Тёмный
No video :(

US, CHINA na URUSI nani KIONGOZI Teknolojia ya ANGA? Mtanzania aliyeunda SATELLITE amaliza ubishi! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 181   
@inogelapixels
@inogelapixels Месяц назад
Siti ya mbele kabsa Leo na Mimi nipeni like
@mwajomberobert
@mwajomberobert Месяц назад
Safi sana Kumbe tunao akina Musk wa Tanzania Big up kwake
@chancekambale3498
@chancekambale3498 Месяц назад
Uyu jama iko vizuri anaeleweka na anaonekana ana madini 🎉 big up
@directortwicep3028
@directortwicep3028 Месяц назад
Huyu jamaa yuko poa sana nchi yetu itoe sapoti basi
@user-qr2ol5td5w
@user-qr2ol5td5w 13 дней назад
Wako busy na mambo chaguzi! Hawana muda!!
@francomwacha2262
@francomwacha2262 Месяц назад
Napenda sana mambo ya anga.. natamani umkalishe huyu mwamba pamoja na masubi wajadili kwa upana hii kitu kaka sky.. story iko interesting aisee!! 🫡
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Месяц назад
Ukishindwa kurusha satellite kuwa mchawi uruke we mwenyewe utafaidi zaidi
@faridhamad3678
@faridhamad3678 Месяц назад
​@@alzawahirabdallah2299Dah aisee akili zako unazijua mwenyewe😂😂
@star_wizard2792
@star_wizard2792 Месяц назад
Brother sky chukua hi sns NI kisima cha maarifa hyuu Jamaa mpe kipindi awe anaelezea mambo ya masatelite na Habar za mambo ya Angani Huko kwa lugha yetu ya Kiswahili itakuwa nzuri Sana
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Месяц назад
Hakika inaburudisha.
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Месяц назад
Na anajua huyu jamaa isee
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs Месяц назад
Anamambo mengi sana ya kufanya
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Месяц назад
umeongea kit mze
@user-rz5ze5me1y
@user-rz5ze5me1y Месяц назад
Waislam wamekwazika kusikia Marekani ni balaa kwa anga ila ukweli utabaki kuwa huo na Mungu awajalie wasitoke hapo
@AlexNswila-g1q
@AlexNswila-g1q 21 день назад
Ukija kuelewa kuusu ao wamarekani bc utaacha kuwashadadia
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Месяц назад
SNS mpo juu sana
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Kweli kabisa Africa ipo ktk ya sayari ukiwa juu unaona Africa vizuri tofauti ya nchi zingine hazionekani
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t Месяц назад
yaan huyu jamaa ni another level big love from🇰🇪🇰🇪
@youngbona3804
@youngbona3804 Месяц назад
Jamaa anajua sana,,inabid awe anaudhuria ofisini kwe2 #SNS kuja ku sign
@rashidyunus1835
@rashidyunus1835 Месяц назад
Brother Sky nina ombi anda interview ya huyu jamaa pamoja na Benjami mzee wa "NALA" TAFADHALI ANDAA HYO INTERVIEW
@mohammeddabwara6220
@mohammeddabwara6220 Месяц назад
Mungu. Akulinde. Kea. Juhudi
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 Месяц назад
M/Mungu atupe wepesi nimependa kiswahili kwenda sayasi nimependa Alaahu akbar
@kelvinmboya5846
@kelvinmboya5846 Месяц назад
Bro sky huyo bro anatufaa sana kwenye kuelezea mambo ya kisayanisi. Hata za kivita tulete mezani
@alexanderhaule7667
@alexanderhaule7667 Месяц назад
Marekani kwenye space hana mpinzani. 1. Project Mercury. 2. Project Gemini. 3. Apollo program. 4. International space station. 5. Space shuttle program. Manuva yote ya orbital mechanics aligundua mmarekani kupitia hizo program. They learned how to live , eat , fly and longer stays in space . Dangerous mission zote za space kafanya mmarekani ( Apollo 13 nk ) HAKUNA NCHI IMEFANYA MANNED MISSION TO THE MOON ZAIDI YA MAREKANI . Na sasa wako na ARTEMIS PROGRAM with ARTEMIS II incoming.
@magorymara5515
@magorymara5515 Месяц назад
Jaribu kufanya utafit kwanza kabla hujataja majina hebu nenda google tuone nchi ya kwanza kurusha chombo cha mawasiliano angani ni ipi
@user-zz6vf8ry2p
@user-zz6vf8ry2p Месяц назад
Nchi za ujamaa hazina tabia ya kufanya matangazo mengi nakijisifia sana kuwa wao ndio wanaweza,tumeshuhudia sana mengi waliyokuwa wakijitapa kuwa wako juu kumbe Russia anawapita kitambo
@alexanderhaule7667
@alexanderhaule7667 Месяц назад
@@magorymara5515 hujaelewa swali nenda kajielimishe kwanza bwana mdogo.
@user-iq5wr8fq7c
@user-iq5wr8fq7c Месяц назад
Uyo jamaa aalikwe sana ALLAH azidi kumfulia iyo elimu
@mwajomberobert
@mwajomberobert Месяц назад
Mwana Anga mzuri sana kutoka Tanzania Na pia ni mwalimu mzuri sana
@markoandrea-c2x
@markoandrea-c2x Месяц назад
Kaka mimi niko Namibia 🇳🇦 karibu saana nitakua mwenyeji wako
@officiallugano8991
@officiallugano8991 Месяц назад
marekani Baba wa TECNOLOGY
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 Месяц назад
Kijana wa Physics, well done 👍
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Месяц назад
Dah story ua huyu mwamba ni nzuri yaani haichoshi inazid kukolea
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx Месяц назад
Sasa hapa unamwambia nani mpuuzi wew😅😅😅
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 14 дней назад
Mzuri ni mk3 Wako
@linusrichard4450
@linusrichard4450 Месяц назад
Jamaa analijua anga kisawasawa 👍👍
@Del_busi5
@Del_busi5 Месяц назад
Tanzania 🇹🇿 inawatu muhim sana, serikali iwalinde kwa gharama yeyote ile
@boaziamos1224
@boaziamos1224 Месяц назад
Haiwezi
@michaeljuma254
@michaeljuma254 Месяц назад
Aaiiiseee very impressive
@RichWise671
@RichWise671 Месяц назад
#Chief_Godlove Mwezeshe Huyu Jamaa Aikombowe Africa kupitia #Tanzania🇹🇿
@luganomunuwavanu9369
@luganomunuwavanu9369 Месяц назад
😅😅😅
@emaneez
@emaneez Месяц назад
Huyo jamaaa. Yupo chini ya azam . Na ndio fundi mkuu mitambo ya azam media . So hayupo kinyonge hata robo . Nenda azam utamuona .
@francomwacha2262
@francomwacha2262 Месяц назад
Huyu mangi ana uthubutu sanaa... inabid mawazo yake yafanyiwe kazi Ata kwa faida ya kizqzi kijacho
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx Месяц назад
Sasa kwani wew utakuwepo? 😊😊😊
@noahkamendu9081
@noahkamendu9081 Месяц назад
Kweli kaka ilo jiwe (KIMONDO) liko mkoa wa SONGWE , wilaya ya MBOZI , Kijiji Cha NDOLEZI
@husseinbunu8581
@husseinbunu8581 Месяц назад
Wa kwanza kuangalia like
@user-gx4jx4gv9l
@user-gx4jx4gv9l Месяц назад
Dah!uyu mwamba yupo vzr namfatiliaga sana.
@Mtumishi755
@Mtumishi755 Месяц назад
Naiomba Serikali ya Tanzania mumuangalie huyu Kijana Leonard Shayo kwa jicho la pekee kwa kumsupport kufikia malengo yake kwa Taifa. Mama Samia nakuomba umuite na kuongea nae yale anayohitaji ili kufikisha malengo yake kwa Taifa.
@ce-08
@ce-08 Месяц назад
Umeongea vizur sana ila serikali yetu Bado upo nyuma kusuport wazawa
@eliudkazoba5170
@eliudkazoba5170 Месяц назад
Safi sana Ndugu yetu, pambana ndoto yako itimie.
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 Месяц назад
Daah aisee nmefrah sana
@hamadiselemani8665
@hamadiselemani8665 Месяц назад
Good Idea Bro, Nakuombea Sana Iwe Ivyo
@ManusuraWalumona
@ManusuraWalumona Месяц назад
Kilicho nifurahisha zaidi kwa ndugu yetu kuto kutumia so!so!na viingereza vingi vingi ktk maelezo yake tunamuomba atueleze kidogo kuhusu hao viumbe wenye vichwa na miili ya ajabu eti (alliens)wapo kweli na km wapo wapo wapi?nk
@40kstore
@40kstore Месяц назад
Majamaa kama haya ndo usalama wa taifa wanatakiwa wawatafute na kuwapeleka mbele huko wakaibe tech
@Mtumishi755
@Mtumishi755 Месяц назад
Serikali ya Tanzania huyu Leonard Shayo ni Mzalendo wa kweli ninawaomba apewe support yoyote anayohitaji ili kufikia malengo yake kwa Taifa.
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 Месяц назад
Nilimsikia Benjamin Netanyahu,Warusi wako vizuri na mbali zaidi anga za juu kuliko wamarekani. Kuna wkt wamarekani walishawahi kufake wamefika mwezini kumbe sio.warusi na wachina wasiri sana wamarekani wawazi zaidi na hawachi kujisifu kuliko warusi na wachina zaidi
@essaongongolowo2400
@essaongongolowo2400 Месяц назад
Simuamini anavyosema kuwa wamarekani wapo mbali sana lakini hana facts, vita pale Ukrein imetawaliwa na tech za anga lakini U.S anakubali kushindwa how comes anasema U.S IPO juu?
@user-pb5fk1wy3d
@user-pb5fk1wy3d Месяц назад
Mwamba yupo vizuri sana🙌🙌🙌🙌💯💯💯💯
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Месяц назад
Hiyo telescope inaitwa james web telescope
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 Месяц назад
Urusi kinachomuangusha ni uchumi
@user-rz5ze5me1y
@user-rz5ze5me1y Месяц назад
Kama unataka kukataaa vile
@athumanramadhan4042
@athumanramadhan4042 Месяц назад
Uyu jamaa awe gps tuh yuko vizur kk
@BimkubwaMohd-ef6hr
@BimkubwaMohd-ef6hr Месяц назад
Revolution
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Kiufupi kaka sky sayansi yote ipo kwenye Quran..ukisoma kitabu Cha Quran inakwambia Kila kitu...na mwanasayansi wakwanza dunian na wamwisho ni mtume wetu Muhammad s.w..ukisoma kitabu Cha mungu Quran ndo itakwambia Kila kitu
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Месяц назад
Muhammad aligundua nini mzee😂😂
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc Месяц назад
Uongo tuu
@beardedalade
@beardedalade Месяц назад
😂😂😂😂😂😂 Mohammad alifanya nini katika sayansi?
@FreeGod368
@FreeGod368 Месяц назад
​​@@user-it7ih1it3m hata mfuasi wake ajawai gundua kitu..wafuasi wake ndo watu wakwanza kugundua Biriani..izo bla blaah za kuran mbona hawajawai kugundua hata kufuli
@yusuphkidoto6766
@yusuphkidoto6766 Месяц назад
😂😂😂😂eti wafuasi wake waligundua bilian duuu​@@FreeGod368
@danvannyzawad6452
@danvannyzawad6452 Месяц назад
Nasema huyu jamaaa ndio mkombozi wetu
@paulhema5713
@paulhema5713 Месяц назад
Mama Samia chukua huyu mtu....turushe satellite yetu
@RAMAMOHA-vn9xv
@RAMAMOHA-vn9xv Месяц назад
huo uchambuzi mnaanza saa ngapi tafadhali naomba kujua
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f Месяц назад
Alieanza kaanza tu
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi Месяц назад
Sky bn acha uwongo hujawai skia kimondo mbeya 😊
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 Месяц назад
Sasa hao roboti wa marekani wanafanya kazi kwenye sayari ya mars usiku na mchana wanafanya kazi gani huko??
@Olaiserriomunyak1059
@Olaiserriomunyak1059 Месяц назад
Swali zuri sana hili? ... Au wanalima?😂😂
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 Месяц назад
@@Olaiserriomunyak1059 ilibidi mtangazaji aelezeee hicho kipengele wanafaje huko
@mtoramazani9641
@mtoramazani9641 Месяц назад
Mwambie huyo jamaha vitu vyote vyaku peleka vyombo vyote ewani vinatoka urusi huyo asome vizuri mwenyewe Elon aja fanakiwa pamoja na kampuni yake kupeleka chombo angani nipo marekani mimi sihitaji kudanganywa na mtu kuwadanganya wengine!
@danielsostenes1640
@danielsostenes1640 Месяц назад
Marekan ajawai peleka mtu mwezin. But mambo ya anga mrusi alkuaga hatua mbele kwa marekan alkuaga mbali sema mpasuko tu
@mazindehashimu4430
@mazindehashimu4430 Месяц назад
Ni kweli kwenye teknolojia ya anga Sasahivi anayeongoza ni marekani. Urusi kwa Sasa kawekeza zaidi kwenye silaha, mambo ya anga aliachana nayo kwasababu aliona hayana umuhimu nayo kwasababu alishawekeza hapo mwanzo.
@allykwaya
@allykwaya Месяц назад
Kabisa. Waende warudi Urusi mbele ya Muda kitambo
@georgekimasa7393
@georgekimasa7393 Месяц назад
Yaani nyie bhana 😂😂😂 lakini tunajuwa mnavyosema hivyo mnamaana Gani kulingana na majina yenu pia mnacho takiwa kujuwa hata hizo Silaa za kivita zinategemea teknorojia ya anga na Marekani ndiyo anamiliki hiyo anga Kwa kuwa na teknorojia ya hali ya juu hivyo hata kwenye mambo ya utengenezaji wa vifaa vya kivita Bado Marekani Yuko juu na huwezi kumfananisha na huyo mrusi.
@essaongongolowo2400
@essaongongolowo2400 Месяц назад
Anga ndo kila kitu Urusi hawezi achana na mpango Huo.
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 Месяц назад
sky unawatoa wapi hawa watalaamu 🎉🎉🎉
@PaulMasega-yy3sz
@PaulMasega-yy3sz Месяц назад
Kama universe Ina expand kwanini Dunia isemekane inajaa.
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 Месяц назад
Utashangaa huyu jamaa hataitwa hata itv😢
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Месяц назад
Kama waafrika tumeanza kufikiria ant gravity technologies tunapoelekea ni pazuri sana ila kijana angalia hiyo technologies imepeleka watu pabaya maana unazuia ugali wa watu
@salumyussuf2140
@salumyussuf2140 Месяц назад
Katika uislam imeelezwa Kwa kina hiyo habar kuwa chuma kilishushwa kutoka juu hakikuumbwa pamoja na ardhi Kwa hiyo Hilo ni jambo limeshazungumzwa na uislam
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er Месяц назад
Hakka hizo galaxy na vitu vyote hivyo vishatajwa ktk Quraan
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er Месяц назад
Binaadam wa mwanzo ni nabii Adam, vitabu vyote Quraan na Taurat na vitabu vingine vinakubali hivyo
@ce-08
@ce-08 Месяц назад
Bundara kwenye mahojiano wewe ni level nyingine kabisa🎉🎉🎉
@mkulimatanzania
@mkulimatanzania Месяц назад
Nimewahi mapema kaka Sky tupe elimu hii inatusaidia kujua dunia na wenzetu walioendelea
@youngbona3804
@youngbona3804 Месяц назад
Next time aje pia atoe mawazo yake kuhusu uwepo wa aliens
@JamesIbrahim-el4zw
@JamesIbrahim-el4zw Месяц назад
Tata,nipo tarime,tata soma bibilia ivi Mungu ni muongo,hakuna mtu anaeweza kutoka inche ya dunia,ukiitaji nikupe vifungu vya bibilia,wanasayasi ni waongo,kama wanasema mtu alitokana na nyani,je?hilo nalo unalikubali,nakwambia ikijikita kwenye bibilia utaelewa,ila kwenye sayasi utajidangana,na kudanganya,shetan ni muongo na ataendela kundanganya,
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx Месяц назад
America wakipata mtu Kama huyu ni dili..
@EmmanuelKibaja
@EmmanuelKibaja Месяц назад
unafaida kubwa kwangu na kwa familia yangu tutainuka kwa faida zaidi
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад
HILO JIWE LA MBEYA SIUTARI MZURI KWETU TANZANIA NDUGU YANGU???? AWATAKUJA KULICHUKUA WAZUNGU HILO JIWE ????
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Месяц назад
Akipata nafasi ya kwenda mambele bora asaini mkataba na NASA au kitivo chochote Sayansi nchi yeyote ile bongo watamchukulia poa tu na kumpa masifa ya uongo au hata kumuondoa kwenye sayari ya dunia kisa tu anakipaji.
@greyuhagile5051
@greyuhagile5051 Месяц назад
Jamaa hachoshi kumskiliza ...arudi tena
@lourykibudu
@lourykibudu Месяц назад
Sky tunaomba muengeze huyu jamaa akipata mda kwenye GPS tafadhali tunajua Yuko busy but akipata mda
@DjskillsTboiyprincess
@DjskillsTboiyprincess Месяц назад
Gps mnaweza kumuongeza jama apo
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Месяц назад
Science haijaanzia Misri. Science imeanza na viumbe Wa Kwanza kuumbwa. Mbingu ni viumbe, sayari ni viumbe, watu ni viumbe. Kwahio ndani mwetu ndo kuna science.
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er Месяц назад
Hilo nalikubali, viumbe wa mwanzo jamii, BIN, MIN, NA MAJINI walkuwa na sayansi ya hali ya juu kanisa
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 Месяц назад
Hio rocket ya Tanzania mbona sjawahi iona
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f Месяц назад
Mi ni urusi bana
@mussamkanga3329
@mussamkanga3329 Месяц назад
Sky kaka Wewe unajuwa
@danvannyzawad6452
@danvannyzawad6452 Месяц назад
Mwite huyu na benjamin wa nala
@ELVISCHACHA
@ELVISCHACHA Месяц назад
Je Rocket, inawezaje kukaa juu mda mrefu? Namaanisha inachajiwa au?
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Месяц назад
Sisi tukisomesha wanafunzi nje wakirudi wanakuja kutuchapa kuingia mikataba mibovu ya matumbo yao kuongeza kodi kwa masikini na matajiri kusamehewa kodi
@user-lf1bd4vj9c
@user-lf1bd4vj9c Месяц назад
Wachina wanacopy balaa shida yao ni ranks za quality za bidhaa zao tu.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Kweli kabisa wachina wamesambaa kote wapo kama siafu Sisi waafrica wavivu Sanaa kufikili na kujaribu.sisi tunakimbia pesa Tu hii ndio akili yetu watu wenye kufikili hawasaidiwi na jamii wala serikali wanaangalia tu serikali inaangalia udalali kuuza Mali za nchi mikataba mwisho baadae hao wanakuja kudai mabilioni wananchi tupo tunaangalia akili za kinyama
@viootanzania9080
@viootanzania9080 Месяц назад
Yusuph from dodoma
@DM_15
@DM_15 Месяц назад
Kama wameanza ku mong'onyoa hiomiamba huko angani tumekwisha kunasiku tutashuhudia juatuu usiku na mchana haitakuwepo tutachomwatuuu na jua
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 Месяц назад
Sacred Geometry. US,get high tech Israel and Russia then China. So that Israel continues to lead in technology.
@Olaiserriomunyak1059
@Olaiserriomunyak1059 Месяц назад
Jiwe la chuma? Kwa hiyo kule Mars kila kitu ni chuma? Mimi sielewi?
@duasaidi6676
@duasaidi6676 Месяц назад
@hamishatibu699
@hamishatibu699 Месяц назад
Ongera xna kwa wote, Mwanasayansi wetu anaitaji saport kubwa xna, aya yote Quran imemaliza kuyaelezea japo kwa ufupi, na ili tufanikiwe lazima tuludi kwenye maandiko zipo Aya za sayansi ya anga ktk Qur zitamfaa xna ktk juhudi zake ili aweze kufanikiwa kwa wepesi, luksa ipo wazungu wanazitumia na wanaweza kufanikiwa,
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc Месяц назад
Acha uongo
@FreeGod368
@FreeGod368 Месяц назад
Hakuna muislam aliwai gundua hata kufuli broo..waislam mmegundua biriani pekee..ingekua kuran ina maarifa ugunduz ungeanza uarabuni..
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Месяц назад
Waarabu wenyewe na kusoma KWAO iyo sayansi ya Quran LKN wana hire wazungu ku develop vyombo vyao vya anga,,,SASA iyo Quran inamsaada Gani ikiwa HATA mbudha WA china anawachapa waarabu
@mtoramazani9641
@mtoramazani9641 Месяц назад
Hajui chochote huyo mpumbafu!
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 Месяц назад
Ungesema ni south Africa kwa sababu uraia wa Elon musk ni wa nchi mbili. South Africa and USA
@AlexNswila-g1q
@AlexNswila-g1q 21 день назад
Kipo mpaka leo
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Месяц назад
Kwa tecnolojia ya anga na kijeshi Russia yuko mbele milele daima. Bado hamjasema meusi amewekeza angani katika engle muhimu tu hivyo mrusi anaweza kulitawala anga tofauti na marekani soon mtajuwa Putin aliposema anaweza kushusha fatalities za marekani zote alikuwa anamaanisha nini. Russia Ndio dola kubwa zaidi kuwahi kutokea dunia. Bado hamjasema vizuli
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Месяц назад
Juzi kati walilalamika sana Mrusi ana nuclear weapons kwenye anga za juu
@issakawaya8315
@issakawaya8315 Месяц назад
Yes
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Месяц назад
Ila Russia iko juu sana, usije ukajaribu kumpuuza huyu jamaa. Yuko mbaliii sana!!
@user-mk8ld6zs2q
@user-mk8ld6zs2q Месяц назад
Mangi mangi
@MussaRobart-w2y
@MussaRobart-w2y Месяц назад
Amerca mjanja wengine watakuja
@hamzahuseni2555
@hamzahuseni2555 Месяц назад
Huyu jamaaa mwangalieni atafilisi mchi ushauli wangu akamatwe aachiwe 2050 tz itakuwa imepiga hatua siyo kwasasa 😂 tutakosa vituo vya afya
@OsamSaleh-k3v
@OsamSaleh-k3v Месяц назад
🇷🇺
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Месяц назад
Ilo swali kamuulize Dj pia tuone naye atajibu nn
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Kichwa sana uyu jamaa
@iam_sami
@iam_sami Месяц назад
Kama jiwe aliligundua mwanakijiji kwa mgunduzi awekwe mzungu …???
@user-we9ut9ih6m
@user-we9ut9ih6m Месяц назад
Angani hawatumii kilometa wanatumia light-year
@shijakuligi2674
@shijakuligi2674 Месяц назад
Kaka hapa unatakiwa kurudi kwa maelenzo zaidi na kukubali ila sija toshoke naomba siku na muda jamami utakayo Rudi na sisi utupe nafasi ya maswali .
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 Месяц назад
Sasa mbona hamjadili ubora wa ujasusi au intelligent ni Russia
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Месяц назад
Hapo kinachozungumzwa ni sayansi ya anga za ujasusi wa nini
@Eng2460
@Eng2460 Месяц назад
umesikiliza mada ni nini???
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 Месяц назад
​@@Eng2460mwachee huyoo kibaraka Russia atasubir sanaaaa
@nizarrama225
@nizarrama225 Месяц назад
Kusubiri nini 😂​@@donaldmgunda4970
Далее
ЭТО мне КУПИЛИ ПОДПИСЧИКИ 📦
22:33
ЭТО мне КУПИЛИ ПОДПИСЧИКИ 📦
22:33