Тёмный

Haki inasimama tu leo tumemwagiwa maswali kama mawe wagaratia waleta mapya 

Salim Daawah Kenya
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@AshamMussa
@AshamMussa 9 месяцев назад
Hawa wakristo wengine wamelishwa kutu ya uchawini haiwezekani wanaoneshwa haki kwa uthibitisho wa vitabu waendelee kukanusha tu ipo namna sio bure.Allah awaongoe
@bekabakari7394
@bekabakari7394 9 месяцев назад
Kukubali kwa papa Francis Kwa mashoga kuoana Hapo ndiopo mwisho Wa makanisa mengi kusambaratika Mungu atuepushe na hil
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 9 месяцев назад
Maa shaa Allah wa kwanza leo❤
@AraphatAmani
@AraphatAmani 9 месяцев назад
MashaaAllah Shekh unafundisha mtu adi anaelewa yani Allah kakupa uwezo wa kumjibu mtu kiuwazi zaidi nani haki napenda sana mafunzo yako.
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 9 месяцев назад
Allah awahifadhi nyote inshaAllah
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 9 месяцев назад
Mbarikiwe kagame yéyé alifanya makubwa Sana wako wawili wako jela kagame akawambia ikiwa mnataka kutoka jela ??? basi zaeni mtoto mkizaa !? basi mtatolewa hukuma zenu ??zitaisha hapo hapo
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 9 месяцев назад
Maa shaa Allah ❤
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 9 месяцев назад
Leo wa kwanza Asalam aleikum mashekhe wetu Allah awalinde
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Mashaallah tabarakallah walim wetu Allah amfanyie wepesi maisha yenu n amzidishie elimu hekma n afya mzidi kueneza dini ya Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@Sal.0
@Sal.0 9 месяцев назад
WaIslamu, mwisho mwezi una karibia. Please changia hii Dawah Team! Na Pia Mskiti wa Kiambu area.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Masha Allah ni kweli msikiti tuko almost 80 per cent
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 месяцев назад
InshaaAllah
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 9 месяцев назад
Masha Allah sheikh salim tunawafuatilia dawa iendelee
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 9 месяцев назад
MashaAllah. Mafundisho BORA again! Kanisa la CATHOLIC, na pamoja na Kanisa la ANGLICAN la Protestant, wame kubali UShoga! Kwa hivyo, hizi CULT Mbili za WAZUNGU, za Ma PROTESTANTS, na Ma CATHOLICS, wame kubali USHOGAAAAA! Kwa hivyo, huyu Musa wa Bicycle, aji chunge sana, kwa sababu ana weza ku POSWA na DUME mwezake, anytime! Tabarak Allah Team mzima. Cult ya 'ukristo' uli anza RASMI, wakati biblia lao la mwanzo, la King James ilipo TUNGWA na SHOGAA, anaye itwa KingJames, kule ENGLAND, in 1611AD! Na yeye K James, na 'Duke of Buckingham', wali kuwa wana PANDANA sana! SIO mimi nime sema!. Ni Historia ya King James, ndio inaji semea! Aly kuwa ni SHOGAA! Na the English King James Bible(KJ)ni Biblia la MWANZO ku sambazwa DUNIANI, baada yaku TUNGWA in 1611AD.. TabarakAllah Team.
@Sal.0
@Sal.0 9 месяцев назад
Swadakta!
@fatmaally7252
@fatmaally7252 9 месяцев назад
Mungu atusamehe sana na mtihani ya kidunia
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 9 месяцев назад
❤Mashaa ALLAH ❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Karibu sana
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 9 месяцев назад
h123 Sheiykh Ngugi, mimi niko ndani ndani Inside tangia kale
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
@@chiefmkalikibz1503 masha Allah brother najua
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 9 месяцев назад
@@salimdaawah123Evy'ALLAH
@AliMasigaSaleh-vs2jh
@AliMasigaSaleh-vs2jh 9 месяцев назад
Allah atuongoze na atuon6eshe haki.
@salimiddi7583
@salimiddi7583 9 месяцев назад
Somo asalaam alaykum waratulahyh wabarakatuh
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@nelsonochieng5216
@nelsonochieng5216 9 месяцев назад
Ali ajifunze kunyamaza kwa mjadala
@Issaali-it4nt
@Issaali-it4nt 9 месяцев назад
Thank for information 😅😊
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 9 месяцев назад
Barakallahu feekum
@Hi_20206
@Hi_20206 9 месяцев назад
Asalaam mashekh wetu..nimekawia ku comment lakini tuko pamoja..like subscribe n share☝️
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah my sister
@kennedymanyonge6170
@kennedymanyonge6170 9 месяцев назад
Not a muislim but i do agree with dawah
@AbdallaMbae
@AbdallaMbae 9 месяцев назад
MashaAllah
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@josemu870
@josemu870 7 месяцев назад
Direct information
@sheemaryam
@sheemaryam 9 месяцев назад
Shekhe ungemsomea ile ya sikukuu ya idi kwa bibilia
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Inn shaa Allah si kukumbuka
@b.funditv4781
@b.funditv4781 8 месяцев назад
Mashaallah nawapenda sana mashekhe wangu ALLAH awape mwisho mwema
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 9 месяцев назад
MashaAllah kumbe huko kanisani kuna kadi ya kujiunga Tena utowe pesa hiyo nikali sijawai sikia nimpya 😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Yeah Iko😂🤣🤣🤣
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Sauti sheik wngu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Fungua tena iko sawa sasa
@saudahassan3804
@saudahassan3804 9 месяцев назад
Alihamdulillah kwa neema kuzaliwa kuwa muislam, mashallah ndugu zangu waislam, Allah awalipe mema duniani na kesho akhera
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 9 месяцев назад
Vipi hamna sauti
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 9 месяцев назад
Sauti
Далее
▼ КАПИТАН НАШЁЛ НЕФТЬ В 🍑
33:40
Просмотров 442 тыс.
Свадьба Раяна Асланбекова ❤️
00:12
КВН 2024 Встреча выпускников
2:00:41
Редакция. News: 136-я неделя
45:09
Просмотров 1,5 млн
▼ КАПИТАН НАШЁЛ НЕФТЬ В 🍑
33:40
Просмотров 442 тыс.