Тёмный

GPS: AFYA ya BIDEN yawa GUMZO! Kuna wakati DATA zinaonekana kupotea! Atamuweza TRUMP? 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

15 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 144   
@BakarAlshiraziy
Hii ni CNN ya Africa hongereni Sana SNS kwa uchambuzi wa kina kwa kweli unastahili pongezi na kupewa tunzo 😊😊😊😊😊❤❤❤❤
@BIGBOSS-hl3bu
Hizi mbiringe zote ni mungu anaonyesha kuwa hakuna mtu mwenye uwezo wakushindana na uwezo wake,na hayo ni matokeo ya damu za watu na dhulma walizofanya kama NCHI Kabla na baada ya uraisi wake
@AliNassor-qt6fm
Afe tu akalipwe alichokivuna mana anahusika umwagaji wa damu za wa watu, Laana ya Allah ( sw) amshukie
@Shafikimanga7
Mwinyi wetu kafa na tisini na kidogo tuu iwe mia ila kafa anakumbukumbu. Mungu walinde viongozi wetu
@swalehejuma6611
Damu za watu haziendi bure
@MAHAN-SMART
Ukafika mda wake na yeye ataondoka kama anavoshadidia wenzake wafe kwa kuchochea vita kila pahali
@juliusnyerere5393
Nakuwaminini Sana kuliko online TV yoyote ile hapo Tanzania bug up brothers. Mtafika Kileleni tu inshallah
@patienceamuri3588
From USA huo nawapata vizuri Kila siku
@EliaPastori
Kweli kabisa kazeeka cn
@ngendakumanajeanmarrie7490
Huyo mzee amechapa aende kulea wajukuu mambo yakugombea urais hawezi atakufia madhalakani😂😂😂
@zayumar2955
Na bado Shenzi kabisa Mungu atamlipa kwa uovu wake dhidi ya viumbe wadhaifu
@surusuru1994
Wazee wakirangi wapo Good mno babu yangu 10 nazaidi ana tebea anaona kwaza liishe yao original hakuna poobe Dj sumaa penda tena hapo unapogusea dini wallah allah akusemamie one
@saimonifredi4653
Mwaisa achana nae.....wazee wa ndizi parachichi na maziwa mgando
@azizayassin3623
Amejinyea kila mtu amesema😂😂😂😂😂😂😢
@KuwakuMalumba6895
Sisi kwetu Burundi 🇧🇮 tuna hishi mwaka mingi😊 kila Sunday warundi wengi tuna kimbiya kufaya exercise😊 asilimiya kubwa tuko ivo! Naki gine Sugar kwetu Burundi 🇧🇮 ni big deal now😊 Sukari sio zuri ata kidogo😊 labuda beers 🍻 na beers 🍺 nita tizo la Africa kama yote😊 mwili ni lifestyle kwaza 😊 na mengine family una toka ndani😊👊🏿🫵🏿🇧🇮🇨🇩🇹🇿
@allykwaya
Ally masubi umesema kweli. Warangi Mti mkavu.
@mathiaslaurent756
Ukitaka kujua wanyaturu wanaishi miaka mingi ingia ndani ndani kugonga Miaka mia ni kawaida sana unakuta bado wako fiti, na singida Kwa sasa ndio ina wazee wengi sana!
@brianbaltazar6198
Uchambuzi mzuri sana
@user-sr8tc8ke6q
Ngoja apite uchaguzi ujao ndio mtaona akijikojolea kwenye mikutano live 😂😂😂
@ramamabinda5063
Baba kazeeka kuliko babu yangu.
Далее
СМОТРИМ YOUTUBE В МАЙНКРАФТЕ
00:34
Просмотров 977 тыс.
Edward Snowden: How Your Cell Phone Spies on You
24:16