Тёмный

HAKUNA USINGIZI TENA - JUSSA AFICHUA TAARIFA MPYA KALI ZITAKAZOTIKISA TAIFA 

Tifu Tv
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@AllyMuhidini-q9i
@AllyMuhidini-q9i 7 месяцев назад
Muungano ni liana kwa zanzibar na wazanzibar wote.
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Tumeuchok na Muungano Free Free Zanzibar ❤❤❤❤❤❤❤❤
@AlliAbdalla-i8b
@AlliAbdalla-i8b 7 месяцев назад
hongera kiongozi wetu mahiri
@abdullkhamis5406
@abdullkhamis5406 8 месяцев назад
Mzee Jusa nakuaminia pamoja na nguvu ya wenzako ya kuweza kuwaunganisha Wazanzibari wote. Tunataka Zanzibar Maya Zanzibar Kamili. Ngieni Kazini kuikomboa ZNZ.
@rashidseif9771
@rashidseif9771 7 месяцев назад
🙂 i can see my self
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Huru Huru Zanzibar ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Upo sawa mkuu Free Free Zanzibar ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Huru Zanzibar Huru Zanzibar ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@solomonadams6337
@solomonadams6337 8 месяцев назад
Acha hayo tuu mimi wewe nakuamini ni kion'gozi mazubuti sana inshaallah nataka uwe Rais wa Zanzibar baada ya Othman Masoud,alAmeen
@MuhammadGharib-x5h
@MuhammadGharib-x5h 8 месяцев назад
Kazi ya kuwafikia wananchi unaiweza. ACT mbele kwa mbele ushindi mwaka 2025
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Free Free Zanzibar ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 7 месяцев назад
Wazanzibar tunajitambua na kuijuwa historia yetu,hulka na silka zetu,hivyo hata Mwinyi antandike Tatan ktk barabara zote za Zanzibar kama hatakubali tutakavyo sisi wenye Nchi basi ataendelea kututawsla kwa mabavu na sio kwa ridhaa yetu!
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
ZANZIBAR MPYA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j Месяц назад
😂😂😂 haloo maneno mazuri. Njoo EST znz
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 8 месяцев назад
Pumbavu, udhalilishaji mnaomfanyia Babu Duni mtaulipa . Maamuzi ya Zitto Kigoma atupangieje ya Zenji
@YussufAme-cs4tf
@YussufAme-cs4tf 7 месяцев назад
Tumechoka na muungano huu usioeleweka maadili ya Zanzibar yametoweka coz ya muungano huu. Hatuutaki muungano pumbavu.
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 7 месяцев назад
Ikiwa uhuru kamili itapatikana kwa salama vizuri lakini ikiwa kwa mauaji apana NA wawe. Jirani mwema NA undugu endelea kwa sababu tabia kati ya zanzibari NA bara tafauti kutawala kwa nguvu haifai maana inayo onekana kwamba wazanzibari kwa ujumla hawataki huo mungano kabisa lazima warudi kwa wanainchi wakitaka mungano okey hamna neno
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Tumeuchoka Muungano Free Free Zanzibar
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Free Free Zanzibar ❤❤❤❤❤❤❤❤
@harithmohd6318
@harithmohd6318 8 месяцев назад
Ipo sik inshaallah ccm wataondk t na akiondk wasitarajie tena ccm kuwep zanzibar itakuwa ndio mwisho waoo mbwa awooo tumewachok wanzanzibar hatuwatak naamin inshaallah ikipata Act serekali basi kadi zao ccm zitachomwa bila mafuta
@nourdinjumbe-el2lz
@nourdinjumbe-el2lz 8 месяцев назад
ulio ongea kuhusu timu ya taifa zanzibar ni jambo zuri , nna imani mh mwinyi litamfika na ata lifaanyia kazi....✍️, lkni miaka 5 mengine mh mwinyi ina mstahili kwa mengi yanayo fanyika na ujenzi unaoendelea ktk mikoa yote ya zanzibar # tudumishe amani kwa maslahi ya taifa💚💛
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 8 месяцев назад
Unahisi ujenzi wa barabara utafanya wa2 waishi vizuri
@nourdinjumbe-el2lz
@nourdinjumbe-el2lz 8 месяцев назад
@@KassimAlly-xp4dz ndio moja katiya chachu za maendeleo na uwekezaji ndani ya nchi ni barabara, muekezaji akija kweny nchi huangalia sera na miundombinu itakayo muezexa kuwekeza n kupata faida
@nourdinjumbe-el2lz
@nourdinjumbe-el2lz 8 месяцев назад
@@KassimAlly-xp4dz kama barabara, mradi wa umemw w upepo unao endelea kutekelezwa, hoteli z kisasa n amani y nchi pamoja na natural resources zilizopo vinafanya urahisi w maisha kw wawekezaj n raia w kawaida
@MuhammadGharib-x5h
@MuhammadGharib-x5h 8 месяцев назад
Tena tutakufa ss na watt wetu kwa njaaa sababu ujenzi hii noma
@MtumwaAbdalla-m5n
@MtumwaAbdalla-m5n 8 месяцев назад
Dr husen kumi Tena sio mitano katiba tunaomba ibadilike dr husen ishirini tunamkubami.
@MtumwaAbdalla-m5n
@MtumwaAbdalla-m5n 8 месяцев назад
Porojo tuu hizo juza tafuta chakusaidia kama huna mke tafuta mke uwowe kama unae ongeza wapili tuchakuzowea
@MtumwaAbdalla-m5n
@MtumwaAbdalla-m5n 8 месяцев назад
Hamna olotenga ccm porojo hizo tuu mwenye macho haambiwi tazama😊
@nadharmusa223
@nadharmusa223 8 месяцев назад
Ulianza vizur umemalizia vibaya huyo mansuri katulaza zanzibar kiza miezi zid ya m4 akaleta majenereta hadi leo hayajawasha hata kijiji akaiba mashamba yawatu na viwanja ndo akatuletee maendeleo ...bora nianzishe chama changu tu
@fatmamansour676
@fatmamansour676 7 месяцев назад
Mpka katoka ujue kajutia yote
@kassimsaid1723
@kassimsaid1723 7 месяцев назад
acha izo Paukwa Pakawa Usanii wa bongo movei
@jumamuhd620
@jumamuhd620 7 месяцев назад
Jusa ww nimiongoni mwa mwanaharakati tunaekukubali wazanzibar
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 8 месяцев назад
Siasa banah ZANZIBAR muungano hatuutaki kama será ya maalim Zanzibar kwanza
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 8 месяцев назад
Mie nashangaa sana CCM haipigi kelele kuhusu muungano
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 8 месяцев назад
Kuna maslahi ya wakuu
@seifmohd5357
@seifmohd5357 8 месяцев назад
Wapige kelele vipi wakati muungano ndo unaowapa madaraka miaka yote unafkir kama c hili dubwana la muungano wangekuwepo hawa vitimbakwiri?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 месяцев назад
Kuna vingi vya kuzingatia kabla ya kupiga kelele:- 1. Nje ya Muungano sisi ni visiwa viwili vikuu kwa yanayoendelea sasa tu ACT tutaweza kuishi pamoja? 2. Mbona hata yaliyo nje ya Muungano hayaendi vizuri? 3. Nini hatma ya wenye mali upande wa pili? 4. Muungano sijuwi hauvunjiki kwa nini ikiwa tunaodai wanatuonea nao wanalia.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 8 месяцев назад
LENGO LA MUUNGANO NA SIASA YA RAIS NYERERE ​@@ahmedalbalooshi8518Kwa sababu: 1) Muungano ulikuwa Siri ya Nyerere na Karume peke yao. 2) Rais Nyerere ni Mazaliwa wa Tanganyika na Rais Karume ni Mzaliwa wa Nyasaland. 3) Rais Abeid Karume alitishwa kukubali Muungano. Na mpaka sasa Jeshi hupelekwa Zanzibar kulazimisha Muungano. 4) Muungano ni Koti la Ukoloni wa Tanganyika linalowabana Wazanzibari kama Rais Abeid Karume alivyolalama.😂 5) Kuondoka kwa Rais Karume kumerahisisha Nyerere kuunda Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kulinda Muugano. 6) William Lukuvi alidhihirisha Kanisani kuwa Muungano ni Vita Dhidi ya Uislam Zanzibar. 7) Kulinda Muungano ni lengo la Nyerere kuiburura Zanzibar kama alivyoahidi kabla ya Uhuru wa Tanganyika. 8) Bila ya Muungano na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maskofu wasinge pendekeza Vatikan City, Nyerere kuwa Mtakatifu.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 8 месяцев назад
@@hajihassan5433 kuwa na mamlaka haina maana kuvunja muungano,ni suala la kurekebisha muundo wa muungano
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 месяцев назад
Nchi imengiq kwenye laaaan haina neema watu wanatoho mbaya choyo,chuki husdaaa zimewajaa kwenye mioyo yao kila wakiona wazanzibar wanafaidika nafsi zinawaumiza hasbillah waneema lwakil
@suleimanali6939
@suleimanali6939 5 месяцев назад
HAPA TULIPO HATUNA DIRA YOYOTE MHISHIMIWA MOJA :::MADENI YAMETUZONGA PILI HATUNA NYUMBA TATU MM NAONA MITIHANY TU WA HAYA
@Buga-mv3dk
@Buga-mv3dk 8 месяцев назад
Chama ch ccm tumekichika tunataka zanzibar kamili
@thanimosi8906
@thanimosi8906 8 месяцев назад
Kwanza mchukuweni Duni kamili ndo mje kuidai Zanzibar
@thanimosi8906
@thanimosi8906 8 месяцев назад
Sema basi na yako Yale na Eddy Calpso m kweli wewe ni msafi
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 8 месяцев назад
Hamna.ishu nyny
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 8 месяцев назад
Kizazi kitakachotuvusha sio wewe na mansuri. acha uongo umri wako zaidi miaka 60 Na huyo mansuri ni mwizi tu alifanya nini wakati ametunukiwa na shemeji yake uwaziri wa nishati. unakumbuka majenereta mia moja ya caterpillar ununuzi wake na utendaji wake kazi wa siku 14 tu serikali imeingia hasara zaidi bilioni 113 na hayakufanywa kazi tena. kashfa hiii imeipita ile ya richmond
@YussufKhamis-n4c
@YussufKhamis-n4c 8 месяцев назад
Bombei kuna njaa kuliko zbar. Masikini babu duni , Maalim alimpa kipaumbele kikubwa babu .wacha kuwadanganya watu . CCM haikupi maji yakunywa , wewe wakupe maji haaaaaaaa .
@Machicha-c3k
@Machicha-c3k 8 месяцев назад
Anst Jus tukopamoj mbele kwembele vijana
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 8 месяцев назад
Wazanzibari hebu tukianzishe kudadek tunaanzisha vurugu la kuwalazimisha viongozi kufuata matakwa yetu wananchi lazima tuandamane aidha kwa vuruga au kwa amani
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 8 месяцев назад
Hapana sis wazanzibar hatupaswi kudai Haki kwa fujo vurugu bali kwa njia za Amani umenielewa itakua tumejifunza nn kwa MAALIM SEIF SHARIF HAMAD
@nourdinjumbe-el2lz
@nourdinjumbe-el2lz 8 месяцев назад
Angalia wa Palestine kinacho wapata kw Sasa ,ichunge amani n ya nchi Yako ikitoka aman kurudi huchkua mda
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 8 месяцев назад
Hhhhhhhhhhhhh uhavurugwa
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 месяцев назад
​@@nourdinjumbe-el2lz palastine bila ya kufanya vile yengetokea mabaya zaid hawapaswi kulaumiwa sema Ccm ni sawasawa na Israel
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 8 месяцев назад
Mmebeba mijitu ya bara kuja kumtoa Mzee Duni nyie mshasahau katutoa wapi na katufanyia nini ?
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Hatutaki ngonjera
@abdulikimangaboy8265
@abdulikimangaboy8265 8 месяцев назад
Na nyie pinduweni
@abdillahmohd4317
@abdillahmohd4317 8 месяцев назад
New zanzibr coming soon inshaAllah
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 8 месяцев назад
Mdomo nyumyba ya maneno anaota mchana jussa mwiyi oyee na ccm oye
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 8 месяцев назад
Ayo ni maoni yako t ila t usiseme kejeli jibu hijaa
@abdullkhamis5406
@abdullkhamis5406 8 месяцев назад
Napenda Slogan yako.
@ATIBZ
@ATIBZ 8 месяцев назад
Ww kibara Cha ccm katafute bsha akufre uko
@ATIBZ
@ATIBZ 8 месяцев назад
Ww nikibara wa ccm una njaa ww ata hujuw ukimbilee wap Leo untovuka adabu
@saidrashid5972
@saidrashid5972 8 месяцев назад
Nyinyi Wapinzani munawaona wazanzibar walio wengi sio waelewa. Jussa km muna lengo la kushika hii nchi basi jueni kua lengo lenu ni kama ndoto tu. Musitegemee km siku mutaongoza hii nchi. Endeleeni kula ruzuku munazopewa na Serikali kupitia migongo ya Wananchi
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 8 месяцев назад
Huna maana wewe wacha tuone
@AwatifAly-gw9qo
@AwatifAly-gw9qo 8 месяцев назад
Haki yao ety ruzuku sasa wewe ulitakje lbda
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 месяцев назад
HASBIALLAH WANEEMALWAKIL
@R10_Rajab
@R10_Rajab 8 месяцев назад
Wacha Siasa za chuki wewe hakuna Mzanzibar ambae atakusapoti kumsema Daktari Hussein Mwinyi labda hao wasiojielewa wanaokusikiliza propaganda zako
@amerwelder7786
@amerwelder7786 8 месяцев назад
Tmmjustvnibukwel tu
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 8 месяцев назад
Rajab,wachangiaji wanatoa fikra juu ya muungano na sio Dr.Hussein Ali Mwinyi
@MakameVuai-f2w
@MakameVuai-f2w 8 месяцев назад
angalia comment zilizo tumwa ningapi zinamsapoti ngapi hazimsapoti wewe mtanganyika Mana ndowanao tajiwa muungano wananuna
@kassim1262
@kassim1262 8 месяцев назад
Ukisoma coment tu bc utajijua kwmba ww mjinga maana wote wpo upande wjussa ww mtanganyika unataka kusema nini
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 8 месяцев назад
Kartika aoo wasio jielewa ni wewe hayuhitaji kusema Rais tunahitaji zanzibar iwe na mamlaka kamili
Далее
Dakika 10 muhimu zaidi za Ismail Jussa leo.
9:57
Просмотров 1,1 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45
MISSION IMPOSSIBLE [60]
23:51
Просмотров 89 тыс.
HUYU NDIO MHE. OMO  UTAPENDA
3:04
Просмотров 293