. Watching from UAE 🇦🇪
@rozzykin3469
@rozzykin3469 2 года назад
I truly love this young man. He truly blessed me with his songs. He deserves even much more!!! God bless you good luck!!! May you receive many many more. Watching you from KENYA
@everlineakombe6477
@everlineakombe6477 2 года назад
These is how God sends destiny helper to your life without knowing, glory be to God love from Kenya.
@Judy001
@Judy001 2 года назад
Am soo happy for him,and my God bless him more and more... Lots of love from Kenya. Nyimbo zako zinagusa wengi
@BarbraAchieng-nr9br
@BarbraAchieng-nr9br Год назад
May the living God 🙏 blessed you more and more , may he ad you more strength may God keep you ,and may he come close to you , may you never lack any thing in life , 🙏🙏🙏
@viplianemmbone8040
@viplianemmbone8040 2 года назад
Have watched this in tears, one day I was told that am the cause of all the problems in my family. Now as we speak am the breadwinner everyone is depending on me despite yhe small salary I get I know God is going to lift me too so that I can change the situation in my family 😭😭😭😭
@judithrwebugisa4923
@judithrwebugisa4923 2 года назад
Honestly speaking..this video has made me shade tears of joy...Njia za Mungu hazichunguziki...na nimejifunza zaidi na zaidi ktk safari kueleke ktk hatma ya kusudi LA Mungu kwangu....Imenipa nguvu kwa namna ya tofauti!
@mamy8220
@mamy8220 2 года назад
Na Mimi niliependa uwowimbo ikianza napenda sana ubalikie🙏🙏🙏😍 amen baba balikiwa 🙏🙏🙏
@georgetavalentine4686
@georgetavalentine4686 2 года назад
Exactly he's also my favorite male gospel singer 🙌♨️♨️💯💥
@isabelavictor9964
@isabelavictor9964 2 года назад
Mungu naomba unikumbuka na mimi Amen 🙏
@goodlucktindigwe5679
@goodlucktindigwe5679 2 года назад
mwenyezi mungu naomba unikumbuke na mimi.....
@fridahkarimi5510
@fridahkarimi5510 2 года назад
Huo wimbo umekuwa umenisaidia wakati wa mapito magumu nikiwa hapa Kenya,This is awesome God we serve,ooh mungu nikumbuke nami bado nakusubiri,malangoni mwako siondoki yesu🙌
@leonardsiele2279
@leonardsiele2279 9 месяцев назад
Asante kwa huyu priest kwa hiyo zawadi kwa Goodluck ❤❤
@09Dorcas
@09Dorcas 2 года назад
My favorite musician from TZ.May God continue elevating u.
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 года назад
Mwenyezi Mungu akuzidishie mtumishi wa Mungu
@BarbraAchieng-nr9br
@BarbraAchieng-nr9br Год назад
Wow God is great kila wakati jina la Yesu lipewe sifa milele na milele, anatoa watu mbali sana , ana India aibu thank you Jesus
@kingkitoko6538
@kingkitoko6538 6 месяцев назад
Mungu anatenda ubarikiwe Pia nabi mkuu
@gamasasule10
@gamasasule10 2 года назад
daaah kuna mahali Mungu amenitoa kupitia ushuhuda wako brother daah Mungu anao watu barikiwa sana
@user-vw6yp8td7r
@user-vw6yp8td7r 5 месяцев назад
I don't know why God directed me here today... God is washing away my tears
@staralive9260
@staralive9260 2 года назад
Ni kweli huo wimbo ni mzuri sana!! Pamoja na nyimbo hizo lakini na zote alizoimba Goodluck zinaimbwa hata na waislamu kwa wakristo. Mimi nakukubali goodluck kwa kweli unagusa wengi. Nakujua vema sana Good uende kwa Selemani pale alipo pia umwambie jambo atakuongezea na baraka.
@qutemishy6876
@qutemishy6876 Год назад
u talk real
@irenecandyk
@irenecandyk 2 года назад
Nabii mkubwa God bless you for your good deeds. I wish one day to meet you Nabii. I do believe and trust that day I will meet you and my life will change. God bless you abundantly. Am following from Kenya.
@scolakalindu8077
@scolakalindu8077 2 года назад
Amina amina Baba 🙏 Baba unasema kweli kabisa Baba aminaaaaaaaa
@godymussa1919
@godymussa1919 2 года назад
Jo dave hakika weww ni mtumishi nakuamini kuanzia sasa wewe ni mtumishi Mungu akubarik sana
@pastorb.alaurent1006
@pastorb.alaurent1006 2 года назад
Fact Goodluck Hongera sana kwa kuonekana kwnye jicho la Nabii
@anithajustine697
@anithajustine697 2 года назад
it is amazing how far the lord can take anyone who is willing 🙏
@evabikabhai1861
@evabikabhai1861 2 года назад
Nabii Mkuu, Joy cometh in the morning Nakuheshimu Sana Nakupenda wewe na familia yako. Ahsante kwa upendo wako Mungu akuinue.
@joycembawala8781
@joycembawala8781 2 года назад
Ni yupo Nch gani??
@neemayohani7375
@neemayohani7375 2 года назад
Emen sana
@maishayetufilm
@maishayetufilm 2 года назад
Tanzania
@reaganhassan156
@reaganhassan156 2 года назад
Nimependa alipo sema,Mungu ana watu,na mm naamin kuwa Mungu ana watu
@chantosu123
@chantosu123 2 года назад
Na mimi pia napenda goodluck sana. I am thankful for u and may God bless this man for blessing u❤️
@shukurumhina2131
@shukurumhina2131 2 года назад
Goodlack mungu azidi kukuinua katika viwango vingine ww umenivutia adi na mimi naimba kaka goodlack
@vivianamani2310
@vivianamani2310 2 года назад
From Glory to Glory Grace to Grace This is God in Action💝 Yeye ni mwaminifu Siku Zote na Wakati Wote. Amennnnn💃💃💃
@alexemir2836
@alexemir2836 2 года назад
Amina
@janethmusa2059
@janethmusa2059 2 года назад
Ubarikiwe nabarikiwa na nyimbo zako
@hatangimbabazisenzoga3245
@hatangimbabazisenzoga3245 Год назад
Barikiwa tena natena kwa roho ya upendo,huruma na ktoa Mungu azidishe mu Yesu Kristo Amen
@officialnalib5208
@officialnalib5208 2 года назад
Good luck has been my inspiration, God bless you Bishop
@rashidmahundi4803
@rashidmahundi4803 2 года назад
Amina
@rashidmahundi4803
@rashidmahundi4803 2 года назад
Hakuna machozi yasiyo jibiwa hakika Mungu ni muweza
@benadettekingambi9924
@benadettekingambi9924 2 года назад
Woooooooow mercedez benz hongera goodluck 😊😊😊🙌🙌🙌👦👦💚💛💓💔👍
@madamsoka2562
@madamsoka2562 2 года назад
Ameni Mungu wa mbinguni akakuzidishie mtumishi, amwongoze nabii wake mteule.
@patrickmutuku9769
@patrickmutuku9769 2 года назад
I ever like ua songs bro , I believe mungu yupo and wakati wake ndio mzuri kila wakati , thanx Jesus for gift of life always
@praxystyleempire2576
@praxystyleempire2576 2 года назад
Everything works for good to those who love him🙏🏻this man of God is a blessing
@modesterclement3062
@modesterclement3062 4 месяца назад
Hakuna machozi yaaiyojibiwa,hongera sana Nabii
@angelapiter4672
@angelapiter4672 Год назад
Hongera kaka endelea kufanya kazi ya Mungu utabarikiwa Hadi ushangae
@joycesemeyan8153
@joycesemeyan8153 2 года назад
pia mm naupenda sana huo wimbo wake wa shukurani ubarikiwe mtumishi wa mungu
@jacklinelihabi5535
@jacklinelihabi5535 2 года назад
Mungu abariki huyu mtumishi wa mungu ku mbariki huyu muimbaji wetu
@doreenshii563
@doreenshii563 2 года назад
Be blessed Nabii for blessing our boy child Good luck,🥰🥰🥰🥰ingekuwa ni Kenya wadaku wangesema ni stage managed
@rinarina472
@rinarina472 2 года назад
Kenyans tuko na wivu aki🤣🤣🤣
@Pro-g2n
@Pro-g2n 2 года назад
Kabisa Joy
@aggieapple
@aggieapple 2 года назад
Sir GeorDavie Mungu akubariki sana....Goodluck Mungu akutangulie na akuinue zaidi kwa kazi ya Mungu
@floribertmukambwadun7173
@floribertmukambwadun7173 2 года назад
Un vrai homme de Digne. Soyez richement Béni le grand prophète en tanzanie
@nemuelombasa8810
@nemuelombasa8810 2 года назад
Very truly man of god,he did Jesus if u have two clothe and brother doest have ,give him one pair,god bless man god and keep on doing good.watching from Kenya ombasa
@mamyeduine3676
@mamyeduine3676 2 года назад
Nahisi kuvikwa nguvu upya tena nimeguswa sana barikiwa kijana🙌
@puritywabiidii
@puritywabiidii Год назад
Akuna machozi yasiyo jibiwa Nabii mkuu mungu akubariki,
@wapyatv4548
@wapyatv4548 2 года назад
Baba Asante Sana kwa kumtunuku kijana mwenzetu ,Asante mnooo.Baba tunakufuatilia Sana n tunapenda kazi yako.
@prudencepeter6728
@prudencepeter6728 2 года назад
Mungu ni mkubwa jmn Asante sana nabii
@jeanmarie6736
@jeanmarie6736 Год назад
Niko Asia Labi Mukuu Mungu akubaliki nakufatiriya sana Goodluck naypiya Namufwafa miyakwamiya hallelujah
@janethkinabo3486
@janethkinabo3486 2 года назад
Barikiwa Baba, kwakweli umemtendea haki. Baba Mungu azidi kukuweka baba
@kimberlytv7895
@kimberlytv7895 2 года назад
He is just a simple young man who has committed himself to God,destiny can delay but not denied 🙏
@neema5650
@neema5650 2 года назад
Goodluck mwenyezi mungu aendelee kukutumia
@abedmusyoki-chosen0ne931
@abedmusyoki-chosen0ne931 2 года назад
To God be the Glory.... Nakupenda kupita kiasi brother... Faulu maishani in Jesus name
@suzanjohns455
@suzanjohns455 2 года назад
yes papa joy comes in the morning God bless u man of God
@annlitamuthoni6250
@annlitamuthoni6250 2 года назад
Can't hold the joy,you really bless me. Wimbo wa hauwezi kushindana,it has changed and touched me...God bless you,,,wish to meet you one day...
@rabinzsinoya1434
@rabinzsinoya1434 2 года назад
Goodluck MUNGU akutangulie uwe na maisha yakumsifu MUNGU siku zote za maisha yako.lov u
@yasinidicole4171
@yasinidicole4171 Год назад
Mungu ni mwema sana kabisa🔥🔥🔥
@baracksylvester6194
@baracksylvester6194 2 года назад
Binadamu wote tunapendwa na mungu ila wewe @nabii GeorDavie mungu amekupendelea sana na mungu azidi kukubariki nasi uzidi kutubariki
@quinnkoi221
@quinnkoi221 2 года назад
God bless you, love from Los Angeles
@bestshine6273
@bestshine6273 2 года назад
Appreciate GOODLUCK GOZBERT !!
@princessringo2879
@princessringo2879 2 года назад
Napokea namim kwa jina la yesu
Далее
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Просмотров 499 тыс.