Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) chini ya Wizara ya Fedha kuanza kutoa huduma ya gesi katika vituo vyake vya Dodoma, Dar es Salaam na Morogoro kwa ajili ya magari ya Serikali.#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali
26 июн 2024