Тёмный

SHABIBY AMWAMBIA SPIKA TULIA "SIKU UKITOKA KWENYE UBUNGE, WEWE LAZIMA UTAVAA KANDAMBILI" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 77 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 225   
@AlbertSabo-hp3ss
@AlbertSabo-hp3ss 3 месяца назад
Wabunge anzeni kulipa kodi, tutapata Trillion 1.2 kwa mwaka
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 месяца назад
Kumbeee 😂
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r 2 месяца назад
Hivi halipi kodi ? Kama ni hivyo itakuwa niuonevu mkubwa
@naturelle1097
@naturelle1097 2 месяца назад
Pamoja na mabalozi
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 месяца назад
Bima ya afya imekuwa mateso kwa wananchi, hongera sana mheshimiwa shabiby kujuwa changamoto watu hali ya chini ni mtihani mkubwa
@burkardkayombo4608
@burkardkayombo4608 2 месяца назад
Upo vizuri MH. Shabibi Bima kwa wote, isiwe njia ya kupruni Watanzania.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 3 месяца назад
Wallah mbunge una maono Bima ya Afya ni muhimu sana na Afya ni uchumi Tafuteni vyanzo kama tozo simu mafuta vinywaji nk Asante baba
@Mpakele
@Mpakele 2 месяца назад
Shabib umewatetea sana wananchi. Hongera kwa ushauri wa kina juu ya chanzo cha kudumu cha chanzo cha bima ya afya kwa wote
@jurdanforwardersltd1460
@jurdanforwardersltd1460 2 месяца назад
SHABBY upo sahihi sana umetoa wazo zuri sana ambalo serikali walifanyie kazi itapatikana pesa nyingi sana.
@godsonkilua7738
@godsonkilua7738 3 месяца назад
Kweli Mbunge wangu umekomaa kisiasa , hongera Sana kwa mawazo mazuri bima ya afya Ni pasua kichwa Hali ya maisha Ni mbaya hakuna mtu anaependa kufa kwa kukosa bima. Mungu akubariki kwa kupeleka kilio chetu bungeni tutakuchagua Hadi useme po. Huo ndio utetezi wa wananchi siyo kupigapiga mameza Hadi mikono inakuwa na sugu kwa hoja za wenzio.
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 3 месяца назад
Upumbavu mtupu.Wataiba pesa zetu
@richardrugemalira6934
@richardrugemalira6934 3 месяца назад
Mheshimiwa SHABIBY Mungu akubariki kwa hekima na uzalendo wako wa kweli. Inasikitisha kuwa na wizara isiyo na ufahamu wa hali halisi ya wananchi wetu
@eliasjoseph8830
@eliasjoseph8830 2 месяца назад
Hongera sana mbunge shabibu uko sawa hicho serikari itafute chanzo Cha pesa ilikuwasaidia wananchi wake bima
@Azikiwe-qi6jd
@Azikiwe-qi6jd 3 месяца назад
Unazingua, kwa mafaoo yote ya spika hilo haliwezekani
@siriakosimon281
@siriakosimon281 2 месяца назад
Hongera Kwa kusema ukweli kuhusu pesa za NHIF zinavyoibiwa na hospitali binafsi.
@alexernest1654
@alexernest1654 2 месяца назад
Akili ndogo
@SilasMollel-mp9ib
@SilasMollel-mp9ib 3 месяца назад
Safi sana hawa ndo wabunge wa mfano..anaongea fact tupu..mungu akubariki kaka shabiby
@ce-08
@ce-08 2 месяца назад
Sasa hapo c wamebadilisha mfumo kutoka kukutoza kwa cash kuja kukuchukulia kwenye layn sasa c waseme tuchukue kwenye migodi huko au utalii au wabunge waanze kulipza Kodi itumike kwenye bima
@santinosabugo2114
@santinosabugo2114 2 месяца назад
shabiby akili nyingi sana Wana gailo mna jembe hapo mjengoni wengine kazi zao kusinzia
@ce-08
@ce-08 2 месяца назад
Angesema wabunge waanze kulipza Kodi ndyo tutapata pesa za maana
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 3 месяца назад
Hapo nimekuelewa Shabby 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@emazacharia4455
@emazacharia4455 3 месяца назад
Yaan bima ya afyaa imekuwa n mateso mateso Kwa wananch ..Kwa utajir wa Mali zet watanzania bima ingelkuwa bure Kwa Kila mwananchi😢
@philemonmbalwowa5619
@philemonmbalwowa5619 3 месяца назад
Asante Mh. Ubalikiwe.
@elijuskikoto392
@elijuskikoto392 3 месяца назад
Mwarabu wa Gailo huwa nakukubali Sana
@user-pm5hw8mf7s
@user-pm5hw8mf7s 2 месяца назад
mheshimiwaa uko sahihiii kabsaaa,, inaonesha unayajua maishaaa halis ya waTz
@mathiasmuhochi435
@mathiasmuhochi435 2 месяца назад
Good idea....tulifanyie kazi wazo lake
@user-rv2gb2gi7q
@user-rv2gb2gi7q 2 месяца назад
Mbunge shabby Yuko sahihi mawazo yake yafanyiwe kazi hongera sana
@user-ey8bo5iw9y
@user-ey8bo5iw9y 2 месяца назад
Tatizo uwo mfuko wabima serikali inaukopa mbaya zaidi hailipi na je tukianza kata 2000 kwa kila raia tunauhakika gani zitakuwa salama
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
​@@user-ey8bo5iw9yni namna fulani ya kuufisadi mfuko.
@innocentmleli1196
@innocentmleli1196 2 месяца назад
You are very clever, May God protect you.
@user-vc8cc2pt7n
@user-vc8cc2pt7n 3 месяца назад
Shabby shabby shabby mungu akubaliki sana Kwa michango wako mzuli tunaitaji wabunge km wewe hongera sana ilitakiwa uwe wazili kbs
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 2 месяца назад
Ukiacha kumtoza mwananyi pesa taskinu alafu ukamtoza kwenye simu c umebadilisha njia ya utozaji ila utozagi upon pale pale.minashauri hela itozwe kwa gesi madini utali nakazalika
@samwelikangambili4831
@samwelikangambili4831 3 месяца назад
Hongera Sana mbunge kwa maono yako itakuwa mkombozi kwa wa Tanzania
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 2 месяца назад
Safi mwenyewe nimemuelewa, changamoto kwetu sisi ni kupinga Kila kitu tukisikia pesa tu.
@TheNichym
@TheNichym 2 месяца назад
Kwa nini aseme tutumie mgodi mmoja wa dhahabu kwa ajili ya bima?! Au Tanzanite yote ya Arusha mapato yake yapelekwe kwenye bima na afya?! Ni ufinyu wa fikra kufikiria kuwakamua wananchi zaidi ya sasa, badala yake rasilimali za nchi hasa madini, mafufa na gesi vitumike vizuri, tutafanikiwa kwenda mbali, badala ya kuwaongezea ugumu wananchi na kuichukia serikali
@JonhYusuph
@JonhYusuph 2 месяца назад
Nice
@prorwega
@prorwega 2 месяца назад
Well said mbunge Shabib I am admiring you.
@mcsukerpapaa8817
@mcsukerpapaa8817 2 месяца назад
Wazi zuri, nasi tunaomba kila anayemiliki Mabasi na Malori, ktk kila route akatwe tsh elfu 10. Na wenye Madaladala wakatwe tsh elfu Tano kwa siku. Nawasilisha hoja Spika.
@rich-lr8tq
@rich-lr8tq 2 месяца назад
wenye laini zaidi ya moja mtakoma, watumishi wa serikali pia watakatwa mara mbili au tatu na zaidi
@user-dk8uf8ho9s
@user-dk8uf8ho9s 2 месяца назад
Mbunge mahari sana. SAMIA mpe huyu Ahmed uwaziri wa biashara.jamaa ni smart sana
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 2 месяца назад
ZIBAKI ZA RUFAA TU KWASABUBU NDIKO MNAKO KWENDA.
@user-dh8gj1dt6x
@user-dh8gj1dt6x 2 месяца назад
Safi sana kamanda,karibu mbarali utete anyone,pia bima ni nzuri ila tatizo ni dawa hazipo!
@femexpress7857
@femexpress7857 3 месяца назад
Mh. anaongea vizuri sanaa. Mimi ningependa kuchangia kwa kusema kuwa, wananchi hali yao ya maisha ni ngumu sana. lakini pia watu wakuchangia hizi bima za afya wapo sana, maana watu wakitoa hizo hela kama kweli zitasimamiwa vizuri basi hata wale wasiokuwa na uwezo wanaweza kutibiwa kwa kutumia bima za afya hizo
@ibraimnikolaus9702
@ibraimnikolaus9702 2 месяца назад
Serikali ilifanyie kazi wazo hili ni nzuri
@AwardHakimu
@AwardHakimu 3 месяца назад
Bima hizi hizi ambazo wanazichukia wahudumu wa afya au Kuna zingine
@richardrugemalira6934
@richardrugemalira6934 3 месяца назад
True CHAMPION of the poor whom are the majority in TZ.
@wilfredaxwesso7394
@wilfredaxwesso7394 3 месяца назад
Si rahisi kuvaa kanda bili hata kama akitoka kwenye kiti kwani wako na stahiki nyingi baada ya kustaafu.
@yateramadavaathumanmmbaga7776
@yateramadavaathumanmmbaga7776 2 месяца назад
Mswada walihangaika nao miaka 2 unaeakebishwa hauwekwi hadharani baadae wakaupitisha sasa hayo anayoyaongea ambayo ni mambo mazuri alitakiwa ayaongee kabla muswada hawajaupitisha ili ukipitishwa kila mtu anaufarahia. Anyway, mawazo hayo yafanyiwe kazi tena haraka maana tumechelewa sana
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Ilitakiwa waanze na wananchi kupata mawazo yao.ila kama kawaida wao wanajiona wana akili sana na wajuaji ndipo mambo mengi hugoma. Hata zile tozo za simu walifeli.
@user-qr7kj3bf9q
@user-qr7kj3bf9q 2 месяца назад
Hongera mshimuwa shabiby
@DennisDidas
@DennisDidas 3 месяца назад
Wazo zuri sana. Ukitaka kujua uzuri wa wazo hili angalia hali za watu kwenye vituo vya afya.
@raphaelmkosamali1056
@raphaelmkosamali1056 3 месяца назад
Je,wabunge mkilipa kodi tutapata sailingi ngapi?
@user-dh8gj1dt6x
@user-dh8gj1dt6x 2 месяца назад
Mungu awe nawe,hiyo ndio sera halisi ya ccm, chapa kazi wanyonge wote tz wapo nyuma yako!
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 2 месяца назад
SHABIBY WILL ALWAYS BE SHABIBY AKILI KUBWA
@jumamhando3992
@jumamhando3992 2 месяца назад
Mm nilijua atashaur matajir wote wa Mabas wakatwe lak Kwa Kila mwez na wabunge walipe kodi Tena wawe mfano wakatwe asilimia 25 ingesaidia bima vzr
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 2 месяца назад
Mr Shabby mawazo yako hebu andika andiko ili na wengine wausome kwa manufaa zaidi kongole sana kiongozi.
@barakaalfred1491
@barakaalfred1491 2 месяца назад
Hakuna lisilowezekana, kuna vitu vingi serikali inavigharamia wakati havina impact kwa wananchi mfano ni vikao vingi kujadiri issues halafu matokeo yanabakia kuwa hasi kumbe ulikua mchongo wa posho.😃😄
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 2 месяца назад
Safi sana baba mngu akuone
@gladyssembojas5308
@gladyssembojas5308 2 месяца назад
Huyo ni muheshimiwa kama muheshimiwa Shabiby
@rashidhtibangayukatibangayuka
@rashidhtibangayukatibangayuka 2 месяца назад
Nakupongeza SHABIB UKO VIZURI
@devissyprian1526
@devissyprian1526 2 месяца назад
naomba mawazo ya Shabiby yafanyiwe kazi plz naomba sana
@emmanuellaizer4808
@emmanuellaizer4808 3 месяца назад
Bunge mko vizuri bima lazima ila iwe inayotumika mikoa yote popote unapokutwa na homa
@inocentkaiza7962
@inocentkaiza7962 2 месяца назад
Hawez akavaa kandambili kwasababu uwakika wakuishi kwagharama ya serikali mpaka anazeeka upo namsharahara juu
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 2 месяца назад
Mheshimiwa uko vzr Sana ila tatizo mfumo ila ingekuwa Jambo jema uwajibikaji itaongezeka
@AmusedForestBridge-zo6ox
@AmusedForestBridge-zo6ox 2 месяца назад
huyu mbunge anasema ukweli mtupu isipingwe kitu yoyote !!!
@KhatibTmk
@KhatibTmk 3 месяца назад
Mhe Shabiby chukuwa 💐🌼🌺 yako
@rashidhtibangayukatibangayuka
@rashidhtibangayukatibangayuka 2 месяца назад
Hongera shaving
@user-dm3vh4br5f
@user-dm3vh4br5f 2 месяца назад
Na biashara za watu binafsi zifutwe,mabasi imiliki serikali,maduka n.k.Hoja haijakaa vzr,vituo binafsi vinasaidia Sana.Serikali haiwezi pekee yake.
@paschalmahinyila1779
@paschalmahinyila1779 3 месяца назад
Goloko kulafa ushauri muswanusi Shabiby kwa mkweli sana Blai
@wenseslausjoseph1749
@wenseslausjoseph1749 3 месяца назад
Chanzo cha pesa ni jambo moja na matumizi sahihi ya hizo pesa ni jambo nyingine
@linogracephord9785
@linogracephord9785 2 месяца назад
Unaongea vizuri sana, ila kuna maeneo mndewa ukuchanganya!
@user-nk4yl7bw2h
@user-nk4yl7bw2h 2 месяца назад
Tunaitaji wabunge kamahawa wanaishauli selikali vituvya maana wengi bungeni wanarara tu nimzingo kwa selikali
@AloicemaikoNgakuro
@AloicemaikoNgakuro 2 месяца назад
Hongera sana shabby iyo ndio ukweli
@user-zu5ee3qe6u
@user-zu5ee3qe6u 3 месяца назад
Hata uingereza ni mfumo huo huo again good thinking
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 2 месяца назад
Msiseme 'WanaNchi wetu',:semeni 'WanaNchi wenzetu'!
@jahululamasunga
@jahululamasunga 3 месяца назад
immaculate contribution MP Shabiby
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 2 месяца назад
BIMA kiasili ni kamari ya afya ambayo haijawahi kuwa suluhisho. Ni tabia ya Ubepari kukosa huruma kwa raia. Pesa ni nyingi ikiwemo zile anazoona CAG zikiibwa, zikirejeshwa zinatosha na ziada kwa matibabu. Pesa za malipo kwa wabunge zishushwe hadi 55% na 45% iingie BIMA.
@jumaruhinda4109
@jumaruhinda4109 3 месяца назад
Uko sawa sana
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 месяца назад
Mnapunguza Kodi kwa wawekezaji na mnarundukia wananchi Kodi lukuku.... Mshahara wa wabunge ukatwe Kodi 20 asilimia tayari bima ya afya kwa wananchi maskini watakuwa wamelipia wote
@user-yz1xq8xo8s
@user-yz1xq8xo8s 2 месяца назад
Ni kweli mwanike wa ukaya Ila wasitubague sisi maskini
@msevenfokoro94
@msevenfokoro94 2 месяца назад
Mh..umeongea point sana lakin litatendewa kazi???😢
@ziadakayoyo7310
@ziadakayoyo7310 2 месяца назад
Umeongea suala la mbolea sana. Safi.
@2003hintay
@2003hintay 3 месяца назад
Hii bima wanaifanya kama bima ya magari watoto bima yao wanataka ipitie mashuleni na huko shule lazima watoto wafikie idadi ya 100 ndo ndio wasajiliwe. Kitu kigumu wengine hawataki na ni ngumu sana kufikia idadi hiyo mwisho wake watoto hawaangaliwi. Huko nyuma mtoto alikatiwa bima ya sh 54000/ ni kuwadhulumu kwa kweli. Hii wangeirudisha kwa kujali afya ya mtoto.
@VarerianRichardi
@VarerianRichardi 2 месяца назад
Baba hongera
@user-ri1yr8ks7y
@user-ri1yr8ks7y 2 месяца назад
Mheshimiwa spika Hawa wabunge wameshindwa kufikiria, sas mm nawapa wazo moja, Kwanza kwa Kila mbunge wakiti raia akichangia elfu mbili na Hawa wabunge wao wachangie milioni tano kwa mwezi ili uweze kufanya uwiano sahihi sio wakae apo na vitumbo vyao waporoje Tu. Kwa sababu juzu mumeongezw kodi kwenye makato ya Simu.
@hamismabula9934
@hamismabula9934 2 месяца назад
Mtavutana na kukamuana lkn yote haya ni kukosa usimamizi wenye ufanisi kwenye rasilimali zetu! Hatuna maadili ktk hilo! Ni ufisadi mtupu. Ripoti za CAG ukisikiliza jinsi pesa zinavyopigwa utalia!
@BotulphusAugustine
@BotulphusAugustine 7 дней назад
Uko sawa
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 2 месяца назад
Wabunge na mawaziri nyie mnakatwa kiasi gani cha kodi ya maendeleo tafadhali, maana Tanzania ni ya ajabu sana. Watu wanapambana kuingia bungeni maana huko ndiko kwenye green pastures. Mngekuwa mnapewa mishahara kama wafanyakazi wengine hii nchi isingekuwa na matrilion ya maden, inauma sana napambana kijijini kulipa kodi kwa kila ninachonunua halafu anaenda kufaidi mbunge.
@tabiasaidi2931
@tabiasaidi2931 2 месяца назад
Maoni yangu elimi isiwe bure kila mzazi awajibike kwa mwanae ila kila mtanzania atibiwe bure ili awe na afya njema afanye kazi na alipe kodi.
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 3 месяца назад
Mawazo mazuli sana mbunge wetu unayo yasema ila shabiby mkiamua kukata Kodi kwenyesim sawa ilaujue ngorongoro,bandari mbuga,mdini misitu vituo va mafuta, fainizamagali ,vitalu, viwanjava ndege mgodi, Yani haikufaa kukatakodi zasim wanyonge Yani labda mngesema hivi mishahara yenu naposhozenu nyiewabunge zamwkamzima msilipwe pelekeni huko kwenyebima ila sio kuwapa mzigo wnanch
@kaidiSaid-ot9nl
@kaidiSaid-ot9nl 2 месяца назад
Bima ni mpango wa kuwaibia wanachi ukweli bima haina nafuu kwa wagonjwa waulizeni wananchi waliopatwa na shida na wana bima. Kweli mbunge .
@silasngoya9422
@silasngoya9422 2 месяца назад
Hayo mawazo ni sahihi kwa asilimia kubwa. Yanaonesha umhimu wa mchango wa bunge kujenga nchi. Watendaji lichukueni mlifanyie kazi haraka sana. Wananchi watafurahi hasa maskini ambao kwa kweli bima hawawezi kumudu kulipa Kila mwaka. Hata nchi zingine zitajifunza kwetu. Wapo watakaopiga kelele kwa unafiki na kwa hila kwa sababu zao za ubinafsi. Viongozi wa kitaifa msiyumbishwe kusimamia mambo ya msingi ya maendelea ya nchi kwa ubinafsi wa kutetea kura zenu.
@JamalMshenga-ex5ui
@JamalMshenga-ex5ui 2 месяца назад
Lipeni nyie mnojiongezea maposho kila mara- bac hata sie pangu pakavu mtukomoe. Mnachukua pesa kwenye vocha kisha mnatak kuongeza. Hy bn
@user-wl8ej9qy5d
@user-wl8ej9qy5d 3 месяца назад
Bip up bunge
@Worldunite
@Worldunite 2 месяца назад
Vianzo vingine vya mapato???? Tunaambiwa uchumi uko vizuri sasa mnatafuta vianzo gani?
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 3 месяца назад
Ni yaleyale ya mzigo wa tozo nchi itajengwa na walala hoi italiwa na wenye meno
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 2 месяца назад
Tunateseka saana
@willylwiza6665
@willylwiza6665 2 месяца назад
NI wazo zuri ila .Huyo maskini nae kaesabika katika hizo line .2000 anapita wapi simu simu yenyewe Hana anamiliki line
@AmusedForestBridge-zo6ox
@AmusedForestBridge-zo6ox 2 месяца назад
jamani watu wanatezeka sana kijijini madaktari wanaringa utadhani hospitali ni yao na madaktari hawana ukarimu na watu kabisa!
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 2 месяца назад
Napesa hz wakitukata kwenye simu tutashukuru sana, kwasababu tutapata huduma za afya, sio hizi zilizokuwa zikikatwa kwenye miamala wanatunisha matumbo yao tu. Ikiwa tu, watafuata maono na ushauri wa shabib akili kubwa ktk biashara
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 2 месяца назад
Laini za sim achana nazo maana ilitokea na tukipata shida sana tozo, serikali itumie Kodi vyema zaidi kila jambo litawezekana ,wabunge pia watozwe Kodi
@wilfredaxwesso7394
@wilfredaxwesso7394 3 месяца назад
Mhhh hospitali binafs zikidhoofishwa ujue huduma ya afya itakuwa mbaya sana kwani wafanyakazi wengi wa serikal hawana uzalendo katika kufanya kazi pia kutunza vifaa katka hospitali za seikali.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 месяца назад
Point ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 3 месяца назад
Hawa ndo watu wanafaaa kuwa Marais wa nchi hiiii point z uhakika
@mathiasabel2345
@mathiasabel2345 2 месяца назад
pesa ziibiwe halafu uendelee kutuchangisha. mnaelewa mnachookisema au kwa sababu ni mchango??? kwahiyo tuchange mkaibe tena?
@erickonesphor9630
@erickonesphor9630 3 месяца назад
Uko sahihi serikali itulipie wananchi wake, mbona mafisadi wanapoteza nyingi ?
@gideonmwaweza8177
@gideonmwaweza8177 2 месяца назад
Baba ongera kwa wazo nzuri
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 3 месяца назад
Nikweli kabisa huna hera ustumie simuu
@Ushauri235
@Ushauri235 2 месяца назад
Daaaa maoni mazuri sana mbunge
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 месяца назад
Hata ijadiluwe vipi hiyo imeshapitaaa..!! Ni lini mjadala humo ndani ukabadili maamuzi ya Serikali ?!
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 2 месяца назад
Tozo za majengo tozo za mazao ya biashara yaendayo nje kama ufuta na korosho hela hizi ni nyingi sana ila hatujuiga zinaenda wapi kama mkulima
@rafikkarimomar8202
@rafikkarimomar8202 2 месяца назад
Hi bima ya afya anaye taka naakate asiye na uwezo aendelee kama kawaida akalipe cash anapo kwenda kutibiwa
@josiacharles2778
@josiacharles2778 2 месяца назад
Mhmm kumbe umeongeea unamaliza kwa kutudanganya yani spika tembelee kandambili kachumbali apo mimi ntakua natembea uchi sasa😮
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 3 месяца назад
Mlaikiji komenti🤗
Далее
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Просмотров 731 тыс.