Kweli gudegude usimuache huyo mwamba rogeti anakusapoti poa kinoma,si kwamba huwezi kuimba bila yeye ila kuna karadha Fulani hivi amaizing,halafu njoo nzega hata kwa elfu 10 tutaingia mzee
Gude jitahidi kuwahimiza hao ma editors wako videos zako ziwe na quality angalia hizo filters, halaf niko tayari kuwa sponsor wako kuanzia mwakani lakini kwa vifaa vya digital