Тёмный

Wakristo wajitokeza kuuliza maswali kabambe kwa waisilamu moto moto uisilamu watawala 

Salim Daawah Kenya
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@Hi_20206
@Hi_20206 9 месяцев назад
Hii channel imenipa growth kubwa sana katika iman yangu ya kislamu..Allah awaongezee zaidi na zaidi inshallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Karibu sana my sister tunakupenda kwa ajili ya Allah
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 9 месяцев назад
❤ Wallahi nehema kubwa, mimi nimekua jasiri kwa kujua kweli, katika uislam.
@HajiAbubakar-nb2ue
@HajiAbubakar-nb2ue 9 месяцев назад
Hata mm nawakubali sana
@Hi_20206
@Hi_20206 9 месяцев назад
@@HajiAbubakar-nb2ue kabisa kabisaa
@Hi_20206
@Hi_20206 9 месяцев назад
@@mangeraalbert7982 nakubaliana na wewe kabisaaa
@HusseinLimbe
@HusseinLimbe 9 месяцев назад
Shekh Salim Unajua sana Mashallah 😊 ulivyoelezea jihad huko mwishoni nimependa sana Allah atupe barka nyingi kuutetea uislam Amin
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@Sal.0
@Sal.0 9 месяцев назад
Salaams WaIslamu. Mwisho wa Mwezi ume fika. Please suppirt this Dawah Team and the Mskiti, if you can, please. JazakAllah Kheir.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
May Almighty Allah bless everyone who supports the work of daawah to reach unreach
@Sal.0
@Sal.0 9 месяцев назад
@@salimdaawah123 Ameeeeen!
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Ma sha Allah kheir fil Dunia wal akhera wote waislam
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 9 месяцев назад
MASWALI YA PROPAGANDA BILA KUTUMIA AKILI😅😅😅 Itakuaje iwe umeruhusiwa kuuwa Kisha utubu.... KWANINI TUTUBU WAKATI TUMERIHUSIWA??
@saidmakame8262
@saidmakame8262 4 месяца назад
Pengine wewe hujafahamu Kutubu nikitu chengine Na kuuwa ni kitu chengine Nakufahamisha kama ulifanya zambi ya kuuwa au nyengine zozote zambi kwa kusudi Msamaha hakuna.Na wale wenye kupitisha sheria mungu anawalipa kheri. Mungu kasema kulipiza kisasi ni sheria ila ukisamehe mungu anakusamehe zaid Kaka umefahamu
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 9 месяцев назад
Wa kwanza leo alhamdullilah Asalam aleikum warahmatulah wabarakatuh Allah awalinde nawapenda kwa ajili ya Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Masha Allah tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 9 месяцев назад
😮
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 9 месяцев назад
😮5y
@rahmaali6662
@rahmaali6662 9 месяцев назад
Huyu kikoti cha yellow kaja na kikaratasi chake hataki kupitwa 😅 dah MMungu awape Nnur ya Uislamu
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 9 месяцев назад
Alhamdulillah ❤
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 9 месяцев назад
Allah awalipe mema hapa duniani na kesho akhera.sisi sote ummati mohammad s.a.w
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 9 месяцев назад
Sote?
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 9 месяцев назад
MASHA ALLAH ❤❤❤
@ALIOSKIITV
@ALIOSKIITV 9 месяцев назад
Mashallah shk slm may Allah to protect . guide and increase your knowledge abundantly❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm 9 месяцев назад
Mashaa llah tunapenda kuwaona
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
@zohramariga6678
@zohramariga6678 9 месяцев назад
Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala kaziya mwenye zimungu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Bblia inamakosa mengi sana someni mtaona
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Tena sana
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 9 месяцев назад
Utakapo soma Quran soma Kwa makini usiimbe hutaelewa makosa yenye yako
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 8 месяцев назад
Quran Haina makosa ata nukta
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 8 месяцев назад
@@Nora-v1m3p nikuonyeshe? Aya yakunyonyesha barubaru was revealed according to Aisha,where is it in your Qur'an?
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 7 месяцев назад
@@Nora-v1m3p nikuonyeshe makosa?
@TabuOdhiamboOmiya
@TabuOdhiamboOmiya 9 месяцев назад
Allah Akbar
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 9 месяцев назад
ALLAHU AKBAR maandiko Yako wazi sijui hawa watu hawafati kwann
@Hi_20206
@Hi_20206 9 месяцев назад
Huyu jamaa wa jacket ya yellow is like'evidence iko kwa hii kalatassss'😂😂😂😂
@mohadyma2386
@mohadyma2386 4 месяца назад
Proud to be a Muslim and alhamdulillah for and every Muslim brother and sisters
@abdirahmanadan654
@abdirahmanadan654 5 месяцев назад
Quran: chapter 5 verse 116
@alijuma8543
@alijuma8543 9 месяцев назад
Allah awajaalie afya tele kazi hii iendelee,,nawafatatilia nkiwa Mombasa
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Aamiin amiin amiin
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 9 месяцев назад
Allah Akbar
@OmeyBuusi
@OmeyBuusi 9 месяцев назад
Saalim anatetea dini yetu namna ilivyotaka
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 7 месяцев назад
Aandiko yako wazi kama hutaki kuelewa ni ww tuu
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 9 месяцев назад
Ma sha Allah
@JustinKitsao
@JustinKitsao 9 месяцев назад
Alhamdulilah mwenyez mungu awaweke
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 9 месяцев назад
Watangazadji wanasema et ni révolution ndio lakini ni révolution ya shetani kama alivo ahidi mungu yakua atawababaisha atawasaliti kufanya mayovu ili yasiende pekeake motoni inakua je mongozi wa dini anaruhusu ndola yajinsia ??? Hâta kwenye biblia haipo yesu. hajaruhusu mtume luth agaipiga Hao mambo mpaka akaomba mungu awapige viboko mpaka ardhi mungu akayiondowa
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Kiongozi wa wakristo ndiye anaye tangaza
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 9 месяцев назад
​@@salimdaawah123Wewe meongozo wetu ni Bible na Yesu Yuko hai Bado huyo ndio kiongozi
@MasoudBanda
@MasoudBanda 9 месяцев назад
IN SHAA ALLAH, ALLAH AWALINDE ,
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Aamiin amiin amiin
@b.funditv4781
@b.funditv4781 8 месяцев назад
Mashaallah Mashekh wangu nawapenda sana kwa ajili ya Allah kiukweli mnatufundisha sana Allah awalipe inshaallah
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 9 месяцев назад
MashaAllah,, mafunzo bora.
@OmeyBuusi
@OmeyBuusi 9 месяцев назад
Good for you
@mohamedwako468
@mohamedwako468 6 месяцев назад
May Allah be kind with you❤and guide you
@sheemaryam
@sheemaryam 9 месяцев назад
Àsalam aleikum warahmaturullahi wabarakatuh nimechelewa leo hamjambo 😅
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hatujambo tunakupenda kwa ajili ya Allah
@Hi_20206
@Hi_20206 9 месяцев назад
Nimekutafuta sana rafiki..ulikuwa umepotea wapi comment section😂😂😂..i missed u
@sheemaryam
@sheemaryam 9 месяцев назад
​@@Hi_20206 nope ww ndio umepotea navile nmekuulizia
@Hi_20206
@Hi_20206 9 месяцев назад
@@sheemaryam 🤣🤣last week nmeshinda nikikutafuta kwa comments..yuko wapiii huyu..bas leo nikakupata alhamdulillah
@sheemaryam
@sheemaryam 9 месяцев назад
@@Hi_20206 pole I must watch sema comment section ndio hukuwa unanipata but nmekutumia number yangu kwa comment yako hapo chini
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 9 месяцев назад
20mins ameenda mitini 😂😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Kawaida yao hawa wakristo
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 7 месяцев назад
Allhu akibal
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 9 месяцев назад
ukitaka kukosana na wachungaji mtolee andiko sadaka inapewa maskini na mafukara,hapo hamtaelewana kakbsaa😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Hawapendi hili ila lazima tuwafikishie
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 7 месяцев назад
Ni sawa na kuambia muislam shetani alislimishwa na mohamed,hiyo hawakubali hata ukiwapa maandiko
@SaidMgeni
@SaidMgeni 9 месяцев назад
Assallam Allaikum warahmatuAllahi wabarakatuhu in shaa Allah awape afya muzidi kueneza qalima ya lailaha ila Allah Muhammad RasuluAllah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 9 месяцев назад
Mungemaliza kusoma hiyo aya Quran 2:256 umkamilishie ujumbe. Wa mwenyezimungu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Inn shaa Allah
@Marim-qp8gs
@Marim-qp8gs 3 месяца назад
Chukran mwalimu salim na kundi lako Allah awabariki
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Alhamdulillah
@ShaliphZbel-it8id
@ShaliphZbel-it8id 9 месяцев назад
❤❤❤
@ilyasadhan3914
@ilyasadhan3914 9 месяцев назад
Asc
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 9 месяцев назад
Aliondoka kumbe alienda kutafta ipi ni dini😂😂😂half cha ajabu karud hilo jibu hajapata......Allah awaongoe inshaallah 😢😢😢
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Aamiin amiin amiin jibu hajapata hali si hali kaandikiwa karatasi kumbe hakuna jibu
@kennedymanyonge6170
@kennedymanyonge6170 8 месяцев назад
Huyu kijana ya jacket ya Yellow amekosa ufahamu na upungufu wa elimu ,,,,Takbir 💪
@reinhajonte8198
@reinhajonte8198 9 месяцев назад
Kwa nini pope aliruhusiwa kuingia mecca ilhali mecca ukiingia lazma uwee muislamu..
@dulividuli5237
@dulividuli5237 9 месяцев назад
Kuingia Makka sio lazma uwe Muislamu msidanganyane wapo wakristo tele wanaoishi ndani ya mji wa Makka
@swafaamohamed5707
@swafaamohamed5707 9 месяцев назад
Pope hajaingia mecca bali aliingia msikiti uturuky na akasali kuelekea mecca
@swafaamohamed5707
@swafaamohamed5707 9 месяцев назад
Huingii mecca mpaka uwe muislamu
@reinhajonte8198
@reinhajonte8198 9 месяцев назад
Swali yangu kma isa alikua muislamu kwa nini wafuasi wake wakaitwa wakristo ndani y quran badala ya kuitwa waislamu
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 9 месяцев назад
۞ فَلَمَّا أَحَسَّ عِيسَىٰ مِنْهُمُ الْكُفْرَ قَالَ مَنْ أَنصَارِي إِلَى اللَّهِ ۖ قَالَ الْحَوَارِيُّونَ نَحْنُ أَنصَارُ اللَّهِ آمَنَّا بِاللَّهِ وَاشْهَدْ بِأَنَّا مُسْلِمُونَ [ AL I'MRAN - 52 ] Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 месяцев назад
Wafuasi wa ISSA ni waisilamu sio wakristo
@dulividuli5237
@dulividuli5237 9 месяцев назад
Ni andiko gani wafuasi wa issa waliitwa Wakristo?
@MuhammedAliOmar-c9u
@MuhammedAliOmar-c9u 3 месяца назад
Wakiristo ni wafuasi wa Paulo na Constantine . Wafuasi wa Issa hawakuwa wakiristo. Wala Issa hajafundisha ukiristo
@MuhammedAliOmar-c9u
@MuhammedAliOmar-c9u 3 месяца назад
Wakiristo ni wafuasi wa Paulo na Constantine . Wafuasi wa Issa hawakuwa wakiristo. Wala Issa hajafundisha ukiristo
Далее
QURAN SIO KITABU CHA MUNGU.. NI WAISLAMU HAWAJUI..
1:13:13