nation.africa/kenya/counties/... The protests dubbed ‘OccupyMombasa’ were coordinated through social media platforms, including WhatsApp, X and TikTok, a day after similar demos in the capital Nairobi.
Hakuna haja ya barua. The letter he is asking from the members of public used to be the requirement from colonial period to 2009. This policeman does not know that the Constitution of Kenya changed in 2010. The current Constitution allows for public demonstrations and picketing bwana OCS. Your work is to provide security to the demonstrators and control traffic.
Wewe OCS ni mbwa sana kwani serikali ilitutumia barua ndio tukapiga kura.shida ni maisha magumu then finance bill inataka kutukandamiza watu wenye hatuna kazi
Vyombo vya habari (media) wakome kupotosha waandamanaji na kuchochea eti police wana zuia watu haki zao za katiba. Lazima hiyo katiba isomwe kikamilifu, kwanza, wachukue kibali kutoka police
Huyu ni hawezi kuzuia maandamano mpuuzi huyo maandamano yakuomba ruhusa ya kuandamana kwa ajili ya haki yao pia hapo bila yakuficha kisha pewa milioni kaweka mfukoni huyo
as long as people are allowed to excise section 37 of the 2010 constitution, they must also adhere to the rule of law. This isn't a banana republic or there's no vacuum of leadership mfs.