Тёмный

HAKI YA UKE WENZA...? 

Izudin Alwy Ahmed
Подписаться 176 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 3 года назад
Ma sha Allah wallah sheikh Allah akuhifadhi
@mariamabdulazizi7987
@mariamabdulazizi7987 3 года назад
Jazaka Allahhu kheir, shukran sana sheikh. I wish all men could listen to this.
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 3 года назад
We are here listening... In-Sha-Allah we will do our best. You also play your part
@khadijagalgallo9586
@khadijagalgallo9586 3 года назад
MashaaAllah sheikh jazakallahu kheyr.
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu... Amiin ya Rabbil Allamin Maasha Allah hii ndio balaa shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh
@Zaytun-v2x
@Zaytun-v2x 6 месяцев назад
Sauti imetosha sheikh
@khadijaally8676
@khadijaally8676 3 года назад
MashaAllah mawaidha mazuri Sana.... Wanaume sikizeni hii... I think volume iko sawa
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 3 года назад
Volume iko sawa kabisa
@aishasalim9203
@aishasalim9203 3 года назад
Shukran Ustadh... jazakkaAllah kheir
@ummusalim1991
@ummusalim1991 2 года назад
Amiiin yaa Rabb Alhamdlh
@zainabzainab2422
@zainabzainab2422 3 года назад
Mke 1 alimjengea nyumba lkn mke wa pili amemkodishiye tena kijumba cha ndege
@nyotanjemaingarayo5384
@nyotanjemaingarayo5384 3 года назад
Subhanallah
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 3 года назад
Kama mke ameridhia ni sawa.
@zainabzainab2422
@zainabzainab2422 3 года назад
@@JIMBO_MEDIA hajamridhia ila mume anatafuta mapenzi kwa mke mdogo lkn hamfanyii kitu mfano mke mkubwa na gari,nyumba,shamba na amemnunulia plot 2
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 3 года назад
@@zainabzainab2422 mengine mwayasababisha nyinyi. Mke mkubwa akiolelewa mwenzake aenda mroga mumewe afanyiwe yeye pekeake. Vile vile mke mdogo wengine wakiolewa waroga waume zao wasione mke mkubwa. Sasa waeza mlaumu mume kumbe wake wenyewe mmoja nimshirikina
@mwanaisharamadhani7670
@mwanaisharamadhani7670 Год назад
@@JIMBO_MEDIA umeongea pwent
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 3 года назад
MASHA ALLAH ALEIK
@shufaamasanja9123
@shufaamasanja9123 2 года назад
Allah akulipe their inshallah Kwa darsa zako njema.
@a.856
@a.856 3 года назад
Jazakallah khayran
@fatmabakari5505
@fatmabakari5505 Год назад
Walai very trueee shukran I hope all men wasikize hii clip
@leahjohn4807
@leahjohn4807 Год назад
Masha Allah
@kulthumsaid2919
@kulthumsaid2919 3 года назад
Shukran saaana sheikh
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
Hii clip ungepost pia lile group la fb la ndoa yani mpka wanakera hawana mada zaid ya uke wenza😊
@nyotanjemaingarayo5384
@nyotanjemaingarayo5384 3 года назад
Wanapenda ukewenza bila kujua Hali za wakewenza
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 3 года назад
Tutafanya hayo mambo madogo
@zainabzainab2422
@zainabzainab2422 3 года назад
Mke wa kwanza yuko darel salam mke wa pili tanga,hana zamu nimaonevu eti kule ni kwao
@ballkissymubarak9416
@ballkissymubarak9416 3 года назад
MashaAllah kheri hii alhamdullilah
@dadijamoahmed5287
@dadijamoahmed5287 3 года назад
Mashaallah
@fatmabakari5505
@fatmabakari5505 Год назад
Naombeni hii video
@nurrahzurrah1088
@nurrahzurrah1088 3 года назад
Asalam alaykum warahamatullah wabarakatuh
@nurrahzurrah1088
@nurrahzurrah1088 3 года назад
Samahani chee naomba mni unge kwenye group la uliza ujibiewe
@لاشكياناسمنصبريأمشي
Sina haja nayo hiyo nyumba shimu shika uzuri,ustadhiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
Ustadh unaogopa majeneza kwan😢
@almashally8808
@almashally8808 3 года назад
sayyidy ujumbe umefika
@tauhidaswaleh4796
@tauhidaswaleh4796 3 года назад
A a leo sheikh umesema maneno mazuri ya haki
@fatmasimba7540
@fatmasimba7540 3 года назад
Natamani sheikh ungeanza darasa hili la ukewenza na wanaume.Wanaume wengi ndio tatizo hawajui kabisa kufanya uadilifu hadi inapelekea kuonekana uislam unamnyanyapaa mwanamke.
@nyotanjemaingarayo5384
@nyotanjemaingarayo5384 3 года назад
Wallah Tena wanaume hawana uadilifu hata chembe.
@nasraahmed7935
@nasraahmed7935 3 года назад
Shukran shekhe , lakini hapo wanawake wengi Wana dhulumika hapo kuwa wanyonge.
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 3 года назад
Kweli ... tutajitahidi waume
@zahrakarama1424
@zahrakarama1424 3 года назад
Asalama aleykum naomba na hili muliweke wazi jee wanaume wanao owa siri mke wake wa kwanz akajuwa kama kaoa kaamuwa kumuacha yule mwanamke bila ya kosa lolote kisa mke wake kajuw kama kaow inafaa hukum yake vip
@zainabzainab2422
@zainabzainab2422 3 года назад
Hakuna ruhusa kuomba pocket money,yuwasema km kula nakupa,kuvaa pia wavaa na kulala unapopakulala(nyumba)pesa si muhimu kupewa hata ukitamani kitu yabidi kuomba kwa baba ama kaka.
@fauziaharoun4744
@fauziaharoun4744 3 года назад
Hata mwaka mzima hakutaki na talaka hatoi
@nahimanaqueen4942
@nahimanaqueen4942 3 года назад
Wallah mwalimu Asalamu aleikum jamani mimi ni Mke wapili ila Ata niko naweka pesa yangu kidogo niweze kuuza Mahali Ata nikifa watoto wangu wajipange apo Ata sapoti ya kunipa dururu hanipi naa yuko na nyumba mbili Nairobi ushago mbili 😔😔😔 mm Ata Moja sin
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 3 года назад
Pole sana. Dai haki yako
Далее
NAMNA YA KUGAWA SIKU KWA WAKE WENZA
13:51
Просмотров 5 тыс.
Unique deep painful back massage for Lisa #chiropractor
00:11
VIPI MWANAMKE ATAKUBALI UKE WENZA
11:03
Просмотров 13 тыс.
FANYA HIVI UFUTIWE DHAMBI ZAKO
11:25
Просмотров 27 тыс.
HUKMU YA MWANAMKE KUJIPAMBA
1:11:00
Просмотров 26 тыс.
VIPI MUME HUMKHINI MKEWAKE
26:34
Просмотров 22 тыс.
ALBADIRI NI HARAMU?
13:03
Просмотров 86 тыс.
Unique deep painful back massage for Lisa #chiropractor
00:11