Тёмный

GWAJIMA ATAKA MAMLAKA YA RAIS YAFUNGWE KISHERIA | KUNA SIKU TUTAANGUKIA PUA 

TBConline
Подписаться 396 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameshauri mamlaka ya kisiasa ya Rais yafungwe ili Rais yeyote atakayekuwa madarakani asitoke nje ya mipango iliyowekwa na nchi ili kuepusha hali ya kila Rais kuwa na vipaumbele vyake.
Askofu Gwajima amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Serikali na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2024/25 ambapo amesisitiza kwamba nchi isipofanya hivyo "kuna siku itaangukia pua."
Aidha, amesisitiza umuhimu wa mipango ya wizara na taasisi mojamoja pamoja na ilani za vyama za uchaguzi kuakisi malengo yaliyomo kwenye Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa muda mrefu.

Опубликовано:

 

18 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@user-mm6sm9rt9x
@user-mm6sm9rt9x 9 дней назад
Umeongea pointi Moja nzuri sana kaka Gwajima Raisihatakiwi aanzishe mpango wenye interest za kwake, raisi anapaswa kusimamia mpango wa Serikali na taifa Kwa ujumla.
@newbornhaule
@newbornhaule 15 дней назад
Mungu ajalie uwe sehemu ya waamuzi wa hatima ya Taifa letu siku moja
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 9 дней назад
😅😅😅😅ndoto hizo
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 8 дней назад
Very soon ,,
@storytownTv
@storytownTv 7 дней назад
Huyu muhun kafich tu makucha
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 14 дней назад
Hongera sana Askofu, una mawazo yenye maono.
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 15 дней назад
Huyu jamaa anasema kila siku hili swala, lakini CCM vipofu na viziwi wapigania tumbo tu.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 дней назад
Mzee wa Maono
@user-gr9sz4pt3r
@user-gr9sz4pt3r 3 дня назад
Ccm majizi2
@essauyusuph6552
@essauyusuph6552 10 дней назад
Hongera sana Pastor Gwajima na Mungu akubariki kwa maono mazuri
@babarungurallyteam2754
@babarungurallyteam2754 8 дней назад
Ahsante Sana KAKA Gwajima.
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 10 дней назад
One of Big brain men in the Parliament,,,but some never seen b4
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 8 дней назад
Gwajima wasio kuelewa leo very soon watakuelewa ,,coz you're the Next
@saidmushehe
@saidmushehe 12 дней назад
Wazo nzuri....ni kama ulaya na marekani tuwe mipango endelevu na kuwekea Sheria Kila raise ajaye apite humo
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 11 дней назад
Heshima ni very Big 🧠 Brain
@naimunaimu2312
@naimunaimu2312 11 дней назад
Nenda direct Tu kwenye katiba mpya Acha kumumunya maneno
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 дней назад
KATIBA MPYA NI SASA
@clarencejr2023
@clarencejr2023 11 дней назад
Anaongea sijui mara ya nne hii
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 дней назад
MZEE WA MAONO. WANAJIFANYA HAWAELEWI
@EmanuelElito
@EmanuelElito 15 дней назад
Safi Sana gwajima
@mweyoms5548
@mweyoms5548 10 дней назад
Hii hoja nilikua naisubiri siku nyingi mno.Kila Rais anayeingia anaanza upya utadhani uhuru tumepata jana
@forkasa5459
@forkasa5459 15 дней назад
great thinker...
@josiacharles2778
@josiacharles2778 11 дней назад
Naunga mkono 🤝 kama taifa atuna maono tunaongozwa na Maono ya Rais anaekua madarakani👏👏
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd 16 дней назад
Very good I askofu
@francisdeomassawe6307
@francisdeomassawe6307 8 дней назад
Safi sana mkuu ❤
@StephanChanzi
@StephanChanzi День назад
Safiiii sana Kwa hii point
@user-tt3jh1mq5y
@user-tt3jh1mq5y 13 дней назад
✊️✊️✊️ umezungumz kitu kizur sana
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 3 дня назад
The best Legislative member. He (Bishop) actually deserves to lead that Ministry before we as a country fall into dark pit. The Minister is just shocked to hear such smartly constructive ideas not spoken by him (prof).
@rogersiddy
@rogersiddy 11 дней назад
Maoni mazuri sana Gwajima ila muarobaini wa haya yoooote KATIBA mpya ili kupunguza majukumu kwa Raisi Chama pinzani wamekuja na hoja za majimbo na kumpunguzia uzito wa madaraka bila Katiba mpya sawa sawa na kelele za vuvuzela za uwanjani
@mtanzaniahalisi9500
@mtanzaniahalisi9500 14 дней назад
Katiba mpya
@goshenprayersministries
@goshenprayersministries 10 дней назад
Good idea God bless you all
@frolencejovenary667
@frolencejovenary667 16 дней назад
I call him master mind, na nchi za ulaya, marekani na kadharika ziko ivyo na mipango yao ya muda mrefu
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 13 часов назад
Kweli kila raisi anakuja na story zake
@user-kw6bv9qp4e
@user-kw6bv9qp4e 12 дней назад
Aaah tokeni hapa gwajima asinge liongelea mngesema mbaka mkumbushwe...
@smilemediatz
@smilemediatz 15 дней назад
Wasukuma wanajua sana
@hapaupdates9277
@hapaupdates9277 13 дней назад
Yani hawa ndo maboya vibaya SIO wote lkn
@innocentinyasi9198
@innocentinyasi9198 15 дней назад
Excellent
@abdulhakeemmwai5875
@abdulhakeemmwai5875 6 дней назад
True patriot real leader a true gem to Tanzania pray Allah leads you to the top ameen
@dietrichoswald34
@dietrichoswald34 9 дней назад
I support you my brother ! Our passed experience is clear study case. The presidency can even put aside the constitution of our nation in order to push his agenda unchecked. It has happened before our eyes (while the governing authority is protected by the same same constitution)Taarifa ya waziri is out of point, wakati Prof. anaongelea ushirikishwaji kutoka chini hadi kwa waziri wa mipango, wewe unaongelea ushirikishwaji wa mamlaka za kisekta(wizara) zinazowakilisha maeneo yote muhimu ya maisha ya watanzania kama maji,chakula, afya, mahusiano na mataifa mengine n.k.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 дней назад
Let's keep faith that one day we will have a new constitution which will direct our nation's path for generations to come🙏
@musatalange4587
@musatalange4587 10 дней назад
Saw kbs
@MkumboJaphet-yx3jp
@MkumboJaphet-yx3jp День назад
Akili kubwa sana
@YakoboChambo
@YakoboChambo 5 дней назад
Sawa kabisa
@Famasialacommed-vv8yb
@Famasialacommed-vv8yb 9 дней назад
Vizuri sena waelimishe neno scope huenda shule zilipita kushoto japo ni educated at extra
@pascalkadege7511
@pascalkadege7511 9 дней назад
wachache sana watakao elewa lakini kuna kitu juu ya haya maneno
@user-qc4iu6gq4r
@user-qc4iu6gq4r 3 дня назад
Ni sahihi kabisa, tuwe na mpango wa taifa ambao viongozi wakija kuomba kura watueleze wata wezaje kuutekeleza sio kila mmoja kuja na ahadi zake lukuki as if kila baada ya kipindi fulani cha uchaguzi nchi ina kua kama ina anza upya.
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 5 дней назад
Gwajima ndo rais wangu
@MashakaKalamba
@MashakaKalamba 10 дней назад
Brilliant - absolutely 👍
@Alphonce-em2xi
@Alphonce-em2xi 15 дней назад
Safi saaaaaaaaana
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 10 дней назад
Good idea
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 3 дня назад
Undaaji wa mipango ya nchi,bado utowaji wa taarifa na upatikanaji wa maoni , bado,kwani mfumo wa upokeaji na mfumo wa ukusanyaji uko chini sana
@mickyjoseph5492
@mickyjoseph5492 15 дней назад
Hayo majizi yanayowaza matumbo yao yanamuona kama anapiga kelele tu,gwagima hapo hakuna mtu anaeifikiria tanzania ya miaka hamsini au hata miaka ishirini bali yanafikiria familia zao tu
@thaubannaftal7265
@thaubannaftal7265 День назад
Genius
@mtumishimoviesstudio1502
@mtumishimoviesstudio1502 3 дня назад
Kaongea kitu kizuri sana lakini kwa serikali yetu isiyopenda maendeleo ya nchi ila inapenda maendeleo ya Mtu mmoja moja halo watasema kamtukana Rais asimamishwe vikao 20 vya bunge
@leonardkazimoto6339
@leonardkazimoto6339 13 дней назад
Sasa si ndio katiba
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 3 дня назад
Hizo ndizo point tunazohitaji
@user-jf2mt5tr4j
@user-jf2mt5tr4j 10 дней назад
gwajima Yuko vizuri
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 11 дней назад
Ndio maana tunaitaka katiba mpya
@mariahmollel1258
@mariahmollel1258 11 дней назад
Smartest
@GabrielSky64
@GabrielSky64 15 дней назад
Point Gwajima Nchi Kama bendera Kila mtu na mipango yake miaka 10 akimaliza imeisha
@kivumajunior4260
@kivumajunior4260 День назад
Mbona Kila ukichangia hoja ni hiyohiyo
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 часа назад
Ikiwezekana malengo yagawanywe ili yawe yenye kutekelezek kwa awamu zilizo ainishwa ili hata aliyeahidi akishindwa atupishe kabisa
@nchembaa
@nchembaa 15 дней назад
Amen amen
@leinaamos
@leinaamos 15 дней назад
@JafariKiduko-ft4wg
@JafariKiduko-ft4wg 11 дней назад
Huyu Jamaa ni very talented
@jodama_tv
@jodama_tv 10 дней назад
Askofu tunakuhitaji sana na tunakuombea MUNGU akusimamishe zaidi katika eneo hili. Na sisi tunakuja huko sio muda mrefu Tanzania umebarikiwa
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 9 дней назад
Hiki kichwa kweli kweli, hakijawahi kuacha kutoa mchango tofauti na huo. Ni mawazo ya akili kubwa Sana, endelea kusema gwajima IPO siku yatatekelezwa na ni vision kubwa kwa Tanzania ijayo.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 дней назад
WANAWEKA PAMBA MASIKIONI 😮😮
@payomedia8916
@payomedia8916 10 дней назад
Good kabisa
@darasibrown6084
@darasibrown6084 6 дней назад
Gwajima we nikiongozi sio chawa wa viongozi
@CaptainJim-
@CaptainJim- 8 дней назад
Fundi sana
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 9 дней назад
Apo wapigaji hawawez kukuelewa ata kiduchu
@carlosmzena548
@carlosmzena548 9 дней назад
Mwigulu mungu akulinde maana watanzania hawakukubali Mzee
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 9 дней назад
Tena hatumpendiiii kabisaaaaaaa 😂😂😂😂🛜
@bishweko
@bishweko 10 дней назад
Hayo maono umeyapigia debe mda mlefu. Ila wamezima macho na mashikio hawakuelewi Gwajima. Maonao kama hayo ndio yanaitawala China na mataifa makubwa kama US. Ila sisi Africa tunangojea kupangiwa cha kufanya na Wamagharibi ni Aibu kubwa kwetu.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 дней назад
NI AIBU KUBWA. SIJUI AFRICA TUMELAANIWA NA NANI. AU NI VIONGOZI WAKE AMBAO HAWANA MAONO😢😢
@user-wl6zs4sf5p
@user-wl6zs4sf5p 10 дней назад
Hii ni sahihi kabisa yaani hatuna dira kabisa
@Expedito2512
@Expedito2512 11 дней назад
Sasa Gwajima ndugu yangu hiyo si ndiyo katiba mpya? Acheni unafiki wenu! Wenzenu kila siku wanaongelea hayo hayo yawekwe kwenye katiba mpya mpo kimya tu. Kama kweli mpo ok tamkeni moja kwa moja mnataka katiba mpya
@FatumaBenitho
@FatumaBenitho 10 дней назад
Saf xan
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz 11 дней назад
Amna kitu hapo msaniii 2
@SaddamkhamisSaddamkhamis
@SaddamkhamisSaddamkhamis 6 дней назад
Hyo ndo mifumo china waliyotumia kujiinua ndo km unsvyowaona leo lkn inatakiwa sheria kali je mtaziweka au mtalindana km kawaida yenu?
@user-gv8pf6if9m
@user-gv8pf6if9m 14 дней назад
Na hayo mamlaka amepewa na katiba
@richardjafu7404
@richardjafu7404 11 дней назад
Haya mambo yalisemwa zamani sana tangu enzi za jakaya, na magufuli. CCM ndiyo hawataki. Simamieni Hilo Kwa nguvu zote. Haiwezekani kila awamu tunaanza upya
@luciasteven3314
@luciasteven3314 10 дней назад
Tangu ajiunge n siasa nilimpoteza kabisa yaan😢
@abelchacha5977
@abelchacha5977 8 дней назад
Inaanziaje chini wakati wananchi hawajui chochota. Kama inaanzia chini lazima ibebe vision ya hao wa chini. Vision tumazoziona hazina muunganiko ma wTu wachini. Hiyo ndo shida. Ni vitu rahisi tu ila nyie viongozi mna mambo yenu ambayo hatuwaelewi.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 9 дней назад
SASA WIZARA XOT HIXO ZA NINI?. MIAKA HAMSINI MINGI SANAA BWANA.
@user-hn7uv4yg2q
@user-hn7uv4yg2q 6 дней назад
hamna kitu hapo.
@godlistengipson7268
@godlistengipson7268 5 дней назад
Tupe wewe
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 12 дней назад
Mna maono gani wabunge wengi ni wezi lazima kizazi kijacho kije na maono mazur sio maono yenu ya sasahv ya vipofu
@bahatishitindi
@bahatishitindi День назад
Naunga mukono hoja
@bahatiisaimbega88-md1mw
@bahatiisaimbega88-md1mw 10 дней назад
umeongea poit kwer kaka kwamba kila rais anatakiw kuingia madalakani kutekeleza
@abelchacha5977
@abelchacha5977 8 дней назад
Chukua fom mzee.
@aniki7232
@aniki7232 11 дней назад
Huyu mzee baba namuona kama zaidi ya RAIS kwa michango yake.
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile 11 дней назад
Inatakiwa kila muhimili wa serikali uwe na mamlaka na nguvu yake kama bunge,Jeshi na mahakama,pia raisi akimaliza muda wake achunguzwe ili nchi iwe na mwenendo mzuri kama vile marekani,China, na urusi
@sadih5333
@sadih5333 10 дней назад
Mawanzo mazuri lakini ulitakikana uyatoe vipindi ambacho bwana somba somba alipo kua anajenga Chatto kwa a lot of money for nothing .
@ramadhanrobin-st6hh
@ramadhanrobin-st6hh 9 дней назад
Kwan chato si Tanzania ata akiijenga watakao fanikiwa n watanzania ko sioni ubaya wa ilo na kukumbuka nyumban n muhmu sana ndugu zile barak zitakutunz milele upte amani na furaha
@official_masud
@official_masud 11 дней назад
Kipindi cha magu aliufyata😂
@spendjulius-qz9mt
@spendjulius-qz9mt 11 дней назад
Tupa jiwe gizani 😅
@user-ju4md1yq6o
@user-ju4md1yq6o 16 дней назад
Najivunia kuwa na mbunge wangu kama huyu
@gilbertsalvatory9590
@gilbertsalvatory9590 15 дней назад
Kabisa
@bonsondavid5756
@bonsondavid5756 11 дней назад
Hakuna msukuma mshamba,wote ni perfect brain
@paulmathias810
@paulmathias810 11 дней назад
Kabisa, Wasukuma wangepewa waongoze tu maana wanajielewa
@bonsondavid5756
@bonsondavid5756 11 дней назад
@@paulmathias810 Magufuli,Makonda,Msukuma, Gwajima wote wasukuma alafu nchi inawaelewa sana pima upepo uone
@azaellivingston7415
@azaellivingston7415 6 дней назад
Chenge amefanya nini kwenye Inchi hii?
@azaellivingston7415
@azaellivingston7415 6 дней назад
Vip kuhusu kitwanga ? Kangi lugora Je?
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 10 дней назад
Ivi gwajima ira nahic mda uja fika ira naamini wewe ni rahic ajae mimi kama kijana mtanzania natamani uongoze taifa hili
@HamzaHeri
@HamzaHeri 11 дней назад
GWAJIMA KATI YA BUNGE KISUKUMA WEWE UNAAKILI SANAA HAUYUMBU WEWE KWELI NI MZALENDO WA KWELI SIYO NDUMI LAKUWILI HATA WAKATI MAGUFULI ULIONGEA UKWELI HATA WAKAT LIGANGA NA MCHUCHUMA ASANTE SANA
@bonifaceelias9287
@bonifaceelias9287 9 дней назад
Kuna wabunge wapo huko ndani kwaajili kuomba taarifa 😮😮
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 11 дней назад
Wewe tunakudai chuo cha uvuvi na boti kawe ...Pia safari ya kujifunza ya vijana Birmingham vipi ..Chasimba bado mafuriko tatizo na barabara hazipitiki .. Hayo maono unayojimwambafai yalete huku jimboni sasa ''!!! au tukutane kwa wajumbe
@DenisRukangula
@DenisRukangula 11 дней назад
Yeye sio chanzo mwamuzi mkuu Kuna idara inayotekeleza kile unacho mdai Gwajima.. Kama hawezi kupewa sapoti Afanyeje .. au unadhani kuondoa mafuriko ni kusema tu , Kuna fumula
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 14 дней назад
Ameongea Jambo kubwa
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 3 дня назад
Ee.na wananchi watanzania nao waone maono ya.familia.miaka.hamsini.ijayo.kwa ma'ana.hiyo wawekeze.uchumi wa familia.miaka hamsin.ijayo sio kuuzauza ardhi.nyumba na kuzitelekeza familia ovyoovyo.watoto wetu wanatelekezwa.sana.na maono ya miaka.michache michache tuamke.nimeipenda.sana.hii.hoja ndio.waliyoitumia.wazee.wetu.zamani walihakikisha kola mtoto mzaliwa wa familia amelisishwa mali na kufwatiliwa anaishije leo kila mtu anaishi.anavotaka.maono.ya kukiona.kizazi kijacho hayapo mheshimiwa.gwajima.na.bunge.lote Mungu awape akili nyingi na maarifa mengi mliongoze.taifa la.Tanzania
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 дней назад
Jam a ni tujifunze na tuache kuwadanganya wananchi.Enough is enough 😮macho yako wazi wananchi tuko macho Misingi ya ukoloni ifutike sisi siyo wajinga tena😮
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 12 дней назад
Gwajima anakurupuka tu kwan c vyote hvyo vimeshajumuishwa kwenye mpango na lazima washirikishwe kutoka chini mpaka wizaran
@mvukiedavid4332
@mvukiedavid4332 12 дней назад
Umemuelewa point yake lakini au umecomment TU?
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 11 дней назад
Gwajima ni kichwa cha familia ilo jambo ni jepesi kwa wanaojua namanisha nini na taifa letu MUNGU ameinua watu kama awa ili kutuvusha kutoka kwenye vifungo vya umasikini
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino 11 дней назад
Mipango gani hiyo ya miaka 50?
Далее
Кто Первый Получит Миллион ?
27:44
Четыре тормоза
00:53
Просмотров 25 тыс.
If You Like My Outfit Then You Are Subscribed 👀
00:12
President Ruto full speech
13:27
Просмотров 158 тыс.
Кто Первый Получит Миллион ?
27:44