Тёмный
No video :(

GPSA YAKABIDHI MSAADA WA MAFUTA YA DIZELI LITA 10,000 HANANG 

GPSA Tanzania
Подписаться 287
Просмотров 88
50% 1

Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) siku ya Jumapili tarehe 10/12/2023 ulitoa pole na msaada wa mafuta ya dizeli lita 10,000 yenye thamani ya shilingi 34,670,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa nishati hiyo inayohitajika wa wingi kusaidia zoezi la uendeshaji mitambo na magari yanayotumika kusomba matope katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya maporomoko ya tope na mawe katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.
Msaada huu ulipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Bi. Queen Sendiga ambaye aliambatana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Dkt. Jim Yonazi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bi. Caroline Mthapula, na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Bi. Rose Kamili.

Опубликовано:

 

14 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
How To Read Russian In 9 Minutes (Seriously)
9:10
Просмотров 722 тыс.
LES ETUDIANTS S'EXPRIMENT #04
1:07
Просмотров 127